You are on page 1of 60

Dieudonnee MACKILA ALUMBA NA BUYA

Hatua ya kwanza

Avril 2012

dieudo
KES KES KAY

Kes kes kay Kes kes Nyumba

A Nyumba Nyumba Lele

A Lele Lele Mbayu

A Mbayu Mbay Fundi

A Fundi Fundi Sefu

A Sefu Sefu Tenga

A Tenga Tenga Maziba

A Maziba Maziba Nganga

A Nganga Nganga Batchu

A Batchu Batchu Lwamba

A Lwamba Lwamba Katchetche

A Katchetche Katchetche Ngoy

A Ngoy Ngoy Mwesa

A Mwesa Mwesa Kibali

A Kibali Kibali Jyombo

A Jymbo Jyombo Kenge

A Kenge Kenge Ndoli

A Ndoli Ndoli bô….

PAPA SHUKURU
2
I n g i l i o (Introduction)

Hakika,sijui Kibangubangu. Sasa


mbona naandika haya machache?

Ni kulingana na maombi na mahitaji


ya watu mbalimbali.
Kibangubangu ni lugha ngumu kidogo
na hasa yenyi tofauti mbalimbali. Cha lazima, ni
kuelewana wakati MUBANGUBANGU wowote anaposimulia
na mwengine.
Kazi hii ya mwanzo, tulifikiri
kubakia mu mipaka ya eneo (groupements) ya Bene-
Kabambare, Bazogoni na hata Bene-Kilunguy; hiki, ni
kibangubangu chao kabisa.
Tulitumia maneno mengi sana yenyi
kutumiwa pande hizo na tulijikaza kuepuka ile yenyi
kuchugua lugha zingine.
Tulikuwa na magumu mbalimbali na
hata mara na mara tulishikwa na msangao wa kuona
kama hata wale tulifikiri wanajua lugha hii,
hawaijui kabisa.
Nilisema mwanzo, sijui Kibangubangu
na nasema pia kama sijasoma hata siku moja kitabu
kinachochapwa kwa lugha hii.
Ninajua kama watu watasema mengi kwa
ubaya; nipo tayari kupokea ripoti yao na ni hapo
tu, labda, tutafikia kutumika kazi ili lugha yetu
pia isomwe sawa lugha zingine.
PAPA SHUKURU
3
Kulingana na maombi ya watu wengi,
tulipima kufasiria maneno mojamoja kwa kifaransa
kwa kusaidia wasomaji.
Watu mbalimbali, kwa maongezi,
wametusaidia kwa kazi hii hasa bwana Muhoya
Alinguzo Muchacha, Saidi Mwanangezi Zeus na dada
Bernadeta. Shukrani zetu ziwafikie.
Tunawashukuru pia bwana Kitenge
Rogat, kwa msaada wake juu ya kuendelesha kazi hii,
mabwana Thenghacky na Mathanga kwa mawazo
mbalimbali
Mwandishi.

Kwa wale wote wenyi kupenda kujua


Kibangubangu na hasa watoto wetu wenyi kuheshimu
lugha zingine na kuzarau yao tunaandika haya
machache.

PAPA SHUKURU
4
KAZI ZA KILA SIKU (Activités journalières)

- Ubuuka (kulamuka)se lever, se réveiller.


- Uvala ngubu, usasila (kuvaa nguo) s’habiller.
- Utsumba kwanya (kusukula kinywa) rincer les
dents, brosser, laver la bouche.
- Uta mema u mesu (kusukula uso) laver la figure,
se débarbouiller.
- Uchanuna fuki (kuchanua nywele) peigner.
- Utsumba minyondu na binzu (kusukula vyungu na
vitu) faire la vaisselle, nettoyer les casseroles
et autres ustensiles.
- Ukomba yendi na mafua (kufagia nyumba na mafika)
balayer la maison et la cuisine.
- Ubaza butanda (kutandika kitanda) arranger, faire
le lit.
- Utaha mema (kuchota maji) puiser de l’eau.
- Ukunga mulilu (kuwasha moto) allumer le feu.
- Uvuuja binyaaji (kuchamusha chakula) réchauffer
la nourriture.
- Ukila u mwambu, u masomu, u mwitu, u soku...
(kwenda ku kazi, ku masomo, ku shamba, ku
soko...) aller au service (travail), à l’école,
aux champs, au marché…
- Ukila kuta ndobu (kwenda kulowa) aller à la
pêche.
- Ukeba sombu, uisosobola, ukanga eyu, uitswa na
uiteka (kutafuta sombe, kuichambula, kuikalanga
na kuipika.
PAPA SHUKURU
5
- Uteka binyaaji(kupika chakula) cuir les aliments.
- Uhumuna manghanyi na uta ashaanji na mungwa
(kumimia mafuta, kutia kalanga na chunvi).
- Usosela mulilu (kuchochea moto) : attiser le feu
- Utswa mpunga, uhunyuna isaka (kutwanga mpunga,
kupasula mihindi) piler le paddy, écraser les
maïs.
- Uyowa mema (kuoka maji) : se laver
- Uyeela (kutembeatembea) se promener.
- Utenda na usemba (kuimba na kucheza) chanter et
danser.
- Unyima (kulima) cultiver, sarcler…
- Ushunda (kuhemea) :s’approvisionner
- Ulya (kula) : manger
- Uhoka (kuchoka) : se fatiguer
- Uyoya (kupumzika) : se reposer

PAPA SHUKURU
6
KUAMKIANA (Salutations, accueil)

A B

- Yambi - Yambi
- Moyo - Moyo na bebi
- Wobuuka - Ee, na bebi
(nobuuka)
- Ufulala binyi? - Nifulala bumu ba
- Binyi? - Bumu ba
- Binyi mubili - Shifulala mboo
- Ndji na lufu
(ndjimusumwa)
- Wovuaya - Ee (novuaya)
- Wofumina unyi? - Nofuma umasomu, u
mwitu, u soku…
- Jina lyobi i nani? - Jina lyami i…
- Be (bi) i nani?(ulinani?) - Ndji…
- Ngiayi? - Ndolinzu.
- Onango nangulila muyendi
Kwa kuamkiana, watu wana
kumbatiana na kusema “yambi” (hasa wanawake).
Zaidi ni kusema “moyo” na
maulizo ingine inafwata.

PAPA SHUKURU
7
NDUGU ZA JAMAA (Membres de famille)

- Tata(Baba) : Sha
- Yaya(Mama):Naji
Mfano: 1. Shami (Sha-ami) Baba yangu (mon père)
2. Shayi na Yuyu (Sha-ayi) Maya ya Yuyu
(la mère de Yuyu)
3. Najami (Naji-ami) Mama yangu (ma
mère)
4. Najibana (Naji-bana) Mama ya watoto
(la mère des enfants)
5. Shamwenu, Najamwenu (Sha-ami-mwenu,
Naji-ami-mwenu) Baba yangu mukwe, Mama
yangu mukwe (mon beau-père, ma belle-
mère).
- Mu : mjomba
Mfano: 1. muwetsu (mu-wetsu) mjomba wetu (notre
oncle).
2. muwami (mu-wami) mjomba wangu (mon
oncle).
3. muwenu(mu-wenu) mjomba wenu(votre
oncle).
- Muyuulu : mujuguu (petit-fils, petite-fille).
- Mwaji : mwanamke (bibi) (femme, épouse).
- Mwaji wa mwana : bibi wa mtoto (brue, belle-
fille).
- Munumi : mwanaume (bwana) (mari, homme).
- Munumi wa mwana : bwana wa mtoto (gendre, beau-
fils).

PAPA SHUKURU
8
- Mwiha : mwipwa (neveu, nièce).
- Ngaji : dada (sœur)
Mfano : ngajinami (dada yangu) (ma sœur).
- Nzumi : kaka (frère)
- Muna : mdogo(petit) mfano : munawetsu (muna-
wetsu)mdogo wetu (notre petit frère).
- Muulu(mwataali): mkubwa. Mfano : muulwenu (muulu-
wenu) mkubwa yenu (votre grand
frère).
- Shamwaala (shami-mwaala) ao Shamanusi (shami-
manusi): baba mdogo ,mdogo wa baba (oncle
paternel).
- Najamwaala (najami mwaala) : mama mdogo, mdogo
wa mama (tante
Maternelle).
- Najamanusi (najami manusi) : shangazi, dada wa
Baba (tante
Paternelle).
Angalisho : Watu huweza kupinga fasi moja moja
lakini, wakifikiri zaidi, watajikuta na hata labda
kutupatia sheria.
Kwa desturi, Baba ni Tata na Mama ni
Yaya ; lakini havitumiwe mara na mara na hata ni
kugumu kusikia mtu kusema Tata wa Ayumbasangwa
pahali pa Shayi na Ayumbasangwa.
Ndio kusema, tulivumbua kama Baba ni
« Sha » na Mama ni « Naji ».
Ni vivyo hivyo kwa majina mengine.

PAPA SHUKURU
9
VIUNGO VYA MWILI (Bimanu) (les parties du corps humain)

Yisu otsu minomu-kwanya yahi minyu maboku


ihaza

maulu lwebu mutsu menu

0. mutsu
1. fuki
2. lwebu
3. yisu (mesu)
4. otsu (motsu)
5. tama (matama)
6. kwanya(minomu)
menu na lunyimi)
7. shingu
8. uboku
9. fwihi
10.musuku
11.beeli(mabeeli)
12.embi(maembi)
13.muhozu(mihozu)
14.yahi
15.uwulu
16.minyu
17.ndavi
18.izeva
19.lubanga
20.muhembi
21.aseya
22.manyu
23.zala
24.imbalimbali

PAPA SHUKURU
10
ELEMENTS DU LANGAGE

Maneno yote ya lugha yapatikana lakini


hata neno moja haianze na herufi d, g, q, r, na x.

Tous les éléments du langage (alphabet ;


voyelles, consonnes, diphtongues) existent mais
certaines consonnes ne commencent le mot mais se
retrouvent dans celui-ci. C’est le cas de « d, g,
q, r, et x ».

PARTIES DU DISCOURS

1. Jina (nom) :
Majina zote za jamii na za pekee
hupatikana.
2. Elezo (article): hakuna.
3. Adjectif :
a) Démonstratif ( ya kuonyesha)
- kiki uwingi bibi
- kyekya -=- byebya
- kinu -=- binu

b) Possessif
ami uwingi ami
obi obi
ayi ayi
etsu etsu
enu enu
abu abu

PAPA SHUKURU
11
c) Interrogatif (ya kuuliza)
ayi
d) Numéral Ordinal
Amu bumu (bubeli)
Abili (ibili) bubili
Asatsu (isatsu) busatsu
Anaa (inaa) bunaa
Atano (itano) butano
Mutsuba wamutsuba
Musambo wamusambo
Muanda wamuanda
Itema waitema
Komi wakomi

4. Les Pronoms
a) démonstratifs
yuwu uwingi baba
yowa -=- baba
b) personnels
sujet compléments
(1) (2)
ndji (no) mimi
u (wo) bebi
u (wo) eyu
tsu (tso) batsu
mu (mo) banu
ba (bo) ebu
(1) tendo yenyi kufanyika na kuendelea (forme
continue (être en train de…)

PAPA SHUKURU
12
(2) tendo yenyi kufanyika (forme simple, faire
l’action ou l’action en train de se
terminer).
5. Le verbe (tendo)
Tous les verbes sont précédés du préfixe « u » à
l’infinitif qui disparaît lorsqu’on conjugue en cédant
la place au pronom personnel.
Mfano : ulya (manger)

Indicatif présent (wakati wa sasa)


Affirmative Négative
Nolya Shimulya
Woolya Ndomulya
Wolya Ndemulya
Tsoolya Ndatsumulya
Moolya Ndalumulya
Bolya Ndabamulya

Passé (wakati uliyopita)


Affirmative Négative
Nifulya (nilili) Shifulya (shilili)
Ufulya (ulili) Ndofulya (ndolili)
Ufulya (ulili) Ndefulya (Ndelili)
Tsufulya (tsulili) Ndatsufulya
(ndatsulili)
Mufulya (mulili) Ndamufulya (ndamulili)
Bafulya (balili) Ndabafulya (ndabalili)

PAPA SHUKURU
13
Futur (wakati utakaokuja)

Affirmative Négative
Nalianga Sholya
Walianga Ndolya
Walianga Ndolya
Tswalianga Ndatsoolya
Mwalianga Ndamoolya
Balianga Ndaboolya

Conditionnel (wakati utakaokuja usio mtimilifu)


1) Hetsu + futur simple, présent ou passé
Mfano : hetsu nalianga, hetsu wolya…
2) Pronom personnel + fa + verbe
Mfano : Nifalya, ufakila…
Subjonctif
Mfano : ulya
Nali
Uli
Wali
Tsuli
Muli
Bali
Impératif
Lya, tsuli, muli

6. Interjection
a !aï ! hé ! hi ! ha ! lapa ! ho ! hum !

PAPA SHUKURU
14
MAFUMBO (Proverbes)

1. Uli masungu nda wenu, uli malengi i wenu (Kwenyi


miwa sio kwenu, kwenyi matete ndio kwenu)
- Kwenu ni kwenu tu ingawa hakuna kuzuri (raha).
- Contentez-vous de ce que vous êtes
2. Upata nda ndavi imukamwina hamonga (Kupata mali
siyo mafifino yenyi kujifunga na kujifungua
pamoja).
- Siyo andiko watu wote kutajirika ingawa
wanafanana
- Kupata ni bahati.
3. Munyi iyumbu mavu u ngomu (Mwenyi vita ni vema
akuwe na udongo ku kichoko)
- Ukipenda kusaidiwa, ujipiganishe kwanza mwenyewe.
- Aide-toi avant que les autres n’interviennent.
4. Busungu na munyi londa lishi busungu ngilondalonda
(Uchungu na mwenyi kidonda)
Ona 3.
5. Hamujiila malungu hamulya bibayu (Mweho anakula
wakati mbuga inaunguwa).
- Inafaa kufaulu wakati ukipatikana.
- Il faut profiter de toutes les bonnes situations
(facilités).
6. Abili abili hali ngoji. (Mara mbili inaleta
uchokozi)
- Kukafirisha kunahuzi (Tout excès est nuisible).
7. Ufa ndosuba, usuba ngushaala. (Kufa sio kuteswa,
kuteswa ni kubaki hai).
- Heri kufa kuliko kuteswa.

PAPA SHUKURU
15
- Ceux qui pleurent leur mort sont plus malheureux
que le défunt.
8. Talaja ali muminyu, mwanya mulikamu. (Kupoleza
kenyi ku mikono, mu kinywa muko kitu).
- Un tien vaut mieux que deux tu l’auras.
9. Mbowu na zovu milongu.(Mboko na tembo ni iliku).
- Mtoto wa kwanza ni kama mwenzako.
- Ton fils aîné est comme ton cogénaire
10. Mbowu mu bisambu mawondi mu bisasa.
-
11. Mwanya nda mu yisu. (Mu kinywa sio mu jicho).
-
12. Ulya nguibanga
13. Tshulya nyinyi nangusosobola masangi
14. Muwendo mungoba ngoba

Vifupi tulivyotumia
mf: mfano
o.t.: ona tena
uw. : uwingi
f. : fumbo

PAPA SHUKURU
16
a : herufi bubu. Hutumiwa kwa kugondesha kitu
(diminutif)mf. Asaba. Alama ya kusangaa.
abaaba: kidudu cha mungazi (mchikichi) kutokea
pose(ifwa) uw. Tsubaaba.
Abala : pasa wa kwanza. (premier né des frères jumeaux
ou sœurs jumelles).
abau :- chenyi kuziwiya mulango (verrou) ; pesa yenyi
kutolewa kwa kuruhusu kutowa mauti nje.
Abeja : Mungu. Abejampungu ; Vilinyambi (Dieu).
abenga :shimo ndogo.
abengeli : mtoto mwenyi hakueneza miezi kabla
kuzaliwa(prématuré).
abila (u) : kupana ; o.t. : uhaana (donner)
abili : mbili ; o.t. : ibili (deux). f. Abili abili
ali ngoji.
abombu : kichwa (crâne). Pesa yenyi wajomba wanapewa
kwa kifo cha mwipwa wao.

abula (u): kugawa(nya), (distribuer, partager).


abwanda : sungura(lièvre, lapin). Mtu mjanja (homme
rusé et habile) uw. Tsubwanda.

achinji : kiti kidogo.


afokufoku : popo ndogo huzoweaya kufichama ndani ya
nyasi.

PAPA SHUKURU
17
afutsusey :
ahalu : chombo nchenyi makali sana na hutumiwa kwa
kukata nywele (rasoir, outil très tranchant)
akweki : jina la ndege

âla : likala (braise).


ala : zamani (très longtemps).mf. nifuvuaya ala,
nifufika ala.
alingasoli (angasoli):kwa mfano (par exemple)
aluwulu : satu (boa, python) mf. aluwulu kafumina
mbuji [satu alimeza mbuzi, le python(boa) a avalé une
chèvre.
ama : kipande kidogo cha nyama (très petit morceau de
viande).
Amavuma : kutikuti (tourterelle)
amongolu : jina la ndege (kanyengele)
ambulimbuli: ka kidudu kenyi kuzunguuka ku macho na
leta kelele ku masikio
amu: mukamu, okomu mf. Ufukonona amu limongi
amwishi: kungaa (nyoka yenyi sumu sana)
( serpent très venimeux:noir-jaune)

anaa : ine o.t. inaa (quatre) mf. Ufuta mayuzu anaa

anamata :kitu chenyi kukamata kyenyewe


kukingine(aimant)

anga : kanga o.t. liandji (pintade)

PAPA SHUKURU
18
anjinji : jina la ndege
anyondu : chungu kidogo (petite casserole)
asaasa : ngazi kidogo katikati ya kubwa
asaba : kibuyu kidogo (petite calebasse)
asatsu : tatu o.t. isatsu (trois)
asembi : kakidudu kenyi kuumana sana (kavula nguo)
kasheta (petit insecte dont la piqûre fait très mal).
aseya : kidevu(menton)
aseyi : kisende (écureuil)

ashaanji : kalanga(arachides)
asonyi : kipande cha nyasi
asooja : jina la ndege (nom d’un petit oiseau qui suce
les fleurs)
asoonyi : katindi (talon)
asombola : ganda la musa, kokwa (écorce d’une noix)
asovi : kambale (silure chat)
asulu : nyanya(aubergine)

aswa : njaa kubwa(grande faim)


atsumbaminyondu : buyoka yenyikuwa sawa kikombe (sorte
des champignons)
atundusoku : sokomutu ndogo (une race des chimpanzés
nains)
avava : buyoka ndogondogo yenyi kuota kwa uwingi(sorte
des champignons comestibles)
avizwa : kopo, kilauri (verre, gobelet…)

PAPA SHUKURU
19
awali : kwale (perdrix)
ayi : nini ? (quoi?)
ayombu : midomo nyekundu kama yenyi kuunguwa (lèvres
rouges)
ayozayoza : kuwa mwenyi kushotama(assis sur les
talons)
azakala : tembo ndogo. Mtu munene sana (éléphant nain)
expression :un homme ou une femme de grande taille.

bâ : tele (plein) mf. Uyuja bâ!


Bâla : kufutika, kutoka (disparaître)
baasha(u) : kutosha o.t. ufumisha(enlever, ôter..)
babaata (u) : kupapasa (palper)
bala (u) : kuhesabu(kuhesabia) o.t. ubalika (compter)
balifa : benyi kufa
balija (u): kutangulia mf. Ubalija mabusu (précéder)
balika (u) :kuhesabu o.t. ubala (compter)
banda (u): kupanda mf. Ubanda heulu (grimper, monter)
banga (u) : kukuta mf. Ubanga mu shinda (croiser,
rencontrer en chemin)
bangula (u): kutosha (enlever) mf. Ubangula ivinyu
(extraire une chique)
banunu : wazee(vieux) o.t. mununu
banzu:watu (gens)
baruayi : jina la ndege (bergeronnette)

PAPA SHUKURU
20
bazula (u) : kutandula mf. Ubazula butanda (défaire le
lit)
be :kifupi cha bebi wewe(toi)
bebi : wewe o.t . be ; uw. Banu
bebya : vile (comme cela
beeja(u) :kuuguza (veiller sur un malade)
beeli:liziba (mamelle, seins) mf.unyamwa beeli (têter,
succer le sein)
beja(u) : kugombeza(reprocher) fumbo : ubeja ngehe,
ubeja yeleli bubi
bia(u): kutenda vibaya
Biandambumbu : mbegu ya sawa maharagi
Bibi : hibi (ça, ceci), hivi comme ça, ceci…
Bihulu : mapengo (perte des dents)
Biika (u): kuweka (mettre, placer)
Bija(u) : kutofurahi na chenyi unapewa sababu
kiongezewe (discuter…)
biji : jani (liyani) (feuille)

Bila : gundi ya vitu (tas d’objets)


Bila(u) : kutokota (bouillonner) mf. Mema wobila
Bileela : vizuri bien, en bon état.
Bimanu : viungo vya mwili, (parties du corps)
Biluji : fasi ya makaburi (cimétière)
Binana(u): kugombania
Binga(u): kufukuza(chasser)
Binzu : vitu (choses)
Bishi: mbichi (non mûr)
Bîshi : vidudu (insectes)

PAPA SHUKURU
21
Boba(u): kuivya (chakula) mf. Binyaaji byoboba (être
cuit)
Bohu : mchikichi (mungazi) (palmier) mf. Ushinda bohu
(abattre un palmier)

Bombola(u) : kumenya
bonga(u):kuisha, kufika (terminer, finir, )
Bonga:mwisho (fin, terminus)
Bongola(u): kuumiza (blesser mf.ufunibongola na lweeti
Bongoka(u): kuumia (se blesser) mf. Ubongoka na muchi
Bosi:wote (bote) (tous)
Bowa : buyoka (champignons)

Boya(u):kusema (dire) o.t ; usaula


Buali : bukari mf. Nifulya buali na sombu
Buanga : dawa (remède, produits pharmaceutiques)
buenda : ujana (buyana)(jeunesse)
Bubi : ubaya (mauvais)
Buchi : ubaya zaidi
Buchikya : juzi (avant-hier), kesho kutwa, (après
demain) mf. Nifuvuaya buchikya, nakilanga buchikya (je
suis venu avant-hier, je partirai après-demain)
Bufuku : usiku (busiku) mf.ufuvuaya bufuku mwilu (il
est arrivé en pleine nuit)
bufiji : choyo (égoîsme)
Bugheyi :
Buhala : kukumizi (bégaiement)
Bukulukusu : kumeza bila maji wala supu mf.umina
bukulu-kusu (avaler sans boisson)
PAPA SHUKURU
22
Buloji : ulozi (sorcellerie)
Bulabula : burefu (longueur)
Bula : mbali, zamani (loin, il y a longtemps…)
Bulengi : butoto o.t. buwowo (enfance)
Bulula(u) : kufungula (ouvrir)
Bululu : buchungu (amer)
Buluwu : bunyumba, bukweli (foyer)
Bumi : mzani, nguvu o.t. butangala (force physique)
Bumbula(u) : kuchanua (muhindi, mupunga)
Bunana : yenyi kunata
Buneka : kiuno (hanche)
Buoji : mtego (traquenard, piège…)
Busala : bure, buluma, bila, buchi (nu, sans
condiments)
busangu : nywele mweupe (siyo invi)(cheveux blanc)
Busungu : maumivu (douleur) mf. Uteeja busungu
fumbo : Busungu na munyi londa (c’est le plus concerné
dans une affaire qui doit porter le grand poids)
Buuka(u) : kulamuka (se réveiller) mf. Ubuuka a mweshi
pe (pupu) (se réveiller très tôt le matin)
Buula (u): kutwala
Buunga: peke (seul, solitude) fumbo: Buunga bulimoyu
Buvu : haya (honte)
Buvu : fuluzi (colis)
Buwowo: butoto o.t. bulenge (adolescence)
Buya: buzuri (bon) (beauté)
Buya (u): kutia tumbako ndani ya mudomo (chiquer)
Buyowu:mashika (saison de pluie)
Bwaji : makali (méchant, tranchant) mf. Shami ulibwaji

PAPA SHUKURU
23
Bwehi : jiwe (pierre, caillou) mf. Utasa bwehi (jeter
une pierre)
Bwenda : kesho (demain), jana (hier) mf. Nakilanga
bwenda, nifukila bwenda (j’irai (je partirai) demain,
je suis parti hier)
Bwilibwili : harakaharaka, mbiombio mf. Ulya
bwilibwili (manger rapidement)
Byata : nguvu (fort, haut), binene (gros)
Byose : byote (vyote) (tout)

Chi : nini, asema, hivi (que)


Chiina(u) : kuogopa (craindre, avoir peur) ; mf. China
ndambu limoyu (crainds le lion qui fait peur ; ayez
peur du lion)
Chima : roho (cœur). Mf ; Chima lishimubanda
ndjinyangi(le cœur qui ne se fache pas il est pourri)
Chimbiita(u) : kutingisika (maji) mf. Mema wochimbiita
Chinji : uzembe, uvivu, (paresse)

PAPA SHUKURU
24
eja(u) : kuwaza, kuzani, kufikiri (penser, réfléchir,
raisonner)
Enda : kijana (jeune)
Etsu : pengine, labda (peut-être)
Eyu : yeye (lui)

Fa(u) : kufa (mourir)


Faama (u):kufichama (se cacher)
Fafa : mayini (poumon)
Famisha(u) : kufichika (cacher)
Fangu : tumbako (tabac)
Fichiila : kufinyanga, kukamula (palper)
Fihu : figo (rein)
Fila(u) : kusindikiza, kupeleka (accompagner)
fila(u): kutema(cracher)
fiila(u): kufisha
Fita(u): kugeuka mweusi (noircir)
Fitafita : mweusi (noir)
Fokola(u): kutoa na nguvu ndani ya udongo (extraire
du sous-sol)
Foloka(u) : kujigeuza (se rouler)
fufu: vumbi(poussière), bunga
fukama(u): kupiga magoti(s’agenouiller)
PAPA SHUKURU
25
fukafuka: yenyi kupiga magoti(accroupi, à genoux)
fuki: nywele (cheveux)
Fukika(u): kutulizanisha; mf. Ufukika chima (calmer,
tranquiliser,)
Fula(u): kuchimba (creuser)
Fulufulu : pofu (mousse)
Fuluka(u) : kugeuka (se renverser)
Fulunyuka(u):kugeuka, o.t. fuluka (se tordre)
fuluja(u): kugeuza
fuma(u): kutoka(sortir)
Fumisha(u) : kutosha (faire sortir)
Fumu : mukuki (lance)
Funyuka(u) : kumenyeka mu maji
Funyuna(u) : kumenya mu maji
Funzuka(u) : kuwa mpumbafu, kisekaseka (être hébété)
futsumuna(u) : kuchomoa (nyasi…)(soutirer)
Fuuka(u) : kupona (guérir)
Fwaha : pose, ifwa
fwi : nguvu, mf. Uwata fwi (tenir bon, tenir fort…)
fwihi : tumbo (ventre)

Hababa : wazi (ouvert) mf. Kwanya hababa (bouche


ouverte, bêé)
hagha (u): kuuwa (tuer)
PAPA SHUKURU
26
haja(u): kuomba (demander)
hakika(u): kupakatia
haama(u): kuguwa(grandir)
Hama (u) : kuhama (démenager)
Hamonga : pamoja (ensemble)
Hamba(u) : kufunga (fermer) mf. Uhamba kwanya (fermer
la bouche)
Hamba (amba) (u) : kuteta
Hamisha (u) : kunenepesha, kuguwisha (agrandir, faire
grandir)
Hamisha(u) : kuhamisha (faire déplacer)
Hana(u) : kupana (donner)
Hangula(u) : kupanuwa, kufunguwa wazi sana (léargir,
écarter)
Hangahanu : sasa hivi (tout de suite)
hanu: hapa(ici)
Hanuna(u): kustuka
Hanuina(u): kustukia
hanyuka(u): kustuka(s’étonner)
hasa: lipasa, pacha (jumeau)
Hashi:chini(en bas)
Haza : nje (dehors, extérieur)
Heja(u): kupunguza heshima (dénigrer, ridiculiser,
manquer du respect)
heema(u): kupumua(respirer)
Hengesha(u): kupisha (laisser passer, ouvrir un
passage)
Heulu: juu(en haut)
Hima: pumzi (souffle)
hima(u): kutoka O.T. ufuma(sortir)
PAPA SHUKURU
27
himisha(u): kutosha, O.T. ufumisha(enlever)
Hindji:kipande (morceau)
Hindzwila(u):kurudi (rentrer, revenir)
Hingu : hirizi (amulette)
Hona(u):kuanguka (tomber)
Hoti : jipu (abcès)
Hooka(u) : kuchoka (se fatiguer)
Hoosha(u) : kuchosa (faire fatiguer)
Hosouhosou : harakaharaka o.t. bwilibwili (rapidement)
Hulika(u) : kutungika (pendre)
Hulika(u) : kujipanga jina kwa mtoto (donner son nom à
un nouveau-né)
huluka: kuanguka O.T. uhona(tomber)
hululu: wazi(ouvert)
Humuna(u): kumimia(verser)
hundzu: tundu(trou)
Hunyuna(u): kupasua mihindi ku kino
Husha(u): kuvuisha matoni (laisser tomber les gouttes)
Huya(u): kuwasha (irriter la peau,)
huyungu: muvuke(vapeur)

Iaji: baridi (le froid)


iaji: kingazi (regime de palmier)

PAPA SHUKURU
28
Iba: kipande, kipasu (moitié)
Ibaba:libawa (aile, épaule d’oiseau)
Ibalu: inchi (pays)
Ibangwa:ganda la muti (écorce)
Ibayu:kabemba (épervier)
Ibelu:mulango (porte)
Ibenga : shimo (un trou)
Ibi : mulango wa matete ao miangalala (michela) (porte
en roseau ou en branches de palmier)
Ibili : mbili o.t. abili (deux)
Ibobi : chenyi kuivya (chakula) (cuit)
Ibongi : bunduki o.t. mbuta (fusil)

Iboti : chenyi kuivya (tunda) (mûr)


Ibotoolu : chura (crapaud)

Ibu : munganga (mouche tsé-tsé)

Ibundjila : kibundila (cadet des jumeaux, jumelles)


Ibundzu : kokoto l’udongo
Ichika : kitika (une banane)

Ichimba : kimo (taille)


Ichinji : kiti cha chini (escabau)
Ifu : estomac
Ifumbi : jina la mti
Ifunzuki : kisekaseka (détraqué mental)
PAPA SHUKURU
29
Ihaha : kwasa (poule)

Ihamu : kimo (taille)


Ihama : kihama (igname)
Ihayu : kipara (libala) calvitie
Ihindji : kipande (morceau)
Ihonu : kutopenda kurudu kwenyiunatoka (nomadisme)
Ihuji : jito la mtu (mtu munene na mrefu) ; o.t.
indaaba
Ihulu : lipengo
Ijija : mali yenyi kutolewa kwa wajomba ku kilio cha
mwipwa wao
Ijimungala : kiziwi (sourd)
Ijinga : chicha (nid)

Ilamba : nguo o.t. ngubu (tissu, habit)


Ilimba : mguu wa nyama, ndege… (Patte)
Ilongu : undugu (fraternité, cogénère…)
Ilootu : ndoto (rêve)
Imanu : kiungo (une partie du corps)
Imeshi : kisukulu (termitière)
Imbalimbali : kifua (thorax)
Imbinji : upanga usio makali (vieille machette non
tranchante)

PAPA SHUKURU
30
imunyi : kisisa, fuluzi ya moto yenyi kuwaka (tison de
feu)
Inambu : fisi (hyène)
Inema : kilema (infirme)
Inemu : heshima (respect)
Indaaba : jito la mtu o.t. ihuji (géant)
Indemba : mboga ya majani (lengalenga) (légumes)
Indondoli : jina la ndege
Indzwila(u) : kurudi (rentrer, retourner)
inghonu: kingoromo (ronflement)
Inomu : domo (injures)
Inonu : toni (goutte)
Inyaaji: chakula (nourriture, repas)
Inyanu : kigondo (maigreur, perte de santé)
Inyajya : kidonda kisichopona (plaie incurable)
inyiinu: kasiki(cruche, jarre)
inyimbili: pepo kali yenyi kuzunguuka
inyinga : jina la ndege (pigeon, colombe)

Inyu: kino (mortier)


Indzu: kitu (chose)
Ipuli: mihindi yenyi kupasuka kiisha kukalanga
Isaba: kibuyu (calebasse)
Isabaha: mboga ya majani yenyi buchungu
Isaka: muhindi (maïs)

Isambu : kikundi (groupe, tas)


Isasa:chano
Isatsu:tatu (trois)
PAPA SHUKURU
31
Iseba: ngozi (peau)
Iseli: shina la majani ya mbuka
Isenga : kiazi (patate douce)
Isezelela : gundi ya siafu
isoswa : jani o.t. biji(feuille)

Ishi : kidudu (insecte)

ishimaombela: kidudu cha manyowa (chenille velue)


Ishihi: beberu (bouc)

Ishiilika: kisisa cha moto (morceau de bois en feu)


ishika: mali yenyi kutolewa ku kilio
ishiu: kipwa mf. Ishiu kyokya(saison sèche)
itala: kitunga (panier) mf. Itala(panier plein)

Itata:jasho (sueur) mf. Itata tatsu, munoka (tout


suant)
Itema : kenda (neuf)

Itobi : samaki. Fumbo Kyatswela mu yamba ngitobi

Itoboolu : jina la mti


Itshi : kiti (chaise)
Itsumba : kitumba, maiti (cadavre)
PAPA SHUKURU
32
ivinyu : funza (chique)
ivuuvu : joto, kivukuto (chaleur)
Iwala:shina (mti) wa muhindi ao mpunga (paille de riz,
…)
iwili:mungazi wenyi kutosha pombe
Iyumbu : vita (dispute, guerre…)
Izeva : ndevu (barbe)
Iyozu : muguu wa nyama ao ndege (cuisse d’un animal ou
d’un oiseau
Iyoji : yenyi kukazwa (interdit)
Iyaji : baridi

jeba : feba (jina la ndege) (les passereaux)


Jefu : ndevu ya muhindi

Ji : nzi (mouche)

jiija(u): kuunguza(brûler, incendier)


jiila(u): kuunguwa(être brûlé)
Jiji: nzi (mouches)
Jijimina(u):kupotea (être perdu)
Jijiminya(u): kupoteza (perdre)
Jila: njia, barabara, (route, chemin)

PAPA SHUKURU
33
jinga(u):kutinga, kizunguukia(entourer)
jivi: mwizi(voleur)

juki: nyuki(abeille)

jonda(u): kukimbia(fuir, s’en fuir)


Juna(u): kungowa(kungola)(extirper, arracher du sol)

kaana(u):kukaa,kuikala(habiter, s’asseoir)
kaba(u): kukamula (Presser)
kabemba: ndege yenyi kukamata kuku(épervier)

kakala(u): kukwaa(kukwala)
kala(u): kukata(couper)
kalaba(u): kutambaa(ramper)
kama(u): kukauka(tarir)
Kamuna(u): kukamula(macho)(clognoterles yeux)
kanda(u): kugombeza(gronder), kufukuza ndege kushamba
kanga(u):kukalanga(grier)
kangula(u):kukangula(kusafisha shamba kwa kupanda mara
ingine)
kanya(u): kugombeza(reprocher)
kasa(u): kukauka(sècher)
kayungu: kaingio(tamis)
PAPA SHUKURU
34
kee:kweupe, mweupe
keembi: kadogo (très petit)
Keba(u): kutafuta (chercher)
Kebu : kabuso
keka(u):kukata mboga ya majani
kekela(u): kulia ya kwasa kwa kutagaat
mayayi(cacqueter)
kekebelela (u): ukekela
kekesha(u): kusanika
keneka(u): kucheka ukionyesha meno(sourir)
Kija (u): kupitisha (exagérer, dépasser, faire passer)
Kila (u): kwenda (aller, partir)
Kö : angalisho (alerte)
koji: nzi (mouche)

Kojya (u) : kufagia shamba (apprêter le champs pour le


semis)
Kokwa: kule (là, la bas)
komi: kumi (dix)

Komba(u): kufagia (balayer)

komboloja(u): kukusanya
Konona(u): kukongola(arracher)
konyi: kandege(ndege)(oiseau)

Kosi:kote, (partout)
PAPA SHUKURU
35
Kuli: kuko (il y a)
Kumaana(u):kukutana (rencontrer, se rencontrer)
Kumba(u): kufwata (suivre)
Kumuna(u):kugonga (frapper, cogner)
Kuna:kule (là bas)
Kuna(u):kupanda chakula (planter, semer)
kunama(u): kukunjama(s’incliner)
Kunakuna: yenyi kukunjama(inclinés)
Kunga(u): kukonga moto(allumer)
Kunga(u): kungoroma (mvua)
kunu: huku(ici)
Kutaana(u):kushindwa (être incapable)
kuula(u): kupanguza(essuyer)
kwanya: kinywa(bouche)
kwiki: sulukutu(hibou)
Kwiulika (u) : kujitungika (se pendre)
Kya(u): kucha (se lever) mf. Bufuku bokya(le jour se
lève)
kyala: kiti

kyambuluji: makanvu
Kyati: (avoir des fourmis aux pieds)
Kyovu: kobe (tortue)

PAPA SHUKURU
36
Laba(u): kujaribu (ôser), kupima (essayer)
mf.Nangulaba! N’ôse pas !
Labula(u): kuonja (goutter)
Lagha(u): kuagiza (dire aurevoir)
Lala(u):kulala (dormir)
Lalaba(u): kupagaa (kupakala)
lamba(u): kulambula
lambi: kisuku cha majani
landala(u): kutambala(kidudu)
Langa(u): kufundisha(éduquer)
lasa(u): kutapika(vomir)
Lea(u): kucheza(jouer)
Leka(u): kuacha (laisser
Lela(u): kulea (bercer)
Lelu:leo (aujourd’hui)
lemba(u): kudanganya(tromper)
Lenga(u):
lengi: litete(roseau)
leta(u): kuonja(goutter)
Li(u): kuwa(être)
liandji: kanga ya pori(pintade)
Libaba:libawa (aile, épaule d’oiseau…)
Liibwa(u): kupunjiwa, kuliwa (être escroqué)
Lila(u): kulia (pleurer)
Limba(u):kupundja (rouler quelqu’un dans une négoce)
Lingilija(u): kukafirisha, kupitisha kipimo (exagérer)
Loa(u): kuloka (ensorceler)
Lombu: kifagio (balai)
Londa: kidonda (plaie)
Longa(u) : kutengeneza (arranger, reparer, fabriquer)
PAPA SHUKURU
37
loota(u): kulota(rêver)
lotoka(u): kusinzia(somnoler)
lowa(u); kugawiya (trainer)
Luba(u): kusaahu (oublier)
Lubanga:manga (mâchoire)
Lubaya: kata (petite calebasse pour boire)
Lubaji:kidonda kutokea mapigo ya kitu. Uhanda lubaji
(plaie béante de suite du coup d’un instrument ou
objet).
Lubeji : lungo (van)
Lubilu:mbio (vite, vitesse, rapide, rapidité)
Luendu:safari (voyage)
Lubula(u) : kufaika, kutekula (gagner, tirer
grandement profit)
Lufingichi : kinyongo (caméleon)
Lufu : magonjwa (maladie)
Lufonyo : jina la vitika. (Non des bananes de table)
Luhi : kofi (giffle)
luka(u): kusuka(tisser, tresser)
lulika(u): kusaidia, kuongeza (surplomber, ajouter…),
kunyoosha
lumba(u): kuvuma, kutawala(règner, être populaire)
Lumbata(u): kuwinda (chasser les gibiers)
Lumbu : ndaa (gibecière
Lunga(u): kujibu(répondre)
Lunga: kipande mf. Lunga lya sungu
lungu: mbuka(savane)
lungulula(u): kuongeza kitu ao neno juu ya kingine
Lungumba:muhogo (manioc)
Lunyimi : ulimi (langue)
PAPA SHUKURU
38
Luoji: vita o.t. iyumbu (guerre, bagarre)
Luojimu : lukatalo (kutaa kutumiwa)
Luomba : mwenyi kupiga ngoma (batteur de tam-tam)
Lusa : huruma (pitié)
Lusuku : majani (herbes)
Luteti : lukuni (bois de chauffage)
Luulu : mulima (montagne)
Luyuzu : siku (jour)
Luzu : magonjwa ya tumbo
Lwa(u) : kupigana (se bagarrer, se battre, se
disputer)
Lwaku : vita, magonvi, shali, matata
Lwala : kucha (ongle)
Lwasu : jembe (houe)

Lwata: kilako (natte)


Lwebu: USO (visage, figure)
Lwenyi : akili (intelligence)
Lweti : kisu (couteau)

Lya(u) : kula (manger)

Mabusu : mbele (devant)


Machimba : mawingu (nuages)
Maembi : mabega (épaules)

PAPA SHUKURU
39
Mafuwa : mafika (cuisine, support de la casserole dans
lacuisson
Maha : bumba (argile pour la poterie
Mahamba:matongo (jachères, vieux villages)
Maja : mchezo (danse)
Majinji : wongo (mensonge)
Mala : butumbutumbu (intestins)
Maliba:kabubu (lutte, sport)
Malilu:kilio (deuil)
Malovu: pombe (boisson)
Mamena:manyowa (poils)
Manghanyi:mafuta (huile)
Manyuma : nyuma (derrière)
Masaza : machanja (jeu d’enfants jouant le rôle des
prents
Maseeji: machozi (larmes)
mata:mate(salive)
matembeji : matembele (feuille de patate douce)
mau :nyekundu o.t.mongamonga(rouge vif)
mavu:udongo(la terre, sol)
mayalu:wanawake wengi(polygamie)
mayu:nyao(traces)
mayuba :uhusiano kati ya watoto wanaume na wanawake
(concubinage entre adolescents)
meba:miba(épines)
mema:maji(mema)
mena(u):kuota(germer, pousser)
mena:nyowa(poil) uw. Mamena(poils)
mesu:macho(yeux)
meta(u) : kudumu (durer)
PAPA SHUKURU
40
mihinji:miti ya sombe
mikalabanda:viatu ya miti(chaussures en bois)
milongu:iliku(watu waliozaliwa wakati moja)
mimwemwe:kicheko bila kuonesha meno(sourires)
mina(u):kumeza(avaler)
mobu : shimo yenyi samaki hufichamia(asile des
poissons dans les bords d’un rivière)
mola:mugini(village)
momweta(u):kucheka bila kuonyesha meno(sourire)
mona(u):kuona(voir)
moneka(u): kuonekana(se laisser voir, se faire voir,
s’exposer)
monesha(u): kuonyesha(montrer, indiquer)
monga(u):kuivya(mûrir)
mongamonga: yenyi kuivya, nyekundu, o.t. mau(mûr, d’un
rouge vif)
moyu:woga(peur)
muanda : nane(huit)

mubamba:chongo ya nyasi(pointe d’une paille naissante)


mubangu : mwerevu, mujanja(rusé)
mubili: mwili(corps)
mueji: mutoni(rivière, ruisseau, cours d’eau)

mueyi: makelele(bruit)
muchi: muti(arbre)

muchima: buchu
muchija : kipunja
PAPA SHUKURU
41
mufunzuki: kisekaseka(idiot, voyou)
mufwaha: mufupa

muhaji: mwiko
muhehi: pepo(vent)
muhela:chui(muhela)

muhembi: pua(nez)
muhinu: mukoshi(malchance)
muhoku: muchoko(fatigue)
muhonu : jina la mti
muhozu: mukombokolo(jambe mince)
muhuya: sauti(voix)
muji :muzizi(racine)
mujiku: muzigo(colis, bagage)
mujimba: giza(ténèbre, obscurité)
mukiya: ugali wa muhogo(pâte cuite de la farine de
manioc)
muku: jogoo(coq)

mukuku: jina la ndege


mukoka: muchoko(faigue)
mukoku : kondoo(mouton)

mukoshi: muhinu(grand malheur, grande malchance)


mukomba: jani la mugomba lenyi hufungia tumbako ya
bunga(l’emballage du tabac à chiquer)

PAPA SHUKURU
42
mukongoboku: mchezo wenyi wamoja wanaimba na wengine
wanacheza
mukwaka: mugomba(bananier)
mukwisa: upele(gâle)
mula (mulamula):mrefu grand de taille, long
mulemba:kivuli(ombre)
mulenga : mchikichi usio na ginsi ya kupandia(vieux
palmiers sans crochets)
muleji : mulezi (berceur(se))
mulolu :jina la nyoka(genre de serpent non venimeux)
mulongu :msaafa, musululu,namba(rangée)
muloyi : mwenyi kulokewa(ensorcelé)
mulwaha : damu(sang)
muma :hamu, huba (soif)
mumi :umande(rosée)
mumonu ::pesa, franka,makuta (argent)
munomu :mudomo(lèvre)
munda :ndani (dans, dedans), tumbo(sungu munda : mal
au ventre)
mundzu :mutu(être humain)
mungwa :chunvi(sel)
munumi :bwana, mwanaume(mari, époux)
mughenyi :mugeni(hote, visiteur, étranger)
munyenyi :munyao( grande fourmi noire)
munyondu :chungu(casserole)
munyimu :mingi(nombreux, plusieurs, grand nombre)
munyinyi :mboka
munyiindzu :mwenyewe(propriétaire)
munyima :popo(grande chauve-souris)
munyumu :kisuku(busuku)(mwambe de palme)
PAPA SHUKURU
43
muongu :mugongo(dos)
muovu :mukovu(cicatrice)
mupunga :mupunga(paddy, riz)

musaasa :kosakosa(crevette)
musau :habari(annonce, message, nouvelle,dépêche…)
musaki :bahati nzuri chance
musaku :machasa(pâte des résidus du maïs pilé)
musambi : njia ndogo (sentier)
musambo :saba(sept)

musuku : kitofu(nombril)
musoji :moyo
musoli : esole(moineau)

musungwa :hadisi(conte)
mushanda : kukwa, musa(noix)
mushaali :muchezo wa wajomba ku kilio cha mwipwa wao
mushenenu :butelezi(glissant)
mushengya :muchanga(sable)
mushiitu :kupiga jiwe chini kwa hasira ukitamka maneno
mushii :yatima(veuve, veuf, orphelin…)
mushululu : lutuba(pâte d’arachide)
musweela :mujusi(lézard, gecko)

muswa :muchwa (termite)

muswaangi :chura cha maji(grenouille)


PAPA SHUKURU
44
mutamba :jina la samaki mf. Mutamba wa lyokulyoku

mutaku :uguruguru wa fujo. mf. Mutaku wa musaswila


dérangement exagéré et sans cause)
mutendi :kimo, urefu(grand taille)
muteu :mutego(piège)

mutembu : maiti(cadavre)
mutongu :wema, huruma ya zaidi(compassion)
mutu :majifu(cendre)
mutsu : kichwa(tête)
mutsubula :tundu(shimo) ya panya ao nyama(refuge d’un
animal)
muwoji :lukamba(corde)
muyungu :ziwa o.t. temba(partie très profonde d’une
rivière
muyuulu :mujuguu(petit-fils, petite-fille)
mbaji : siafu(fourmi rouge)
mbelesi :mende(cancrelat)
mbemba :jina la buyoka(espèce de champignon
comestible)
mbesi :upupu (gousse dont les poils chatouillent)
mbevu : panzi ya mihindi (criquets)
mboo :vizuri o.t. bileela(bien)
mbowu :mboko(buffle)
mbuji :mbuzi(chèvre)

PAPA SHUKURU
45
mbuku : panya wa pori(rat sauvage)

mbunzu :bikelekele ;uta mbunzu :acclamer par les mains


appliquées à la bouche
mbuwila :ukuta(mur)
mbwa : mbwa (chien)

mbwaha :nyanya o.t. asulu(aubergine)


mbwela : uzembe, uvivu(paresse, négligence, lenteur)
mwaaji : mwanamuke, bibi(épouse, conjointe, femme)
mwambu : kazi(kazi, job, boulot, emploi, service)
mwana :mtoto(enfant)
mwataali :mkubwa(aîné, grand, supérieur)
mwehi : mbu (moustique)
mweji : mwezi (lune)
mwengengi :mwangaza(éclairage, lumière)
mweshi :asubui (matin), kwenda kuomba kitu kwa mutu
kwa kumaliza neno fulani
mwiha :mwipwa(neveu, nièce)
mwila :mkia (queue)
mwishi :moshi(fumée)
mwishi :mutwangio(pilon)
mwitu :pori(forêt). Nokila u mwitu(je vais à la forêt,
au champs…)
mwovu : mukovu

PAPA SHUKURU
46
na(u):kuwa na (avoir)
namaana(u): kukamatana (être collé, soudé)
namata(u): kukamata kwa kitu ku kingine
namununa(u) : kuachanisha(séparer)
nanaana(u):kuwa na kazi, (être occupé)
nema(u): kuwa na uzito(peser)
noka(u): kuvuya(tomber par goutte)
nona(u):1.kutoka mafuta(bien engraissé) 2. kunowa
(éguiser)
nunuka(u): kuzeeka(vieillir)
ndanda: mawe yenyi kufwatana(succession des pierres
lisses)
ndavi: mafifino(sourcils)
ndakuli: hakuna (il n’ y a pas)
ndambu: simba(lion)

ndeji:
ndekya: matope(boue)
ndeti : kuni(bois de chauffage)
ndobu: ndoani(hameçon)

ndoji: mulozi(sorcier)
ndolwela :jina la kidudu(une chenille

ndomba: fujo, shali, maneno, vita. lelu hali ndomba.


ngaku: uchafu wa pembeni ya kinywa

PAPA SHUKURU
47
ngalaaja: chenyi kutembea juu ya miguu(véhicule,
train, vélo, moto…)
ngala: lipondo(crabe)

ngalanga : asiesikia (sourd)


ngamba: makako mweusi(singe noir)
nghamba:ganda ya makese(coquille)
nghaza : mbuka (savane)
nghona(u):kungoroma (ronfler)
nghana(u):
nghanya(u): féliciter
ngelenya :
ngenyi:
nghandzu: mamba(crocodile)
ngima: makako(singe)

ngoji: buchokozi(provocation)
ngolu:kasiki o.t. inyiinu (récipient en terre cuite)
ngomu: kichoko
ngondu: pembeni (à côté, bwikalio…
ngubu: nguo (habit, vêtement)
ngulungu: pongo (antiloppe)
ngumba: gumba (coude)
nguvungu: burikoko
ngwaya: mchezo wa kuzunguuka na mtu moja kati na
anachagua mwenyi anapenda na vivihivi…
nyamana(u):kusimama (se mettre debout)
nyamwa(u): kunyonya (têter)
nyamwisha(u): kunyonyesha (faire têter, alaiter))

PAPA SHUKURU
48
nyana(u):kugonda (maigrir)
nyanga (u) : kuoza (pourir)
nyajia(u):kuozesha
nyengheni: bunyengelele
nyima(u): kulima (cultiver, sarcler…)
nyunga(u):kuzunguuka (tourner)
nyunga(u):kunuka ( donner l’odeur, exaler …)
nyomoka(u): kuvuka (traverser)
nyomona(u):kuepua,kutowa mu shimo (faire sortir de…)
nyonyomona (u):kunyoa (enlever les poils ou les
plumes…)
nywa(u):kunywa, kunyesha( boire), (pleuvoir)
nywema:pori (forêt dense)

onyi: kandege (oiseau)

osu: panya(souris, rat)

otchi : pigeon
otsu: sikio(oreille)

PAPA SHUKURU
49
pa :nguvu (force) mf. Bali pa : ils sont forts.
Papuka(u) :kupotea mbali
Pe :asubui (tôt)
Pulukusha(u) : prévenir
Pupama(u) : kupiga mabawa
pupu :asubi sana (très tôt le matin)
pyo :mwisho(fin, fini)
pyu : nyekundu o.t. mau

sabaana(u) :kumwagika (se renverser…)


sabula(u) :kusenga (vider l’eau soit d’un étang ou
d’un ruisseau pour attraper du poi0
saha(u): kuchuna (dépecer)
saha: butamu(sucré)
saaja (u): kuchokoza(provoquer)
sala (u): kushuka, kusambaza(moto) (descendre,
disperser une matère en flamme)
sambaaja (u): kusambaza((éparpiller, dispercer..)
sambaanya (u): kuchanga (mélanger, mettre ensemble)
samiina(u):kunyesha kidogokidogo (pleuviner)
sanya(u): kupasula (déchirer)
sanyika (u): kupasuka(être déchiré)
PAPA SHUKURU
50
sanyika (u): kusanika(être déchiré)
saula(u): kusema(dire, parler)o.t. uboya
saula(u): kupinda kilako(plier les bords d’une natte à
la tresse)
sawila(u): kuambia, kueleza (informer, dire)
sazula(u):kutayarisha shamba kwa kupanda mara ingine
seha(u): kucheka(rire)
seki: chenga
seelela(u): kufurahi, kuchekelea (se moquer de …)
semba(u): kucheza(danser)
sengenenena(u):kukutiwa, kukutanika(être rencontré)
sobola(u): kuchagua (choisir)
sokola(u):kuchomola, kungola kwa nguvu (arracher)
sombu: sombe (pondu), (feuille de manioc)
somona(u):kuuma na mudomo (kuku, bata, ndege)(picoter)
songa(u): kuowa o.t. uweela (épouser)
songola(u): kuchumbia (fiancer)
songu:chongo (pointe)
sonyi:nyasi (paille)
sosobola:kuchambula (sombe…)
sosela(u) :kuchochea(kuni..) (attiser)
suba(u) :kuteswa(souffrir)
subuka(u): kuharibika kwa mimea bila kuilimia(se dit
d’une plantation ou champs non entretenu)
suma(u): kuluma(mordre)
sumuka(u): kutembea(marcher)
sumwa(u): kuumwa(avoir des douleurs)
suna(u):kukoyola (uriner)
sunga(u):kushota (montrer, indiquer, doigter)
sungalala(u):kutungikwa (suspendu)
PAPA SHUKURU
51
sungu:muwa (canne à sucre)
sungu:uchungu, mateso, (souffrance)
sungula(u) : kushauria (conseiller)
sungu-lengi:muwa tete (canne à sucre naine)
susa(u): kuvuya(suinter)
shaala(u): kubakia(rester)
shabana:baba (wa watoto)
sheka(u):kusangaa(s’exclamer; s’étonner)
shelumuka(u): kutereza(glisser)
shenda(u): kuyamba (faire le grand besoin)
shia(u):kuacha (laisser)
shia : mtindo wa samaki (éspèce des poisons)
shiilika(u): kuchuya (s’user)
shika(u): kuima (refuser de donner)
shika : mwanamuke femme)
shimata(u): kukamata (coller)
shimika(u): kusimamisha
shinda:njia (route)
shindjija(u):kusindikiza (accompagner)
shingu:shingo (cou)
shingwa(u):kubembeleza, kukataza
shinzulu:
shooka(u): kupona na hatari (éviter un danger)
swaha: iswa (termite)

ta(u): kupiga (taper, frapper)


ta(u): kufanya, kutia (faire)
PAPA SHUKURU
52
taana:kuita (appeler)
taba: karibu (près)
tabi:tawi (branche)
tabika(u): kuchofeka (tremper dans la sauce)
tabuka(u): kuitika(répondre à un appel, accepter)
takika(u): kusukuma (pousser, bousculer)
talaja(u): kupoza(kupoleza chakula)
talala(u): kupola(moto)
tama: chafu (joue)
tambaana(u):kupitapita (aller çà et là, vagabonder)
tambula(u): kupokea (recevoir)
tambunyuka(u): kutambuka, kuvuka (traverser)
tanda(u): kupangana
tandaja(u): kutonyesha
tanya(u): kuvunja (écraser)
tanzuka(u): kuvuka (traverser)
tasa(u): kutupa(jeter)
tata(u):kutoka jasho (suer, transpirer)
tatsubula(u): kukokota (tirer,)
tea(u):kuteka (puiser)
teeja(u): kusikia (écouter, entendre)
teeka(u): kuikalisha (asseoir)
teba(u): kulowana (être mouillé)
tejuteju: polepole (lentement)
teka(u): kupika (chakula) (cuire)
temu: shoka (hache)

temuna(u):kuwasha(moto)(allumer)
temba: ziwa
PAPA SHUKURU
53
temba(u): kukata (couper)
tenda(u): kuimba (chanter)
tendeka(u): kutwika
tenga(u): kutingisha (agiter)
tengeshaha(u): kutingisika (s’agiter)
tengu: uji
tenzula : kutua (aider qqn à se débarrasser de son
bagage)
tevya(u): kulowanisha (mouiller)
toba(u): kukolea
tobela(u): kukolea
tohu: pori (forêt)
tooka(u): kutakata, kungara
tokatoka: mweupe (blanc)
toloka(u): kukomala(mumea)(se dit de mûrir pour une
plante)
toma(u): kuvuta (fumer)
tondola(u): kulokota(ramasser)
tondoshi: pono
tonga(u):kulalamika kwa uchungu wa ugonjwa (gémir)
tongu : shamba la ngazi, makao ya zamani (jachère,
village abandonné)
tooma (u): kuikala (s’asseoir)
tota(u): kuzala(accoucher)
tsoka: michango (vers intestinaux)
tswaala(u): kubeba (porter, transporter)
tsua(u): kusenga
tsubuka(u): kuwina, kufaulu
tsubula(u): kutobola shimo
tsulu:busingizi
PAPA SHUKURU
54
tsulula(u): kusukuma, kuchonganisha
tswa(u): kutwanga (piler)
tsumina:makamasi (morve)
tsumba(u): kusukula(nettoyer)
tsungula(u): kubeba (porter, transporter)
tsuna(u):kukana (nier)
tsunzula(u):
tsunzulu: yenyi kuwa chini, yenyi kulala
tsungumuka(u): kuzimia (agonir)
tsungunyuka(u): kutembea sawa mwenyi kuteguka
tsunguuta(u): kujionyesha
tsubula(u): kufungula shimo
tsweembi: kidogo (peu)
tsweela(u): kuingia (entrer)
tsweeja(u): kuingiza (faire entrer)
tsuvi: mavi (excréments)
tswika(u): kuunguza, kuchoma moto (incendier)
tshita(u):kupika o.t. uzubila (taper, battre)

ula: mbali (loin)


uluungwa: mbali sana (très loin)
uma: yenyi nguvu (dur)
unda:shamba(champs)
unyi?:wapi? (Où ?)
uwulu :muguu (jambe)
uyuulu : juu (haut)
PAPA SHUKURU
55
vihi :invi (cheveux blancs)
vilimija(u):kusahau (oublier)
Vilinyambi: Mungu o.t. Abejapungu (Dieu)
vinana(u):kuzidika (se multiplier)
visha(u): kuleta (amener, apporter)
viza(u): kupima(pombe, maji…) (mesurer s’agissant d’un
liquide, transvaser)
vuaya(u): kuja (venir)
vuika(u): kuisha, kumalizika (s’épuiser)
vuba(u): kutumika (travailler)
vula: nvua (pluie)
vumba: harufu (odeur)
vumbuka(u): kuruka (voler, s‘agissant des oiseaux)
vundaana(u):kuharibisha
vundaanya: uharibivu
vundeenya: fujo
vunga(u):kukunja (plier)
vunga-manyu: katamilomo, kituliro (corruption)
vungula(u): kugombana
vuuja(u): kuchamusha (chauffer)
vuya(u): kumaliza (terminer)

PAPA SHUKURU
56
wata(u): kukamata (attraper)
wayumu:peke,o.t. buunga (seul)
weja(u): kuweza (être capable)
wee: kimya (silencieux)
weeja(u): kuowesha (donner en mariage)
weela(u): kuowa (prende en mariage)
welibwa(u): kuolewa (être mariée)
woloka(u): kunyoloka(sallonger)
wolola(u): kunyolosha (allonger)
womba(u): kupika ngoma (battre le tambour, le tam-tam)
womba: jina la ndege
wondi: ndizi (banane)
wonda(u):kupana mali kwa bibi (doter)
wose: yote (tout)
woya(u): kuzola (amasser)
wunda(u): kunyamaza ( se taire)

yaba(u): kulalamika, kulia (crier)


yabika(u): kulobeka, kutia mu maji (tremper)
yabila(u):kuchuma (cueillir)
yabila(u):kulalamikia
yachila(u):kukanyaka (piétiner)

PAPA SHUKURU
57
yahi:kikanyako pied)
yaja(u):kuuwisha
yala:gumba (pouce)
yalala :zalala (fosse à ordures)
yalama(u):kuhatamia,kuikala ndani ya nyumba siku
nyingi bila kutoka nje(kilio, magumu…)(couver)
yasa(u): kukandika
yasula(u): kucheua (éternuer)
yaya: mama (maman, mère)
yazu : forge
yela(u): kuchoma (cuire)
yeela(u): kutembea(se promener)
yeeja(u): kuregeza (déserrer)
yeja(u): kuangalia(regarder)
yemba: yenyi kutungikwa (ce qui est pendu, suspendu)
yembama (u): être suspendu à…)
yendi: nyumba (maison)
yengemena(u):kuchungulia (épier)
yezula(u): kufungula (ouvrir)
yihi: yayi (oeuf) uw. Mayi (oeufs)
yiila(u): kupalia (sarcler)
yija(u): kukawia (traîner, faire longtemps)
yili(u):kujua o.t. uyuka (savoir)
yisu: jicho(oeil) uw. Mesu (yeux)
yola(u): kusema(parler)
yonga:konokono(escargot)
yowa(u): kuoka(se laver)
yowa: yule(celui-la, celle-la)
yowesha(u): kuosha(laver)
yowola: mangaribi(soir)
PAPA SHUKURU
58
yoya(u): kupumzika(se reposer)
yozama(u): kushotama(s’accroupir)
yozayoza: yenyi kushotama (accroupis)
yuba (u) : kumenya (ôter l’écorce) mf.uyuba wondi
yuba: jua(soleil)
yubonga : mwengine o.t. yungi
yubu: ngozi o.t. iseba(peau)
yuja(u): kujaza(remplir)
yungu : mwengine
yuuja(u): kuuliza(demander, questionner)
yuka(u): kujua (connaître, savoir)
yuwu: huyu(celui-ci, celle-ci)

zaala: kisekaseka(détraqué)
zala: kucha(ongle)
zala: njaa(faim)
zala(u): kuzaa o.t. utota(mettre au monde)
zaji: radi(foudre)
zeza(u): kutetemeka(trembler)
zoolu: kuku(poule, coq)
zovu: tembo(élephant)
zu: wima(débout)
zubila(u): kupiga(taper, battre, frapper)

PAPA SHUKURU
59
KES KES KAY .................................................................................................................................. 2
I n g i l i o (Introduction) ........................................................................................................... 3
KAZI ZA KILA SIKU (Activités journalières) ..................................................................... 5
KUAMKIANA (Salutations, accueil) ........................................................................................ 7
NDUGU ZA JAMAA (Membres de famille) .......................................................................... 8
VIUNGO VYA MWILI (Bimanu) (les parties du corps humain) ................................... 10
ELEMENTS DU LANGAGE ....................................................................................................... 11
PARTIES DU DISCOURS ......................................................................................................... 11
1. Jina (nom) : ................................................................................................................. 11
2. Elezo (article): hakuna. .................................................................................... 11
3. Adjectif : ...................................................................................................................... 11
a) Démonstratif ( ya kuonyesha) ................................................................... 11
b) Possessif ..................................................................................................................... 11
c) Interrogatif (ya kuuliza) ............................................................................... 12
d) Numéral ..................................................................................................................... 12
4. Les Pronoms.................................................................................................................... 12
a) démonstratifs ....................................................................................................... 12
b) personnels .............................................................................................................. 12
5. Le verbe (tendo)........................................................................................................ 13
Indicatif présent (wakati wa sasa) ................................................................ 13
Passé (wakati uliyopita) ........................................................................................ 13
Futur (wakati utakaokuja) ...................................................................................... 14
Conditionnel (wakati utakaokuja usio mtimilifu) ................................. 14
Subjonctif .......................................................................................................................... 14
Impératif ............................................................................................................................ 14
6. Interjection ............................................................................................................. 14
MAFUMBO (Proverbes) ............................................................................................................ 15

PAPA SHUKURU
60

You might also like