You are on page 1of 2

MUHINDO JACKLINE

JINA LA MWALIMU: …………………………………………………………… S1


KIDATO:……….. KISW
SOMO: ………….
MUHULA: KWANZA MADA KUU:WATU WA NYUMBANI VIPINDI:
UMILISI: Mwanafunzi kaatika mada hii ataweza: kutamka sauti za Kiswahili vizuri, kutambua msamiati wa watu wa
nyumbani, kueleza kazi zinazofanyika nyumbani, kusimulia hadithi fupi kuhusu familia yako, kusalimia na kuitika salamu
kwa namna invyostahili, kutambua na kuigiza maneno ya adabu, kutumia vipatanishi sahihi vya nomino za ngeli ya ‘A-WA’,
kuakifisha sentensi, vizuri

WIKI: 1 -5 VIPINDI:20 MAADA: HAKI ZA BINADAMU


MATARAJIO LENGO VIFAA USHAHIDI WA MAREJELEO MAONI
MAFANIKIO
Mwanafunzi aweze Mafunzo haya yanalenga kumwezesha Chati Mwishowe
kutambua na mwanafunzi kukuza msamiati Ubao mwanafunzi atakuwa Kitabu cha mwalimu
kutumia msamiati unaohusiana na watu wa nyumbani, Kamusi ya Kiswahili na msamiati Mwogozo wa mwalimu
unaohusiana na salamu na maneno ya adabu pamoja Vitu halisi unaohusiana na watu Kamusi
watu wa vipengele vya lugha vilivyoteuliwa Vitabu vya kiada vya wa nyumbani, salamu Maktaba
nyumbani, salamu kuimarisha mawasiliano yake wanafunzi na maneno ya adabu
na maneno ya pamoja vipengele vya
adabu pamoja na lugha vilivyoteuliwa
kutumia vipengele kumarishamawasiliano
vya lugha yake.
vilivyoteuliwa
katika mawasiliano
yake ya kila siku

MUHULA: KWANZA MAADA KUU: SALAMU NA ADABU VIPINDI: 12


UMILISI: Mwanafunzi atambue msamiati wa ziada wa salamu, aanzishe na kuitika salamu kwa namna inayostahili, atambue
na kuigiza maneno ya adabu ya ziada , asome na kuigiza mazungumzo, halafu ajibu, maswali, atambue nomino katika ngeli ya
‘A-WA’ na ‘I-ZI’ hafula azitumie kutunga sentensi akizingatia upatanishi wa kisarufi, ataje viwakilishi vya nafsi vya umoja na
wingi na avitumie katika sentensi, akariri na kuimba wimbo wa salamuna adabu.
WIKI: 6-8 VIPINDI: 12 MAADA: SALAMU NA ADABU
MATARAJIO LENGO VIFAA USHAHIDI WA MAREJELEO MAONI
MAFANIKIO
Mwanafunzi aweze Mafunzo haya yanalenga Tumia simu yenye sauti Mishowe mwanafunzi Kitabu cha mwanafunzi [fountain],
kutambua na kumwezesha mwanafunzi kukuza za kusalimiana atakuwa na uwezo
kutumia msamiati msamiati unaohusiana na maamkizi Vitu halisi kukuza mamiati Kamusi
zaidi unaohusiana na maneno ya adabu pamoja na Wanafunzi unaohusiana na
na salamu na vipengele vya lugha katika Vitabu vya kiada vya maamkizi na maneno Mwogozo wa mwalimu
maneno ya adabu mawasiliano yake kila siku. wanafunzi. ya adabu pamoja na
pamoja na vipengele vya lugha
vipengele vya lugha katika mawasiliano
katika mawasiliano yake kila siku
yake ya kila siku
Note:

The scheme contains only the teaching contact.ie. MOT and EOT has not been indicated in the scheme. However the scheme is meant to have 11
weeks.

You might also like