GREDI 3 KISWAHILI MUHULA WA KWANZA GREDI YA TATU MWAKA 2018
W KI MADA MADA MATOKEO MAALUMU MASWALI MAPENDEKEZO YA SHUGHULI ZA NYENZO TATHMI
PI NDOGO YANAYOTARAJIWA DADISI UFUNZAJI NI N DI 1 1 2 1- Shambani Sauti Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali 3 mbili mwanafunzi aweze: 1) Ni sauti Mwanafunzi atambue sauti bw, fy na charti mepesi tofauti a) kutambua sauti mbili zipi kw katika maneno. ya kauli zinazota zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha unazoweza ilabi za sauti mkwa matamshi bora kutamka? lengwa ikitamkwa na mwalimu kisha pamoja b) kutamka sauti lengwa ili 2) Unajua atamke pamoja na mwalimu na kuimarisha matamshi bora kusoma baadaye atamke akiwa peke yake, c) kusoma silabi za sauti lengwa ili sauti zipi wawili wawili na kama darasa.Mifano kuimarisha usomaji mbili ya silabi hizi ni: bwa, bwe; fya, fye; d) kuandika silabi zinazotokana na zinazotamk kwa, kwe, kwi n.k. sauti lengwa ili kuimarisha uandishi wa? bora 3) Unajua teknolojia (papaya) kusikiliza sauti e) kusoma maneno kwa kutumia kuandika lengwa ikitamkwa. silabi zinazotokana na sauti lengwa ili maneno kuimarisha usomaji gani mgeni mwalikwa akitamka sauti f) kuandika maneno kutokana na yanayound lengwa. silabi zilizofunzwa ili kuimarisha wa uandishi bora kutokana kutumia silabi k.v. silabi bwana, g) kusoma hadithi zilizo na maneno na sauti bweka, fyata, fyeka, kwao, kwea na yaliyo na sauti lengwa ili kumsaidiwa mbili kwekwe. mwanafunzi kutamka sauti husika ili zinazotamk kuimarisha matamshi na usomaji wa alizosoma hewani na vitabuni pamoja h) kuchangamkia kutamka sauti pamoja? na maneno yanayojumuisha sauti lengwa ili kuimarisha mawasiliano hizo.
maneno yaliyo na herufi za sauti
lengwa na kuyaandika kupitia kwa mwalimu au vifaa vya teknolojia 3 1- Msamiati Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali 3 mwanafunzi aweze: 1) Je, Mwanafunzi asome msamiati wa charti mepesi a) kutambua msamiati unaohusiana na wajua vifaa shambani kama vile jembe, shoka, ya kauli shughuli za shambani ili kuimarisha vipi upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima, mawasiliano vinavyotu fyeka, panda na kwekwe katika kadi b) kusoma maneno na sentensi mika na chati. kuhusu shambani ili kuimarisha shambani? usomaji 2) Ni kifaa halisi, picha au michoro c) kutunga sentensi akitumia kipi cha anavyoonyeshwa. msamiati wa shambani ili kuimarisha shamba mawasiliano unachowez shambani hivyo kwenye tarakilishi au d) kuandika maneno na sentensi a kuchora tabuleti vikifanya kazi. zinazojumuisha msamiati wa shambani katika kujenga uandishi vifaa vinavyotumika shambani. bora e kadi za e) kuthamini matumizi ya msamiati maneno na vifaa halisi wakiwa katika wa shambani katika mawasiliano vikundi.
katika nyimbo na mashairi kuhusu
shambani.
vifaa vinavyotumika shambani.
sentensi akitumia
msamiati wa shambani
4 1- Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali
3 a na mwanafunzi aweze: 1) Je, ni Mwanafunzi kusimulia kuhusu charti mepesi Kuzungu a) kusikiliza kwa makini masimulizi vifaa vipi shambani. ya kauli mza: kuhusu shambani katika kujenga hutumika Mwanafunzi ashiriki katika Masimuli usikivu shambani? mjadala kuhusu vifaa vinavyotumika zi b) kutaja majina ya vifa 2) Ni shambani kama vile; jembe, shoka, vinavyotumika shambani ili shughuli upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima, kuimarisha stadi ya kuzungumza zipi fyeka na panda akionyeshwa vifaa c) kuelezea vifaa vinavyotumika zinazofanyi halisi, picha au michoro. shambani ili kuimarisha stadi ya ka kuzungumza shambani vifaa vinavyotumika shambani.
d) kuelezea shughuli zinazofanyika katika nyimbo au mashairi kuhusu
shambani ili kuimarisha stadi ya vifaa vinavyotumika shambani. kuzungumza e) kutambua matumizi ya vifaa katika kuigiza vitendo vinavyofanywa vinavyotumika shambani ili shambani kuimarisha stadi ya kuzungumza f) kuthamini umuhimu wa vifaa Mwanafunzi aweza kutazama vinavyotumika shambani video inayoonyesha jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumika shambani
tarakilishi kutambua vifaa mbalimbali
kwa majina vilivyo
5 1- Kusoma: Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali
3 Hadithi mwanafunzi aweze: 1) Unaona Mwanafunzi ajadili picha charti mepesi a) kutambua picha za vifaa nini katika zilizojumuishwa kwenye hadithi. ya kauli vinavyotumika shambani ili picha? kuimarisha ufahamu wa hadithi 2) Ni nini kwenye hadithi. b) kusoma hadithi za picha kitakachote zinazohusu shamba ili kujenga ndeka msamiati uliotumika kwenye hadithi. usomaji bora katika e c) kusikiliza hadithi zikisomwa na hadithi? darasani, wakiwa wawili na baadaye mwalimu kuhusu vifaa 3) Ni vifaa asome peke yake. vinavyotumika shambani ili kujenga vipi usikivu vimetajwa hadithi wakiwa wawili wawili au d) kufahamu hadithi aliyoisoma na katika katika vikundi. aliyosomewa kuhusu shambani ili hadithi kupata ujumbe kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia e) kuchangamkia kusoma hadithi za k.m. tarakilishi na projekta. vifaa vinavyotumika shambani ili ma hadithi kuendeleza stadi ya usomaji kwa kutumia jitabu mbele ya darasa. baada ya kusoma hadithi.
hadithi aliyosoma.
maswali kuhusu hadithi aliyosoma.
6 1- Kuandika Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali
3 mwanafunzi aweze: 1) Je, ni Mwanafunzi apewe hadithi yenye charti mepesi a) kuandika kisa kifupi kwa hati mambo mapengo ajaze kwa maneno mwafaka ya kauli nadhifu kulingana na mada ili kujenga yapi mwingine. stadi ya uandishi yanayofaa b) kufurahia uandishi wa visa tofauti kuzingatiw muhimu katika uandishi k.v. ili kuimarisha mawasiliano andishi a mwandiko nadhifu, maudhui, unapoandik mtiririko n.k. a kisa? 2) Je, ni kisa kilichoandikwa na mwanafunzi. kisa gani unachowez kifupi wakiwa wawili wawili. a kuandika kifupi juu ya kinachohusiana na mada. Kisa hiki shamba? kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji
7 1- Sarufi: Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali
3 Nafsi ya mwanafunzi aweze: 1) Je, Mwanafunzi atumie nafsi ya tatu charti mepesi tatu a) kutambua maneno na viambishi unatumia wakati ujao hali ya umoja na wingi ya kauli wakati vinavyotumika kuonyesha nafsi ya neno gani katika mazungumzo. ujao- tatu na wakati ujao katika umoja na kuonyeshea umoja na wingi ili kuimarisha mawasiliano mwenzako wakati ujao hali ya umoja na wingi wingi b) kutumia nafsi ya tatu wakati ujao akiwa katika sentensi. hali ya umoja na wingi katika sentensi mbali? kwa usahihi ili kuimarisha 2) Ikiwa mapengo kwa kutumia nafsi ya tatu mawasiliano nanuia wakati ujao hali ya umoja na wingi. c) kusoma vifungu vilivyo na nafsi ya kusafiri tatu, wakati ujao kwa umoja na wingi kesho, sentensi zinazojumuisha nafsi na ili kujenga usomaji nitasemaje? nyakati mbalimbali wazitambue d) kuandika vifungu vilivyo na nafsi katika vikundi. ya tatu, wakati ujao kwa umoja na a zoezi wingi ili kujenga uandishi bora katika tarakilishi ili atumie mbinu ya kuburura na kutia kapuni.
kuashiria nafsi ya kwanza, ya pili na
ya tatu huku akitunga sentensi.
ufafanuzi wa nafsi kwa kutumia
vibonzo katika tarakilishi.
8 1- Uzalendo Sauti Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi
3 mbili mwanafunzi aweze: 1) Ni sauti Mwanafunzi atambue sauti mw, nd charti tofauti a) kutambua sauti mbili zipi na pw katika maneno. zinazota zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha unazojua mkwa matamshi bora kutamka? akizitamka silabi zinazotokana na pamoja b) kutamka sauti lengwa ili 2) Unajua sauti lengwa kisha atamke pamoja na kuimarisha matamshi bora kusoma mwalimu na baadaye atamke akiwa c) kusoma silabi za sauti lengwa ili silabi zipi pekee, wawili na darasa zima k.m kuimarisha usomaji katika mwa, mwe, mwi na mwo. d) kuandika silabi zinazotokana na maneno? sauti lengwa ili kuimarisha uandishi 3) Ni herufi teknolojia kama vile papaya, bora na maneno tarakilishi, projekta na kipaza sauti e) kusoma maneno kwa kutumia yapi kumsaidia kuimarisha matamshi yake. silabi zinazotokana na sauti lengwa ili yanayound kuimarisha usomaji wa mgeni mwalikwa akitamka sauti f) kuandika maneno kutokana na kutokana lengwa. silabi zilizofunzwa ili kuimarisha na sauti uandishi mbili alizosoma katika maneno kwa mfano zinazotamk k. m mwana, mwananchi, ndoo, ndizi, wa uzalendo, pwani, pweza na pweke pamoja?
9 1- Kufikia mwisho wa mada, 1) Ni sauti Vifaa harisi Maswali
3 mwanafunzi zipi Mwanafunzi asome maneno kwa charti mepesi unazojua kutumia silabi na kugawa yaliyo ya kauli g) kusoma hadithi zilizo na maneno kutamka? marefu zaidi katika sehemu ndogo yaliyo na sauti lengwa ili kumsaidia 2) Unajua ndogo. mwanafunzi kutamka sauti husika ili kusoma kuimarisha matamshi na usomaji silabi zipi na maneno yaliyobeba sauti lengwa h) kuchangamkia kutamka sauti katika darasani au wawili wawili. lengwa ili kuimarisha mawasiliano maneno? 3) Ni herufi maneno yanayotokana na sauti na maneno alizofunzwa. yapi yanayound yanayojumuisha sauti lengwa. wa ya kutokana maneno yaliyo na herufi za sauti na sauti lengwa na kuyaandika mbili zinazotamk wa pamoja 1 1- Msamiati Kufikia mwisho wa mada, Maswali 0 3 . mwanafunzi aweze: 1) Je, Mwanafunzi asome maneno mepesi a) kutambua msamiati ambao uzalendo ni yanayohusiana na uzalendo kama ya kauli unahusiana na uzalendo ili kuimarisha nini? vile; umoja, amani, upendo, bendera, mawasiliano 2) Unajua taifa, nchi, raia, gwaride, rangi za b) kusoma msamiati unaohusiana na maneno bendera kwa kutumia kadi za uzalendo ili kujenga usomaji yapi maneno. c) kueleza maana ya msamiati wa yanayohusi uzalendo ili kuimarisha mawasiliano ana na msamiati wa uzalendo. d) kutumia msamiati wa uzalendo uzalendo? katika sentensi sahihi ili kuimarisha mjadala kuhusu maana za maneno mawasiliano yanayohusiana na uzalendo e) kuandika maneno yanayohusiana na uzalendo ili kuimarisha uandishi kwa kutumia msamiati wa uzalendo. bora f) kuthamini uzalendo ili kuwa vitendo vya kizalendo k.m. mashujaa mzalendo kwa nchi yake wa nchi.
picha inayolenga maana za maneno
kuhusu uzalendo.
umuhimu wa uzalendo wakiwa
kwenye vikundi.
1 1- Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali
1 3 a na mwanafunzi aweze: 1) Je, ni Mwanafunzi aeleze baadhi ya charti mepesi Kuzungu a) kutambua maneno yanayoonyesha nini maana mambo yanayoweza kuimarisha ya kauli mza:Mas uzalendo ili kuyatumia katika ya uzalendo katika nchi yake kwa imulizi mawasiliano uzalendo? kutumia mgeni mwalikwa. b) kusimulia visa vinavyojumuisha 2) mambo yanayoweza kuimarisha Uzalendo vinavyojumuisha mambo yanayoweza uzalendo ili kujenga stadi ya una kuimarisha uzalendo kama vile kuzungumza umuhimu amani, umoja, upendo na bendera ya c) kusikiliza masimulizi kuhusu gani? Kenya. uzalendo ili kuimarisha usikivu 3) Je, ni d) kuthamini umuhimu wa uzalendo kwa njia hadithi anazosimuliwa. katika maisha ya kila siku zipi unaweza video inayoonyesha vitendo vya kuonyesha kizalendo. uzalendo? 4) Bendera uzalendo katika makundi. ina umuhimu na kujadili maana ya baadhi ya gani? maneno ya kizalendo katika wimbo huo.
kuhusu baadhi ya mambo yanayohusu
uzalendo. aje baadhi ya sifa za mzalendo kama vile kupenda nchi yake, amani na umoja
1 1- Kusoma: Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali
2 3 Hadithi mwanafunzi aweze: 1) Je, Mwanafunzi ajadili picha charti mepesi a) kutambua rangi za bendera ili unajua nini zilizojumuishwa kwenye hadithi. ya kauli kuimarisha uzalendo kuhusu b) kutambua maneno yanayohusiana uzalendo? kwenye hadithi. na uzalendo ili kuimarisha 2) Ni vipi mawasiliano unavyowez wake baada ya kusoma hadithi. c) kusoma hadithi za kizalendo ili a kujenga usomaji kuonyesha msamiati uliotumika kwenye hadithi d) kusikiliza hadithi za mwalimu upendo kama vile amani, umoja, upendo, kuhusu uzalendo ili kuimarisha kwa nchi nchi, taifa, raia, bendera na wimbo wa usikivu yako? taifa. 3) Sifa za e) kufahamu hadithi aliyoisoma na mzalendo katika darasa, wakiwa wawili, aliyosomewa kuhusu uzalendo ili ni zipi? kwenye vikundi au asome peke yake. kupata ujumbe f) kuthamini umuhimu wa uzalendo Mwanafunzi aweza kusikiliza katika maisha ya kila siku. hadithi husika ikisomwa kupitia kinasasauti. kutazama video ya mtu au mtoto akisoma hadithi husika kwa ufasaha kisha aige usomi ule.
maswali kutokana na hadithi
aliyosoma au kusomewa
1 1- Kuandika Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali
3 3 mwanafunzi aweze: 1) Je, ni Mwanafunzi apewe hadithi yenye charti mepesi a) kuandika kisa kifupi kwa hati mambo mapengo ajaze kwa maneno ya kauli nadhifu kulingana na mada ili kujenga yapi mwafaka. stadi ya uandishi yanayofaa b) kufurahia uandishi wa visa tofauti kuzingatiw muhimu katika uandishi k.v. ili kuimarisha mawasiliano andishi. a mwandiko nadhifu, maudhui, unapoandik mtiririko n.k. a kisa? 2) Je, ni kisa kilichoandikwa na mwanafunzi. tukio gani unaloweza kifupi wakiwa wawili wawili. kukumbuka na kinachohusiana na mada. Kisa hiki kuandikia kifuate hatua tano za uandishi: kisa maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji.