Professional Documents
Culture Documents
Kiswahili Scheme s3
Kiswahili Scheme s3
WILAYA YA KARONGI
TARAFA YA MURAMBI
G.S MUHORORO
MPANGILIO WA
MASOMO/2023-2024
MUHULA WA KWANZA
WIKI TAREHE MADA KUU MADA MALENGO YA MAREJEO UPIMAJI
NDOGO KUJIFUNZA MAONI
1 25-29/9 Lugha na Utalii nchini Msamiati, kuunda Kitabu cha
mazingira nchini muhtasari,majadiliano Mwanafunzi.
Rwanda Kitabu cha
mwongozo
wa Mwalimu.
2 2-6/10 Sarufi : matumizi ya Kitabu cha
wakati ya mazoea Mwanafunzi.
katika hali yakinishi na Kitabu cha
hali kanushi mwongozo
wa Mwalimu.
3 09- Lugha na Sikukuu na Dhana, mwongozo wa Kitabu cha
13/10 matukio ya sherehe usomaji wa kalenda Mwanafunzi
kijamii na nchini Kitabu cha
kitaifa Rwanda mwongozo
wa Mwalimu
4&5 16- Kusoma na kutamka Kitabu cha
27/10 tarehe, siku na majina Mwanafunzi
ya miezi Kitabu cha
mwongozo
Kuzingatia katamshi wa Mwalimu
fasaha ya Kiswahili
6 30/10- Sarufi : matumizi Kitabu cha
3/11 sahihi ya wakati Mwanafunzi
uliopita kuhusu Kitabu cha
vitenzi vyenye silabi mwongozo
moja wa Mwalimu
7&8 06- Sarufi : matumizi Kitabu cha
17/11 sahihi ya wakati ujao Mwanafunzi
katika usimulizi wa Kitabu cha
matukio mwongozo
wa Mwalimu
9&10 20/11- Mazoezi kuhusu Kitabu cha
1/12 matumizi ya herufi Mwanafunzi
kubwa na alama Kitabu cha
nyingine za uandishi. mwongozo
wa Mwalimu
11 4-8/12 Marudio
12 11- Mtihani
15/12
13 18- Usahihisho
22/12 wa mtihani
12 01-5/7 Mtihani na
usahihishaji
wa mitihani