You are on page 1of 6

OFISI YA RAIS-

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

AZIMIO LA KAZI

JINA LA MWALIMU:

JINA LA SHULE:

DARASA: KIDATO CHA KWANZA

SOMO: KISWAHILI

MWAKA: 2024

MUHULA: I & II

1
MWEZI

VIPIND
UJUZI MALENGO MADA KUU MADA NDOGO VITENDO VYA VITENDO VYA ZANA / REJEA TATHMINI MAONI

WIKI
UFUNDISHAJI UJIFUNZAJI VIFAA

Kuwasiliana Kuwasilinana F 1 MAWASILIA Lugha kama 2 Kuwaongoza wanafunzi kwa wanafunzi kwa mbinu ya CHATI Paul k, & Mwanafunzi aweze
kwa Kwa E NO chombo cha mbinu ya maswali na majibu maswali na majibu ili NA Thomas kufafanua dhima za
mazungumzo Kiswahili B mawasiliano ili waweze kuelezea maana waweze kuelezea maana ya JEDWALI M,(2009) lugha katika
na katika R ya lugha. lugha. ZA Kiswahili, mawasiliano.
maandishi mazungumzo U TANZU kidato
kwa na A Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi kujadili ZA cha
Kiswahili maandishi R kujadili umuhimu wa umuhimu wa kutumia LUGHA Kwanza,
sanifu. na I kutumia lugha kwa ufasaha. lugha kwa ufasaha. oxford
watu Universit
au Matamshi na Kuongoza mjadala kuhusu Wanafunzi kujadili kuhusu y press, Mwanafunzi aweze
jamii 2 lafudhi ya kiswahili dhima za lugha na umuhimu dhima za lugha na Dsm kutumia lugha fasaha
katika 3 wa kutumia lugha kwa umuhimu wa kutumia
miktadha ufasaha. lugha kwa ufasaha.
mbalimbali.
Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi kutofautisha kati
kutofautisha kati ya ya matamshi sahihi na
matamshi sahihi na yasiyo yasiyo sahihi ya Kiswahili
sahihi ya Kiswahili na na kuweza kutumia lafudhi
kuweza kutumia lafudhi sahihi ya kiswahili
sahihi ya kiswahili
Kuwasiliana Kuwasilinana M 3 AINA ZA Ubainishaji wa aina 9 Kuwaongoza wanafunzi ili Wanafunzi kubainisha aina Mwanafunzi aweze
kwa Kwa A MANENO za maneno waweze kubainisha aina za za maneno TUNGO kufafanua aina za
mazungumzo Kiswahili C maneno kulingana na MBALIMB maneno na kuzitumia
H matumizi yake kwenye ALI kwenye miktadha
na katika
I tungo. ZA fofauti.
maandishi mazungumzo Nomino, Viwakilishi, KISWAHILI
kwa namaandishi Vielezi, Vitenzi,
Kiswahili nawatuau Viunganishi, Vihisishi,
sanifu. jamiikatika Vivumishi

2
4 Ufafanuzi wa aina 3 Kuwaongoza wanafunzi Kuwaongoza wanafunzi TUNGO Mwanafunzi aweze
saba za maneno waweze kutumia aina saba waweze kutumia aina saba ZENYE kutumia aina
katika tungo za maneno na za maneno na waweze AINA mbalimbali za maneno
kutunga sentensi MBALIMB
kwenye muktadha wa
mbalimbali kwa kutumia ALI ZA
aina saba za maneno. MANENO. tungo

TUNGO
MBALIMB
AL
MITIHANI YA NUSU MUHULA
LIKIZO FUPI 31/03 – 08/04/2024
A 2 Matumizi ya aina 3 Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi kutunga sentensi Tungo Mwanafunzi aweze
P saba za maneno kutunga sentensi mbalimbali mbalimbali kwa kutumia mbalimbali kutumia aina za
R katika tungo kwa kutumia aina saba za aina saba za maneno. maneno kwa usahihi
I
maneno. kutunga sentensi
L
I
3 Matumizi ya 6 Kuwaongoza wanafunzi Watajadiliana ili kubaini KAMUSI Paul k, &
kamusi waweze kutumia kamusi. mpangilio wa maneno Thomas Mwanafunzi aweze
kwenye kamusi, YA M,(2009) kutumia kamusi ili
Aina za Kamusi na taarifa Kiswahili,
Kuwaongoza wanafunzi kupata taarifa
za kamusi. KISWAHILI kidato
waweze kubaini aina za cha mbalimbali.
kamusi, mpangilio wa taarifa SANIFU Kwanza,
zilizomo kwenye kamusi. oxford
Universit
Kubaini, Kubaini, FASIHI KWA Dhima 3 Kuwaongoza wanafunzi Watashiriki kwenye somo. SEMI y press, Wanafunzi waweze
Kuhakikkisha Kuhaikikisha 4 UJUMLA za fasihi waweze kueleza maana ya MBALIMB Dsm kufafanua dhima
Nakutunga na kutunga fasihi aina za fasihi na dhima Watajadiliana ALI mbalimbali za fasihi.
kazi zafasihi kazizafasihi za fasihi.
CHATI YA
simulizi. simulizi kwa TANZU ZA
Kiswahili. 4 Aina za fasihi 3 Wanafunzi waweze Wataandika dondoo FASIHI. Mwanafunzi aweze
kutofautisha kazi za fasihi na mbalimbali. kubainisha tanzu za
zizizo za kifasihi. fasihi simulizi.

Ubainishaji Kubainisha M FASIHI Ubainishaji wa Kuwaongoza wanafunzi Wanafunzi kuzipanga KAZI Wanafunzi kuzipanga
wa tanzu za tanzu za A SIMULIZI Tanzu za fasihi waweze kubaini tanzu za tanzu za fasihi simulizi kwa MBALIMB tanzu za fasihi
fasihi simulizi fasihi simulizi Y 1 simulizi. 3 fasihi simulizi na pia kuzingatia kigezo cha ALI ZA simulizi kwa
waweze kubainisha tofauti maumbo ya tanzu. FASIHI kuzingatia kigezo cha
kati ya fasihi simulizi na SIMULIZI. maumbo ya tanzu.
andishi.

3
Kubaini Kubaini Ufafanuzi wa vipera 1 Kuwaongoza wanafunzi Wataainisha tanzu na CHATI Wanafunzi kubainisha
kuhakiki na kuhakiki na 2 vya Tanzu za fasihi waweze kubainisha vipera vipera vya Fasihi simulizi ZA vipera vya tanzu za
kutunga kazi kutunga kazi simulizi. vya tanzu za fasihi simulizi kwa kuzingatia maudhui. TANZU fasihi simulizi kwa
ZA
za fasihi za fasihi kwa kuzingatia maudhui. kuzingatia maudhui.
FASIHI
simulizi. simulizi kwa Watakusanya kazi SIMULIZI.
Kiswahili mbalimbali.

2 Kufafanua vipera Kuwaongoza wanafunzi Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi kusikiliza


vya ushairi 2 kusikiliza kazi mbalimbali kusikiliza kazi mbalimbali kazi mbalimbali za
za ushairi na kuchambua za ushairi na kuchambua ushairi na kuchambua
vipera vya ushairi vipera vya ushairi vipera vya ushairi

MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA


LIKIZO YA MUHULA 31/05 – 01/07/2024
J 3 Kufafanua vipera Kuwaelekeza wanafunzi Kuwaelekeza wanafunzi wanafunzi kukusanya
U vya semi kukusanya semi, methali, kukusanya semi, methali, semi, methali, misemo
L misemo au nahau, wajadili misemo au nahau, wajadili au nahau, wajadili na
A na kuzipanga kulingana na na kuzipanga kulingana na kuzipanga kulingana na
umboa, muundo na
I umboa, muundo na umboa, muundo na
matumizi
matumizi matumizi
J 4 Kufafanua vipera Kuwaongoza wanafunzi Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi wasimulie
U vya maigizo 3 wasimulie maigizo wasimulie maigizo maigizo mbalimbali
L mbalimbali waliyowahi mbalimbali waliyowahi waliyowahi kuyaona
A kuyaona kushiriki au kuyaona kushiriki au kushiriki au kusikiliza
I kusikiliza na kuyapanga kusikiliza na kuyapanga na kuyapanga katika
katika makundi katika makundi makundi

Kubainisha Kubainisha A UHAKIKI Uhakiki wa kazi za Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi waweze CHATI YA Paul k, & Wanafunzi waweze
kuhakiki na kuhakiki na G WA fasihi simulizi. 3 waweze kubainisha vigezo kubainisha vigezo vya TANZAU Thomas kuhakiki kazi za fasihi
kutunga kazi kutunga fasihi O 1 KAZI vya uhakiki kwa kuzingatia uhakiki kwa kuzingatia fani ZA FASIHI. M,(2009) simulizi darasani.
Kiswahili,
za fasihi simulizi kwa S ZA fani na maudhui. na maudhui.
kidato
simulizi kwa Kiswahili. T FASIHI HADITHI cha
Kiswahili. I 2 SIMULIZI 2 Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi Kuainisha MBALIMB Kwanza,
Kuainisha vipengele vyote vipengele vyote vya fani na ALI ZA oxford
vya fani na maudhui. maudhui. FASIHI Universit
SIMULIZI. y press,
1 Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi Kuhakiki hadithi Dsm
Kuhakiki hadithi na semi. na semi.

4
A Usimulizi wa Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi waweze wanafunzi waweze
Kusikiliza na Kusikiliza na G 3 USIMULIZI hadithi. 4 waweze kusimulia hadidhi kusimulia hadidhi za kusimulia hadidhi za
kuelewa kuelewa O za kwenye matini au kwenye matini au MATINI kwenye matini au
mazungumzo taarifa au S wanazozikumbuka. wanazozikumbuka. wanazozikumbuka.
yaliyoko mazungumzo T ZA
katika lugha yanayolingan 4 Usimulizi wa habari 5 Hadithi zizingatie elimu ya Wanafunzi Watajadili Wanafunzi kujadili
ya kiswahili a na kiwango mazingira athari za ajira kwa kufaa kwa mafumbo HADITHI kufaa kwa mafumbo
chake cha watoto, UKIMWI, yanayopatikana. yanayopatikana.
Kiswahili. Nakadhalika.

MITIHANI YA NUSU MUHULA


LIKIZO FUPI 30/08 – 16/09/2024
Kuandika S UANDISHI Insha za wasifu 2 Kuwaongoza wanafunzi Watafanya mazoezi ya makala Mwanafunzi aweze
habari fupi E WA INSHA kwakutumia insha isiyokuwa kuipanga insha katika mbalimbali kutunga insha za
kwa P 4 na mpangilio mzuri. mtiririko mzuri kisha za insha wasifu kwa mbinu
kuzingatia T kubaini umbo la insha. kutoka mbalimbali.
taratibu za vitabuni na
uandishi. O 1 2 Kuwaongoza wanafunzi Utangulizi – Kiini - magazetini. wanafunzi kupanga
K kupanga insha hiyo katika Hitimishao chati za aina insha hiyo katika
T mpangilio mzuri kisha za insha. mpangilio mzuri kisha
O kubaini umbo la insha. kubaini umbo la insha
B
2 Kuwapa insha ya kisanaa na Wanafunzi kubainisha kubainisha tofauti
isiyo ya kisanaa kisha tofauti zilizomo kisha zilizomo kisha
kuwaongoza ili kubaini watatunga na kuwasilisha watatunga na
kuwasilisha kwa
tofauti zilizomo. kwa mdomo na maandishi
mdomo na maandishi
mbele ya darasa. mbele ya darasa.

O UANDISHI WA Barua za kirafiki. 3 Kuwaongoza wanafunzi Wanafunzi jueleza dhara VIELELEZ


K 2 BARUA waweze kuelezea dhana ya ya barua muundo wake O VYA Wanafunzi waweze
T barua muundo wake na umuhimu wake. BARUA kuandika barua za
O umuhimu. KUTOKA kirafiki.
B MAGAZETI
A 3 Kuwaongoza wanafunzi Wanafunzi kuandika barua NI NA Paul k, & Wanafunzi kuandika
3 kuhakiki taratibu za kwa kuzingatia vigezo VITABUNI Thomas barua kwa kuzingatia
uandishi wa barua. vyote vinavyohitajika. M,(2009) vigezo vyote
- Anuani Kiswahili,
vinavyohitajika.
- Tarehe kidato
- Maamkizi cha
- Salamu Kwanza,
- Kiini oxford
- Hitimisho Universit
Bahasha na stempu. y press,
Dsm

5
Kusoma na Kusoma na UFAHAMU Ufahamu wa 3 Kuwaongoza wanafunzi Wanafunzi kusoma kwa makala Wanafunzi kusoma
kuelewa kuelewa 4 kusikiliza wasome kimyakimya kwa sauti kimyakimya na kwa zenye mada kwa sauti kimyakimya
maandiko maandiko sauti, kwa burudani. burudani kwa kuzingatia anuwai kama na kwa burudani kwa
vile
mbalimbali ya mbalimbali ya lafudh i sahihi ya kuzingatia lafudh i
mazingira
Kiswahili vitabu vya Kiswahili. ukimwi n.k sahihi ya Kiswahili.
Kiswahili
vyenye taarifa N 1 kusoma kwa sauti 6 Kuwaongoza wanafunzi Wanafunzi kujibu maswali Wanafunzi kujibu
fupi na rahisi O & waweze kujibu maswali na baada ya kubain mawazo maswali baada ya
ili kupata V 2 kubaini mawazo makuu. makuu. kubain mawazo
ujumbe E makuu.
mahsusi. M 3 6 Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi kusoma kimya matini Wanafunzi kutoa
B & kusoma kimya kusoma kimya makala au makala au matini kasha taarifa juu ya matini
A 4 matini kasha kujibu maswali kujibu maswali walizosoma

D 1 3 Kuwaongoza wanafunzi wanafunzi kusoma vitabu matini Wanafunzi kutoa


E kusoma kwa burudani kusoma vitabu au matini au matini anayoipenda taarifa juu ya matini
S anayoipenda walizosoma

MITIHANI YA MWISHO WA MWAKA NA LIKIZO


06/12/2024

You might also like