You are on page 1of 3

Dodoso; Kilifi G.

K na PACS

Dodoso hili linawania kutafuta vyanzo vya kuchochea ama kurudia kosa la uhalifu baada ya
kuachiliwa katika Kilifi G.K Prison na katika PACS department Kilifi. Tafadhali yajibu maswali
haya kwa uwazi na ukweli inavyowezekana. Usiandike jina lako ama majina ya yeyote katika
karatasi hii.

1. una miaka ngapi?

a) 30 na chini yake [ ] b) 31-40 [ ] c) 41-50 [ ] d) zaidi ya 50 [ ]

2. kifungo chako ni ya miaka ngapi?

a) miezi sita na chini [ ] b) miezi 6 –mwaka 1 [ ] c) mwaka 1 –miaka 3 [ ]

d) iaka 3 na zaidi [ ]

3. jinsia

a) mume [ ] b) mke [ ]

4. kiwango cha masomo?

a) sijasoma [ ] b) shule ya msingi [ ] c) shule ya upili [ ] d) chuo kikuu [ ]

5 .ulifungwa gerezani kwa kosa gani?

a) kingono [ ] b) makosa makuu [ ] c) inayohusu mihadarati [ ]

d) inayohusu pesa [ ] e) inayohusu hasira [ ]

f) nyingineyo (andika) …………………………..

6. chanzo chako kulifanya kosa hilo?

a) uchochole [ ] b) hasira [ ] c) shinikizo kimarika [ ] d) matumizi ya mihadarati [ ]

e) nyingineyo (andika) ………………………….

7. umefungwa gerezani mara ngapi?

a) mara mbili [ ] b) zaidi ya mara mbili [ ]

8. umewai fungwa katika gereza nyingine isipokuwa hii?

a) ndio [ ] b) hapana [ ]

sehemu hii inaangazia vile mafunzo ya ufundi inayofanywa gerezani inachangia katika kurudia
kosa baada ya kuachiliwa.
Tafadhali tia alama katika nafasi inayoashira vile unakubali au kukataa taarifa yaliyotajwa

taarifa Sikubali sikubali Upande nakubali Nakubali


kabisa wowote kabisa
1 2 4 5
3
Matibabu ya mshauri, mafunzo ya
kidini na ya maadili yanasaidia mtu
kufikiria na kutathmini maisha
vyema na chanya anapoachiliwa.
Mafunzo ya kielimu na ya ufundi
yafanywayo gerezani yanatosha
kumaliza vyanzo vya uhalifu.
Rasilimali zilizoko zinatosha kila
mfungwa kuweza kupata elimu na
masomo ya ufundi
Walimu wako na ujuzi na ufundi
wa kutosha

i) je, kwa maoni yako ni kweli mafunzo ya kielimu na ufundi inachangia na kusaidia kudhibiti
kurudia kosa baada ya kuachiliwa gereza ?

a) ndio [ ]

b) sivyo [ ]

kama jibu yako katika (i) ni ndio, basi katika kiwango gani hayo mafunzo hudhibiti kurudia
kosa?

a) kubwa sana [ ] b) wastani [ ] c) kiwango cha chini [ ]

tafadhali tia alama katika nafasi kuonyesha unavyokubaliana au kutokubaliana na taarifa


zifuatazo .
taarifa Sikubali sikubali Upande nakubali Nakubali
kabisa wowote kabisa
1 2 3 4 5

Uhusiano dhabiti na familia


baada ya kuachiliwa huru
husaidia mtu kuepukana na
uhalifu
Ushirikisho na marafiki wenye
fikira za kihalifu huchangia
mtu kuchochea uhalifu
Kutoweza kudhibiti hasira au
hali tatanishi husababisha mtu
kuchochea uhalifu

(i) Je, katika maoni yako ni kweli kuwa utu, sababu za kibinafsi na mazingira huchangia
kurudia makosa?
a) ndio [ ] b) sivyo [ ]

iwapo jibu lako katika (i) ni ndio, ni kwa kiwango gani sababu hizi zinachangia kurudia kosa?

a) kubwa sana [ ] b) wastani [ ] c) chini sana [ ]

tafadhali tia alama katika nafasi kuashiria unavyokubaliana au kukataa taarifa zifuatazo

taarifa Sikubali sikubal Upande nakub Nakubali


kabisa i wowote ali kabisa
1 2 3 4 5
Kifungo cha wakati kidogo ina athari kwa
uwezekano wa kuchochea uhalifu
Kifungo cha miaka mingi kinaathiri mahusiano
na tabia ya mfungwa anapoachiliwa
Msamaha au ukosefu wa msamaha hata kidogo
mtu anapofungwa inaathiri uwezekano wa
kuchochea uhalifu

(ii) katika maoni yako, je urefu wa kifungo inaathiri uwezekano wa mfungwa kuchochea
uhalifu?

a) ndio [ ] b) sivyo [ ]

iwapo jibu lako katika (ii) ni ndio, je ni katika kiwango gani?

a) kiwango cha juu [ ] b) kiwango wastani [ ] c) kiwango cha chini [ ]


“ahsante kwa wakati wako na kwa kushiriki”

You might also like