RATIBA YA KAZI YA KISWAHILI DARASA LA 5 MUHULA WA KWANZA
NAME
TSC NO.
SCHOOL RATIBA YA KAZI YA KAZI YA KISWAHILI DARASA LA 5 MUHULA WA KWANZA
WIKI KIPINDI MADA SHABAHA SHUGHULI ZA MWALIMU ASILIA / MAONI
/ MWANAFUNZI NYENZO 1 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Warudie somo la maamkizi Kiswahili kwa NA KUONGEA mwanafunzi aweze: kutumia - Watoe maelezo juu ya darasa la 5 uk - Msamiati wa msamiati wa adabu na mchoro vitabuni mwao. 1 adabu na heshima ipasavyo katika - Watabue msamiati wa heshima mazungumzo. heshima katika kisa. Mchoro vitabuni 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Wasimulie hadithi kuhusu Kiswahili kwa - Ufahamu mwanafunzi aweze: Kusoma wanyama ya kusisimua. darasa la 5 uk ‘Kiboko na na kujibu maswali kutokana - Waelekeze Kusoma. 2 Jogoo. na ufahamu. - Waeleze maana ya msamiati mpya. Picha / - Wafanye zoezi. mchoro 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje vifaa Kiswahili kwa - Tashbihi mwanafunzi aweze: kutumia - Wataje tashbihi darasa la 5 uk tashbihi katika sentensi. zinazoambatana na vifaa. 3 - Watunge sentensi wakitumia tashbihi. Vifaa halisi - Wasome mifano. kama nyundo, picha, mchoro 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Kujadili juu ya faida za miti. Kiswahili kwa - Insha ‘Faida za mwanafunzi aweze: kujieleza - Wakumbushe jinsi ya darasa la 5 uk miti’ vizuri anapoandika insha kuandika insha na uakifisho 4 yake. mzuri - Waandike insha. 5 2 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Wasome kwa matamshi bora. Kiswahili kwa NA KUONGEA wanafunzi waweze: kutamka - Watunge sentensi darasa la 5 uk - Maneno vizuri maneno yanayotatiza v. - Wajaze pengo 5 yanayotatiza - Kusahihisha – kufanya marudio. Vifaa halisi, chati yenye maneno haya. 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Wasome kifungu Kiswahili kwa - Usafi mwanafunzi aweze: - Watunge sentensi kwa darasa la 5 uk - Kutumia msamiati. kutumia msamiati mpya. 6-7 - Kujibu maswali kutokana na - Wajibu maswali. habari atakayosoma. Vifaa halisi
3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Watunge sentensi wakitumia Kiswahili kwa
- Kukanusha kwa mwanafunzi aweze: nafsi zote pamoja na nyakati darasa la 5 uk nafsi – wakati kukanusha sentensi za wakati - Wakanushe sentensi hizi. 7-8 uliopo ‘na’ na ‘na’ na ‘li’ akitumia nafsi - Wafanye zoezi. uliopita ‘li’ zote. 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Warudie somo la vitate Kiswahili kwa - Imla mwanafunzi aweze: - Wasome kifungu darasa la 5 uk kuandika kwa maendelezo - Wasomee wanakili. 8-9 sawa. Vifaa halisi 5 3 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje vitu vipatikanavyo Kiswahili kwa NA KUONGEA mwanafunzi aweze: kutaja, nyumbani. darasa la 5 uk - Msamiati wa kueleza na kuandika sentensi - Wataje vipatikanavyo 10 nyumbani - sahihi akitumia msamiati wa sebuleni sebuleni nyumbani. - Wajadili michoro vitabuni Michoro ya - Watunge sentensi wakiutumia sebule msamiati waliousoma. 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Waongoze katika Kiswahili kwa - Ng’ombe na mwanafunzi aweze: Kusoma mazungumzo juu ya picha. darasa la 5 uk Fisi hadithi na kujibu maswali ya - Wajadili msamiati mpya 10-11 ufahamu. - Wafanye zoezi. Picha/michoro ya wanyama. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Watolee maelezo juu ya Kiswahili kwa mwanafunzi aweze: kutunga matumizi ya -pi- darasa la 5 uk - Kiulizi –pi- sentensi akitumia kiuli -pi- - Waulize maswali ukitumia 11-12 kwa usahihi. vifaa Vifaa halisi - Wafanye zoezi. 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Wajadili picha. Kiswahili kwa - Insha ya picha mwanafunzi aweze: kuandika - Wataje wanayoyaona katika darasa la 5 uk mtungo kutokana na picha picha. 12 aliyopewa. - Waandike mtungo Mchoro 5
4 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje mavazi mbalimbali. Kiswahili kwa
NA KUONGEA mwanafunzi aweze: - Waeleze haya mavazi darasa la 5 uk - Msamiati wa kutambua, kutaja na kutung huvaliwa wapi na wakati gain. 13 mavazi sentensi sahihi akitumia wa - Wafanye zoezi. mavazi. Vifaa halisi 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Kusoma shairi Kiswahili kwa -Shairi mwanafunzi aweze: Kusoma - Kutunga sentensi kutumia darasa la 5 uk shairi na kujibu maswali kwa maneno mapya. 14 usahihi. - Wajibu maswali. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Kutunga sentensi kwa Vifaa halisi - Matumizi ya - mwanafunzi aweze: kutumia kutumia kivumishi -ote-. ote- kivumishi -ote- sawasawa - Wasome juu ya matumizi ya - pamoja na majina. ote-. - Watunge sentensi - Wajibu maswali. 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje vitu vipatikanavyo Kiswahili kwa - Insha ‘Darasa mwanafunzi aweze: kuandika darasani. darasa la 5 uk lako’ mtungo kuhusu darasa lake - Wataje vidokezi vya mtungo 16 akizingatia msamiati wa huo. darasa lake akizingatia - Waandike mtungo. Vifaa halisi msamiati wa darasani. 5
5 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Waambie wategeana na Kiswahili kwa
NA KUONGEA mwanafunzi aweze: kutega kutegua vitendawili. darasa la 5 uk - Vitendawili na kutegua vitendawili kwa - Wapitie mifano vitabuni 17 usahihi. - Wafanye zoezi. 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Wasome Kiswahili kwa - Ufahamu mwanafunzi aweze: Kusoma - Watunge sentensi kwa darasa la 5 uk Mazungumzo kifungu na kujibu maswali. kutumia msamiati mpya. 18-19 - Wafanye zoezi. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Wajadili alama za kuakifisha. Kiswahili kwa - Kuakifisha mwanafunzi aweze: kutumia - Wafanye zoezi. darasa la 5 uk kituo, kikomo, kiulizi, alama 19 ya mshangao herufi kubwa katika uandishi wake Chati ipasavyo. 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje wanachokiona katika Kiswahili kwa - Insha mwanafunzi aweze: kuandika mchoro. darasa la 5 uk ‘Umuhimu wa insha akizingatia alama za - Waandike insha kwa kuwapa 20 ng’ombe’ kuakifisha na hati bora juu ya vidokezo. umuhimu wa ng’ombe. Mchoro wa ng’ombe 5
6 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Watazame michoro na Kiswahili kwa
NA KUONGEA mwanafunzi aweze: kueleza kueleza yanayotendeka. darasa la 5 uk - Misemo maana ya misemo na kutunga - Wasome misemo na maana 21 sentensi sahihi akitumia yake. baadhi ya misemo. - Washirikishe katika kutunga Chati sentensi - Waeleze maana ya misemo iliyo vitabuni. - Wafanye zoezi. 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Waongoze kujadili mchoro Kiswahili kwa - Ufahamu mwanafunzi aweze: Kusoma - Wasome darasa la 5 uk hadithi na kujibu maswali - Waeleze maana ya maneno 22 kwa usahihi. mapya. - Wajibu maswali. Michoro vitabuni. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Mwalimu awape mifano ya Kiswahili kwa - Kukanusha kwa mwanafunzi aweze: sentensi kujikubusha darasa la 5 uk nafsi wakati ujao kukanusha sentensi akitumia ukanusho. 23 ‘ta’ na wakati nafsi zote pamoja na wakati - Wataje nafsi zote/nyakati. timilifu ‘me’. ujao ‘ta’ na timilifu ‘me’ - Watunge na kukanusha sentensi kwa kuzingatia nyakati TA na ME. 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje vitu katika mazingira Kiswahili kwa - Shule yangu mwanafunzi aweze: kuandika ya shule. darasa la 5 uk mtungo mfupi juu ya shule. - Awaulize maswali kuhusu 24 maneno mbalimbali na faida zake. - Awaelekeze kuandika. 5
7 1-5 MTIHANI WA KATIKATI WA MUHULA
8 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje wanachoona katika Kiswahili kwa NA KUONGEA mwanafunzi aweze: mchoro darasa la 5 uk - Msamiati wa kutambua na kutumia - Waongoze kujadili matumizi 25 hospitali. msamiati wa hospitali ya vifaa mbalimbali. ipasavyo. - Wachore vifaa katika Vifaa halisi madaftari zao. - Wafanye zoezi. 2 UFAHAMU Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje mambo machache Kiswahili kwa - Jebet mwanafunzi aweze: kuhusu michoro. darasa la 5 uk - Kueleza maana ya maneno - Wasome hadithi kimya kimya 26 mapya yaliyotumiwa katika - Wafanye mazoezi ufahamu. - Kusahihisha / kufanya Michoro ilio - Kusoma na kujibu maswali marudio. vitabuni ya ufahamu ipasavyo. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Kutunga sentensi Kiswahili kwa - Matumizi ya mwanafunzi aweze: Kutunga - Kukanusha darasa la 5 uk ‘me’ na sentensi sahihi katika hali ya - Wasome mifano vitabuni. 27 ukanusho wake kukubali na kukanusha - Wafanye zoezi. akitumia wakati wa ‘me’ 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Washirikishe kutaja njia za Kiswahili kwa - Insha ‘Barua ya mwanafunzi aweze: kuandika mawasiliano. darasa la 5 uk kirafiki’ barua ya kirafiki - Wataje sehemu muhimu za 28 inavyostahili. barua ya kirafiki na kueleza kwa kifupi. - Wasome mfano vitabuni. - Waandike. 5
9 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje mimea waijuayo Kiswahili kwa
NA KUONGEA mwanafunzi aweze: - Wasome shairi darasa la 5 uk - Shairi ‘Mimea’ - Kutaja msamiati wa mimea - Wandondoe majina ya mimea 29 na mazao yake. - Wafanye zoezi - Kutumia majina ya mimea katika michoro. 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Jadili na wanafunzi juu ya Kiswahili kwa - Ufahamu mwanafunzi aweze: vifaa hivyo darasa la 5 uk ‘Maji’ - Kueleza maana ya maneno - Wasome kifungu 30 mapya yaliyotumiwa katika - Kueleza maneno mapya ufahamu. - Kufanya zoezi. - Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Washirikishe kutunga Kiswahili kwa - Viwakilishi mwanafunzi aweze: sentensi zao wakizingatia nafsi darasa la 5 uk nafsi ‘NI’ ‘U’ na kukanusha viwakilishi vya zote. 31 UKANUSHO nafsi NI, U, A kwa usahihi - Wasome sentensi zilizomo katika umoja na wingi. vitabuni mwao. - Wafanye zoezi. 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Wasome sentensi vitabuni. Kiswahili kwa - Sehemu za mwanafunzi aweze: kutaja - Waongee juu ya sehemu za darasa la 5 uk mwili sehemu mbalimbali za mwili. mwili. 32 - Wafanye zoezi. - Mchoro wa sehemu za mwili 5
10 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Waongoze kutoa hoja za Kiswahili kwa
NA KUONGEA mwanafunzi aweze: Mjadala. darasa la 5 uk - Majadiliano - Kuzungumza kwa ujasiri - Kinara aanzishe Mjadala 33 ‘Mwalimu ni mbele ya wenzake. - Waunge na wapinge bora kuliko - Kuzungumza kwa ufasaha. - Jadili hoja muhimu za kila Daktari. kikundi makosa yaliyojitokeza na kutangaza mshindi. 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Wajadili juu ya uhalifu na Kiswahili kwa - Majuto ni mwanafunzi aweze: adhabu zinazotolewa kwa darasa la 5 uk mjukuu - Kusoma kwa matamshi bora wanaohusika, manoro. 34-35 - Kujibu maswali kutokana na - Wasome ufahamu na kujibu ufahamu. maswali. - Mchoro kitabuni. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Waelekeze kuandika udogo Kiswahili kwa - Ki- kiambishi mwanafunzi aweze: kutunga wa majina. darasa la 4 uk cha udogo. sentensi sahihi kwa kutumia – - Wasome mifano vitabuni. 35 ki- ya udogo. - Wafanye zoezi. Vifaa halisi 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Waongoze kukumbuka Kiswahili kwa - Kujaza mraba mwanafunzi aweze: kujaza majina na matumizi yavyo. darasa la 5 uk mraba akitumia msamiati - Wahusishe katika kuchora na 36 sahihi wa hospitalini. kujaza mraba. 5
11 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Wajadili ukoo Kiswahili kwa
NA KUONGEA mwanafunzi aweze: Kutaja - Wasome yaliyo vitabuni darasa la 5 uk - Msamiati wa na kueleza msamiati zaidi wa mwao kuhusu majina ya ukoo. 37 ukoo ukoo. - Watunge sentensi. - Wajibu maswali. Chati 2 UFAHAMU Kufikia mwisho wa funzo, - Wasome kifunge Kiswahili kwa - Namuwenge na mwanafunzi aweze: Kusoma - Wajibu maswali ya darasa la 5 uk hingi la kuchoma na kujibu maswali ya kifungu. 38 kifungu. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje majina katika ngeli Kiswahili kwa - Kivumishi mwanafunzi aweze: kutunga tofauti tofauti na darasa la 5 uk ‘Enye’ na kukamilisha sentensi kwa kuambatanisha majina na 39 kutumia kivumishi –enye- -enye- katika umoja na wingi. pamoja na majina ya ngeli - Watunge sentensi kwa umoja alizofunzwa. – wingi. - Wasome mifano. - Wafanye zoezi. 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Wajikumbushe akisani Kiswahili kwa - Akisami mwanafunzi aweze: walizojifunza kwa kuwauliza darasa la 5 uk kuandika akisami kwa maswali. 40-41 maneno na kuzionyesha kwa - Wachore akisami hizo. michoro. - Waelekeze kufanya zoezi. 5
12 1 KUSIKILIZA Kufikia mwisho wa funzo, - Wajikumbushe Kusoma saa. Kiswahili kwa
NA KUONGEA mwanafunzi aweze: kutaja na - Wasome sentensi. darasa la 5 uk - Tarakimu za kuandika tarakimu za nukta -Watunge sentensi wakifuata 43 wakati ‘ Nukta na sekunde kwa maneno na mifano vitabuni. - Vifaa halisi na Sekunde’. nambari. - Wajibu maswali. saa yenye akrabu ya sekunde 2 KUSOMA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje miji ambayo Kiswahili kwa - Watoto mwanafunzi aweze: kujibu wamewahikutembelea. darasa la 5 uk wanaorandaranda maswali ya ufahamu na - Wazungumzie watoto wa 43 mijini. kueleza maana ya maneno mitaani mapya. - Wasome ufahamu Picha - Wajibu maswali. 3 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo, - Washirikishe kwa kutumia Kiswahili kwa - Matumizi ya mwanafunzi aweze: kutumia vifaa halisi kueleza matumizi darasa la 5 uk -OTE- kivumishi ‘ote’ kisahihi na ya ‘ote’ 44-45 majina kutoka ngeli ambazo - Wasome mifano amefunzwa. - Watunge sentensi wakitumia Vifaa halisi ‘ote’ - Wajibu maswali. 4 KUANDIKA Kufikia mwisho wa funzo, - Wataje tarakimu kwa maneno Kiswahili kwa - Tarakakimu mwanafunzi aweze: kuandika kisha waandike kwa nambari darasa la 5 uk tarakimu kwa maneno na - Wasome tarakimu 42-46 nambari. - Wafanye zoezi. Kadi zenye majina ya tarakimu 5