Professional Documents
Culture Documents
(COPY) 3-Questionnaire CT Kenya Final Used For Cognitive Testing
(COPY) 3-Questionnaire CT Kenya Final Used For Cognitive Testing
UDADISI
Udadisi wa kimaandishi unaopendekezwa (Udadisi wa Jumla, mahsusi, unaoambatana na wa
marejeleo) umeorodheshwa hapa chini.
Udadisi wa Jumla uliopendekezwa unaweza kutumika kuanzisha mazungumzo kuhusu kila swali ili
kupata masimulizi kutoka kwa Wahojiwa kuwahimiza kutoa maelezo zaidi kwa nini walijibu kwa jinsi
walivyojibu. Mwongozo wa majaribio hutoa orodha ya udadisi wa jumla ambapo mhojaji anaweza
kuchagua inayofaa zaidi kwa mahojiano. Sio uchunguzi wote uliopendekezwa unapaswa kuulizwa,
wala hauhitaji kuulizwa kwa utaratibu wowote maalum. Mwingiliano na taarifa iliyotolewa na
mhojiwa itaongoza machaguo.
Maelezo yaliyotolewa katika masimulizi lazima yatoshe kwa uchambuzi ili kuona jinsi swali
linaeleweka.
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
2
START THE INTERVIEW HERE
HOJAJI YA MAHOJIANO YA UPIMAJI WA UTAMBUZI
Utangulizi kwa mshiriki: (isomwe kwa mshiriki)
Jinsi tulivyoeleza katika fomu ya idhini, kikundi cha utafiti wa kimataifa kinatayarisha baadhi ya
maswali kwa ajili ya uchunguzi wa kitaifa na ni muhimu kupima maswali haya ili kuhakikisha kuwa
yanaafikia viwango. Kwa hivyo, mahojiano kadhaa yanafanywa katika nchi tofauti.
Wakati wa mahojiano haya, kwanza nitakusanya taarifa za kimsingi kukuhusu, na kuuliza baadhi ya
maswali kuhusu ugumu ambao unaweza kuwa nao katika kufanya shughuli fulani na kuendelea na
jinsi umekuwa ukihisi.
Kisha itafuata sehemu yenye seti ya maswali ambayo tunayapima. Kwa maswali haya, baada ya
kunipa jibu lako, nitauliza maswali kuhusu jinsi ulivyotoa jibu; hii hutusaidia kuelewa jinsi kila swali
linavyofanya kazi kwako (na kwa washiriki wengine). Kwa maneno mengine, baada ya kutoa majibu
yako, tutazungumza kuhusu jinsi ulivyojibu.
Tafadhali, kumbuka ninataka kusikia maoni na majibu yako yote. Sikubuni maswali haya mwenyewe,
kwa hivyo jisikie huru kuonesha endapo kuna jambo lisiloeleweka, au ni ngumu kujibu au shida
nyingine zozote ambazo una maswali na kategoria za majibu.
Tafadhali, kumbuka kwamba hakuna makosa au majibu sahihi, na ikiwa hutaki kujibu swali, tafadhali
niambie na nitaenda swali linalofuata.
Wakati wa mahojiano, nitaandika maelezo ili nisisahau chochote unachosema; na kwa ruhusa yako,
nitarekodi mahojiano haya ili kurahisisha kuandika vidokezo na kuhakikisha kuwa sijakosa hoja
yoyote unayotoa.
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
3
HOJAJI YA MAHOJIANO YA UPIMAJI WA UTAMBUZI
Sehemu ya 1: Taarifa ya historia: (Taarifa hii itajumuishwa kwenye rekodi ya swali Q-;)
Je, una changamoto kutekeleza (wakati wa mahojiano: orodhesha vizuizi vyote vinavyotajwa na Mhojiwa)
shughuli ambazo watu hufanya
kwa kawaida kwa sababu ya
tatizo la kiafya? Ikiwa ndio, ni
changamoto gani?
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
4
akili?
Mhojaji asome: “Maswali yanayofuata yanahusu ugumu ambao huenda ukapata Wakati
wa kufanya shughuli fulani kwa sababu ya TATIZO LA AFYA.”
Hakuna Ugumu Ugumu Hawezi 7. 9. Hajui
ugumu fulani mwingi Kabisa Hakujibu
1. Je, una ugumu wa kuona,
hata kama umevaa miwani? 9
1 2 3 4 7
Je, unaweza kusema…
[Soma kategoria ya majibu]
2. Je, una ugumu wa
kusikia, hata kama 9
unatumia kifaa cha kusaidia
1 2 3 4 7
kusikia? Je, unaweza
kusema… [Soma kategoria
za majibu
3. Je, una ugumu wa
kutembea au kupanda 9
ngazi? Je, unaweza 1 2 3 4 7
kusema… [Soma kategoria
za majibu
4. Je, una ugumu wa
(kujitunza kama vile) 9
kujiosha kote au kuvaa? Je, 1 2 3 4 7
unaweza kusema… [Soma
kategoria za majibu
5. Kwa kutumia lugha yako
uliyozoea (ya kawaida),
unapata ugumu katika 9
kuwasiliana, kwa mfano, 1 2 3 4 7
kuelewa au kueleweka? Je,
unaweza kusema… [Soma
kategoria za majibu
6. Je, una ugumu wa
kukumbuka au kumakinika? 9
1 2 3 4 7
Je, unaweza kusema…
[Soma kategoria za majibu
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
5
7a) Huku ukifikiria mara ya na sana i
mwisho ulipohisi kwamba una
wasiwasi, woga au mfadhaiko,
utafafanuaje kiwango cha hisia
hizi? Je, ungesema kwamba...
[Soma kategoria za jibu
8. Ni mara ngapi huwa unahisi 1. Kila 2. Kila 3. Kila 4. 5. 7. 9.
kwamba una msongo wa siku wiki mwezi Mara Kamw Hajibu Haju
mawazo? Je, ungesema chache e i
kwamba... [Soma kategoria za kwa
jibu mwaka
Mhojaji/Anayehoji asome:
Sasa tunaanza na maswali ambayo tunapima. Kumbuka kwamba baada ya kujibu maswali
haya tutajadili ulivyofikia jibu lako ili kutusaidia kufahamu jinsi maswali haya yanavyofanya
kazi.
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
6
Sehemu ya 3: MWINGILIANO KATI YA WATU
Maswali ya 9 hadi 15
(Maswali haya yanahitaji kuhojiwa zaidi kuhusu jinsi mshiriki alivyoelewa kila swali)
Vipengele vinavyoathiri kiwango cha (Iwapo aliripoti ugumu) Kwa nini ulisema [k.m. Ugumu mwingi] badala
ugumu ya {k.m. Ugumu kiasi]?
Kwa Anayehoji:
Je, mshiriki....
alihitaji urudie sehemu yoyote ya swali? Ndio, sehemu ya swali
Ndio, swali zima
Ndio, kategoria za jibu
Hapana
Iwapo ulijibu ndiyo kwa swali lolote kati ya maswali haya 3, ongeza maelezo kuhusu hili katika
kisanduku cha maelezo ya masimulizi.
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
7
Hakuna Ugumu Ugumu Hawezi 7. 9.
ugumu kiasi mwingi kabisa Hajibu Hajui
10. Je, una ugumu wowote wa
kutangamana na watu ambao ni 9
wa karibu na wewe? Je, 1 2 3 4 7
ungesema kwamba... [Soma
kategoria za jibu
Udadisi mahususi
Maudhui Mapendekezo ya kuhoji zaidi
Karibu nawe Ulikuwa unafikiria kina nani kama "watu ambao ni wa karibu nawe" wakati wa
kujibu swali?
Kutangamana Ulifahamu nini katika istilahi "kutangamana" ulipokuwa ukijibu swali hilo?
Kipindi cha muda Ulikuwa unafikiria kuhusu kipindi kipi cha muda ulipokuwa ukijibu?
kilichozingatiwa
Vipengele vinavyoathiri kiwango (Iwapo aliripoti ugumu) Kwa nini ulisema [k.m. Ugumu mwingi] badala ya {k.m.
cha ugumu Ugumu kiasi]?
(kama ya kufuatilia, iwapo inahitajika) Aina gani ya ugumu ilifanya ujibu ...
[k.m. ugumu kiasi] badala ya [ugumu mwingi ...]?
Ufuatao ni udadisi mahususi kwa watu walio na hali ya MH pekee
(MH) Ulipojibu swali, je, ulifikiria kuhusu wakati ambapo unatumia dawa yako au
Kwa wanaotumia dawa ya hali ya wakati ambapo huitumii au wakati wote?
MH
(MH) Je, ulizingatia wakati ambapo unahisi vizuri, vibaya, au hali zote mbili?
Hali ya afya ya kiakili Unaweza kuniambia mengi zaidi kuihusu?
Kwa Anayehoji:
Je, mshiriki....
alihitaji urudie sehemu yoyote ya swali? Ndio, sehemu ya swali
Ndio, swali zima
Ndio, kategoria za jibu
Hapana
alikuwa na ugumu wowote wa kutumia machaguo ya majibu? Ndiyo Hapana
aliomba ufafanuzi wowote? Ndio Hapana
Iwapo ulijibu ndio kwa swali lolote kati ya maswali haya 3, ongeza vidokezo kuhusu hii katika
kisanduku cha vidokezo vya masimulizi makuu.
7. 9.
Hakuna Ugumu Ugumu Hawezi Hajibu Haju
ugumu kiasi mwingi kabisa i
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
8
Kipindi cha muda uliozingatiwa Ulikuwa unafikiria kuhusu kipindi kipi cha muda ulipokuwa ukijibu?
Muktadha uliozingatiwa Katika kujibu, ulifikiria kwa jumla au kuhusu muktadha maalum fulani? Iwapo
ni muktadha maalum basi ni gani?/Je, unaweza kunielezea zaidi?
Vipengele vinavyoathiri kiwango (Iwapo aliripoti ugumu) Kwa nini ulisema [k.m. Ugumu mwingi] badala ya {k.m.
cha ugumu Ugumu kiasi]?
(kama ya kufuatilia, iwapo inahitajika) Aina gani ya ugumu ilifanya ujibu ...
[k.m. ugumu kiasi] badala ya [ugumu mwingi ...]?
Ufuatao ni udadisi mahususi kwa watu walio na hali ya MH pekee
(MH) Ulipojibu swali, je, ulifikiria kuhusu wakati ambapo unatumia dawa yako au
Kwa wanaotumia dawa ya hali ya wakati ambapo huitumii au wakati wote?
MH
(MH) Je, ulizingatia wakati ambapo unahisi vizuri, vibaya, au hali zote mbili?
Hali ya afya ya kiakili Unaweza kuniambia mengi zaidi kuihusu?
Kwa Anayehoji:
Je, mshiriki....
alihitaji urudie sehemu yoyote ya swali? Ndio, sehemu ya swali
Ndio, swali zima
Ndio, kategoria za jibu
Hapana
alikuwa na ugumu wowote wa kutumia machaguo ya majibu? Ndio Hapana
aliomba ufafanuzi wowote? Ndio Hapana
Iwapo ulijibu ndiyo kwa swali lolote kati ya maswali haya 3, ongeza maelezo kuhusu hili katika
kisanduku cha maelezo ya masimulizi.
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
9
(kama ya kufuatilia, iwapo inahitajika) Aina gani ya ugumu ilifanya ujibu ...
[k.m. ugumu kiasi] badala ya [ugumu mwingi ...]?
Ufuatao ni udadisi mahususi kwa watu walio na hali ya MH pekee
(MH) Ulipojibu swali, je, ulifikiria kuhusu wakati ambapo unatumia dawa yako au
Kwa wanaotumia dawa ya hali ya wakati ambapo huitumii au wakati wote?
MH
(MH) Je, ulizingatia wakati ambapo unahisi vizuri, vibaya, au hali zote mbili?
Hali ya afya ya kiakili Unaweza kuniambia mengi zaidi kuihusu?
Kwa Anayehoji:
Je, mshiriki....
alihitaji urudie sehemu yoyote ya swali? Ndio, sehemu ya swali
Ndio, swali zima
Ndio, kategoria za jibu
Hapana
Iwapo ulijibu ndio kwa swali lolote kati ya maswali haya 3, ongeza maelezo kuhusu hili katika
kisanduku cha maelezo ya masimulizi.
7. 9.
Hakuna Ugumu Ugumu Hawezi Hajibu Haju
ugumu kiasi mwingi kabisa i
Udadisi Mahususi
Maudhui Mapendekezo ya Kuhoji zaidi
Dumisha urafiki "Kudumisha urafiki" una maana gani kwako?
Aina ya ugumu (Iwapo aliripoti ugumu) Unaweza kunipa mifano ya ugumu ulio nao?
Aina ya rafiki/Muktadha Katika kujibu, ulifikiria kuhusu urafiki kwa ujumla au katika muktadha
maalum? Unaweza kuniambia mengi zaidi kuihusu?
Kipindi cha muda Ulikuwa unafikiria kuhusu kipindi kipi cha muda ulipokuwa ukijibu?
kilichozingatiwa
Vipengele vinavyoathiri kiwango (Iwapo aliripoti ugumu) Kwa nini ulisema [k.m. Ugumu mwingi] badala ya
cha ugumu {k.m. Ugumu kiasi]?
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
10
Alitaka urudie sehemu yoyote ya swali?? Ndio, sehemu ya swali
Ndio, swali lote
Ndio, kategoria ya maswali
Hapana
ana ugumu wowote wa kutumia machaguo ya majibu? Ndio Hapana
kuomba ufafanuzi au kuzungumzia majibu yao? Ndio Hapana
Iwapo umejibu ndiyo kwa swali lolote kati ya haya 3, ongeza maelezo kuhusu hili katika kisanduku cha
maelezo.
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
11
Hakuna Ugumu Ugumu Hawezi 7. 9.
ugumu kiasi mwingi kabisa Hajibu Hajui
Kwa mhojaji/Anayehoji:
Je, mshiriki….
Alitaka urudie sehemu yoyote ya swali?? Ndio, sehemu ya swali
Ndio, swali lote
Ndio, kategoria ya maswali
Hapana
Iwapo umejibu ndiyo kwa swali lolote kati ya haya 3, ongeza maelezo kuhusu hili katika kisanduku
kikuu cha maelezo.
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
12
7. 9.
Hakuna Ugumu Ugumu Hawezi
Hakujib Hajui
ugumu kiasi mwingi kabisa
u
15. Je, unapata ugumu kudhibiti
mienendo yako unapokuwa na
1 2 3 4 7
watu? Je, unaweza kusema… 9
[Soma kategoria za majibu
Udadisi Mahususi
Maudhui Mapendekezo ya Kuhoji zaidi
Kudhibiti mienendo "Kudhibiti mienendo", kunamaanisha nini kwako?
Ungesema swali hilo lilikuwa likikuuliza kuhusu nini?
Aina ya mienendo Ni aina gani ya mienendo ulizingatia Wakati wa kujibu?
Muktadha uliozingatiwa “Katika kujibu ulizingatia ukiwa peke yako au ukiwa na watu wengine?”
Aina ya watu Ulipojibu ni watu gani walio karibu nawe uliwafikiria? (iwapo tu wanazingatia
kuwa na watu wengine)
Kipindi cha wakati uliozingatiwa Ulikuwa ukiwazia kipindi gani Wakati wa kujibu?
Mambo yanayoathiri kiwango (Iwapo ugumu uliripotiwa) Kwa nini ulisema [k.m. Ugumu mwingi] badala ya
cha ugumu [k.m. Ugumu fulani]?
Kwa mhojaji/Anayehoji:
Je, mshiriki….
Alitaka urudie sehemu yoyote ya swali?? Ndio, sehemu ya swali
Ndio, swali lote
Ndio, kategoria ya majibu
Hapana
Alikuwa na ugumu wowote wa kutumia machaguo ya majibu? Ndio Hapana
Aliomba ufafanuzi wowote? Ndio Hapana
Iwapo umejibu ndio kwa swali lolote kati ya haya 3, ongeza maelezo kuhusu hili katika kisanduku kikuu
cha maelezo.
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
13
Maagizo ya mahojiano:
Maswali haya ni ya wahojiwa TU ambao hawakuweka wazi ikiwapo waliunganisha hisia
na mienendo au la.
(Kwa wahojiwa wengine wote ambao walielezea kiungo wazi au hakuna kiungo kati ya
hisia na mienendo, nenda moja kwa moja kwenye Sehemu ya 4)
15a Ulipokuwa ukijibu maswali kuhusu mienendo na hisia ulifikiri kama zilikuwa
zimeunganishwa au zimetengishwa?
□ Tofauti kabisa
□ Tengisha kwa kiasi fulani
□ Imeunganishwa kwa kiasi fulani
□ Imeunganishwa kabisa
____________________________________________________________
____________________________________________________________
(Kwa washiriki wengine wote, anza kufanya udadisi jumla wa marejeleo [tazama hapa
chini])
16. Ulisema una ugumu katika kudhibiti hisia au mienendo yako unapokuwa karibu na watu
wengine. Je, ugumu huo unaingilia kati ya shughuli zako na familia, marafiki na watu wengine
unaowajua?
□ Ndio
□ Hapana (mwisho wa sehemu ya maswali ya Athari)
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
14
Iwapo 2,3 o 4 hadi 16a, uliza
16b Ni ugumu gani unaathiri zaidi - ugumu wa kudhibiti hisia au mienendo?
□ Ugumu katika kudhibiti hisia
□ Ugumu wa kudhibiti mienendo
□ Zote zinaathiri kwa usawa
Je, maswali haya yalitoa picha ya ugumu unaopitia kwa sababu ya hali yako ya MH?
Hojaji ya Kenya – Maswali ya Upimaji wa Utambuzi wa Utendakazi wa Mfumo wa Kiakili 23 Machi 2023
15