You are on page 1of 2

PAGE D'ACCUEIL SWAHILI M AISHA YANGU ÉVANGÉLISATION ÉDUCATION SOINS M ÉDICAUX DÉVELOPPEM ENT M ÉDAILLES D'HONNEUR M IKEREREZI

INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR. BULANGALIRE RUHIGITA

HATIMAYE
Conclusion
57

Katika ile myaka yote tulimtumikia Mungu, tulijengwa na kufarijiwa na mambo haya :

1. Kuona vile kazi ya Mungu ilivyoota na kusonga mbele, kila mwaka. Watu wengi walipokea Bwana yesu Kristo kuwa Mwokozi wao, mkombozi, Bwana
Mfalme wao. Tena wengi wao walipokea ubatizo kwa Roho Mtakatifu.

2. Bwana Yesu alizibitisha neno lake kwa ishara mingi : wagonjwa waliponywa kwa wingi hasa wenye pepo chafu waliwekwa hum na yesu Kristo.

3. Wale walioamini uchawi, tena wakubwa wa kazi hizo waliokoka na kupokea wokovu.

4. Uamsho uliingia kwa mashule yetu nafasi mingi hadi kw Universtité za Zaire kulitokea cellule za maombi. Vijana wanajitowa kwake Mungu. Katika
wanasheria (Avocats) watatu waliokoka na wanaendelea kulishuhudiya jina lake Yesu Kristo.

5. Shamba la Injili lilipanuka na Injili ya pentecôte ilipelekwa kwa Majimbo kenda (09) ya Zaire. Tulituma missionnaires Marko Assani huko tanzania.
East ya Zaire. Kazi za kutunza wagonjwa na za ujamaa ziliendelea mbele mhali pote kwa maendeleo ya taifa letu.

6. Kuona "Université Evangélique en Afrique" U.E.A. pale Panzi ni Ushindo wa Msalaba wa Yesu Kristo kwa Zaire na Afrika vilevile
59

« Shikeni sana kile mlicho nacho asije mtu akaitwae taji lenu. » Bwana alibariki kanisa lake na aliongezee Imani katika vyote.

MATUNDA YA KAZI

1. Rapports ya makanisa 1992 - 1993 :


2. Kazi ya Kiganga: Hopitali mbili na vituo 35 vya kutunzia wagonjwa
3. Masomo :

a) Shule za msingi 313


a) Shule za msingi 313
b) Shule ya segondari 100
c) Shule za Biblia 14
d) wanafunzi 345.700

4. Foyers sociaux 62

5. I.S.T.E.Ki (miaka tatu ya graduât na miaka mbili ya licence)

6. UniversitéEvangélique en Afrique, ambayo ina kuwa na facultés inné :

-Théologie et Sciences religieuses


- Sciences Agronomiques et Environnement
- Sciences Economiques
- Médecine et santé communautaire

Huo ndio ushindi wa Msalaba kweli kweli.

60

Mwisho

Kiisha hayo matunda yote kazini muda wa miaka 33, serkali ya inci yetu ya Zaire, ikanitolea médailles kama hizi :
Dignitaire : -Médaille d'Or mwaka wa 1968

 Officier de l'Ordre National du Zaire mwaka wa 1981


 Commandeur de l'Ordre National du Leopard 1991

Sifa na shukrani ziwe kwa Bwana Yesu Kristo, Na kwa Baba Mungu. Bwana ndiye mchungaji mwema. Alituchunga wakati huo woote.

ASIFIWE!

61

INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR. BULANGALIRE RUHIGITA

Cliquez ici pour partager ce que vous connaissez sur les Réalisations de RéV. Ruhigita
Project de Compilation Des Différentes Contributions de Défunt Rév. Jean Ruhigita NDAGORA

You might also like