Professional Documents
Culture Documents
Roles of Teachers, Parents and Pupils
Roles of Teachers, Parents and Pupils
Swali:
Yapi yanaweza kuwa malengo ya
homework (Home-based Assessment
Packages for Learning)?
Wajibu wa mwalimu
• Kuandaa kazi (Home-based Assessment
Packages for Learning)
• Kutoa maelekezo ya jinsi ya kufanya kazi
iliyotolewa
• Kuwasiliana na mzazi na mwanafunzi kila
mara
• Kutoa na kupokea mrejesho kutoka kwa
mwanafunzi na mzazi/mlezi
• Je ni mrejesho wa aina gani walimu
huwa wanatoa?
Wajibu wa Mwanafunzi
• Kupokea na kuelewa maelekezo ya nini
anatakiwa kufanya
• Kumuuliza mwalimu au mzazi pale
anapokwama
• Kushiriki kikamilifu katika kufanya kazi
alizopewa na kujisomea
• Kutoa na kupokea mrejesho kutoka kwa
mwalimu na mzazi/mlezi
Thank you all!!!