Professional Documents
Culture Documents
Hoja Za Dodoso Kuu La Sensa + Ufafanuzi - Compiled
Hoja Za Dodoso Kuu La Sensa + Ufafanuzi - Compiled
ULEMAVU
1. Ufupi unasababishwa na Ufupi ulioaninishwa hapa ni ule
mambo mawili ulioko kwenye mwongozo wa
1. Ukosefu wa lishe karani Uk. 68
(stunting) Ni mtu ambaye kimaumbile ni
2. Genetically (dwarfism) mfupi sana kiasi cha kushindwa
Ufafanuzi utolewe ili kutumia miundombinu kiurahisi.
kuainisha ulemavu
uliokusudiwa
2. C08 I (ulemevu wa wa Afya Mpangilio kwenye mwongozo
ya Akili) n& J (ulemavu wa utarekebishwa lakini kwenye table
Akili) lakini kwenye ni ufafanuzi kwa njia ya picha
mwongozo-table ya ufafanuzi
I ni ulemavu wa Akili na J
haipo kabisa imerukwa
Tubadilishe neno tatizo la Tumekubalina na Shivyawata
kusikia tuweke changamoto kuwa liwe kama lilivyo kwa
ya usikivu (kiziwi) sababu pia matokeo
yanalinganishwa na Sensa iliyopita
3. Kwa nini chanzo cha ulemavu C01- Chanzo chake kinajulikana
hakiulizwi kwa C01- & C08 (watu wenye ualibino)
C08 – Aina za ulemavu
zinazoulizwa chanzo ndizo
zilionekana kuwa zinahitajika ziwe
na chanzo cha ulemavu
4. Matatizo ya Kumbukumbu Haya matatizo yako sawa kwa
(memery imparement) au sababu matatizo ya kukumbuka na
matatizo ya kufanya kitu kwa kufanya kitu kwa umakini ni
umakini ni vitu viwili difficulty in remembering and
vilivyochanganywa kwa concentration na siyo lack of
lazima? impairment
5. Kwenye mwongozo kwa Imesharekebishwa
wasioona kuna maelezo
yaliyoandikwa fimbo au
msaidizi kutembea iwe
msaidizi wa kumuongoza njia
6. Tatizo la kujihudumia- wenye Siyo ulemavu
vitambi wanaoshindwa Kimo kifupi ni mtu ambaye
kujihudumia na wao ni kimaumbile ni mfupi sana kiasi cha
walemavu kushindwa kutumia miundombinu
kiurahisi – Mwongozo wa Karani
pg. 68
7. Vyanzo vya ulemavu Vitajazwa kwenye ajali
Aina ya kazi, mazingira ya
kazi, kubeba mizigo mizito
viongezwe kwenye
mageresho
8. Matende siyo ulemavu? Aina za ulemavu ndizo
zilizohitajika kwa sasa
9. C10- wheel chair ni kiti cha Itafafanuliwa zaidi
magurudumu mawili ila
Baskeli ya magurudumu
matatu haijatajwa
10. Nini tofauti iliyopo kati ya Matatizo ya kukumbuka (Mtu
Kukumbuka (C5), Ulemavu mwenye tabia ya kusahau) yako
wa akili (C8I) na afya ya akili
tofauti na ulemavu wa akili
(C8J) (huwezi kuutibu mara nyingi mtu
anazaliwa nao) au wa ulemavu wa
afya ya akili (inaweza kutibika) na
maelekezo mengi yako kwenye
mwongozo
11. Swali la C02: kuna maswali ya Ni kweli ilibidi yawe maswali
ulemavu yanatakiwa kuwa mawili lakini swali linaweza
mawili badala ya moja. Mf. kujibika likibaki kama lilivyo.
Kuona Tunachotakiwa ni kuhakikisha
Ni vizuri kuwe na maswali tunaowafundisha wameelewa
mawili moja Je una matatizo
ya kuona hata kama umevaa
miwani, akisema ndiyo uulize
ukubwa wa tatizo
SEHEMU D- UHAMAJI
1. Swali la D01: Uraia pacha Tanzania hakuna uraia pacha,
hivyo ikiwa mhojiwa amesema ana
uraia wa nchi mbili sw. la D01 na
sw. la D01 akataja Tanzania na nchi
nyingine, mwanakaya huyu
achukuliwe ni Mtanzania na karani
arudi sw. la D01 kurekebisha
geresho la uraia pacha
2. Geresho 076 kwenye Ushauri umechukuliwa na geresho
mwongozo, kongo ziko mbili , limebadilishwa kuwa Congo DRC
wakati yanaandaliwa haya
mageresho tulikuwa tunataka
Kongo ile tunayopakana nayo
hivyo basi Kongo
tunayopakana inajulikana
kama Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC
Congo)
3. Katika maswali ya uhamiaji Utaratibu mwingine wa kupata
Napendekeza swali la taarifa za diaspora utawekwa
ufahamu kuhusu wa hivyo maswali haya hayataulizwa
katika Sensa
Tanzaniua wanaoishi nje ya
nchi (diaspora) liwekwe hasa
ukizingatia kuwa swali hili
limewekewa msisitizo na mh.
RAISI hasa katika
kuwatambua wana diaspora
Tunaweza kuwa na maswali
mawili yaani
i. Je una ndugu au
jamaaa anaeishi nje
ya nchi ( ndio au
hapana) kama ndio
ataje nchi hiyo
Suala la michango yao ni
ngumu kupata hivyo
tunaweza kuliacha
14. Ikiwa similiki simu ila nimetumia Matumizi ya simu hayajalishi kama unamiliki
simu ya mtoto wangu itakuwa simu. Swali linataka mtu anayetumia simu
nimetumia simu au hata kama hamiliki
15. Maswali ya H03 na H04: Maswali Maswali haya yanaulizwa kwa kifaa kimoja
haya ni ya multiple response hivyo kimoja na karani anatakiwa amsomee kifaa
majibu ya Ndiyo na Hapana kitakwimu kimoja kimoja na aina za matumizi nazo
zinatakiwa zisomwe kwa kila kifaa.
yatakuwa hayana hoja. Napendekeza
kuuongezeke kwa safu wimu E (hajui).
Kama hajajibu popote na akajibu safu
wima E nenda I01
H04 ni vizuri tumsomee aina ya vifaa Lazima umsomee aina zote za matumizi
yaliyotajwa
16. Umiliki wa kifaa cha ofisini nao Jibu ni Hapana kwani kifaa hicho unaweza
uchukuliwe kama mtu anamiliki? ukakirudisha wakati wowote ule ila kwa
upande wa matumizi utaonekana umetumia
kifaa hicho
17. Umri wa wamiliki wa simu sehemu ya Lengo la maswali ya Sehemu ya
demografia kulinganisha na kaya ya demographia ni kwa ajili ya kupata mhimili
bwana matata (yaani miaka 4 mpk 15) wa Sampuli.
sehemu ya demografia
Kwenye TEHAMA ni kwa ajili ya kupata
viashiria vya SDG.
Pia kwenye demographia hatuulizi aina ya
kifaa cha TEHAMA
18. Simu ya kawaida ni ya landline au ya Simu ya kawaida ni simu ndogo wanaita
kiganjani kitochi au kiswaswadu
SEHEMU I: HALI YA UZAZI
1. Swali la I02-I04: Swali liongezwe Yapo ila hayaonekani na kwenye tablet
sehemu ya mageresho ya kiume kike litaulizwa mmoja baada ya mwingine
kwa kuweka safu wima mbili. Vile vile
mageresho haya yafanyike kwa swali la
I05
2. Swali I05: Uzazi miezi 12 iyopita je Wanajazwa wote wawili na itategemea
kama mama amezaa mapacha anaishi nao au sehemu nyingine au amefariki
tutajazaje? Au kama amezaa mapacha Itaongezwa kwenye mwongozo
mmoja amefariki na mmoja yupo hai
au wamefariki wote.
Pia nashauri hili liwekwe kwenye
mwongozo
3. Ikiwa mwanamke kapandikiza mayai Yule aliyemzaa atasema ni wa kwake na yule
yake na mbegu kwa mtu mwengine ila aliyetoa mbegu naye atasema ni wa kwake.
biological mtoto atakuwa wake. Je kwa Hatuna jinsi ya kuzuia na impact yake ni
kesi hii mama huyu atahesabiwa kama ndogo sana na siyo rahisi kusema kuwa
mtoto wake au yule mama aliembebea hajamzaa yeye
mimba
4. Inawezekana ukakutana na wanawake Kuna wakati mwingine unaweza kumweleza
ambao hawataki kutoa taarifa zao. Pg mwenyekiti na wakati mwingine msimamizi.
120 imeeleza kuwa kama kuna Inategemea na aina ya changamoto
changamoto awasiliane na mwenyekiti utakayokutana nayo
ikishindikana aende kwa msimamizi
5. Mwanamke amelala kwa rafiki /ndugu Watoto hawa watajazwa kuwa wanaishi
yake anayeishi Mwanza usiku wa mahali pengine na siyo mahali pale alipo
kuamkia siku ya Sensa na watoto wake mama yao
kawaacha nyumbani kwake
Kilimanjaro. Watoto hao
watachukuliwa kuwa wanaishi naye
pale Mwanza au sehemu nyingine
(Kilimanjaro)
6. Mwanamke anatakiwa kuulizwa Karani atumie mbinu zote ili aweze
maswali ya uzazi lakini hayupo? Je kukamilisha taarifa za mhojiwa hata kwa
unafanyaje ku mskip ili uhoji watu kupiga simu
wengine ambao wapo?
SEHEMU J - TAARIFA ZA VIFO NA VIFO VITOKANAVYO NA
UZAZI KATIKA KAYA
3. Swali la J05: Je, kama aliyefariki Karani atumie mbinu za kudadisi Zaidi
hajulikani amekufa akiwa na kama tulivyofundishwa kwenye swali
umri gani, tutafanyaje? la umri (B05) ili apate jibu
4. Naomba ufafanuzi wa taarifa za Sehemu I inahusiana na uzazi –
vifo vinavyorekodiwa katika maswali ya I02, I03 na I04 yanatupatia
sehemu I04 (ambayo itajumuisha idadi ya watoto hai waliozaliwa na
mwanamke husika. (kumbuka kuwa,
Watoto wachanga) na vifo katika
I04 haijalishi mtoto amefariki lini).
sehemu (J02) ambavyo pia Sehemu J – ni vifo vilivyotokea
itarekodiwa vifo vya Watoto kwenye kaya katika kipindi cha miezi
wachanga 12 iliyopita. Maswali ya sehemu J
yatatupatia kiwango cha vifo vya
watoto wachanga, vifo vya watoto
chini ya miaka mitano, vifo vya watu
wazima na vifo vitokanavyo na uzazi.
5. Je kifo kilichotokea wakati wa Kifo kitarekodiwa mahali kilipotokea.
kujifungua kitarekodiwa wapi? Je Hivyo kitarekodiwa kwenye kaya
katika kaya yake au kaya alipoenda kujifungua.
alipokwenda kujifungua?
6. Swali la J06: Sababu ya kifo, Ndiyo, geresho la uzazi litatumika kwa
geresho la uzazi, je geresho hili wanawake waliofariki kwa
linahusu mjamzito aliyefariki changamoto za ujauzito, wakati wa
kujifungua na siku 42 baada ya ukomo
kutokana na changamoto za
wa mimba. Maswali ya J07, J08 na J09
mimba ndiyo yatatoa taarifa halisi ya vifo
vitokanavyo na uzazi.
15. Swali laL06: Inawezekana kaya Swali hili litaulizwa kwa kila aina ya ufugaji
inatumia zaidi ya aina moja ya ufugaji.
Aina kuu ya ufugaji itakuwaje?
16. Idadi ya mifugo inayofugwa nyumbani Mifugo itakayohesabiwa kwenye kaya
na Ranchi itajumuishwa pamoja? ilipokutwa usiku wa kuamkia siku ya sensa
17. Katika taarifa ya umiliki wa mashamba Shamba la miti ya kuoteshwa/kupandwa ni
ya miti inaelezea mashamba au miti ya lile lisilohusisha miti ya asili na miti ya
matunda isihusishwe kwenye matunda. Mwongozo wa Karani uk.137 wa
kuchukuliwa taarifa. Napendekeza Mwongozo wa Karani
karani especially kwenye maeneo ya
njombe na Mbeya miti ya matunda
kama maparachichi ichukuliwe kwa
sababu ni miti ya matunda na biashara
na matunda haya yanuzwa sana nchi za
nje.
18. Iwapo mimi nimepanda miti ya mpingo Miti ya asili ni ile inayoota yenyewe. Kama
ambayo ni ya asili. Je hii miti mtu amepanda miti ni sahihi ila awe
itachukuliwa kama ni ya kupanda au ya amepanda kwenye shamba lenye ukubwa wa
asili? nusu eka au zaidi
19. Dodoso la makundi maalum liongezwe Wataingia kwenye geresho la ‘Vituo vingine’
kambi za ujenzi kwani kuna kambi
nyingi za ujenzi
20. Nashauri kwenye dodoso liwekwe Ushauri umepokelewa na dodoso
ukubwa wa shamba la miti litarekebishwa
21. Programu ichukue tarehe na jumla ya Programu ndivyo ilivyo
watu katika kaya automatic bila
kuandika
22. Kwenye swali la ufugaji wa nyuki Maswali yanataka kujua tu kama kaya
tuweke na mizinga inajishughulisha na ufugaji. Swali la mizinga
ni swali lingine