You are on page 1of 36

FAMILIA IDADI YA WATU DUNIANI

Kusoma

1 Je, familia yako ni kubwa au ndogo?

Soma habari kuhusu familia ya ………..Jibu maswali.

1.Wanatoka wapi?

2. Je, wao ni…….?

3……..anafanya kazi gani?

4…….anafanya kazi gani?

5.Je ……… ni …………..?

6. Je,………..ana bibi?

Msamiati

Soma msamiati ya jamii kisha uyagwanye kwa: Kike au kiume. Au vyote viwili.
mama,baba, mjoma,shangazi,mpwa,binamu, mkwe,mzazi,ndugu wa
kambo,babu

1 Ndugu ya baba yako

2. Dada ya baba yako

3.Binti wa ndugu yako

4.Mwana wana ndugu yako

5.Binti wa mjomba na shangazi yako your uncle and aunt's son or daughter

6.Mwana wa mjomba na shangazi yako

4. Ndugu wa mama wa kambo

5.Mama wa mume wako


Sarufi

Miliki na Vivumishi miliki

Soma jedwali halafu andika miliki na vivumishi miliki katika Makala ifuatayo.

Bibi ya Bonface ni Safina.Nyumba yao iko Uingereza.

Yeye ni dada yangu

Jina lako ni nani/

Jina lake ni Kasia.

Nafsi

Mimi yangu

Yeye yake

Sisi yetu

Wao yao

Chagua neno lilio sahihi ili kukamilisha sentensi hizi.

1.Wazazi wangu/mimi wanatoka Polandi.

2.Mimi/yangu ndiye mvulana katika jamii yangu

3.Jina lako /wewe ni nani?

4.Una/wewe toka wapi?

5.Yeye/yake ni mwalimu.

6.Mjomba wake/yeye yuko ng’ambo.

7.Familia sisi / yetu wanatoka Ulaya.


8. BinamiWao / Wao binamu wote wawili ni wasichana.

Sema maneno haya ukitumia vivumishi miliki yaloyomo katika mabano.

1.Mimi ni Fatuma. (jina langu)

2.Dada ya Fatuma ni Mariamu. (yake)

3.Julia ni binamu wa James na John Francis. (wao)

4.Babu wa Frank ni Francis (yake)

5.Je, wewe ni Salome? (jina lako)

6.Barua mpwa Petro na Julia (wao)

Kuzungumza

Andika orodha ya jamii yako.Watambulishe kwa mwenzako.

Salome ni rafiki yangu ya dhati.Anatoka Uingereza.

Teresa na Helena ni binamu wangu.Wanaishi Ujerumani.Wao ni wapwa wa


mama yangu.

Kusoma

Idadi ya Watu Duniani:

Habari /Taarifa Kuhusu ukweli wa Nchi za Dunia

1.Duniani kuna watu takriban bilioni saba.

Watu wangapi wanaishi nchini mwako?


Soma makala ifuatayo kisha ulinganishe nambari na habari.

51% 86 1 bilioni

bilioni 1.2 38% 21% 5 billion 2.5 billion

1.matarajio ya muda wa kuishi kwa mwanamke Japonia

2. idadi ya watu nchini India

3.idadi ya watu wanaozungumza Kiingereza kama lugha lugha ya pili

4.asilimia ya Waislamu

5.asilimia ya wafanyi kazi wa sekta ya ikulimo

6.asilimia ya watu wanaoishi mijini

7.idadi ya watu ambao wana mtandao

8.idadi ya watu ambao wana rununu

Maudhui ya mwandishi ni nini?

Soma makala tena. Ni nini maudhui ya mwandishi?

Chagua kati ya (a, b au c).

Mwandishi _ .

a anatoa habari b anatoa maoni c anasimulia hadithi.

4.Ni habari gani katika makala ulipata mpya au inakushangaza.


Unganisha nchi na miji mikuu

nchi na lugha

Kuzungumza

Fanyeni mazoezi wawili.Kila mmoja asome makala yake juu ya nchi fulani,
aandike maswali kisha aulize mwenzake maswali hayo.Mwanafunzi A: ukurasa
154. mwanafunzi B: ukurasa.Kumaliza jazeni jedwali hili.

Mwaka wa wastani wa kuishi duniani ni miaka ishirni na nane. Japani, mwaka


wastani wa kuishi kwa mwnamke ni miaka themanini na sita.Afghanistan ni
arobaimi na tano .

IDADI YA WATU

Asilimia ishirini ya idadi ya watu diniani wanaishi Uchina.Kuna watu bilioni


moja nukta mbili katika bara Hindi.

LUGHA

Asilimia kumi na tatu ya idadi ya watu duniani wanazungumza Kimandarin


kama lugha yao ya mama(kwanza). Asilimia tano wanazungumza Kispani kama
lugha ya kwanza vile vile asilimia tano wanazungumza Kiingereza kama lugha
ya kwanza; lakini Kiingereza ni lugha ya pili kwa watu bilioni moja.Inakadiriwa
kuwa takriban watu milioni mia mbili wanazungumza Kiswahili.Mwaka 2019
Shirika la Umoja wa Mataifa ya Elimu,Sayansi,Utamaduni lilitangaza siku Julai
7 kama siku ya kimataifa ya lugha ya Kiswahili.
DINI

Duniani kuna dini mbalimbali.Kwa mfano asilimia thelathini na tatu ya watu


duniani ni Wakristo,asilimia ishirini na moja ni Waislamu na asilimia kumi na
tatu ni Wahindi()

AJIRA (KAZI)

Asilimia arobaini ya watu duniani wanafanya kazi katika kiwanda cha huduma
kwa mfano hoteli,benki nk, asilimia thelathini na nane wanasghugulikia ukulimo
na asilimia ishirini na mbili wako katika utengenezaji na uzalishaji.

MIJI NA VIJIJI

Asilimia hamsini na moja ya watu duniani wanaishi mijini na asilimia arobaini


na tano wanaishi mashambani..

MTANDAO NA RUNUNU

Watu bilioni mbili nukta tano duniani wanatumia mtandao na watu bilioni tano
wana simu za mikononi.
Kujadili juu ya sherehe

Zingatia maswali haya.

1. Wanafunzi wangapi wako darasani mwako?

2.Ni mahali gani infaa kufanya sherehe?

3 Ni vitu vipi muhimu kwa sherehe (kwa mfano. chakula, muziki)?

Wahoji wanafunzi darasani.Tumia maswali haya.

Watu wangapi ...

• watu wangapi wamo darasani mwako?

• ni wanaume au wanawake?

• wako chini ya umri wa miaka thelathini au zaidi ya miaka thelathini?

• ni wanafunzi au wanafanya kazi?

• wanazungumza lugha mbili au zaidi ya lugha mbili?

• wanaishi humu nchini?

• wana simu ya mkono?

• wanatumia mtandao?

10 Andika ripoti kuhusu darasa lako.

Mfano:

Wamo watu ishirini darasani mwangu. Wanane ni wa kike na tisa nia wa kiume.

MARUDIO

Mfanye kazi wawili.Uliza na ujibu maswali katika zoezi la kwanza.

Kamilisha mazungumzo ukitumia ni au si.


A: Nani/jina lake(mwanaume)?

B: Jina lake ni Ben.

A: Nani/jina lake(mwanamke)?

A: Kate.

B: oa/wao?

A: Ndiyo, wa………..5.

B: Je, wanatoka Ujerumani?

A: La, wanatoka Merikani.

B: Ben anafanya kazi gani?

A: Yeye ni mhifadhi wa Wanyama na mimea.

B: Je, Kate ni msfiri?

A: Hapana, yeye ni mhifadhi pia!

Kamilisha sentensi hizi ukitumia vitenzi vifaavyo.

1.Asilimia sabini ya watu……….tarakilishi nyumbani mwao.

2.Asiimia ya watu ………Kiingereza.

3.Watu wengi…………..chumbai siyo kwa nyumba.

4.Watu wangapi ………….uzalishaji?


Maisha halisi

Panga sentensi hizi ili kutunga zungumzo.

 Rajabu ndiyo lakini mimi ninatoka Polandi.

 Nimefurahi kukuona pia Ramadhani.Jina langu ni Rajabu

 Mimi ni Rajab na huyu ni mke wangu, Daria. Ninatoka Polandi lakini


ninaishi Tanzania.

 Je, wewe ni Rajabu kutoka Polandi?

 Habari, Jina langu ni Daria, nimefurahu kukuona.

 Nimefurahi kukuona.

 Vipi, Daria. Unatoka wapi?

Mfanye zoezi watatu mkitumia mfano wa zungumzo hapo juu.

Chagua neno sahihi.

1.Jina wewe/lako ni nani?

2.Yeye/Shangazi yake ni Mjerumani.

3.Wao/Wao ni binamu wangu.

4.Mpiga picha/Piga picha ni rafiki yangu

5. Yeye / Mama yake anatoka Merikani lakini yangu/mimi ninatoka Usuisi


Mpira ni rangi njano.

Viatu ni vyeupe

Angalia vitu vingine darasani. Ni rangi gani?

Vitu Vyangu/Vitu ninavyo miliki

Tazama mtandao wa Robert.Ni kazi gani tofauti tofauti anafanya?

Sarufi: Umoja na Wingi


hii ile hizi hizo

Soma mahojiano ya Jim. Chagua maneno sahihi.

Mhoji:Na hii/ile ni nini?

Jim: Hii ni kijisanduku la huduma ya kwanza.Hua ninalibeba shantani mwangu


kila mara.

Mhoji:Fikra nzuri.Na hii/ile?

Jim: Ni kamera yangu.Ninaibeba kila mahali niendapo.

Mhoji: Na hizi/hizo ni nini?

Jim: Hizi/hizo ni viatu vyangu vya kupanda mlima.

Mhoji: Sawa. Na hizi/zile pale ni nini?

A: Hizi/zile ni glavu zangu.

Sasa mfanye kazi wawili wawili

Mwulizane na mjibu maswali kuhusu vitu hivi

•vitu vilivyomo darasani

•vitu vilivyomo mikoboni au mifukoni mwetu

Hizi/Zile ni nini?

Ni rangi gani?
Kusoma

Angalieni picha hizi nne.Nini sawa? Nini tofauti?

Soma makala hii.Je, hivi vitu ni sawa(1-5) au ni tofauti?

Zingatia

1.nchi

2.vyumba

3.idadi ya vyumba

4.samani

5.picha ukutani

Msamiati

Samani

Angalia samani na vitu vingine vya nyumba katika jedwali hili.

Zitafute kwa picha.

sofa

kinadharia

kiti

runinga

dawati

taa

tarakilishi

picha

luva (blinds)
pazia /

kabati

mtoto wa meza

zulia ndogo

zulia

mmea

Angalia vyumba hivi 2, 3 na 4 na ujaze jedwali hili.Ni samani gani unazo


nyumbani? Mwambie mwenzako.

Chumbani mwangu mna:

1.dawati-moja.

2. zulia ndogo(la) zulia.(ndiyo)

3. picha -tatu-ukuta

4.pazia(la).

5.mmea? Ndiyo

6.viti? la

7.Viti vingapi? -moja

8.vitabu? la

9.runinga?Ndiyo.

10 zulia?Ndiyo
Sarufi

Tazama jedwali kisha uchague kihusishi sahihi.

Kuna picha mbili ndani ya/katika ukuta

Kuna sofa ndani ya/kando ya

Chini ya

Mkabala

Katikati ya sofa na mmea

Mkabala ya / kulia ya runinga kuna zulia ndogo/ katkati ya chumba

Familia iko mbele ya/nyuma ya dirisha

Wazazi wako mbele ya/ nyuma ya watoto.

10. Kamilisha maelezo ya chumba ukitumia vihushisi vya mahali.

1.Familia …………ya chumba.Iko ………..

2. Runinga …… na sofa

3.Hamna zulia ndogo chumbani humu.

4.Kuna picha ukutani kulia ya …….tarakilishi

5………. dawati kuna taa.

6…… ya tarakilishi.
Kuandika na Kuzungumza.

Andika maelezo ya chumba chako halafu yasomee mwenzako.

Ni tofauti gani yaliopo kati ya chumba chako na mwenzako?Kuna usawa gani?

MUUNDO WA MANENO

Viambishi tamati(1)

Weka viambishi tamati ili kutunga uraia.

Poland Australia Ufaransa

Kuzungumza

Mfanye kazi wawili .Vitu hivi vinatoka nchi ngani?

viatu vyako

mkobo wako

runinga yako

gari lako

kitabu hiki

vitu vingine darasani mwako

Mkobo wangu unatoka Uchina.

Gari langu linatoka Ujerumani.

Ninafikiri runinga yangu inatoka ……

Sijui yangu………inatoka wapi


Dukani la Nguo

Tumia maneno yaliopewa ili kutunga mazungumzo kati ya mwuzaji na


mteja.Mzungumze wawili mkibadilishana nafasi.

Habri/saidia/je?

Ningetaka kununua/fulana(T-shati) saizi kubwa/ wastani?

rangi / rangi nyingine?

Hizi / rangi jani na buluu

Bei gani?

Ni......

Soma sentensi kutoka kwa mazungumzo.Nani anazisema? Mteja au mwuzaji?

Nikusaidiaje?

Ningetaka chai tafadhali.

Kubwa au ndogo?

Kubwa, tafadhali.

Hizi ni(ndizo) kubwa.

Kuna ya wastani?

Kuna rangi zingine?

Hizi ni rangi nyekundu.

Zile nzuri!

Ni bei gani?

Ni shilingi hamsini.

Zote ni nyeupe na nyeusi?


Hii hapa ni njano na nyekundu.

Sawa, nitachukua ile, tafadhali.

Ni bei gani?

Ni shilingi mia mbili.

Ningetaka glasi ya maji, tafadhali-ndogo

Ningetaka fulana mbili- ndogo, tafadhali.

Mpira huu ni nzuri sana lakini ule haipendezi(ni mbaya)!

Suruali hizi ni kubwa


Kuandika

Kuandika tangazo.

Soma matangazo haya. Nini inauzwa?

Msamiati

Vivumishi

Andika kinyume cha vivumishi hivi.

1 ya kale ya kisasa

2 mbaya

3 duni

4 polepole

5 -dogo

6 ghali

Andika maelezo ya vitu mbalimbali ukitumia vivumishi hivi na vingine.

Tazama mfano kisha andika upya sentensi 1-4.

Dawati hili ni la kisasa Ni dawati la kisasa..

1.Gari hili ni kukuu.

2.Tarakilishi hizi ni za kiasasa.

3.Kochi hii ni rangi ya kahawia.


Kutoka kwa Maisha.

Unganisha maswali na majibu iliyo sahihi.

1.Nikusaidiaje?

2.Kubwa au ndogo?

3. Kuna saizi ya wastani?

4.Je,kuna rangi zingine?

5.Ni bei gani?

6.Je, zote ni kahawia na nyekundu?

a Ndogo, tafadhali

b Hapana,kuna buluu na kijivu pia

c Ndiyo, ningependa kahawa

d Shilingi mia tano.

e.Samahani, hatuna

f. Ndiyo kuna nyeupe na nyeusi pia.

Msamiati

Miji- Vivumishi

Piga mstari vivumishi vyote katika zoezi la 1.

Kivumishi ipi kinamaanisha:

1. Siyo pesa nyingi

2.Watu wengi

3.Ina harufu mbaya


4.Watu wengi wanaipenda

5.Nzuri sana

Ni kivumishi ni kinyume cha:

1.raisi

2.kubwa

3.kuu/-zee

4.cha bure au bei nafuu

Ni bei ghali lakini watu wengi hula chakula cha mchana mighahawani midogo
midogo.

Ninaishi Warsaw.

Sisi hula mkahawani.

Wewe hauishi Cracow.

Wao huenda shuleni kwa basi.

Chagua neno lililo kweli kuhusu wewe.Mwambie mwenzako.

1.Ninaishi/Siishi mijini..

2.Nina/Sina gari.

3.Mimi huenda/siendi kazini kwa basi.

4.Mimi sili/hula chakula cha mchana.

5.Mimi hukutana/sikutani na marafiki zangu mjijini.baada ya kazi.

6.Ninapenda/Sipendi kuenda dukani mjini.


Msamiati

Kazi na mahali pa kazi

Unganisha kazi hizi na mahali watu wanazifanya.

daktari

mpiga picha

rubani

baharia

mwanafunzi

mwalimu

mhudumu (a waiter)

mhasibu

1 ofisini

2. katika studio

3 melini

4.kwa ndege

5.

Unafanya kazi /soma wapi?

WORDBUILDING compound nouns

We make compound nouns with two nouns. For example: cheque + book =
cheque book, credit ♦ card = credit card.
1 Do you know these international charities? Who do they help? Check your
answers on page 156.

SM) Save the Children

International Federation

of Red Cross and Red Crescent Societies

Vocabulary

3 Make five sentences with the words in the

change

earn

spend

give

keep

Grammar superlative adjectives

Look at these two sentences. Which sentence compares two things? Which
sentence compares more than two things in a group? j

a Saturn is smaller than Jupiter, b Jupiter is the largest planet in the solar system.

SUPERLATIVE ADJECTIVES

It's the largest planet.

It's the most dangerous place.

Vocabulary
3 Delete the incorrect word in each group.

1 APPEARANCE

beautiful forehead ugly handsome

2 HEIGHT

short tall ugly medium-height

3 HAIR

straight tall fair long

4 CLOTHES

trousers hat T-shirt lips

5 FACE

neck eyebrows nose chin

6 PUT ON YOUR BODY

tattoo make-up chest clothes

INFINITIVE OF PURPOSE

You use the infinitive of purpose to say why you are going to do something:

I'm going to a cafe to meet some friends.

I'm going to London to see a musical.

For further information and practice, see page 166.

9 Work in pairs. Match 1-4 with a-d and make sentences starting with I'm
going to ...

1 buy this book about Martin Scorsese

2 art school
3 play this computer game again

4 the theatre

a to read about his life b to reach level five c to see a play by Shakespeare d to
study painting

Think about your plans. Tell your partner where you are going, when you are
going and why you are going. Use the time expressions and some of

the places.

the cinema the theatre a concert an art gallery a museum another place?

I'm going to the cinema at the weekend to see Johnny Depp's new film.

Work in pairs. Write down three of your future plans. Take turns to tell each
other your plans. Ask your partner for the reason or more details.

I'm going to London tomorrow.

Why are you going?

Speaking and reading

1 Have you got a good memory? Which of these are easy for you to
remember? What techniques do you use to remember them?

• people's names and faces

• directions and addresses

• telephone numbers

• dates and facts in history

• food on shopping lists

• new words in English


4 Afterwards, read the three articles again and compare your notes. Discuss
these questions.

1 How much information did you remember?

2 How much information did the other students remember?

3 Which memory techniques in the articles do you use?

UNIT 8

have got /has got

Form

I Affirmative Negative

l/you/we/they've got (have got) brown eyes. l/you/we/they haven't got (have not
got) any hair.

He/she/it's got (has got) brown eyes. He/she/it hasn't got (has not got) any hair.

Present continuous

Form

Affirmative Negative

I'm (am) working. I'm not (am not) working. —3.3? CAjr

Am 1 working?

You/we/they're (are) working. You/we/they aren't (are not) working.Are


you/we/they working?

He/she/it's (is) working. He/she/it isn't (is not) working. Is he/she/it working?

We do not use the auxiliary do/does with have got. I haven't got a key. (not I
don't have got a key.)
Have you got any money? (not Do you

Present simple

usually, often, every day, once a week, never

Practice

2 Complete the sentences with the present simple or present continuous form of
the verbs.

1 Why arc you wearing (you wear) gloves? Are you cold?

2 I (read) a very good book at

the moment.

3 She (not work) today.

4 (you usually have) a

shower in the morning or the evening?

5 Who (you wait) for?

6 He (not like) wearing hats.

7 It's not a good time to speak. I

(make) dinner.

8 Our cousins (stay) with us

today and tomorrow.

UNIT 9

going to (for plans)

Form

Affirmative Negative
I'm (am) going to see a film. I'm not (am not) going to see a film.

You/we/they're (are) going to see a film. You/we/they aren't (are not) going
to see a film.

He/she/it's (is) going to see a film. He/she/it isn't (is not) going to see a film.

Questions Short answers

Am 1 going to see a film? Yes, 1 am. / No I'm not.

Are you/we/they going to see a film? Yes, you/we/they are. /

No, you/we/they aren't.

Is he/she/it going to see a film? Yes, he/she/it is. /

No, he/she/it isn't.

Use

We use going to to talk about our plans for the future. We're going to watch a
DVD this evening.

With the verb go we can say going to go or going. I’m going to go to out
tonight. = I'm going out tonight.

We often use future time expressions with going to (e.g. next week, tonight,
tomorrow, this evening).

We're moving house next month.

Practice

1 Complete the sentences with going to and these verbs.

come meet not have not pay see

study visit write

We re going to meet Abigail outside the cinema.


at the theatre?

to our party?

a novel next year.

your cousin in

a holiday this summer. French at university next

extra money to see the film

Present continuous for future reference

We can use the present continuous to talk about the future and to make future
arrangements with another person.

I'm meeting my friends at ten.

He isn't working tomorrow.

Where are you eating out tonight?

Infinitive of purpose

Form and use

We can use an infinitive to talk about why we do something. This is called an


infinitive of purpose.

I'm going to Madrid to visit the Prado Museum.

We often use the infinitive of purpose to answer the question Why?

Why are you going to the shop? To get a newspaper.

Practice

2 Complete the answers to these questions with infinitives of purpose. Use these
verbs.

change drive get invite learn make see take


1 Why are you going to get up early tomorrow.

Tojake Ben to the airport.

2 Why is she going to Mexico?

... Spanish.

3 Why are you going to call the doctor's surgery.

the time of my appointment.

4 Why are they going to the cinema early?

good seats.

5 Why are you going to call Jim?

him to dinner.

6 Why are you going to buy apples?

a fruit salad.

7 Why are you going to the art gallery?

_ a photography exhibition.

8 Why are you going to rent a car?

to the coast.

6 A: Have you ever studied / Did you ever study a foreign language?

Yes, \ have/did. I've learned /learned Arabic last year.

A: My husband's a journalist. He s visited/

visited a lot of countries.

B: Have you ever travelled / Did you ever travel

with him?
8 A: Have you won / Did you win a prize in the

dance competition last month?

B: No, I haven’t /didn't, but I had/have had a lot

of fun.

everywhere, somewhere, nowhere

anywhere

G: Are you from France?

V: Actually no, I'm from an island in the Pacific Ocean.

G: New Caledonia?

V: That's right!

R: Err, I have to go. Nice talking to you.

G: Bye Rita. See you later.

V: Bye.

Unit 2

3» 1.8

This photo is by Sarah Leen. It's about people and their possessions. The photo
shows all the plastic objects in this family's house. There are seven people in the
Stow family and they've got hundreds of possessions! I think there are twenty-
two balls, fifty shoes and boots, a sofa, three TVs ...

3M.10

I = Interviewer, A = Andy Torbet


I: Hello. Today, I'm in the north of Scotland. We're at the bottom of a mountain.
It's very beautiful but it's very cold and I'm here with Andy Torbet. Andy, are
you from Scotland?

A: Yes, I am. I'm from Aberdeen.

I: Now Andy, you're a professional climber so you've got a rucksack with you
today. What's always in your rucksack?

A: Well, this is my hat. It's good because it's cold today, but it's also important
when it's hot because of the sun.

I see. And what's this?

It's a first-aid kit. It's always in my rucksack.

Mm. Good idea. And what's that?

It's my camera. I take it everywhere. And these are my climbing boots.

Right. And over there. What are those?

My gloves.

Right, they ARE important today! OK. So we've got everything. Let's start
climbing. Sure. Let's go.

1.17

B: Sorry, a football.

A: Well, the footballs are here.

Are they all black and white?

Err, no. There are also ones for different

football teams. So this one is red and blue for Barcelona.

Is there a red one for Manchester United? No, there isn't... sorry.
Oh. OK, that one, please.

This one?

Yes, please. How much is it?

It's twenty-one euros.

Unit 3

J = Journalist, S = Student

J: Do you have a car in London?

No, I don't. I go everywhere by bicycle. Really? Where do you live?

In the city centre.

Is it expensive?

Yes, it is. Well, the shops are expensive, but there are lots of free places like art
galleries and museums.

Sounds great. Do you like art?

Yes, I do. And I like the theatre. This city has great theatres!

I'm sure. And what do you do?

I'm a student at university and I work in a restaurant at lunchtimes. It's popular


with tourists so it's crowded every day.

So you're very busy! What time do you finish work?

At about three o'clock. After work I go home or in the summer, I go to the parks.
I really like the parks in London. They're beautiful and quiet. I often meet
friends there.

3» 1.22

I = Interviewer, B = Beverley Goodman


I: Today I'm with Beverley Goodman. Beverley, what do you do exactly?

B: I'm a marine archaeologist. I work for National Geographic and I study places
under the sea.

I: Where do you work? In an office?

B: I have one but I don't work in an office very often. I'm usually on a boat or
under

the sea.

I: What time do you start work?

B: Well, it depends. On the boat, I get up at just after five o'clock. I work with a
team of other marine biologists and I meet everyone for breakfast at about
seven- During breakfast, we talk about the c ay After breakfast, I start work. It's
a long

I: Do you work late?

B: On the boats, yes, but I don't finish late

when I'm at home.

I: Do you have a family?

B: Yes, I live with my husband and m\ ut children. Sometimes my children go 0


work with me. They love the boats.

3» 1.26

T = Tourist, G = Guide j{

T: Hello. We'd like to go to the aquarium > near here?

G: It's about fifteen minutes away, bu ^ past some interesting places on the ,
look at this map. Go straight up * “ty Street and then up Marietta Street *
across Spring Street and take the first street on the right. Centennial Olympic
Park is on the corner. It's very nice. Co across the park and on the right there's
the World of

j. Qh, that sounds interesting.

Q: Yes, if is. Go past if and the aquarium is

opposite.

T; Great. Thanks a lot.

Unit 4

♦ 1.27

j Well, in mv tree time I go shopping. I go every Saturday with friends and we


go to the city centre. It's fun!

2 In my free time, I go fishing with my brother. We get up early in the


morning and drive for about two hours. It's quiet and very relaxing.

3 After work, I go to the gym. I go about three times a week. After a long
day with lots of other people, it's nice to go on your own and it's good for you,
of course.

<>1.29

I = Interviewer, N = Norbert Rosing

1: So Norbert, how often do you go to the Arctic?

N: I go once a year.

I: How long do you spend there?

N: I'm sometimes there for a few weeks and sometimes for a few months.

I: Why do you like the Arctic so much?


N: Because it's one of the last places in the world with no human impact. There
aren't many people and no roads ...

I: So how do you travel to these places?

N: I usually travel by car to the end of the road and then I go by snow mobile or
sometimes by boat. And I walk, of course.

I: I love your photos of polar bears. How often do you see them?

N: Between August and November, you see polar bears every day. Also at this
time in the Arctic the sun shines twenty-four hours a day so 1 can work at night.

I: What do you do in your free time?

N: That's a good question! I go out every night so I always sleep during the day.
And I read a book or I often go for a walk. But yes, it's sometimes boring and
you need a lot of patience!

*1.31

T = Travel adviser, S = Student

T: Hello, Gap Year Volunteer Work. Can I help you?

S: Yes, hello. I'd like some information about your gap year jobs. I'm a student
and I want to travel next year. Do you have any interesting volunteer jobs?

T: Sure. We have a job for English teachers.

Are you good at teaching?

& Err. 1 don't know. I can speak English well, but what other jobs are there?

T: Can you write? There's an English newspaper in Bolivia. They need


journalists. But it's for eighteen months.

& No, I can't go for eighteen months. And I'm not very good at writing. Is
there anything else?
T: Do you like animals?

Yes, I love them!

Well, we have a job in Zambia. It s with lion cubs./

S: Wow! That sounds interesting. What s the

job exactly?

You might also like