You are on page 1of 27

Msingi

ULISHAJI WA WATOTO

Idda Katigula - 0713439898


Utangulizi
MTOTO KUJILISHA MWENYEWE

Hapa mtoto anapewa vyakula


anavyoweza kushika na kula
mwenyewe.

Idda Katigula - 0713439898


Tofauti
Kula Mwenyewe vs
Kumlisha
Aina Faida Hasara

- Mwanzoni anakula kidogo.


- Mtoto anakula anachopenda
- Mtoto atachafuka.
- Motor skills zinakua.
- Wazazi wanaweza wasielewe.
Mtoto Kulishwa - Anajifunza sensory mapema.
- Inalazimu kubadili ratiba ya mlo
- Anatumia vyakula vya
ya nyumbani.
Familia
- Gagging hutokea sana.

Idda Katigula - 0713439898


Tofauti
Kula Mwenyewe vs
Kumlisha
Aina Faida Hasara

- Mwanzoni anakula kidogo.


- Unajua kiasi anachokula. - Mtoto atachafuka.
- Mtoto Hachafuki. - Wazazi wanaweza
Mtoto Kula Mwenyewe - Mtoto anapata madini wasielewe.
chuma kwa wingi kwa - Inalazimu kubadili ratiba ya
urahisi. mlo ya nyumbani.
- Gagging hutokea sana.

Idda Katigula - 0713439898


Chakula

ULAINI NA UMRI
Ni vyema kubadilisha ulaini wa chakula
kadri mtoto anavyokua ili asichoke
chakula.

Idda Katigula - 0713439898


Utayari
VIASHIRIA VYA MTOTO KULA
MWENYEWE
Anafuata kijiko anapokiona
Anashika kijiko unapompa chakula
Anakataa kula vyakula vilivyosagwa
Haoneshi uhitaji wa kutaka kula chakula ulichoandaa
Anachukua chakula mwenyewe kwenye sahani yake au yako.

Idda Katigula - 0713439898


Utayari
VIASHIRIA VYA MTOTO
ANAHITAJI KULISHWA
Haoneshi utayari wa kufuata kijiko au chakula.
Anaghafirika anaposhindwa kushika chakula
Analia njaa ila anashindwa kula mwenyewe au kushika
chakula.

Idda Katigula - 0713439898


Utayari
VIASHIRIA VYA MTOTO KUWA
NA NJAA
Anafungua mdomo na kufuata kama anataka kula.
Anafuata chakula kwa macho.
Anafurahi akiona chakula.
Anashika chakula anapokiona.
Ananyonya midomo na kulamba.
Anakula mikono.
Anashika chakula kwa mkono anapokifikia.

Idda Katigula - 0713439898


Utayari
VIASHIRIA VYA MTOTO
KUSHIBA
Anasukuma chakula au kijiko.
Anageuza kichwa anapoona chakula.
Anafunga midomo akipewa chakula.
Anatema chakula.
Anaendelea na shughuli nyingine.
Anaondoka sehemu aliyokuwa amekaa.
Anatupa chakula au vyombo.

Idda Katigula - 0713439898


Vifaa
MAPENDEKEZO YA VIFAA

Idda Katigula - 0713439898


Matayarisho
NAMNA YA KUANDAA
CHAKULA NA VINYWAJI
In fact, having a balanced diet will make it easier for you to lose
weight with the bonus of being healthier. The following is a list of
delicious foods that you can consume while on a diet.

Idda Katigula - 0713439898


KIJIKO
NAMNA YA KUMLISHA NA
KIJIKO
In fact, having a balanced diet will make it easier for you to lose
weight with the bonus of being healthier. The following is a list of
delicious foods that you can consume while on a diet.

Idda Katigula - 0713439898


MIKONO
NAMNA YA KUMSAIDIA
AJILISHE
In fact, having a balanced diet will make it easier for you to lose
weight with the bonus of being healthier. The following is a list of
delicious foods that you can consume while on a diet.

Idda Katigula - 0713439898


Asipewe
VYAKULA HAVIMSAIDII
Vyakula ambavyo havijaiva vizuri.
Bidhaa zilizotolewa mafuta mfano low fat milk.
Yai ambalo halijaiva vizuri.
Vyakula vyenye chumvi nyingi.
Sukari na vyakula vilivyoongezwa sukari.
Vyakula vilivyokaangwa kwa mafuta mengi.
Vyakula vilivyosindikwa mfano sausage, bacon n.k
Caffeine na chai.
Juisi za matunda.
Samaki zenye mekyuri nyingi kama tuna, shark n.k

Idda Katigula - 0713439898


Asipewe
VYAKULA VINAKABA (CHOCKING)
Mbogamboga na matunda mabichi kama apple, karoti, tango, njegere,
mbogamboga za majani n.k
Mkate fresh na vitu kama crips, popcorn.
Vyakula ambavyo havijakatwa kama zabibu, nyanya, blueberries, strawberries n.k
Kitu chochocte chenye mbegu ndogo ngumu ndani kama olives, staferi ,
komamanga n.k
Matunda yaliyokaushwa kama zabibu kavu, tende n.k
Jamii ya karanga au mbegu nzima nzima kama korosho, walnuts, almond,
mbegu za maboga, alzeti n.k
Vipande vikubwa na vigumu vya nyama.
Vyakula vyenye muundo wa fimbo kama sausage, hot dogs na jibini.

Idda Katigula - 0713439898


Zingatia
ZUIA AU PUNGUZA (CHOCKING)

Hakikisha mtoto yuko tayari kula vyakula vingine.


Siku zote mwangalie mtoto anapokula; angalianeni uso kwa uso.
Hakikisha mtoto amekaa wakati wa kula na sio kutembeatembea au kukimbia.
Hakikisha umeandaa vizuri vyakula vinavyoweza kukaba mtoto.

Idda Katigula - 0713439898


Kupaliwa
GAGGING

GAGGING CHOCKING

Usipaniki, Machozi na uso mwekundu Anaangalia sehemu moja


mwelekeze
namna ya Anafungua mdomo na Toa huduma
Anakuwa wa blue
kutema kutema ya kwanza na
peleka
Anatoa sauti /kutapika Hatoi sauti na ametulia hospitali

Idda Katigula - 0713439898


Allergy
VYAKULA
Mayai
Maziwa ya wanyama
Karanga, walnuts, almonds, korosho n.k
Samaki
Soya
Ngano
Ufuta

Idda Katigula - 0713439898


Allergy (mzio)
MTOTO WENYE UWEZEKANO WA KUWA
NA ALLERGY

Kama mzazi au kaka/dada yake ana allergy.


Kama mtoto ana asthma (pumu), eczema (pumu ya ngozi)
n.k

Idda Katigula - 0713439898


Allergy (mzio)
NAMNA YA KUANZA
Anza na aina moja ya chakula.
Uwepo nyumbani.
Mpatie chakula chenye allergy mapema.
Hakikisha mtoto haumwi hana mafua, kikohozi, kuharisha
wala homa.
Mpatie kiasi kidogo na rudia mara 2 kwa siku.
Tofautisha siku 2 kabla ya kuanza chakula kipya.
Tunza kumbukumbu ya dalili na chakula.
Mpatie mara kwa mara.

Idda Katigula - 0713439898


Allergy (mzio)
Vipele
DALILI Uso na ulimi
vyekundu kuvimba

Mafua na Kutapika
chafya sana sana

Macho Kuharisha/
kuvimba choo damu

Kukosa hewa,
Kuwashwa uso
kubanwa
na macho
Idda Katigula - 0713439898 kifua
Vichachu
INASABABISHA UPELE NJE YA MDOMO

Nanasi limao

Chungwa Nyanya

mdalasini
Mate/udenda

Idda Katigula - 0713439898


Damu
VYAKULA VYENYE MADINI CHUMA
Madini chuma Madini chuma
Vitamin C
(Inafyonzwa) (inahitaji vitamin C ili ifyonzwe)

Kuku Jamii ya kunde (maharage mekundu, Strawberry


Nyama meusi , meupe na dengu) Blueberries
Kitimoto Soya Peaches
Bata Chickpeas Parachichi
Maini Njegere Limao, Ndimu
Samaki Siagi ya ufuta Hoho
Tuna Oats Kiwi
Shrimp Kii cha Yai Nyanya
Dagaa Spinach Broccoli
Senene Mbegu za maboga na alzeti Machungwa
Kumbikumbi Karanga Nanasi
Cereals Boga lishe
Flax seeds Nazi , Embe

Idda Katigula - 0713439898


BORESHA
VYAKULA VYA FAMILIA

Idda Katigula - 0713439898


BORESHA
VYAKULA VYA FAMILIA

Idda Katigula - 0713439898


BORESHA
VYAKULA VYA FAMILIA

Idda Katigula - 0713439898


BORESHA
VYAKULA VYA FAMILIA

Idda Katigula - 0713439898

You might also like