You are on page 1of 3

FAIDA 20 ZA KUNYWA MAJI YA VUGU VUGU NA JINSI YA KUTUMIA KUTATUA HITIRAFU MBALI MBALI

KATIKA MWILI

TAFADHALI Shiriki ujumbe huu na ndugu, jamaa na marafiki, ni muhimu sana na inaweza kuokoa maisha
ya mtu.

✓Kundi la Madaktari na wachunguzi toka japan walidhibitisha kwamba kunywa maji ya uvuguvugu
asubuhi wakati tumbo halina kitu unapata faida nyingi za kiafya pia walithibitisha kuwa maji ya joto
(vuguvugu) yanafaa kwa asilimia 100% katika kutatua shida(Hitilafu) kadhaa za kiafya kama vile: -

1.Maumivu ya kichwa(Migraine)

2.Shinikizo la juu la damu(High blood pressure)

3.Shinikizo la chini la damu (Low blood pressure)

4. Yanasaidia kuondoa Mikunjo.

5. Huepusha maumivu ya mwili na wakati wa hedhi kwa wanawake..


Maji ya moto (vuguvugu) yanauwezo wa kupunguza maumivu makali wakati wa hedhi. yanafanya misuli
ya tumbo ililax (relax) na kupungua kwa maumivu. Maji ya moto husaidia mzunguko kapirali na misuli
katika mwili pia.

6. Yanasaidia kupunguza uzito.

7. Yanaboresha digestion(mmengenyo wa chakula)

8. Yanaboresha mzunguko wa damu mwilini.

9. Yanakufanya Upate Usingizi Vizuri; Unapotumia maji ya moto wakati wa chakula cha usiku, na kabla
ya kwenda kulala, utaufanya mwili wako kurelax na kulainisha nerves zako. Hii itakufanya ulale vizuri na
kuwa na utashi mzuri kwa ajili ya kuamka asubuhi.

10.Kuongezeka ghafla na kupungua kwa mapigo ya moyo

11. Kifafa

12.Kuongezeka kwa kiwango cha cholesterol (kuondoa sumu mwilini)

13. Kikohozi na mafua

14.Pumu
15.kuondoa sumu kwenye ubongo

16.Blockage ya mishipa

17.magonjwa yote yanayohusiana na macho, sikio na koo.

18.kuyeyusha mafuta tumboni (kuondoa kitambi)

19.huondoa hatari ya kupata kiharusi

20.hurekebisha kiwango Cha sukari (blood sugar level)

JINSI YA KUTUMIA

Amka asubuhi na mapema na unywe glasi mbili za maji ya Moto (vuguvugu) wakati tumbo halina kitu
(Kabla hujala chochote). Hata Kama hauwezi kutengeneza na kutumia glasi 2 mwanzoni lakini polepole
utaweza.

KUMBUKA:

✓✓USIKOSE kula chochote baada ya kunywa maji haya.

¶Tiba ya maji ya vuguvugu (Moto) itasuluhisha shida za kiafya kwa muda mzuri kama vile: -

✓Ugonjwa wa sukari kwa siku 30

✓Shinikizo la damu katika siku 30

✓Shida za tumbo katika siku 10

✓Aina zote za Saratani katika miezi 9

✓Blockage ya mishipa katika miezi 6

✓Kujisikia Vibaya katika siku 10

✓Uterasi na magonjwa yanayohusiana na tumbo la uzazi kwa siku 10

✓Shida za pua, Sikio, na koo katika siku 10

✓Shida za wanawake kwa siku 15


✓Magonjwa ya moyo kwa siku 30

✓Maumivu ya kichwa / migraine katika siku 3

✓Cholesterol katika miezi 4

✓Kifafa na kupooza kwq miezi 9

✓Pumu katika miezi 4

MAJI YA BARIDI YANASABABISHA

* Maji ya baridi hufunga mishipa ya moyo na husababisha shambulio la moyo.

* Vinywaji baridi ni sababu kuu ya mshtuko wa moyo.

* Pia husababisha shida kwenye ini, Inafanya mafuta kukwama na ini.

Watu wengi wanaosubiri kupandikiza ini ni waathirika wa kunywa maji baridi.

* Maji baridi huathiri kuta za tumbo. Inathiri utumbo mkubwa na matokeo ya Saratani.

✓Share na Watu wengine


INAWEZA kuokoa maisha ya mtu mwingine

Saidia mtu leo

You might also like