You are on page 1of 20

MAAZIMIO YA KAZI YA KISWAHILI DARASA LA 8 MUHULA WA KWANZA

NAME

TSC NO.

SCHOOL
2

MAAZIMIO YA KAZI YA KISWAHILI DARASA LA NANE MUHULA WA KWANZA


WIKI KIPINDI MADA MADA SHABAHA SHUGHULI ZA NYENZO ASILIA MAONI
KUU NDOGO MAFUNZO
1 Kufungua shule na Matayarisho
2 1 KUSIKILIZA Maamkizi Kufikia mwisho wa Kuuliza na kujibu Picha Kiswahili
NA
KUZUNGUM kipindi,mwanafunzi maswali juu ya Michoro. sanifu
ZA aweze: adabu njema. Chati ya darasa la
Kuamkiana kwa njia Kutoa maelezo ya maamkizi. nane uk 2
ifaayo. jinsi ya kusalimu Kamusi.
Kubainisha na kujibu salamu.
matumizi ya Kuyiga na kuigiza
msamiati wa adabu kuhusu salamu.
na heshima. Kurudia matumizi
ya msamiati wa
maamkizi.
2 KUSOMA Ufahamu Kufikia mwisho wa Kurejelea somo Picha/micho Kiswahili
kipindi lililopita ro sanifu
mwanafunzin Kuzungumza juu Kamusi darasa la
aweze: ya picha na Wanafunzi nane uk 2
Kusoma na kujibu michoro. wenyewe.
maswali ya ufahamu Kusoma ufahamu.
kwa usahihi. Kuongoza kupitia
Kuigiza michezo na maswali ya
kutumia misamiati ufahamu.
mpya kwa usahihi. Kujadili mada
inafunza nini.
Kufanya zoezi.
3 MSAMIATI Shairi Mwanafunzi aweze: Kurejelea kipindi Kamusi Kiswahili
3

Kusoma shairi kwa kilichopita. Shairi sanifu


ufasaha. Kueleza maana ya kitabuni. darasa la 8
Kuikiri shairi kwa maneno mpya. Wanafunzi uk 4.
mahadhi mazuri. Kukariri shairi wenyewe
Kufafanua ujumbe kwa mahadhi
wa shairi. mazuri.
Kouandikja kwa hati Kushindana
zinazosomeka kwenye makundi.
Kuzungumza na
kujadili funzo.
4 SARUFI Viambishi Mwanafunzi aweze: Kurejelea somo Chati. Kiswahili
vya ugeni. Kueleza maana ya lililopita. Jedwali la sanifu
viambishi. Kueleza aina ya viambishi darasa la 8
Kutaja aina ya viambishi ngeli. ngeli uk 5.
viambishi na Kutoa maelezo
kubainisha kuhusu viambishi
viambishi vya ngeli. vya ngeli.
Kutumia viambishi Kupitia zoezi kwa
vya ngeli katika sauti.
sentensi. Kufanya zoezi.
5 KUANDIKA Insha Mwanafunzi aweze Kushindans Kielelezo cha Kiswahili
kuandika insha kwa: darasani juu ya insha. Sanifu
Kujaza pengo kwa msamiati juu ya Tajriba ya Darasa la 8
usahihi. adabu wanafunzi. Uk 7
Kutumia manano ya waliyojifunza.
heshima ifaayo Kuuliza na kujibu
katika insha. maswali juu ya
Kuandika kwa hati heshima na adabu
4

zinazosomeka. njema.
Kupitia funzo kwa
sauti.
Kuandika insha.
Kusahihisha
insha.
3 1 KUSIKILIZA Msamiati Mwanafunzi Kuuliza maswali Michoro. Kiswahili
NA
KUONGEA wa awezeKubainisha juu ya akisami. Picha. sanifu
akisami. akisami pamoja na Kuandika na Kadi za darasa la 8
maelezo yake. kuonyesha akisami. uk 8
Kuandika na akisami kwa Kamusi
kuhesabu akisami michoro. Chati za
kwa usahihi. Kupitia funzo kwa akisami.
sauti.
Kufanya zoezi.
Kusahihisha zoezi
lililofanywa.
2 KUSOMA Ufahamu Mwanafunzi aweze: Kuuliza maswali Kamusi. Kiswahili
Kusoma na kujibu juu ya kazi. Wanafunzi sanifu
maswali ya ufahamu Kuhimiza darasa la 8
kwa ufasaha. wanafunzi kutoa uk 9.
Kutumia msamiati hadithi fupifupi Mwongozo
mpya kwa usahihi. Kueleza maana ya wa
Kueleza funzo la maneno mpya. mwalimu
hadithi hii. Kusoma ufahamu. uk 9
Kufanya zoezi.
3 MSAMIATI Misemo na Mwanafunzi aweze Kuuliza maana za Vielelezo vya Kiswahilsni
methali kubainisha misemo misemo. misemo na fu uk 11
5

na methali. Kueleza umuhimu methali. darasa la 8.


Kufafanua maana ya wa misemo na Kamusi Mwongozo
misemo na methali. methali katika Kitabuni. wa
Kutumia misemo na lugha. mwalimu
methali katika Kuandika misemo uk 9 – 10.
sentensi kwa na methali ubaoni.
usahihi. Kupitia funzo kwa
sauti.
Kufanya zoezi.
Kusahihisha zoezi.
4 SARUFI Vivumishi Mwanafunzi Kutaja vivumishi. Chati Kiswahili
visivyo aweze:Kubainisha Kuonyesha sanifu
chukua vivumishi vivumishi darasa la 8
viambishi visivyochukua vinavyobadilika uk 12.
ngeli. viambishi ngeli katika ngeli mbali Mwongozo
katika umoja na mbali. wa
wingi. Kuonyesha mwalimu
Kutumia vivumishi vivumishi uk 11.
hivyo katika visivyochukua
sentensi. viambishi ngeli.
Kupitia somo kwa
sauti.
Kufanya zoezi.
Kusahihisha.
5 KUANDIKA Insha Mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya Insha ya Kiswahili
Kuandika insha misemo kubuni. sanifu
akitumia maneneo waliyofunzwa. Kielelezo cha darasa la 8
aliyopewa kwa Kueleza hatua za insha. uk 14.
6

usahihi. kufuata. Mwongozo


Kubui kisa Kueleza kisa. wa
kulingana na kichwa Kupitaia funzo mwalimu
alichopewa. kwa sauti. uk 12 – 13
Kuandika kwa hati Kuandika insha.
zinazosomeka. Kusahihisha
insha.
4 1 KUSIKILIZA Tarakimu Mwanafunzi aweze: Kusoma tarakimu Kadi za Kiswahili
NA
KUONGEA (10,000,000 Kusoma na chini ya tarakimu. sanifu
– kuzungumza 10,000,000 Ramani ya darasa la 8
100,000,00 tarakimu za Kuandika ulimwengu. uk 20.
0) idadi(10,000,000 – tarakimu ubaoni. Mwongozo
100,000,000) Kufundisha uk 14 – 15.
Kuhesabu na tarakimu
kuandika tarakimu. Kutamka
tarakimu kwa
usahihi.
Kuafanya zoezi.
2 KUSOMA Ufahamu Mwanafunzi aweze: Kuuliza maswali Picha Kiswahili
juu ya
Kusoma na kujibu anga. kamusi sanifu
maswali ya ufaha Kuona picha na darasa la 8
mu. kueleza uk 21.
Kutaja majina ya wanachokiona. Mwongozo
sayari. Kusoma ufahamu wa
Kutumia msamiati na kufanya zoezi. mwalimu
wa sayari kwa uk 16 - 17
usahihi
7

3 MSAMIATI Vitate Mwanafunzi aweze: Kuandika somo la Kadi Kiswahili


Kueleza maana ya alfabeti na silabi. Ubao sanifu uk
neon vitate. Kuorodhesha Chaki 23.Darasa
Kutumia vitate vitate ubaoni. kamusi la 8.
katika sentensi. Kutoa maana ya Mwongozo
Kueleza maana vitate katika wa
mbalimbali za vitate.
kamusi. mwalomu
Kutunga sentensi uk 17 -18.
kutumia vitate.
Kufanya zoezi.
4 SARUFI Vihihishi Mwanafunzi aweze: Kutaja na kueleza Chati zenye Kiswahili
Kueleza maana ya vitate. vihihishi sanifu uk
vihihishi. Kueleza vihihishi 23.
Kubainisha mifano na kutoa mifano Mwongozo
ya vihihishi. na matumizi wa
Kutumia vihihishi yake. mwalimu
katika sentensi kwa Kupitia funzo uk 19.
usahihi. kwa sauti.
Kutumia
vihihishi katika
sentensi.
Kufanya zoezi.
5 KUANDIKA Insha Mwanafunzi aweze: Kutoa hadithi Wanafunzi Kiswahili
Kuandika insha ya fupi. Vielelezo vya Sanifu
kujaza mapengo Kuandika insha. insha. darsa la 8
kwa maneno Kusahihisha uk 25
aliyopewa kwa insha Mwongoz
usahihi. Kutoa hatua o wa
8

Kuandika kwa hati zilizoajika. mwalimu


zinazosomeka. uk 20
5 1 KUSIKILIZA Dira Mwanafunzi aweze: Kueleza uchi Picha Kiswahili
NA
KUONGEA Kubainisha zilizotajwa katika Michoro sanifu uk
msamiati wa dira. funzo la Chati ya dira 26
Kuchora dira yenye tarakimu. Mwongoz
pembe 16 Kutaja pembe za o wa
Kutumia msamiati dunia. mwalimu
wa dira kwa Kuchora dira la uk 21
usahihi. somo hili.
Kusoma
yaliyokitabuni
kwa sauti.
Kufanya zoezi.
3 MSAMIATI Methali Mwanafunzi aweze: Kukamilisha Chati za Kiswahili
Kusoma methali na methali za funzo methali sanifu
maana zake kwa lililopita. Kamusi darasa la 8
ufasaha. Kueleza uk 28
Kubainisha umuhimu wa Mwongoz
umuhimu wa methali. o wa
methali. Kuandika methali mwalimu
Kutumia mey=thal moja kwa moja uk 23 – 24
katikla sentensi kwa ubaoni.
usahihi Kupitia funzo
kwa sauti.
Kufanya zoezi.
4 SARUFI Vihisishi Mwanafunzi aweze: Kutaja na kueleza Chati Kiswahili
Kubainisha aina aina ya vihisishi. Soma kitabu. sanifu
9

mbalimbalimya Kuthoa mifano darasa la 8


vihisishi na mifano kwenye sentensi. uk 29
yake. Kueleza Mwongoz
Kutoa na kutumia matumizi yake. o wa
mifano sahihi ya Kupitia funzo mwalimu
aina ya vihisishi kwa sauti. uk 24 – 25.
katika sentensi kwa Fanya zoezi
usahihi
5 KUANDIKA Barua ya Mwanafunzi aweze Kueleza maana Vielelezo vya Kiswahili
kirafiki. : ya baadhi ya barua ya sanifu
Kuandika insha kwa misemo. kirafiki. darasa la 8
kujaza mapengo Kueleza maana Wanafunzi. uk 30.
kwa usahihi ya misemo. Mwongoz
akitumia maneno Kuongeza ujuzi o wa
aliyopewa. wa kuandika mwalimu
Kuandika barua ya barua ya kirafiki. uk wa 24 –
kirafiki kwa usahihi. Kuandika insha. 25.
Kusahihisha
insha.
10

6 1 KUSIKILIZA Mali ya Mwanafunzi Kutaja mapambo ya Ramani ya Kiswahili


NA KUONGEA
asili aweze : mwili. Kenya sanifu uk
Kueleza maana Kuuliza na kujibu Picha 38 darasa
yana ya mali ya maswali. Michoro la 8.
asili. Kupitia funzo kwa kamusi Mwongoz
Kuorodhesha sauti. o wa
maliasili Kutoa maelezo juu ya mwalimu
zinazopatikana maliasili. uk 27 - 28
nchini. Kushindana juu ya
Kufafanua faida msamiati ya maliasili.
za maliasili na
wajibu wake.
2 KUSOMA Ufahamu Mwanafunzi Kuzungumza juu ya Picha/micho Kiswahili
aweze: picha/mchoro ro sanifu
Kusoma kwa Kueleza maana ya Vifaa halisi darasa la 8
ufasaha. maneno mpya. Ramani ya uk 39
Kujibu maswali Kusoma kimya kimya Kenya. Mwongoz
ya ufahamu Kusoma kwa sauti o wa
Kuzingatia Kupitia maswali kwa mwalimu
mafunzo katika sauti uk 28 – 29.
somo. Kufanya mazoezi.
3 MSAMIATI Methali Mwanafunzi Kueleza maana ya Chati ya Kiswahili
aweze: methali. methali. sanifu
Kusoma methali. Kueleza umuhimu wa Kamusi darasa la 8
Kutoa methali methali katika lugha. Funzo uk 40.
zinazopangana Kupitia funzo Kitabuni. Mwongoz
11

kimaana. o wa
Kutumia methali mwalimu
kwa usahihi.
kwa sauti. uk 29 - 30
Kufganya zoezi na
kusahihisha.
4 SARUFI Viunganis Mwanafunzi Kutaja aina za madini Vielelezo vya Kiswahili
hi aweze : zinazopatikana. viunganishi sanifu
Kueleza maana Kueleza maana ya vya sababu darasa la
ya viunganishi. viunganishi vya 8 uk 41
Kubainisha sababu na kutoa Mwongoz
mifano ya mifano. o wa
viunganishi vya Kutoa mifano zaidi mwalimu
sababu. katika sentensi. uk 30
Kutumia Kupitia funzo kwa
viunganishi vya sauti.
sababu katika Kusaidia na
sentensi. kusahihisha
5 KUANDIKA Insha Mwanafunzi Kutoa hadithi fupi. Vielelezo vya Kiswahili
aweze: Kutaja baadhi ya alama insha ya Sanifu
Kuakifisha insha za kuakifisha na machezo darasa la 8
aliyopewa kwa kueleza matumizi uk 42.
usahihi. yake. Mwongoz
Kuandika insha Kusoma insha na o wa
kulingana na kuakifisha mwalimu
kichwa kimyakimya. uk 31.
alichopewa. Kuwapa insha.
Kuandia kwa Kusahihisha insha.
12

hati
zinazosomeka.
7 Mtihani wa muhula kati na likizo
8 1 KUSIKILIZA Majina ya Mwanafunzi Kutaja baadhi ya Bango Kiswahili
NA KUONGEA
wizara aweze: majina ya mawaziroi na Kamusi sanifu
mbalimbali Kutaja majina ya wizara. Magazeti darasa la 8
wizara Kutaja wizara Fulani na Redio uk 44.
mbalimbali. kueleza inahusaka na Ruuninga. Mwongoz
Kueleza nini. o wa
shughuli ya Kupitia funzo kwa mwalimu
wizara sauti. uk 33 – 34.
mbalimbali. Kueleza shughuli za
wizara
zilizoorodheshwa..
Kufanya zoezi.
2 KUSOMA Ufahamu Mwanafunzi Kutaja maana ya Kamusi Kiswahili
aweze: maneno mpya. wanafunzi sanifu
Kusoma na Kusoma ufahamu kwa darasa la 8
kujibu maswali kwa sauti. uk 45
ya ufahamu. Kusoma kimya. Mwongoz
Kujadili makala Kupitia funzo kwa o wa
na kutoa maoni sauti. mwalimu
yake. Kufanya zoezi. uk 34 – 35.
3 MSAMIATI Visawe Mwanafunzi Kutaja vinyume vya Picha/micho Kiswahili
aweze : maneno. ro sanifu
Kueleza maana Kutaja maneneo yenya Chati darasa la 8
ya visawe. maana sawa Kamusi uk 46
Kubainisha na Kupitia orodha ya Mwongoz
13

kutumia visawe maneno kitabuni. o wa


katika sentensi. Kutumia hayo maneno mwalimu
kwenye Kwenya uk 35 - 36.
sentensi.
Kufanya zoezi.

4 SARUFI Viunganish Mwanafunzi Kueleza maana ya Chati Kiswahili


i aweze: viunganishi. Funzo sanifu
Kubainisha Kutoa mifano zaidi Kitabuni darasa la 8
viambishi vya katika sentensi. Uk 47
chaguo na vya KKupitia funzo kwa Mwongoz
nyongeza. sauti. o wa
Kulimia Kufanya zoezi mwalimu
viunganishi vya Kusahihisha uk 36 - 37
chaguo vya
nyongeza kwa
usahihi.
5 KUANDIKA Insha Mwanafunzi Kutaja majina ya Makala ya Kiswahili
aweze: wizara mbalimbali ufahamu. sanifu uk
Kuandika insha Kupitia funzo kwa sauti 47 darasa
kwa usahihi makala ya ufahamu. la8
kulingana na Kuwaeleza vipengele Mwongoz
kichwa muhimu (vidokezo) o wa
alichopewa. Kuandika insha mwalimu
Kuandika kwa Kusahihisha. uk 37 – 38.
hati
zinazosomeka
na nadhifu.
14

9 1 KUSIKILIZA Ngonjera Mwanafunzi Kutaja fani mbalimbali


NA KUONGEA
aweze: za ushairi kwa
Kueleza maana kuwauliza maswali.
ya ngonjera. Kueleza maana ya
Kukariri ugonjwa.
ngonjera kwa Kusoma kimyakimya.
mahadhi Kusoma ngonjera
mazuri
Kufafanua
ujumbe wa
ngonjera
Kwa sauti Kielelezo cha Kiswahili
Kueleza ujumbe ngonjera. darasa la 8
kamusi uk54.
Mwongoz
o wa
mwalimu
uk 38 - 39
2 KUSOMA Ufahamu Mwanafunzi Kukariri baadhya beti Kielelezo cha Kiswahili
aweze kusoma ya ngonjera. utanzu Sanifu
kwa ufasaha. Kuwauliza kuhusu Kamusi darasa la 8
Kueleza utanzi kanuni za ushairi. uk 56
ni aina gani ya Kusoma kimya kimya. Mwongoz
shairi. Kuteua wanafunzi o wa
Kujibu maswali Fulani kusoma kwa mwalimu
ya ufahamu kwa sauti. uk 39 – 40.
usahihi. Kufanya zoezi.
3 MSAMIATI Nomino za Mwanafunzi Kukaririm shairi la Picha Kiswahili
15

makundi. aweze : utenzi. Michoro sanifu uk


Kueleza maana Kueleza juu ya nomino Chaki 57
ya nomino za za makundi. Ubao. Mwongoz
makundi. Kupitia funzo kwa o wa
Kutumia sauti. mwalimu
nomino za Kutumia nomino za uk 40 – 41.
makundi katika makundi katika
sentensi. sentensi.
Kuandika kwa Kufanya zoezi.
hati
zinazosomeka
na nadhifu.
4 SARUFI Viunganis Mwanafunzi Kutaja aina ya Vielelezo vya Kiswahili
hi, aweze, viunganishi. viunganishi. sanifu
unganishi Kueleza maana Kueleza maana ya Darasa la
ya viunganishi. viunganishi unganishi. 8 uk 58
Kubainisha Kutoa mifano zaidi. Mwonbgo
mifano ya Kupitia funzo kwa zo wa
viunganishi. sauti mwalimu
Kutumia Kufanya zoezi uk 41 - 42
viunganishi kwa
usahihi
5 KUANDIKA Insha Mwanafunzi Kutaja aina za Gazeti Kiswahili
aweze: mashairi. Jarada\ sanifu
Kuakifisha insha Kuwaeleza vidokezo Wanafunzi darasa la 8
aliyopewa kwa vya kufuata wenyewe uk 59
usahihi. unapoandika. Mwongoz
Kutunga shairi Kuandika mashairi o wa
16

kwa kuzingatia (Kutunga) kuzingatia mwalimu


arudhi kulingana kanuni za kutunga uk 42 – 43
na kichwa. shairi.
Kuandika kwa Kusahihisha
hati Kufanya masahihisho
zinazosomeka.
10 1 KUSIKILIZA Msamiati Mwanafunzi Kueleza kisa cha Picha Kiswahili
NA KUONGEA
wa aweze: kuwachanganishaKuzu Michoro sanifu
mahakama Kubainisha ngumza juu ya Kamusi darasa la 8
ni. msamiati wa michoroKupitia funzo uk 60
mahakama. kwa sauti. Mwongoz
Kutumia Kueleza wajibu wa o wa
msamiati wa watu wanaohusika mwalimu
mahakamanim mahakamani. uk 43 – 44
kwa usahihi. Kufanya zoezi
Kueleza
msamiati wa
mahakamani.
Kueleza wajibu
wa watu
waliohusika
mahakamani.
2 KUSOMA Ufahamu Mwanafunzi Kutazama picha. Picha/micho Kiswahili
aweze: Kuwauliza maswali ro. sanifu
Kusoma na kuhusu picha. Kamusi darasa la 8
kujibu maswali Kusoma kimyakimya. Wanafuynzi uk 61.
ya ufahamu. Kupitia funzo wenyewe. Mwongoz
Kujadili ujumbe Kufanya zoezi o wa
17

wa makala. mwalimu
Kutumia uk 44 – 45.
msamiati mpya
katika sentensi.
2 KUSOMA Ufahamu Mwanafunzi Kutaja msamiati wa Vifaa halisi Kiswahili
aweze: mekoni. Picha/micho sanifu uk
Kusoma kwa Kuzungumzia picha/ ro. 73
ufasaha. michoro Kamusi Mwongoz
Kujibu maswali Kutoa maana ya Wanafunzi o wa
ya ufahamu. maneno mpya. wenyewe. mwalimu
Kueleza maana Kusoma kimya kimya. uk 49 – 50.
ya msamiati
mpya.
Kutumia
msamiati
Mpya ipasavyo Kufanya zoezi
kwenye sentensi Kusahihisha
3 MSAMIATI Methali Mwanafunzi Kueleza maana ya Chati ya Kiswahili
aweze: methali. methali na sanifu
Kusoma na Kueleza umuhimu wa maana yake. darasa 8
kubainisha medhali. uk 75
maana na Kupitia funzo kwa Mwongoz
matumizi ya sauti. o wa
methali. Kufanya zoezi mwalimu
Kutumia methali Kusahihisha. uk 50 - 51
kwa usahihi.
Kuandika na
kufanya zoezi.
18

4 SARUFI Matumizi Mwanafunzi Kutaja methali Chati yenye Kiswahili


ya `si` aweze: zinazotumia si sentensi za sanifu
Kueleza Kutoa maelezo. `si` katika darasa la 8
matumizi ya `si` Kuongoza kupitia ngeli yote. uk 76
Kutumia `si` funzo kwa sauti. Mwongoz
katika sentensi Kupitia zoezi kwa o wa
kwa usahihi. sauti. mwalimu
Kufanya zoezi. uk 51 - 52.
5 KUANDIKA Insha Mwanafunzi Kuimba wimbo wenye Resipe ya Kiswahili
aweze: maadili vyakula sanifu
Kuandika insha Kusimulia kuhusu Wanafunzi darasa la 8
ya kubuni kwa karamu ulizohudhuria. wenyewe. uk 77
usahihi. Kueleza mambo Mwongoz
Kuandika insha muhimu. o wa
ya maelezo kwa Kueleza namna ya mwalimu
usahihi. kupika chakula tamu. uk 52 - 53
Kuandika kwa Kuandika insha
hati Kusahihisha
inayosomeka.

3 MSAMIATI Methali Mwanafunzi Kueleza umuhimu wa Chati ya Kiswahili


aweze: methali. methali sanifu
Kusoma methali Kuandika methali Kamusi. darasa la 8
na maana yake. mojamoja ubaoni. uk 62
Kubainisha Kueleza maana ya Mwongoz
maana na methali. o wa
matumizi ya Kupitia funzo kwa mwalimu
methali. sauti. uk 45 - 46
19

Kutumia methali Kufanya zoezi.


kwa usahihi.
4 SARUFI Maneno ya Mwanafunzi Kukamilisha methali za Kadi za Kiswahili
kutilia aweze: funzo lililopita. takriri sanifu
mkazo Kueleza maana Kuwaongoza kupitia Ubao darasa la 8
ya takriri. funzo kwa sauti. chaki. uk 63
Kubainisha Kutumia takriri katika Mwongoz
maneno ya sentensi. o wa
kutilia mkazo. Kupitia zoezi kwa mwalimu
Kutumia sauti. uk 46 - 47
maneno ya Kufanya zoezi
kutilia mkazo Kusahihisha.
katika sentensi.
Kufanya zoezi.
5 KUANDIKA Insha Mwanafunzi Kueleza maana ya Kielelezo cha Kiswahili
(kumbuku aweze: kumbukumbu. insha. sanifu
mbu) Kubainisha Kuwaongoza kutaja Funzo la darasa la 8
insha za hatua (vidokezo) kitabu uk 64
kumbukumbu Vinavyofuatwa Mwongoz
na sifa zake. kuandikwa. o wa
Kuandika insha Kup[itia funzo mwalimu
ya uk 47 - 48
kumbukumbu
Kuandika kwa
hati
zinazosomeka.
Kwa sauti
Kuandika wakitumia
20

mfano waliosoma.
Kusahihisha.
11 1 KUSIKILIZA Mekoni Mwanafunzi Kukamilisha methali za Picha/micho Kiswahili
NA KUONGEA
aweze: funzo lililopita. ro sanifu
Kufafanua Kuwauliza kuhusu Vifaa halisa darasa la 8
baadhi ya mekoni. kamusi uk 72.
msamiati wa Kuzungumzia michoro Mwongoz
mekoni. kitabuni. o wa
Kujadili Kufanya zoezi. mwalimu
shughuli za uk 48
mekoni.
Kutumia
msamiati wa
mekoni kwa
usahihi
12- Marudio na mtihani wa mwisho wa muhula
13
14 Kusahihisha na kufunga shule

You might also like