You are on page 1of 1

PAGE D'ACCUEIL SWAHILI M AISHA YANGU ÉVANGÉLISATION ÉDUCATION SOINS M ÉDICAUX DÉVELOPPEM ENT M ÉDAILLES D'HONNEUR M IKEREREZI

INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR. BULANGALIRE RUHIGITA

RUHIGITA NDAGORA BUGWIKA

MAISHA YANGU
Publication de Sadi Asbl 180 Av. Lumumba BP. 200 Bukavu-RDC

INGILIO

Labda katika ka maïsha yako ulipata kusikia habari juu ya muchungaji Ruhigita. Mujengaji wa maendeleo uko kwa Afrika ya kati, alimtumikiya Mungu
maïsha yake yote. Serikali ya inchi yake ilimuechimu ingawapo hata siku moja akuingia katika mambo ya siasa. Wakubwa wa inchi yake walifika kupata
shauri kwake na hata kabla ya kuhamishwa alipokeya médaille kubwa en titre postume kama mtu aliyefanya mengi kwa ajili ya inshi yake.

Watu wa Congo wânamuechimu sana. Wengi walipata kujifunza, kutunzwa ki mwili na kiroho ao kupata hekima kutoka miradi mbali mbali aliyoiunda.
Maïsha yake yote alipigania haki, maendeleo na ukombozi wa Africa na ya waafrica. Alikuwa nani? Ametoka wapi? Kwa nini ametumika tafauti na wengine?
Namna gani ameelewa biblia na kutumika Mungu? Sababu gani maranyingi watu wameshindwa kumuelewa?

Ni kwa maulizo haya, kwa mukono wake mwenyewe, bila kugeuza wala kusairicha chochote, ndipo kitabu hiki kinajibu.Kimetengenezwa kwa ukubusho ya
miaka kumi ya kupumuzika kwake karibu na Mungu aliyemupenda kupita yote. Hiyo ni lazimisho ya sheria. Tumaïni kwamba kitabo kitaleta nuru kwa wale
wanao endeleza kazi alizoziasha, ili wa sipotoke na kukosa kufikilia.

Utumisi wake ni matunda kutoka wokovu wake na namna aliielewa Biblia, kitabu cha Mungu. Mungu aliubariki na kumufunguliya mambo mengi. Hata saa
yake ya kuacha ndunia alipata neema kubwa ya kuhifahamu. Ni kati ka maombi y a shukurani na kutaja jina la mwokozi wake yesu aliyemupokeya ndipo
ametuaga. Kitabu hiki kimeachwa kwa meza ya office yake nyumbani mwake. Kama tafusiri y a maïcha yake, nyumba ile itakuwa nyumba y a wokovu na ya
uponyaji. Ameacha vitabu vingine kama vile Historia ya 8ème CEPZA, Doctrine ya 8*™ CEPZA na kitabu kizuri kinasho mafundicho ya biblia aliyoyafanya.

Pole pole tutazitumika na kuziweka mikononi mwenu. Tafusiri ya vitabu hivi kwa lunga za kifransa na kifuliiru zitafanyika. Hi sote tupate kubarikiwa na
maneno y a muchungaji.

DIBAJI

Maandiko haya nime yafanya kusudi watu wa jamaa langu na uzao zao waeleze mimi ni nani na viievile jinsi nilivyookoka na kazi niliyoitenda maishani
mwangu katika shamba la Mungu. Viievile, wafuasi wa makanisa yetu wapate ukumbuko ya kazi tulizozitenda. Bwana Mungu, yesu kristo na roho mtakatifu
awatiye nuru na mibaraka kwa kitabu hiki kidogo. Na amani kwa kila atakaye kisoma

Leo siku 16/10/1993 Rév. RUHIGITA NDAGORA BUGWIKA

INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR. BULANGALIRE RUHIGITA

Cliquez ici pour partager ce que vous connaissez sur les Réalisations de RéV. Ruhigita
Project de Compilation Des Différentes Contributions de Défunt Rév. Jean Ruhigita NDAGORA

You might also like