Professional Documents
Culture Documents
Form 1 Kiswahili Schemes of Work
Form 1 Kiswahili Schemes of Work
KIPINDI
JUMA
NJIA ZA
MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NYENZO MAONI
KUFUNDISHIA
1
4 1 Kusikiliza na Maneno ya heshima. Kufika mwisho wa somo, Kuiga na kuigiza.
KCM
kuzungumza. mwanafunzi aweze: Mjadala. Uk 7-8
Kuteua maneno ya heshima Maelezo.
anapoamkia watu kutegemea Maswali na majibu. MWM
muktadha wa mawasiliano. Tajriba. UK 6-7
Kutumia maneno ya adabu ya
mawasiliano.
2
3-4 Sarufi na matumizi Mpangilio wa sauti Kufika mwisho wa somo, Uvumbuzi wa
KCM
ya lugha. katika silabi na mwanafunzi aweze: kuongozwa. Uk 14-15
maneno. Kueleza maana na dhima ya sarufi. Kusoma, kutamka na MWM
Kutumia silabi zenye mipangilio kuandika. UK.
sahihi wa sauti. Maswali na majibu. 13-14
kifungu cha
Kutoa mifano ya mipangilio tofauti ya riwaya /
konsonanti na irabu katika maneno. tamthilia.
5 Kusikiliza na Matamshi bora - Kufika mwisho wa somo, Kueleza mifano.
kuzungumza. Vitate. mwanafunzi aweze: Imla. KCM
Kutamka sauti ya maneno kwa Majaribio. Uk 16
usahihi. Ufahamu wa MWM
Kutambua na kurekebisha makosa ya kusikiliza. UK. 14-16
Jedwali la sauti,
matamshi na jahajia. Maswali na majibu. kanda za sauti.
Kueleza maana ya maneno.
6 Likizo ndogo
4
4-5 Kusoma na Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 30-31
kuandika. mwanafunzi aweze: Maswali na majibu.
Kusoma kwa sauti na kimya. Maelezo na MWM
Kujibu maswali. urekebishaji wa UK 29-30
Kubainisha ujumbe wa taarifa na makosa.
Kamusi.
msamiati mpya. Utafiti wa msamiati.
2-3 Kusoma – Ufasaha Matumizi ya kamusi. Kufika mwisho wa somo, Uvumbuzi wa KCM
Uk 33-34
wa lugha. mwanafunzi aweze: kuongozwa.
Kutaja aina za kamusi. Maelezo. MWM
Kupambanua umuhimu wa kamusi. Kutumia kamusi. UK 31-33
Kueleza jinsi ya kutumia kamusi.
Kamusi.
5
4-5 Kusikiliza na Mahonjiano baina ya Kufikia mwisho wa somo, Drama. KCM
Uk 37-38
kuzungumza. mzazi na mtoto. mwanafunzi aweze: Mahojiano.
Kueleza umuhimu wa mahojiano kwa Maswali. MWM
ufasaha baina ya mzazi na mtoto. Ufaraguzi. UK. 34-35
Kuendelesha mahojiano kwa ufasaha, Ufahamu wa
Kanda za kunasia
adabu na kuzingatia mbinu za kusikiliza. sauti.
mahojiano. Kazi mradi.
Kupanga mawazo kwa mantiki.
12-
13 MTIHANI NA KUSAHIHISHA
6
MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA KWANZA MUHULA WA PILI MWAKA 2020
KIPINDI
JUMA
1 1 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 38-39
aweze: Maswali na majibu. MWM
Kusoma kwa sauti na kimya. Maelezo na Uk 35-36
Kujibu maswali kwa usahihi. urekebishaji wa
Kubainisha ujumbe wa taarifa na makosa. Barua kwa
mahariri wa
msamiati mpya. Utafiti wa msamiati. magazeti.
Mdahalo.
2-3 Sarufi na matumizi ya Alama za uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Vielezo. KCM
Uk 40-41
lugha. aweze: Mifano. MWM
Kutaja alama za uakifishaji na Kuandika. Uk 36-37
maumbo yake.
Kufafanua matumizi ya alama za Marejeleo tofauti.
uakifishaji.
Kuakifisha vifungu.
7
2 2 Uandishi wa kawaida Tashbihi (katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usimulizi. KCM
Utendaji. Uk 45
(Tunu na matini) sentensi na hadithi) aweze: Maswali na majibu.
Kudondoa tashbihi kutoka hadithi. Uchambuzi. MWM
Kuimarisha stadi ya kusikiliza na Mjadala. UK. 40-41
kuandika. Imla.
4 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 38-39
aweze: Maswali na majibu. MWM
Kusoma kwa sauti na kimya. Maelezo na Uk 35-36
Kujibu maswali kwa usahihi. urekebishaji wa
Kubainisha ujumbe wa taarifa na makosa. Makala
magazetini,
msamiati mpya. Utafiti wa msamiati. tarasha,
Mdahalo. mandhari halisi.
5 Sarufi na matumizi ya Ngeli za nomino. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 49-52
lugha. aweze: Tajriba.
Kueleza maana ya ngeli za nomino. Udondoshaji. MWM
Kutaja ngeli za nomino na mifano Maswali na majibu. UK. 45-49
mwafaka.
Kutunga sentensi zenye upatanisho wa
kisarufi kwa usahihi.
3 1 Kusikiliza na Lugha ya methali. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufaraguzi. KCM
Uk 52-53
kudadisi. aweze: Maelezo. MWM
Kukamilisha methali. Mashairi na UK.
Kudondoa methali. vitendawili. 49
Kueleza maana na matumizi ya Ufahamu wa Kamusi ya
methali.
methali. kusikiliza.
2 Kusoma kwa kina. Hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. KCM
Uk 54-57
(Fasihi yetu) aweze: Utambaji.
Kusoma kwa ufasaha. Uhakiki. MWM
Kuhakiki ujumbe.kueleza maadili ya Maswali na majibu. UK. 50-52
somo. Utafiti / marudio. Hadithi zenye
mafunzo.
3 3,4 Kuandika (Utunzi) Utungaji wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 39-40
kiuamilifu. aweze: Kuandika.
Barua ya kirafiki. Kueleza sifa za barua. MWM
Kuandika barua ya kirafiki. UK.
24-25
8
5 Kusikiliza na Mafumbo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo. KCM
Uk 59
kudadisi. aweze: Ugunduzi.
Kufafanua maana ya fumbo. Maswali na majibu. MWM
Kufumba na kufumbua mafumbo. UK.
53-54
Magazeti.
9
3 Kusikiliza na Mazungumzo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Tajriba. KCM
Uk 69-70
kuzungumza. nyumbani. aweze: Maswali na majibu.
Kutumia msamiati wa adabu katika Mahojiano. MWM
mazungumzo. Kuigiza. UK. 61
Kueleza maudhui ya kifungu kwa
Maleba.
Kiswahili fasaha.
4-5 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 70-72
aweze: Maswali na majibu.
Kusoma kwa sauti na kimya. Maelezo na MWM
Kujibu maswali kwa usahihi. urekebishaji wa Uk 61
Kubainisha ujumbe wa taarifa na makosa.
Kamusi.
msamiati mpya. Utafiti wa msamiati.
6 1 Sarufi na matumizi ya Nyakati na Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kutoa mifano. KCM
Uk 72-73
lugha. ukanushaji. aweze: Ufaraguzi.
Kutunga sentensi kwa kutumia Vielelezo. MWM
viambishi vya nyakati. Uk 62-63
Kukanusha sentensi katika sentensi
mbalimbali.
2 Kisikiliza na Athari za lugha Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Michezo. KCM
Uk 73-76
kuzungumza. mama. aweze: Vichekesho.
Kutaja makosa yanayotokana na lugha Uigaji.
ya mama. Ufahamu wa MWM
Kurekebisha makosa yanayotokana na kusikiliza. UK. 63-64
lugha ya mama.
10
5 Kusililiza na Majina ya makundi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 79
kuzungumza. aweze: Mifano. MWM
Kutaja majina ya makundi. Vikundi. Uk. 66-67
Kutunga sentensi kwa kutumia majina Imla.
ya makundi. Kamusi.
7 1 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 80-81
aweze: Maswali na majibu.
Kusoma kwa sauti na kimya. Maelezo na MWM
Kujibu maswali kwa usahihi. urekebishaji wa Uk 67-68
Kubainisha ujumbe wa taarifa na makosa.
msamiati mpya. Utafiti wa msamiati.
2 Sarufi na matumizi ya Hali ya ukanushaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kuigiza bila maneno. KCM
Uk 82
lugha. aweze: Uvumbuzi wa
Kueleza matumizi ya me, na na hu. kuongozwa.
Kubainisha viambishi hivi kwa Makundi. MWM
sentensi. Utatuzi wa mambo. UK 67-68
Kutoa mifano.
Maswali na majibu.
3 Kusikiliza na Mazungumzo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Drama. KCM
Uk 83-84
kuzungumza. mtaani. aweze: Mazungumzo. MWM
(Ufasaha wa lugha) Kueleza sifa za mazungumzo ya Majaribio. UK 70-71
mtaani. Ufahamu wa Vituko vya
Kuendesha mazungumzo ya mtaani kusikiliza. magazeti
kwa ufasaha.
4-5 Kusoma kwa kina na Nudhuma. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kuimba mashairi. KCM
Uk 84-85
utungaji wa kisanii. aweze: Vielelezo.
Kueleza sifa za mashairi ya nyimbo. Utafiti. MWM
Kutaja umuhimu wa ujumbe wa Ufahamu wa UK 71-72
mashairi za nyimbo. kusikiliza.
Kamusi.
Kutunga mashairi ya nyimbo.
8 1 Kuandika. Utungaji wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kuigiza. KCM
Uk 85-86
(Utunzi) kiuamilifu – aweze: Mifano.
Maelezo na maagizo. Kueleza maana ya maagizo na maelezo. Maelelezo. MWM
Kutaja sifa za maagizo na maelezo. Vielelezo. UK 72-73
Kuandika maagizo na maelezo.
11
3 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 87-89
aweze: Maswali na majibu.
Kusoma kwa sauti na kimya. Maelezo na MWM
Kujibu maswali kwa usahihi. urekebishaji wa Uk 76
Kubainisha ujumbe wa taarifa na makosa.
Kamusi.
msamiati mpya. Utafiti wa msamiati.
4-5 Sarufi na matumizi ya Herufi kubwa, Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 77-78
lugha. ndogo, nzito na aweze: Mifano. MWM
mlazo. Kutumia herufi kubwa, ndogo, nzito na Utafiti. UK. 55.
mlazo. Kamusi,
Kutambua maana na matumizi ya herufi Mabango,
Vifungu
kubwa, ndogo, nzito na za mlazo. mbalimbali.
9 1 Kusikiliza na Lugha ya tahadhari. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 91-94
kuzungumza. aweze: Tajriba. MWM
(Ufasaha wa lugha) Kutambua maana na maandishi na Vielelezo. UK. 75-76
alama mbalimbali za tahadhari. Mifano.
Kuandika tahadhari mbalimbali. Ufahamu wa
kusikiliza.
2-3 Kusoma kwa kina. Mashairi ya arudhi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 94-97
(Fasihi yetu) aweze: Maswali na majibu. MWM
Kutaja baadhi ya mashairi ya arudhi. Ufahamu wa UK. 76-77
Kutoa mifano ya mashairi ya arudhi. kusikiliza.
Kamusi.
5 Uandishi wa kawaida Utungaji wa kisanii. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maswali na KCM
Uk 98
(Tunu na matini) Chemsha bongo. aweze: majibu.mashindano.
Kufumbua mafumbo kwa haraka. Michezo ya lugha. MWM
Kueleza umuhimu wa mafumbo. UK. 78-79
Kutunga mafumbo ya kuchemsha
bongo.
10 1 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. KCM
Uk 99-101
aweze: Uhakiki.
Kusoma kwa ufasaha. Tajriba. MWM
Kujibu maswali ya ufahamu. Maswali na majibu. UK. 80-81
Kuhakiki matumizi ya lugha na Ufafanuzi.
Kamusi.
ujumbe.
12
2 Sarufi na matumizi ya Udogo na ukubwa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mifani. KCM
Uk101-2
lugha. wa nomino. aweze: Maelezo.
Kugeuza nomino kwena hali ya udogo Masimulizi. MWM
na ukubwa. Kazi mradi. UK. 81-2
Kueleza maana ya hali mpya ya Marudio.
Kamusi.
maneno.
Kutunga sentensi kutumia nomino
katika hali ya udogo au ukubwa.
13
4 Sarufi na matuymizi Kauli za vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufaraguzi. KCM
Uk 10-112
ya lugha. aweze: Mifano.
Kugeuza vitenzi katika kauli fulani. Kujaza jedwali. MWM
Kueleza maana ya sentensi zenye Kazi mradi. UK. 88-89
vitenzi katika kauli fulani.
5 Kusoma kwa kina. Lugha ya barua Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Matumizi ya mifano. KCM
Uk 112-3
Ufasaha wa lugha. rasmi. aweze: Dayologia.
Kueleza lugha inayotumiwa katika Ufahamu wa MWM
barua rasmi. kusikiliza. Uk.89-90
12-
13 MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
NJIA ZA
MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NYENZO MAONI
KUFUNDISHIA
1 1 Kusoma kwa kina. Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Drama. KCM
Uk113-5
Fasihi yetu. aweze: Ufahamu wa
Kujibu maswali kutokana na kifungu. kusikiliza. MWM
Kudondoa maneno yaliyotumiwa Mjadala. Uk90-91
kifasihi. Kusoma kifungu.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi Maswali na majibu.
zilizotumiwa.
2 Kuandika. Barua rasmi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 115
Utunzi. aweze: Mifano. MWM
Kuandika barua rasmi kwa ufasaha. Uk. 91
14
4 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 117-8
aweze: Kusoma. MWM
Kusoma kwa ufasaha. Maswali na majibu. Uk 87-8
Kueleza maana za maneno na vifungu. Tajriba.
Kujibu maswali. Mazoezi. Kamusi.
2-3 Kusoma kwa kina. Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo. KCM
Uk 122-3
Fasihi yetu. aweze: Ufahamu wa
Kujibu maswali kutokana na kifungu. kusikiliza. MWM
Kudondoa maneno yaliyotumiwa Mjadala. Uk 96-7
kifasihi. Kusoma kifungu.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi Maswali na majibu.
zilizotumiwa.
Kueleza maana ya msamiati wa
vihusishi.
4 Kuandika. Mchezo mfupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Drama. KCM
Uk 123-4
Utunzi. aweze: Maelezo.
Kutunga mchezo wa kuigiza kwa Majadiliano. MWM
kuzingatia mbinu za utunzi wa michezo Utafiti. Uk 98
ya kuigiza. Mazoezi.
15
3 1-2 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 126-8
aweze: Kusoma. MWM
Kusoma kwa ufasaha. Maswali na majibu. Uk 100-1
Kueleza maana za maneno na vifungu. Tajriba.
Kujibu maswali. Mazoezi. Kamusi.
3 Sarufi na matumizi ya Mpangilio na Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Michezo ya lugha. KCM
Uk 128-9
lugha. uhusiano wa aweze: Mifano. MWM
maneno. Kupanga maneno katika nafasi sahihi Vielezo. Uk 101-2
kwenye sentensi.
Kamusi.
5 Kusoma kwa kina. Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo. KCM
Uk 130-2
Fasihi yetu. aweze: Ufahamu wa
Kujibu maswali kutokana na kifungu. kusikiliza. MWM
Kudondoa maneno yaliyotumiwa Mjadala. Uk 103-4
kifasihi. Kusoma kifungu.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi Maswali na majibu.
zilizotumiwa.
Kueleza maana ya msamiati wa
vihusishi.
4 1-2 Kuandika. Insha ya wasifu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi KCM
Uk 132
Utunzi. aweze: Ufafanuzi.
Kuandika sifa za kitu, jambo au mtu. Mifano. MWM
Kutumia lugha inayotoa sifa za kitu, Maelezo. Uk. 104-5
jambo au mtu. Mazoezi.
16
5 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 135-7
aweze: Kusoma.
Kusoma kwa ufasaha. Maswali na majibu. MWM
Kueleza maana za maneno na vifungu. Tajriba. Uk 105-6
Kujibu maswali.
Kamusi.
5 1-2 Sarufi na matumizi ya Maana na aina za Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 137-8
lugha. sentensi. aweze: Mifano.
Kueleza maana ya sentensi. Ufafanuzi. MWM
Kutunga sentensi sahihi na ambatano. Tajriba. Uk. 108
Mazoezi.
Kamusi.
4-5 Kusoma kwa kina. Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk140-2
Fasihi yetu. aweze: Maigizo.
Kueleza vitendo vya wahusika. Ufafanuzi. MWM
Kujibu maswali kwa usahihi. Masimulizi. Uk. 109-10
Kutumia misemo katika sentensi. Maswali na Majibu.
2 Kusikiliza na Utungaji wa kisanii. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Michezo ya lugha. KCM
Uk 143
kuzungumza. Vitanzi ndimi. aweze: Mashindano.
Kutamka maneno harakaharaka. Mifano. MWM
Kueleza maana ya maneno Imla. Uk. 111
yatatanishayo. Kazi mradi.
Kutunga vitansi ndimi.
3-4 Kusikiliza na Mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mjadala. KCM
143
kuzungumza. aweze: Utendaji.
Kuzua hoja na kuzitetea. Ufafanuzi. MWM
Kuziwasilisha katika mjadala kwa Tajriba. Uk. 111-2
ufasaha. Imla.
17
5 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM
144-5
aweze: Ufafanuzi.
Kueleza taarifa. Tajriba. MWM
Kueleza chanzo na madhara ya ufisadi. Makundi. UK. 111-2
Kujibu maswali. Mazoezi.
Kamusi.
7 1 Sarufi na matumizi ya Tungo na sentensi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
145-7
lugha. aweze: Maelezo.
Kueleza maana ya tungo, kirai, kishazi Majadiliano. MWM
na sentensi. Mazoezi. UK. 113-4
Kutaja sifa za tungo, kirai, kishazi na
sentensi.
Kubainisha virai na vishazi katika
tungo.
2 Kuandika. Alama za uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
147-9
Ufasaha wa lugha. aweze: Ufafanuzi.
Kutumia alama fulani za uakifishaji. Mifano. MWM
Kutumia alama za uakifishaji katika Mazoezi. UK.114-5
maandishi. Marudio ya mazoezi.
4 Kuandika. Insha ya mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
152
Utunzi. aweze: Mjadala.
Kueleza muundo wa insha ya mjadala. Utafiti na uchunguzi. MWM
Kufafanua sifa na kuandika insha ya Maswali na majibu. UK. 116-7
mjadala kwa usahihi. Tajriba.
Mazoezi.
5 Kusikiliza na Tanakali za sauti. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi. KCM
154-6.
kuzungumza. aweze: Tajriba.
Kutoa mifano ya tanakali za sauti. Uchunguzi. MWM
Kutunga sentensi kutumia tanakali za Kusoma. UK.
sauti. Maswali na majibu. 110-11
18
8 1 Kusikiliza na Magonjwa. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk
kuzungumza. aweze: Utafiti. 153.
Kutafakari juu ya masuala yanayoibuka Mahojiano.
katika jamii. Ukusanyanji. MWM
Kutaja baadhi ya magonjwa ya kisasa. Ufahamu wa UK. 117-8
kusikiliza.
5 Kusoma kwa kina. Riwaya / hadithi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk
Fasihi yetu. fupi. aweze: Ufafanuzi. 158-160
Kuimarisha ujuzi wa kusoma. Uchunguzi maigizo.
Kuweka msingi wa fasihi andishi. Kusikiliza ufahamu. MWM
UK. 123-4
19
2 Kusikiliza na Misemo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 161
kuzungumza. aweze: Masimulizi. MWM
Kutumia misemo kutungia sentensi. Ufahamu. Uk. 125-6
Kueleza maana na matumizi ya misemo. Mazoezi.
Kamusi.
9 3 Kusikiliza na Kujaza hojaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maswali na majibu. KCM
Uk 161-2
kuzungumza. aweze: Maelezo.
Kutaja muundo wa jojaji. Kuandika. MWM
Kueleza umuhimu wa hojaji. Ufahamu wa Uk. 127
Kujibu maswali kuhusu hojaji kusikiliza.
kikamilifu. Mazoezi.
20
10 4 Kuandika. Insha ya picha. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
aweze: Uk 171
Majadiliano.
Kufasiri ujumbe wa picha. Tajriba. MWM
Kuandika insha kutokana na picha.
Makundi. Uk. 133-4
Mazoezi.
5 Kusikiliza na Haki za watoto. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kisa / hadithi. KCM
kuzungumza. Kueleza haki za watoto. Majadiliano. Uk. 171-2
Kueleza wajibu unaoambatana na kila hali Kuchochea wanafunzi MWM
ya mtoto.
Kukuza ujuzi wa kujadili na kutoa maelezo
kuongea. Uk. 134-5
kimantiki. Maelezo..
11 1 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji. KCM
Kusoma taarifa kwa ufasaha. Maswali na majibu. Uk 172-4
Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji Majadiliano. MWM
bora.
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Utafiti. UK. 136-7
Kuzindua masuala maalum kutoka ufahamu. Maelezo.
Tajriba.
2 Sarufi na matumizi ya Kirejeshi –amba. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze. Tajriba. KCM
lugha. Kutumia mzizi –amba kwa usahihi katika Mifano. Uk. 174-6
ngeli zote. Mazoezi. MWM
Kutumia ‘o’ rejeshi badala ya mzizi –amba.
Uk. 137-8
3 Kusikiliza na Lugha ya Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma makala ya KCM
aweze. Uk. 179-81.
kuzungumza. magazetini. magazeti.
Kueleza matumizi ya lugha katika magazeti. MWM
Ufasaha wa lugha. Uchunguzi. Uk. 131-2.
Kuonyesha sifa za lugha ya magazeti.
Mifano.
Kuandika makala ya magazeti k.v. ukumwi, Magazeti.
maji, njaa, ufisadi, n.k.
Maelezo.
Ufafanuzi.
4 Kusoma kwa kina. Riwaya / hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
aweze. Uk.
Fasihi yetu. fupi. Mifano.
Kuimarisha sauti ya kusoma. 177-9
Maelezo.
Kumpa nafasi kuingiliana na kutenda katika
MWM
matini ya fasihi. Uk.
Kuhakiki ujumbe wa lugha iliyotumika. 130.
5 Kuandika. Uandishi wa hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Mifano. KCM
aweze. Uk.177-180
Utunzi. fupi. Uchunguzi.
Kufafanua hatua za kuandika Majadiliano. MWM
hadithi fupi. Vidokezo. Uk.
Kuandika hadithi fupi. 140-1
Maelezo.
Kuwa na msingi wa uandishi wa
kisanaa. Ufafanuzi.
12-
13
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA
21