You are on page 1of 15

KISWAHILI KWA GREDI YA 1

RATIBA YA KUFUNDISHIA MUHULA WA 2


COMPETENCY BASED CURRICULUM(CBC)

MWALIMU

SHULE

MWAKA

FACEBOOK: Teacher Daniel Online WHATSAPP: 0725103013


RATIBA YA KUFUNDISHIA KISWAHILI KWA GREDI YA KWANZA MUHULA WA 2
SHULE SOMO GREDI MUHULA MWAKA
Kiswahili 1 2

WIK KIPIN MADA MADA MATOKEO MAALUM MASWALI MAPENDEKEZO YA KAZI YA NYEZO MAONI
I DI NDOGO DADISI SHUGLI ZA UFUNZAJI ZIADA
YANAYOTOKEA

1 Kwanz Familia Kusikiliza Kuchangamkia Unaweza kusoma Mwanafunzi afinyange na Mwalimu Wanafunzi
a na kutumia maneno maneno yote katika aandike maumbo ya herufi za asikize
kuzungumza yanayojumuisha hadithi? sauti alizosoma hewani na mwanafunzi
sauti zilizofunzwa vitabuni. akisoma Uk 53
katika maneno yote
mawasiliano ya katika sentensi.
kila siku. Mwanafunzi aandike maneno Oxford
yaliyo na herufi za sauti Kiswahili
alizofunzwa kwa kunakili Dadisi
aliyoandika mwalimu. mazoezi ya
lugha gradi 1

Pili KUSIKI Maneno ya Kufikia mwisho wa mada, Unapopewa zawadi Wanafunzi waweza Mwalimu Mwanafunzi
LIZA heshima mwanafunzi aweze: unatakiwa kusema kuonyeshwa mchoro wa mtoto asikize
NA nini? akipokea zawadi halafu mwanafunzi
KUZUN  kutambua wajadili neno linalofaa akitambua
GUMZA maneno ya kutumiwa na anayepokea baadhi ya
heshima katika Uk53-54
Mwenzako zawadi. maneno ya
familia
heshima
 kutumia maneno anapojikwaa
ya heshima utamwambiaje? unayoyajua.
katika Mwanafunzi aweza
mawasiliano kuonyeshwa video Oxford
inayoashiria matumizi ya Kiswahili
maneno ya heshima k.m. Mtu Dadisi
akipokea zawadi au wageni mazoezi ya
wakimtembelea mgonjwa lugha gradi 1
hospitalini.

Tatu KUSIKI Maneno ya  kuambatanish Unapoomba ruhusu Mwanafunzi aweza kupewa Mwalimu Mwalimu
LIZA heshma a maneno ya kutoka kwa ufafanuzi kuhusu maneno ya asikize maneno
NA heshima na mwalimu unatumia heshima kama vile asante. ya heshima
KUZUN hisia zifaazo neno gani? kutoka kwa
GUMZA katika mwanafunzi.
mawasiliano Wanafunzi
 kuthamini Wanafunzi waweza
matumizi ya kushirikishwa katika kuigiza
maneno ya vitendo vya heshima.
heshima
katika
Uk 55
mawasiliano Mwanafunzi ahusishwe katika
ya kila siku mjadala kuhusu umuhimu wa
kutumia maneno ya heshima.
Oxford
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

2 Kwanz KUSOM Hadithi Kufikia mwisho wa mada, Unatakiwa kufanya Mwanafunzi aweza kujadili Mwalimu Wanafunzi
a A mwanafunzi aweze: nini unaposomewa picha zilizojumuishwa kwenye asikilioze
hadithi? hadithi. wanafunzi
wakisoma
 kutambua hadithi.
msamiati Unakumbuka nini Mwanafunzi aweza kutabiri Chati
uliotumika katika katika hadithi kitakachotokea kwenye
hadithi uliyosomewa hadithi.

 kusikiliza hadithi Uk 56
zikisomwa na Mwanafunzi aweza kufuatilia
mwalimu hadithi ikisomwa na mwalimu,
zinazohusu kisha asome pamoja na
familia mwalimu na baadaye asome Oxford
akiwa peke yake au wiwili Kiswahili
wawili. Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Pili KUSOM Haadithi Kufikia mwisho wa mada Unaweza kutabiri Mwanafunzi aweza kueleza Mwalimu Chati
A mwanafunzi aweze kitakachotokea maana na matumizi ya asikize maoni
katika hadithi? msamiati uliotumika kwenye ya wanafunzi Uk56
 kusoma hadithi hadithi ukiwemo msamiati wa kuhusu hadithi.
kuhusu familia familia kama vile baba, mama,
darasani Oxford
kaka na dada
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Tatu KUSOM Hadithi Kufikia mwisho wa mada Mwanafunzi aweza kusikiliza Mwalimu Wanafunzi
A mwanafunzi aweze mwalimu anaposoma hadithi, asikilize
Unaweza kusoma asome pamoja na mwalimu na mwanafunzi
 kufahamu hadithi hadithi? kisha asome peke yake, wawili akisoma
aliyosomewa Oxford
wawili au katika vikundi. hadithi. Kiswahili
kuhusu familia
darasani Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

3 Kwanz KUSOM hadithi Kufikia mwisho wa mada Mwanafunzi asikilize hadithi Mwalimu Wanafunzi
a A mwanafunzi aweze ya mwalimu au iliyorekodiwa asikize maoni
Kwa nini unapenda inayojumuisha matumizi ya ya mwanafunzi Uk 58
 kuchangamkia hadithi? maneno ya heshima. akieleza kwa
kusikiliza hadithi nini anapenda
kila siku. Oxford
hadithi.
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1
Pili Sarufi Nafsi ya Kufikia mwisho wa mada, Je, unatumia Mwanafunzi aweza kutumia Mwalimu Mwanafunzi
kwanza mwanafunzi aweze: maneno gani nafsi ya kwanza wakati uliopo asikize
wakati kujirejelea na hali ya umoja na wingi katika mwanafunzi ChATI
uliopo mkiwa wengi? mawasiliano. akitambua
 kutambua maneno maneno ya
na viambishi viambishi Uk59-60
vinavyotumika Mwanafunzi aweza kutumia anayojua.
kuonyesha nafsi nafsi ya kwanza wakati uliopo
ya kwanza wakati hali ya umoja na wingi katika Oxford
uliopo hali ya sentensi Kiswahili
umoja na wingi Dadisi
katika sentens mazoezi ya
lugha gradi 1

Tatu Sarufi Nafsi ya Kufikia mwisho wa mada Je unaweza kusoma Manafunzi aweza kusoma Mwalimu Mwanafunzi
kwanza mwanafunzi aweze kifungu chochote? sentensi zinazojumuisha Soma kifungu
wakati matumizi ya nafsi ya kwanza kisha uandike Uk 60-61
uliopo  kusoma vifungu wakati uliopo hali ya umoja na kifungu upya
vya maneno wingi. kwa hati
vinavyoashiria Oxford
nadhifu.
nafsi ya kwanza
Kiswahili
wakati uliopo hali
ya umoja na wingi Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

4 Kwanz Sarufi Nafsi ya Kufikia mwisho wa mada Je unaeza andika Mwanafunzi aweza kujaza Mwalimu Mwanafunzi
a kwanza mwanafunzi aweze vifungu vya maneno mapengo kwa kutumia asikilize
wakati vinavyoashiria maneno na viambishi mwanafunzi
uliopO  kutumia nafsi ya nafsi? vinavyowakilisha nafsi ya akitumia nafsi
kwanza wakati Tarakilishi
kwanza na wakati uliopo kama ya kwanza
uliopo hali ya
vile mimi katika wakati
umoja na wingi
uliopo kutunga
katika sentensi Uk 59
sentensi.

 kuandika vifungu
vya maneno Oxford
vinavyoashiria Kiswahili
nafsi ya kwanza Dadisi
wakati uliopo hali mazoezi ya
ya umoja na wingi lugha gradi 1

Pili sarufi Nafsi ya Kufikia mwisho wa mada Je unaeza kutumia Wanafunzi waweze kuigiza Mwalimu Chati
kwanza mwanafunzi aweze nafsi ya kwanza nafsi ya kwanza wakati uliopo atazame
wakati wakati uliopita kwa hali ya umoja na wingi katika wanafunzi
uliopo  kufurahia kutumia umoja na wingi? vikundi kwa kutumia vifungu wakiandika
nafsi ya kwanza Tarakilishi
wingi na umoja
wakati uliopo hali Uk 60-61
wa maneno
ya umoja na wingi
uliyopewa.
katika
mawasiliano.
Oxford
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Tatu MWILI Sauti na Kufikia mwisho wa mada, Je unaeza kutamka . Mwanafunzi asikilize Mwalimu Wanafunzi
WANG majina ya mwanafunzi aweze: sauti nne za herufi mwalimu anapotamka sauti aanaglie
U herufi za moja? lengwa, kisha atamke pamoja wanafunzi Tarakilishi
Kiswahili  kutamka sauti na mwalimu na mwishowe wakitaja na
nne za herufi atamke akiwa peke yake, uandike sauti
moja katika Uk 62
wawili wawili au kama darasa nne za herufi
kuimarisha
moja.
mazungumzo Oxford
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

5 Kwanz MWILI Sauti na Kufikia mwisho wa mada Je unaeza tambua Mwanafunzi atumie teknolojia Mwalimu Wanafunzi
a WANG majina ya mwanafunzi aweze sauti zozozte za (papaya) kutamkia sauti. aangalie
U herufi za herufi moja? mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili  kutambua sauti za akiandika sauti
herufi moja Uk 63
Mwanafunzi atambue herufi zozote za
zilizofunzwa
inayowakilisha sauti lengwa hetrufi moja.
katika maneno
kwa kutumia kadi za herufi. Oxford
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Pili MWILI Sauti na Kufikia mwisho wa mada Je unaeza tambua Mwanafunzi aambatanishe Mwalimu Wanafunzi
WANG majina ya mwanafunzi aweze majina ya sauti silabi kusoma maneno asikize majina
U herufi za lengwa? yanayotokana na sauti lengwa ya sauti lengwa. Tarakilishi
Kiswahili  kutambua majina
ya herufi
zinazowakilisha Uk 63-64
sauti lengwa
katika kuimarisha Oxford
stadi ya kusoma Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Tatu MWILI Sauti na Kufikia mwisho wa mada Je unaeza soma Mwanafunzi atenganishe Mwalimu Wanafunzi
WANG majina ya mwanafunzi aweze sauiti moja moja? silabi katika kutambua sehemu aanaglie
U herufi za mbalimbali za maneno mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili  kusoma herufi za akiandika
sauti moja katika baadhi ya sauti
kujenga stadi ya Oxford
moja
kusoma
unazozijua. Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

6 Kwanz MWILI Sauti na Kufikia mwisho wa mada Je unaeza soma Wanafunzi waweza Mwalimu Wanafunzi
a WANG majina ya mwanafunzi aweze maneno kwa kushirikishwa kusikiliza asikize
U herufi za kutumia silabi? mgeni mwalikwa mwenye mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili  kusoma maneno umahiri wa kutamka sauti akisoma.
kwa kutumia Uk65-66
lengwa
silabi
zinazotokana na
sauti lengwa Oxford
katika kujenga Kiswahili
stadi ya kusoma Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Pili MWILI Sauti na Kufikia mwisho wa mada Je unaeza soma Mwanafunzi asome maneno Mwalimu Wanafunzi
WANG majina ya mwanafunzi aweze vifungu vya kwa kutumia silabi na asikize
U herufi za maneno? kuchanganua yaliyo marefu mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili  kusoma vifungu zaidi. akisoma
vilivyo na Uk 67
vifungu vya
maneno yaliyo na
maneno.
sauti lengwa ili
kujenga stadi ya Oxford
kusoma Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Tatu MWILI Sauti na Kufikia mwisho wa mada Je unaeza Kuandika Wanafunzi wasome hadithi Mwalimu Wanafunzi
WANG majina ya mwanafunzi aweze maumbo kwa sauti zilizo na maneno yaliyobeba aangalie
U herufi za zinazowakilisha sauti lengwa kama darasa au mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili  kuandika maumbo sarifi? wawili wawili. akichora umbo.
ya herufi Uk 68
zinazowakilisha Mwanafunzi asikilize
sauti lengwa Wanafunzi
katika kuimarisha Oxford
stadi ya Kuandika tarakilishi na kusoma hadithi Kiswahili
kupitia vifaa Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

7 Kwanz MWILI Sauti na Kufikia mwisho wa mada Unaeza sema Mwanafunzi aandike maneno Mwalimu Wanafunzi
a WANG majina ya mwanafunzi aweze maneno yaliyo na herufi za sauti aangalie
U herufi za yanayojumuisha alizofunzwa kwa kunakili mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili  kuchangamkia sarufi? aliyoandika mwalimu akiandika
kutumia maneno maneno yaliyo
yanayojumuisha Uki 69
katika uk 68.
sauti zilizofunzwa
katika
mawasiliano ya
kila siku. Oxford
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Pili Msamiati Je unaeza tambua Mwanafunzi aambanitishe Mwalimu Wanafunzi


sehemu za mwili kadi za maneno na sehemu za aangalie
Kufikia mwisho wa mada, katika, mwili za nje. mwanafunzi Tarakilishi
mwanafunzi aweze: mawasiliano? akimuonyesha
 kutambua sehemu za
sehemu za mwili Mwanafunzi aweza mwili.
katika kuonyeshwa video kuhusu
mawasiliano sehemu za mwili za nje
 kutumia majina
ya sehemu za
mwili katika
kutunga sentens
Uk 69

Oxford
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Tatu Msamiati Kufikia mwisho wa mada Unaeza kusoma Mwanafunzi afafanue maana Mwalimu Wanafunzi
mwanafunzi aweze majina ya sehemu za ya msamiati wa sehemu za asikize
mwili? mwili. wanafunzi Tarakilishi
 kusoma majina ya wakisoma
sehemu za mwili majina ya
katika kuimarisha Uk 70
Mwanafunzi asome hadithi sehemu za
stadi ya kusoma
baada ya mwalimu, kisha mwili.
pamoja na mwalimu na
baadaye akiwa peke yake au Oxford
wawili wawil Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1
8
LIKIZO YA KATI YA MUHULA
9 Kwanz Msamiati Kufikia mwisho wa mada Je unaeza Kuandika Mwanafunzi aweza Andika majina Wanafunzi
a mwanafunzi aweze majina ya sehemu za kushirikishwa katika kuimba ya sehemu za
mwili? nyimbo na Wanafunzi mwili. Tarakilishi
 kuandika majina
ya sehemu za tarakilishi kukariri mashairi
mwili katika yanayohusu sehemu za mwili Uk 71-72
kuimarisha stadi za nje
ya kuandika

 kuchangamkia Oxford
utunzaji wa Kiswahili
sehemu za mwili Dadisi
katika kuimarisha mazoezi ya
afya lugha gradi 1

Pili Kusikiliz masimulizi Kufikia mwisho wa mada, Je, ni sehemu gani Mwanafunzi ataje sehemu za Mwalimu Wanafunzi
a na mwanafunzi aweze: za mwili unazoweza mwili za nje. asikize
Kuzungu kutaja katika umoja mwanafunzi
mza  kutambua sehemu na wingi? akitaja sehemu
za mwili katika za mwili za nje.
mawasiliano Mwanafunzi achore picha za
 kueleza matumizi sehemu mbalimbali za mwili
ya sehemu za za nje. Uk71
mwili ili
kuthamini mwili
wake Wanafunzi wajadili sehemu Oxford
za mwili za nje na umuhimu Kiswahili
wake katika vikundi. Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1
Tatu Kusikiliz masimulizi Kufikia mwisho wa mada Ni sehemu ipi ya Mwanafunzi atoe maelezo Mwalimu Wanafunzi
a na mwanafunzi aweze mwili ya nje iliyo kuhusu sehemu za mwili za asikize
Kuzungu muhimu zaidi? nje. umuhimu wa
mza  kusimulia visa sehemu za
kuhusu sehemu za Uk 72-73
mwili kutoka
mwili katika
Mwanafunzi azungumzie kwa
kujenga stadi ya
sehemu zake za mwili za nje. mwanafunzi.
kuzungumza Oxford
 kuthamini sehemu Kiswahili
za mwili wake Dadisi
maishani. Mwanafunzi aweza kuimba mazoezi ya
nyimbo na kukariri mashairi lugha gradi 1
mepesi kuhusu sehemu za
mwili za nje

10 Kwanz Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa mada, Je, ni sehemu gani Mwanafunzi atunge sentensi Mwalimu Wanafunzi
a wingi wa mwanafunzi aweze: za mwili unazoweza kwa kurejelea sehemu za asdahihishe
majina kutaja katika umoja mwili katika umoja na wingi. kazi ya Uk 74-75
 kutambua majina na wingi? mwanafunzi.
ya sehemu za
mwili katika Oxford
umoja na wingi ili Mwanafunzi asome sentensi
zinazorejelea sehemu za mwili Kiswahili
kuimarisha
katika umoja na wingi. Dadisi
mawasiliano
mazoezi ya
lugha gradi 1

Pili Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa mada Je, ni sehemu gani Mwanafunzi aandike sentensi Mwalimu Wanafunzi
wingi wa mwanafunzi aweze za mwili unazoweza zinazorejelea sehemu za mwili asikilize
majina kutaja katika umoja katika umoja na wingi. mwanafunzi
 kutumia majina na wingi? akitaja sehemu
ya sehemu za Uk75
za mwili katika
mwili kwenye
umoja na wingi.
sentensi katika
umoja na wingi ili Oxford
kuimarisha Kiswahili
mawasiliano Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1
Tatu Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa mada Unaeza tunga Mwanafunzi aweza kujaza Mwalimu Wanafunzi
wingi wa mwanafunzi aweze sentensi kuhusu mapengo kwa kutumia majina aweze
majina sehemu za mwili? ya sehemu za mwili katika kusahihisha
 kusoma sentensi umoja na wingi. kazi ya
zinazojumuisha mwanafunzi.
sehemu za mwili Uk 76-77
katika umoja na
wingi ili Mwanafunzi aweza kunakili
kuimarisha stadi sentensi katika umoja na
ya kusoma wingi. Oxford
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

11 Kwanz Usafi wa Sauti na Kufikia mwisho wa mada, Unaeza tamka sauti Mwanafunzi atambue sauti Mwalimu Wanafunzi
a mwili majina ya mwanafunzi aweze: nne za herufi moja? /w/, /e/, /i/ na /h/ katika aweze kusikiza
herufi za maneno. mwanafunzi
Kiswahili  kutamka sauti akitamka sauti
nne za herufi Uk 77
nne pamoja.
moja katika
kuimarisha Mwanafunzi amsikilize
mazungumzo mwalimu akitamka sauti Oxford
lengwa, kisha atamke pamoja Kiswahili
na mwalimu na mwishowe Dadisi
atamke akiwa peke yake, mazoezi ya
wawili wawili wawili na kama lugha gradi 1
darasa.

Pili Usafi wa Sauti na Kufikia mwisho wa mada Unaeza tambua Mwanafunzi atumie teknolojia Mwalimu Wanafunzi
mwili majina ya mwanafunzi aweze herufi moja (papaya) kusikiliza matamshi asikilize
herufi za zilizofunzwa katika ya sauti lengwa. mwanafunzi Uk 78-79
Kiswahili  kutambua sauti za maneno mapya? akitambua
herufi moja herufi moja
zilizofunzwa Oxford
zinazounda
katika maneno ili
maneno. Kiswahili
kuimarisha
Dadisi
mazungumzo
mazoezi ya
lugha gradi 1
Tatu Usafi wa Sauti na Kufikia mwisho wa mada Je unaeza tambua Mwanafunzi atambue herufi Mwalimu Tarakilishi
mwili majina ya mwanafunzi aweze majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa asikilize
herufi za zinazowakilisha kwa kutumia kadi za herufi. mwanafunzi
Kiswahili  kutambua majina sauti lengwa? akisoma.
ya herufi Uk 79
zinazowakilisha
sauti lengwa Mwanafunzi aambatanishe
katika kuimarisha silabi kusoma maneno Oxford
stadi ya kusoma yanayotokana na sauti lengwa. Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

12 Kwanz Usafi wa kusoma Kufikia mwisho wa mada Unaeza taja sauti Mwanafunzi atenganishe Soma sentensi Wanafunzi
a mwili mwanafunzi aweze moja katika stadi ya silabi katika kutambua sehemu katika uk 80
kusoma? mbalimbali za maneno. huku Uk 80
 kusoma herufi za ukiziandika
sauti moja katika katika daftari
kujenga stadi ya Oxford
yako.
kusoma
Kiswahili
Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Pili Usafi wa Kuandika Kufikia mwisho wa mada Unaeza soma Wanafunzi waweza kusikiliza Mwalimu Tarakilishi
mwili mwanafunzi aweze maneno kwa mgeni mwalikwa mwenye atazame
kutumia silabi? umahiri wa kutamka sauti mwanafunzi Uk 81-82
 kusoma maneno lengwa. akiFanya zoezi
kwa kutumia nambari tatu uk
silabi Oxford
81
zinazotokana na
Kiswahili
sauti lengwa
katika kujenga Dadisi
stadi ya kusoma mazoezi ya
lugha gradi 1
Tatu Usafi wa Sauti na Kufikia mwisho wa mada Unaeza soma Mwanafunzi afinyange Mwalimu Wanafunzi
mwili majina ya mwanafunzi aweze vifungu zilizo na maumbo ya herufi za sauti atazame
herufi za sauti lengwa? lengwa. mwanafunzui Uk 82-83
Kiswahili  kusoma vifungu akiandika
vilivyo na maneno
maneno yaliyo na Oxford
Mwanafunzi aandike maumbo kutumia silabi
sauti lengwa ili
ya herufi za sauti alizosoma uliopewa katika Kiswahili
kujenga stadi ya
hewani na vitabuni uk 83 Dadisi
kusoma
mazoezi ya
lugha gradi 1

13 Kwanz Usafi wa Sauti na Kufikia mwisho wa mada Unaeza Kuandika Wanafunzi waweza kusoma Mwalimu Wanafunzi
a mwili majina ya mwanafunzi aweze maumbo ya herufi hadithi zilizo na maneno atazame
herufi za zinazowakilisha yaliyobeba sauti lengwa kama mwanafunzi Uk 83
Kiswahili  kuandika maumbo sarufi? darasa au wawili wawili akifanya zoezi
ya herufi nambari 1 na 2
zinazowakilisha Oxford
katika uk 83
sauti lengwa
Kiswahili
katika kuimarisha
stadi ya kuandika Dadisi
mazoezi ya
lugha gradi 1

Pili Usafi wa Sauti na Kufikia mwisho wa mada Unaeza tumia Mwanafunzi aandike imla ya Mwalimu Tarakilishi
mwili majina ya mwanafunzi aweze maneno maneno yaliyo na herufi za atazame
herufi za yanayojumuisha sauti alizofunzwa na mwanafunzi Uk 83
Kiswahili  kuchangamkia sarufi? kuyaandika. akndik a baadhi
kutumia maneno ya maneno
yanayojumuisha Oxford
ambayo walimu
sauti zilizofunzwa
atakusomea. Kiswahili
katika
mawasiliano ya Dadisi
kila siku. mazoezi ya
lugha gradi 1

Tatu Msamiati Kufikia mwisho wa mada, Je unaeza kusema Mwanafunzi atumie msamiati Mwalimu Wanafunzi
mwanafunzi aweze: maneno ya usafi? uliyofunzwa katika sentensi atazame
sahihi. mwanafunzi
 kutambua akitaja na
msamiati wa usafi uandika baadhi Uk 85
wa mwili katika ya maneno ya
kujenga msamiati Mwanafunzi aandike maneno usafi
kwa mawasiliano yaliyofunzwa unayoyajua. Oxford
Kiswahili
Dadisi
Mwanafunzi aweza kupewa mazoezi ya
kadi za maneno asome lugha gradi 1

14
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

You might also like