You are on page 1of 2

TEACHERS’ TRAINING PLAN

2020

Kwa sababu za kitaalam na kitaaluma, imeonekana kuna haja ya walimu wa


shule ya jumapili kuwa na mafunzo angalau mara 3 kwa mwaka, hiyo ikiwa ni
mwezi wa 3, 7 na wa 11. Kwananini kuwepo na mafunzo haya, Lengo kuu la
kuwa na mafunzo haya ni;

1. Mafunzo haya kutumika kuwafahamisha walimu namna ya kutumia


mtaala wetu wa Efatha kwa shule za jumapili.
2. Walimu pia watapata nafasi ya kujifunza na kuuliza maswali
yanayowatatiza kutoka kwa wataalamu wa sekta mbalimbali.
3. Pia kupitia mafunzo haya tunategemea walimu kupata motisha ya kazi
na hatimae kuongeza ufanisi wa kazi.
4. Tunategemea pia kupitia mafunzo haya walimu wa Shule za jumapili
kutoka makanisa mbalimbali ya Efatha kuweza kufahamiana na
kutengeneza umoja utakaofaa kwenye kupashana habari mbalimbali
hasa zinazohusu watoto.

Muda Mada Wageni wawezeshaji


zitakazozungumziwa
Mwezi wa 4  Malezi karne  Mwanasaikolojia
ya 21

Siku 1
 Mbinu za  Mwalimu mbobezi
ufundishaji
shule ya
jumapili.
 Kuhusu  Kamati ya
Mtaala wa maandalizi ya
Shule ya mtaala wa shule ya
jumapili jumapili ya Efatha.
Efatha.

 Mengineyo  Idara za shule ya


jumapili
Mwezi wa 7  Sheria na  Mwanasheria
haki aliyebobea kwenye
zinazomlinda maswala ya watoto
Siku 1 mtoto.
 Afya ya watoto  Daktari au
na Mtaalam wa Afya
 Kuhusu  Kamati ya
Mtaala wa maandalizi ya
shule ya mtaala.
jumapili

 Mengineyo  Idara za shule ya


jumapili

Mwezi wa 11  Malezi karne  Mwanasaikolojia


ya 21
Siku 1  Kuhusu  Kamati ya
mtaala wa maandalizi ya
shule ya mtaala
jumapili.
 Mbinu za  Mtaalamu wa
ufundishaji. maswala ya
ufundishaji watoto
 Mengineyo  Idara za shule ya
jumapili.

You might also like