You are on page 1of 15

AZIMIO LA KAZI YA KISWAHILI GREDI 6 MUHULA 1

NAME

TSC NO.

SCHOOL
SHULE GREDI ENEO LA KUJIFUNZA MUHULA MWAKA

GREDI 6 KISWAHILI 1

Wiki Kipindi Mada kuu Mada ndogo Matokeo maalum Shughuli za ujifunzaji Maswali dadasi Nyenzo Mapendekezo Maoni
yanayotarajiwa ya tathmini

1 1 Viungo vya Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Ni silabi zipi Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya kuzungumza; mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazoundwa Chati Kujibu maswali
ndani Matamshi a) Kutambua silabi zinazotokana na sauti katika Mabango Kujaza pengo
bora: Silabi na zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika vitanzandimi Kamusi Kuandika tungo
vitanzandimi: zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/ ulivyokariri? Majarida Kazi mradi
Sauti /d/ na maneno (/d/ na /nd/) Michoro na picha
/nd/ b) Kutamka vitanzandimi Mwanafunzi aweze Je, ni silabi zipi Vifaa vya
vinavyoundwa kwa silabi kusikiliza sauti lengwa zinazorudiwa kidijitali
za sauti zinazokaribiana zikitamkwa kutoka kwa katika vitanza JKF; Nyota ya
kimatamshi (/d/ na /nd/) vifaa vya kiteknolojia k.v ndimi Kiswahili
c) Kufurahia kutunga rununu na kinasasauti unavyounda? Kitabu cha
vitanzandimi zenye silabi Mwanafunzi
/d/ na /nd/ Mwanafunzi aweze Gredi ya 6, Uk.
kutamka silabi lengwa na 1-2
vitanza ndimi akiwa
pekeake, wakiwa wawili au
katika vikundi.

2 Viungo vya Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Vivumishi vya Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya maneno: mwanafunzi aweze: maana ya vivumishi vya sifa zinahusu Chati Kujibu maswali
ndani Vivumishi vya a) Kueleza maana ya sifa. nini? Mabango Kujaza pengo
sifa vivumishi vya sifa. Kamusi Kuandika tungo
b) Kutambua vivumishi vya Mwanafunzi aweze Je, ni vivumishi Majarida Kazi mradi
sifa vinavyochukua kutambua vivumishi vya vya sifa zipi Michoro na picha
viambishi awali. sifa vinavyochukua unazozijua? Vifaa vya
c) Kuchangamkia kutumia viambishi awali (k.v mzuri, kidijitali
vivumishi vya sifa katika mkubwa, kidogo) JKF; Nyota ya
utungaji wa sentensi. Kiswahili
Mwanafunzi aweze Kitabu cha
kutambua vivumishi vya Mwanafunzi
sifa kwenye sentensi au Gredi ya 6, Uk.
vifungu. 2-4

3 Viungo vya Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, vivumishi vya Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya maneno: mwanafunzi aweze: maana ya vivumishi vya sifa sifa Chati Kujibu maswali
ndani Vivumishi vya a) Kutambua vivumishi vya kwa kutumia vitu au watu visivyochukua Mabango Kujaza pengo
sifa sifa visivyochukua katika mazingira yake. viambishi awali Kamusi Kuandika tungo
viambishi awali. ni gani? Majarida Kazi mradi
b) Kuandika vivumishi vya Mwanafunzi aweze Michoro na picha
sifa visivyochukua kutambua vivumishi vya Vifaa vya
viambishi awali kwa sifa visivyochukua kidijitali
kutumia tarakilishi. viambishi awali. JKF; Nyota ya
c) Kuchangamkia matumizi Kiswahili
ya vivumishi vya sifa Mwanafunzi aweze Kitabu cha
katika mawasiliano ya kila kuandika vivumishi vya sifa Mwanafunzi
siku. visivyochukua viambishi Gredi ya 6, Uk.
awali kwa kutumia 10-11
tarakilishi katika vikundi.

4 Viungo vya Kusoma; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kusoma Je, Biashara Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya Kusoma kwa mwanafunzi aweze: kifungu kwa kuzingatia haramu ni gani? Chati Kujibu maswali
ndani ufahamu: a) Kusoma kifungu kwa ujumbe matukio na Mabango Kujaza pengo
Biashara kuzingatia ujumbe wahusika. Vifaa vya Kamusi Kuandika tungo
haramu ya matukio na wahusika. kidijitali vina Majarida Kazi mradi
viungo b) Kutunga sentensi kutumia Mwanafunzi aweze umuhimu gani? Michoro na picha
msamiati aliojifunza kushiriki katika vikundi Vifaa vya
kwenye kifungu. kujadili na kutumia kidijitali
c) Kufurahia kutoa msamiati lengwa katika JKF; Nyota ya
mukhtasari wa kifungu sentensi. Kiswahili
hicho. Kitabu cha
Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
5-7

2 1 Viungo vya Kuandika; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Insha ya wasifu Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya Insha ya mwanafunzi aweze: kutambua insha wasifu kwa ni gani? Chati Kujibu maswali
ndani wasifu a) Kutambua insha wasifu kuzingatia mtindo na Mabango Kujaza pengo
kwa kuzingatia mtindo na muundo wake. Kamusi Kuandika tungo
muundo wake. Majarida Kazi mradi
b) Kuandika insha ya wasifu Mwanafunzi aweze kutumia Michoro na picha
kwa ubunifu ili kujenga methali, tashbihi na nahau Vifaa vya
maelezo yenye kutoa picha zinazofaa ili kuipamba kidijitali
dhahiri. insha yake. JKF; Nyota ya
c) Kuchangamkia utunzi Kiswahili
mzuri wenye ujumbe Mwanafunzi aweze kutilia Kitabu cha
mahususi. maanani anwani, mtiririko Mwanafunzi
wa mawazo, mwandiko safi Gredi ya 6, Uk.
na kanuni za lugha 7-8
aandikapo insha ya wasifu.

Mwanafunzi aweze
kuandika insha ya wasifu
kwa ubunifu ili kujenga
maelezo yenye kutoa picha
dhahiri.
2 Viungo vya Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Ni silabi zipi Kutunga sentensi
mwili vya kuzungumza; mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazoundwa Kapu maneno Kujibu maswali
ndani Matamshi a) Kutambua silabi zinazotokana na sauti katika Chati Kujaza pengo
bora: Silabi na zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika vitanzandimi Mabango Kuandika tungo
vitanzandimi: zinazokaribiana katika maneno (/ch/ na /sh/) ulivyokariri? Kamusi Kazi mradi
Sauti /ch/ na maneno (/ch/ na /sh/) Majarida
/sh/ b) Kutamka vitanzandimi Mwanafunzi aweze Je, ni silabi zipi Michoro na picha
vinavyoundwa kwa silabi kutamka vitanzandimi zinazorudiwa Vifaa vya
za sauti zinazokaribiana vinavyoundwa kwa silabi za katika vitanza kidijitali
kimatamshi (/ch/ na /nd/) sauti zinazokaribiana ndimi JKF; Nyota ya
c) Kuchangamkia kukariri kimatamshi (/ch/ na /nd/) unavyounda? Kiswahili
vitanzandimi Kitabu cha
vinavyoundwa kwa silabi Mwanafunzi aweze Mwanafunzi
za sauti zinazokaribiana kutambua maneno yenye Gredi ya 6, Uk.
kimatamshi /ch/ na /sh/ silabi za sauti /ch/ na /sh/ 8-9
katika mchoro wa viungo
vya mwili vya ndani katika
vikundi.
3 Viungo vya Kusoma; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kusoma Kusoma kuhusu Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya Kusoma kwa mwanafunzi aweze: kifungu kwa kuzingatia viungo vya mwili Chati Kujibu maswali
ndani ufahamu: a) Kusoma kifungu kwa ujumbe matukio na vya ndani vina Mabango Kujaza pengo
Umuhimu wa kuzingatia ujumbe wahusika. umuhimu gani? Kamusi Kuandika tungo
viungo vya matukio na wahusika. Majarida Kazi mradi
mwili vya b) Kutambua msamiati wa Mwanafunzi aweze Je, viungo vya Michoro na picha
ndani suala lengwa uliotumika kutambua msamiati wa mwili vya ndani Vifaa vya
katika kifungu ili suala lengwa uliotumika zina umuhimu kidijitali
kuimarisha ufahamu. katika kifungu ili gani? JKF; Nyota ya
c) Kujenga mazoea ya kuimarisha ufahamu Kiswahili
usomaji bora katika wakiwa wawiliwawili au Kitabu cha
maisha ya kila siku. katika vikundi. Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
Mwanafunzi aweze kujibu 11-13
maswali yanayotokana na
kifungu ipasavyo.
4 Viungo vya Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, Vivumishi Kutunga sentensi
mwili vya Maneno: mwanafunzi aweze: maana ya vivumishi viashiria Kapu maneno Kujibu maswali
ndani Vivumishi a) Kueleza maana ya viashiria kwa kutaja vitu vinahusu nini? Chati Kujaza pengo
viashiria vivumishi viashiria. vilivyo karibu, mbali kidogo Mabango Kuandika tungo
b) Kutambua vivumishi na mbali kabisa katika Je, ni vivumishi Kamusi Kazi mradi
viashiria katika sentensi. vikundi. viashiria zipi Majarida
c) Kuchangamkia kutumia unazozijua? Michoro na picha
vivumishi viashiria katika Mwanafunzi aweze Vifaa vya
utungaji wa sentensi kutambua vivumishi kidijitali
viashiria katika sentensi JKF; Nyota ya
kwenye vitabu, tarakilishi, Kiswahili
chati kwa kuzipigia mstari Kitabu cha
au kukoleza rangi. Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
13-14
3 1 Viungo vya Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, ni vivumishi Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya Maneno: mwanafunzi aweze: na kutaja vivumishi viashiria zipi Chati Kujibu maswali
ndani Vivumishi a) Kueleza na kutaja viashiria mbalimbali. unazozijua? Mabango Kujaza pengo
viashiria vivumishi viashiria Kamusi Kuandika tungo
mbalimbali. Mwanafunzi aweze Majarida Kazi mradi
b) Kutambua vivumishi kutambua vivumishi Michoro na picha
viashiria, aviburure na viashiria, kuviburura na Vifaa vya
kuvitia kapuni. kuvitia kapuni. kidijitali
c) Kuchangamkia matumizi JKF; Nyota ya
ya vivumishi viashiria Kiswahili
katika mawasiliano ya kila Kitabu cha
siku. Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
16-17

2 Viungo vya Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Ni silabi zipi Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya kuzungumza; mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazoundwa Chati Kujibu maswali
ndani Matamshi a) Kutambua silabi zinazotokana na sauti katika Mabango Kujaza pengo
bora: Silabi na zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika vitanzandimi Kamusi Kuandika tungo
vitanzandimi: zinazokaribiana katika maneno (/j/ na /nj/ ulivyokariri? Majarida Kazi mradi
Sauti /j/ na maneno (/j/ na /nj/) Michoro na picha
/nj/ b) Kutamka vitanzandimi Mwanafunzi aweze Je, ni silabi zipi Vifaa vya
vinavyoundwa kwa silabi kusikiliza sauti lengwa zinazorudiwa kidijitali
za sauti zinazokaribiana zikitamkwa kutoka kwa katika vitanza JKF; Nyota ya
kimatamshi (/j/ na /nj/) vifaa vya kiteknolojia k.v ndimi Kiswahili
c) Kufurahia kutunga tarakilishi unavyounda? Kitabu cha
vitanzandimi zenye silabi Mwanafunzi
/j/ na /nj/ Mwanafunzi aweze Gredi ya 6, Uk.
kutamka silabi lengwa na 15-16
vitanza ndimi akiwa
pekeake, wakiwa wawili au
katika vikundi.

3 Viungo vya Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Vivumishi Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya Maneno; mwanafunzi aweze: maana ya vivumishi vimilikishi Chati Kujibu maswali
ndani Vivumishi a) Kueleza maana ya vimilikishi. vinahusu nini? Mabango Kujaza pengo
vimilikishi vivumishi vimilikishi. Kamusi Kuandika tungo
b) Kutambua vivumishi Mwanafunzi aweze Majarida Kazi mradi
vimilikishi katika sentensi kutambua vivumishi Michoro na picha
kwa kuigiza umiliki wa vimilikishi katika sentensi Vifaa vya
vitu mbalimbali. kwa kuigiza umiliki wa vitu kidijitali
c) Kuchangamkia kutumia mbalimbali wakiwa JKF; Nyota ya
vivumishi vimilikishi wawiliwawili. Kiswahili
katika utungaji wa Kitabu cha
sentensi. Mwanafunzi aweze kujaza Mwanafunzi
jedwali kutumia vimilikishi Gredi ya 6, Uk.
katika nafsi I, nafsi II na 18-20
nafsi III katika vikundi

4 Viungo vya Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Je, ni vivumishi Kapu maneno Kutunga sentensi
mwili vya Maneno; mwanafunzi aweze: kuandika sentensi akitumia vimilikishi zipi Chati Kujibu maswali
ndani Vivumishi a) Kuandika sentensi vivumishi vimilikishi na unazozijua? Mabango Kujaza pengo
vimilikishi akitumia vivumishi nomino. Kamusi Kuandika tungo
vimilikishi na nomino. Majarida Kazi mradi
b) Kutambua vivumishi Mwanafunzi aweze Michoro na picha
vimilikishi kati ya orodha kutambua vivumishi Vifaa vya
alizopewa katika vimilikishi kati ya orodha kidijitali
tarakilishi, aviburure na alizopewa katika tarakilishi, JKF; Nyota ya
kuvitia kapuni. aviburure na kuvitia Kiswahili
c) Kuonea fahari matumizi ya kapuni. Kitabu cha
vivumishi vimilikishi Mwanafunzi
katika mawasiliano. Mwanafunzi aweze kujaza Gredi ya 6, Uk.
pengo kwa kimilikishi 22-23
sahihi kati ya vile
alivyopewa.
4 1 Viungo vya Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Ni silabi zipi Kutunga sentensi
mwili vya kuzungumza; mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazoundwa Kapu maneno Kujibu maswali
ndani Matamshi a) Kutambua silabi zinazotokana na sauti katika Chati Kujaza pengo
bora: Silabi na zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika vitanzandimi Mabango Kuandika tungo
vitanzandimi: zinazokaribiana katika maneno (/g/ na /ng/ ulivyokariri? Kamusi Kazi mradi
Sauti /g/ na maneno (/g/ na /ng/) Majarida
/ng/ b) Kutamka vitanzandimi Mwanafunzi aweze Je, ni silabi zipi Michoro na picha
vinavyoundwa kwa silabi kusikiliza sauti lengwa zinazorudiwa Vifaa vya
za sauti zinazokaribiana zikitamkwa kutoka kwa katika vitanza kidijitali
kimatamshi (/g/ na /ng/) vifaa vya kiteknolojia k.v ndimi JKF; Nyota ya
c) Kuchangamkia kukariri tarakilishi unavyounda? Kiswahili
vitanzandimi Kitabu cha
vinavyoundwa kwa silabi Mwanafunzi aweze Mwanafunzi
za sauti zinazokaribiana kutamka silabi lengwa na Gredi ya 6, Uk.
kimatamshi /g/ na /ng/ vitanza ndimi akiwa 20-22
pekeake, wakiwa wawili au
katika vikundi.
2 Michezo Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, watu Kapu maneno Kutunga sentensi
kuzungumza; mwanafunzi aweze: maana ya maamkuzi. husalimiana vipi Chati Kujibu maswali
Maamkuzi na a) Kutambua aina mbalimbali katika jamii? Mabango Kujaza pengo
maagano: za maamkuzi katika Mwanafunzi aweze Kamusi Kuandika tungo
Maamkuzi mawasiliano. kutambua aina mbalimbali Majarida Kazi mradi
b) Kuigiza maamkuzi za maamkuzi katika Michoro na picha
mbalimbali. mawasiliano katika vikundi. Vifaa vya
c) Kuchangamkia maamkuzi kidijitali
katika mahusiano. Mwanafunzi aweze kujadili JKF; Nyota ya
umuhimu wa maamkuzi Kiswahili
wakiwa wawiliwawili. Kitabu cha
Mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kuigiza Gredi ya 6, Uk.
maamkuzi mbalimbali. 24-25

3 Michezo Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, vivumishi vya Kapu maneno Kutunga sentensi
Maneno; mwanafunzi aweze: maana ya vivumishi vya idadi ni zipi? Chati Kujibu maswali
Vivumishi vya a) Kueleza maana ya idadi. Mabango Kujaza pengo
idadi kamili vivumishi vya idadi. Je, vivumishi vya Kamusi Kuandika tungo
b) Kutambua vivumishi vya Mwanafunzi aweze idadi kamili ni Majarida Kazi mradi
idadi kamili katika kutambua vivumishi vya zipi? Michoro na picha
tarakilishi, kapu la maneno idadi kamili katika Vifaa vya
au mti wa maneno (k.v tarakilishi, kapu la maneno kidijitali
nne, tano, sita) au mti wa maneno (k.v nne, JKF; Nyota ya
c) Kuchangamkia kutumia tano, sita) akiwa katika Kiswahili
vivumishi idadi kamili vikundi. Kitabu cha
katika utungaji wa Mwanafunzi
sentensi. Gredi ya 6, Uk.
25-27

4 Michezo Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, vivumishi vya Kapu maneno Kutunga sentensi
Maneno; mwanafunzi aweze: vivumishi vya idadi isiyo idadi ya jumla ni Chati Kujibu maswali
Vivumishi vya a) Kueleza vivumishi vya kamili kwa kutumia vitu zipi? Mabango Kujaza pengo
idadi ya jumla idadi isiyo kamili kwa katika mazingira ya Kamusi Kuandika tungo
kutumia vitu katika darasani. Majarida Kazi mradi
mazingira ya darasani. Michoro na picha
b) Kutambua vivumishi vya Mwanafunzi aweze Vifaa vya
idadi ya jumla katika kutambua vivumishi vya kidijitali
tarakilishi, kapu la maneno idadi ya jumla katika JKF; Nyota ya
au mti wa maneno (k.v tarakilishi, kapu la maneno Kiswahili
wengi, vingi, kadhaa) au mti wa maneno (k.v Kitabu cha
c) Kuchangamkia matumizi wengi, vingi, kadhaa) Mwanafunzi
ya vivumishi vya idadi ya Gredi ya 6, Uk.
jumla katika mawasiliano Mwanafunzi aweze 32-33
ya kila siku. kuandika sentensi akitumia
idadi isiyodhihirika.

5 1 Michezo Kusoma; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Kusoma Unatafutaje Kapu maneno Kutunga sentensi
Matumizi ya mwanafunzi aweze: kifungu ‘Mashindano ya maana ya Chati Kujibu maswali
kamusi: a) Kusoma kifungu mashua’ maneno kwenye Mabango Kujaza pengo
Mashindano ya ‘Mashindano ya mashua’ Mwanafunzi aweze kutumia kamusi? Kamusi Kuandika tungo
mashua b) Kutumia kamusi halisi au kamusi halisi au ya Majarida Kazi mradi
ya mtandaoni kutafuta mtandaoni kutafuta maana Kwa nini Michoro na picha
maana na matumizi ya na matumizi ya msamiati tunatumia Vifaa vya
msamiati mpya aliousoma mpya aliousoma katika kamusi? kidijitali
katika kifungu. kifungu. JKF; Nyota ya
c) Kuchangamkia kutumia Kiswahili
kamusi katika kukuza Mwanafunzi aweze kutumia Kitabu cha
msamiati wake. msamiati aliojifunza katika Mwanafunzi
sentensi Gredi ya 6, Uk.
27-29

2 Michezo Kuandika; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Je, unazingatia Kapu maneno Kutunga sentensi
Insha ya mwanafunzi aweze: kutambua insha ya nini ili kuandika Chati Kujibu maswali
masimulizi a) Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea insha nzuri ya Mabango Kujaza pengo
masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha masimulizi? Kamusi Kuandika tungo
vielelezo vya insha vilivyoandikwa katika Majarida Kazi mradi
vilivyoandikwa katika magazeti au tarakilishi Michoro na picha
magazeti au tarakilishi. wakiwa wawili. Vifaa vya
b) Kuandika insha kidijitali
isiyopungua maneno 200 Mwanafunzi aweze JKF; Nyota ya
huku akizingatia anwani, kuandika insha isiyopungua Kiswahili
mtiririko mzuri wa maneno 200 huku Kitabu cha
mawazo, mwandiko bora, akizingatia anwani, Mwanafunzi
kanuni za lugha na ubunifu mtiririko mzuri wa Gredi ya 6, Uk.
wa hali ya juu. mawazo, mwandiko bora, 30
c) Kuchangamkia utunzi kanuni za lugha na ubunifu
mzuri wa insha ya wa hali ya juu.
masimulizi ili kukuza
ubunifu wake.

3 Michezo Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, watu huagana Kapu maneno Kutunga sentensi
kuzungumza; mwanafunzi aweze: maana ya maagano. vipi katika jamii? Chati Kujibu maswali
Maamkuzi na a) Kutambua aina mbalimbali Mabango Kujaza pengo
maagano: za maagano katika Mwanafunzi aweze Kamusi Kuandika tungo
Maagano mawasiliano. kutambua aina mbalimbali Majarida Kazi mradi
b) Kueleza njia wanazotumia za maagano katika Michoro na picha
kuagana. mawasiliano. Vifaa vya
c) Kuchangamkia maagano kidijitali
katika mawasiliano. Mwanafunzi aweze kujadili JKF; Nyota ya
umuhimu wa maagano Kiswahili
wakiwa wawiliwawili. Kitabu cha
Mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kueleza Gredi ya 6, Uk.
njia wanazotumia kuagana. 31-32

4 Michezo Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Vivumishi viulizi Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: maana ya vivumishi viulizi vinahusu nini? Chati Kujibu maswali
Vivumishi a) Kueleza maana ya kwa kutumia vitu katika Mabango Kujaza pengo
viulizi vivumishi viulizi kwa mazingira ya darasani. Kamusi Kuandika tungo
kutumia vitu katika Majarida Kazi mradi
mazingira ya darasani. Mwanafunzi aweze Michoro na picha
b) Kutambua vivumishi kutambua vivumishi viulizi Vifaa vya
viulizi katika sentensi. katika sentensi. kidijitali
c) Kuchangamkia kutumia JKF; Nyota ya
vivumishi viulizi katika Kiswahili
utungaji wa sentensi. Kitabu cha
Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
33-35

6 1 Michezo Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, ni vivumishi Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: na kutaja vivumishi viulizi viulizi zipi Chati Kujibu maswali
Vivumishi a) Kueleza na kutaja mbalimbali. unazozijua? Mabango Kujaza pengo
viulizi vivumishi viulizi Kamusi Kuandika tungo
mbalimbali. Mwanafunzi aweze Majarida Kazi mradi
b) Kutambua vivumishi kutambua vivumishi viulizi Michoro na picha
viulizi kati ya maneno kati ya maneno alizopewa, Vifaa vya
alizopewa, aviburure na aviburure na kuvitia kidijitali
kuvitia kapuni. kapuni. JKF; Nyota ya
c) Kufurahia kutumia Kiswahili
vivumishi viulizi katika Kitabu cha
mawasiliano ya kila siku. Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
36-37
2 Michezo Kusoma; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Je, ni habari zipi Kapu maneno Kutunga sentensi
Matumizi ya mwanafunzi aweze: kufungua linki kuhusu unazoweza kutoa Chati Kujibu maswali
kamusi a) Kufungua linki kuhusu michezo kisha kusikiliza kwenye Mabango Kujaza pengo
michezo kisha kusikiliza maelezo kutoka kwa mtandao? Kamusi Kuandika tungo
maelezo kutoka kwa msimulizi. Majarida Kazi mradi
msimulizi. Michoro na picha
b) Kuunda sentensi kutumia Mwanafunzi aweze Vifaa vya
msamiati wa michezo kudondoa maneno ya kidijitali
alioupata kutoka kwa michezo kutoka kwenye Intaneti
msimulizi. masimulizi hayo akiwa JKF; Nyota ya
c) Kuchangamkia kutumia peke yake na wakiwa Kiswahili
msamiati wa michezo wawiliwawili. Kitabu cha
katika mazungumzo yake. Mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kuunda Gredi ya 6, Uk.
sentensi kutumia msamiati 35
wa michezo alioupata
kutoka kwa msimulizi.

3 Michezo Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, kivumishi Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: matumizi ya kivumishi kirejeshi ni nini? Chati Kujibu maswali
Kivumishi a) Kueleza matumizi ya kirejeshi amba- akitumia Mabango Kujaza pengo
kirejeshi kivumishi kirejeshi amba- vitu katika mazingira ya Kamusi Kuandika tungo
amba- akitumia vitu katika darasani. Majarida Kazi mradi
mazingira ya darasani. Michoro na picha
b) Kutambua kivumishi Mwanafunzi aweze Vifaa vya
kirejeshi amba- katika kutambua kivumishi kidijitali
tarakilishi, kapu la maneno kirejeshi amba- katika JKF; Nyota ya
au mti wa maneno. tarakilishi, kapu la maneno Kiswahili
c) Kuonea fahari matumizi ya au mti wa maneno. Kitabu cha
kivumishi kirejeshi amba- Mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga Gredi ya 6, Uk.
sentensi akitumia kirejeshi 37-38
amba- na nomino katika
ngeli mbalimbali kwa
umoja na wingi.

4 Michezo Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Je, ni maneno Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: kutambua kivumishi gani Chati Kujibu maswali
Kivumishi a) Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika yanayopatikana Mabango Kujaza pengo
kirejeshi kirejeshi amba- katika vifungu. katika kivumishi Kamusi Kuandika tungo
amba- vifungu. kirejeshi amba-? Majarida Kazi mradi
b) Kutunga sentensi akitumia Mwanafunzi aweze kutunga Michoro na picha
kivumishi kirejeshi (k.v sentensi akitumia Vifaa vya
ambayo, ambalo, ambao, kivumishi kirejeshi (k.v kidijitali
ambavyo, ambaye) ambayo, ambalo, ambao, JKF; Nyota ya
c) Kufurahia kutumia ambavyo, ambaye) Kiswahili
kivumishi kirejeshi amba- Kitabu cha
katika mawasiliano. Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
38-39

7 1 Michezo Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Je, ni vitendawili Kapu maneno Kutunga sentensi
kuzungumza; mwanafunzi aweze: kutambua vitendawili vya gani Chati Kujibu maswali
Matamshi a) Kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti unavyovijua? Mabango Kujaza pengo
bora: suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana (/d//nd/, Kamusi Kuandika tungo
Vitendawili- zinazokaribiana. /ch//sh/, /j//nj/ na Majarida Kazi mradi
Sauti /d//nd/, b) Kutamka maneno yenye /g//ng/) Michoro na picha
/ch//sh/, sauti zinazokaribiana Vifaa vya
/j//nj/ na katika vitendawili lengwa. Mwanafunzi aweze kidijitali
/g//ng/ c) Kuchangamkia matumizi kutamka maneno yenye JKF; Nyota ya
ya vitendawili vyenye sauti sauti zinazokaribiana Kiswahili
zinazokaribiana kama njia katika vitendawili lengwa. Kitabu cha
ya kujenga utamkaji bora. Mwanafunzi
Mwanafunzi aweze Gredi ya 6, Uk.
kuandika vitendawili 41-42
alivyosikiliza kisha
kuwategea wenzake
darasani nao wategue kwa
ajili ya kuendelea
kuelimishana.
2 Mahusiano Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Viwakilishi vya Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: maana ya viwakilishi vya nafsi vinahusu Chati Kujibu maswali
Viwakilishi vya a) Kueleza maana ya nafsi. nini? Mabango Kujaza pengo
nafsi viwakilishi vya nafsi. Kamusi Kuandika tungo
b) Kutambua viwakilishi vya Mwanafunzi aweze Majarida Kazi mradi
nafsi katika sentensi. kutambua viwakilishi vya Michoro na picha
c) Kuchangamkia kutumia nafsi katika sentensi. Vifaa vya
viwakilishi vya nafsi katika kidijitali
utungaji wa sentensi. Mwanafunzi aweze kujaza JKF; Nyota ya
pengo akitumia viwakilishi Kiswahili
vya nafsi. Kitabu cha
Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
42-43
3 Mahusiano Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, ni viwakilishi Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: na kutaja viwakilishi vya vya nafsi zipi Chati Kujibu maswali
Viwakilishi vya a) Kueleza na kutaja nafsi mbalimbali. unazozijua? Mabango Kujaza pengo
nafsi viwakilishi vya nafsi Kamusi Kuandika tungo
mbalimbali. Mwanafunzi aweze Majarida Kazi mradi
b) Kutambua viwakilishi kati kutambua viwakilishi kati Michoro na picha
ya maneno alizopewa, ya maneno alizopewa, Vifaa vya
aviburure na kuvitia aviburure na kuvitia kidijitali
kapuni. kapuni. JKF; Nyota ya
c) Kufurahia kutumia Kiswahili
viwakilishi vya nafsi katika Mwanafunzi aweze kujaza Kitabu cha
mawasiliano ya kila siku. pengo kwa kiwakilishi nafsi Mwanafunzi
sahihi. Gredi ya 6, Uk.
48
4 Mahusiano Kusoma; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kusoma Kwa nini ni Kapu maneno Kutunga sentensi
Kusoma kwa mwanafunzi aweze: ufahamu, ‘Jirani’ muhimu kusoma Chati Kujibu maswali
ufahamu- a) Kutambua msamiati wa kuhusu ujirani Mabango Kujaza pengo
Jirani mahusiano uliotumiwa Mwanafunzi aweze mwema? Kamusi Kuandika tungo
katika habari. kutambua msamiati wa Majarida Kazi mradi
b) Kueleza maana ya mahusiano uliotumiwa Michoro na picha
msamiati wa mahusiano katika habari. Vifaa vya
alioupata katika habari. kidijitali
c) Kuonea fahari kusoma Mwanafunzi aweze kueleza JKF; Nyota ya
hadithi kuhusu Jirani. maana ya msamiati wa Kiswahili
mahusiano alioupata katika Kitabu cha
habari. Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
Mwanafunzi aweze kutunga 43-45
sentensi kwa kutumia
msamiati wa mahusiano.
8 1 Mahusiano Kuandika; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Je, ni sehemu zipi Kapu maneno Kutunga sentensi
Kuandika kwa mwanafunzi aweze: maana ya tarakilishi. za tarakilishi Chati Kujibu maswali
kutumia a) Kueleza maana ya unazozijua? Mabango Kujaza pengo
tarakilishi tarakilishi. Mwanafunzi aweze Kamusi Kuandika tungo
b) Kutambua sehemu kutambua sehemu Tarakilishi Majarida Kazi mradi
mbalimbali za tarakilishi mbalimbali za tarakilishi hutuwezesha Michoro na picha
zinazotumika kupigia zinazotumika kupigia chapa kufanya kazi Vifaa vya
chapa. gani? kidijitali
c) Kujenga mazoea ya Mwanafunzi aweze kueleza Intaneti
kutumia tarakilishi matumizi ya kipanya. Ni hatua gani JKF; Nyota ya
kuandika na kuhifadhi zinazohusika Kiswahili
kazi. Mwanafunzi aweze tunapotumia Kitabu cha
kutambua ishara tarakilishi? Mwanafunzi
zinazotumiwa kutofautisha Gredi ya 6, Uk.
maandishi k.v kiyota (*), 46-47
hatimiliki (@), kishale.

2 Mahusiano Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Je, mtu akisema Kapu maneno Kutunga sentensi
kuzungumza; mwanafunzi aweze: kutamka maneno yenye ‘kitendawili’ Chati Kujibu maswali
Matamshi a) Kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana unajibu vipi? Mabango Kujaza pengo
bora: sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa. Kamusi Kuandika tungo
Vitendawili- katika vitendawili lengwa. Majarida Kazi mradi
Sauti /d//nd/, b) Kutega na kutegua Mwanafunzi aweze kutega Michoro na picha
/ch//sh/, vitendawili vyenye sauti na kutegua vitendawili Vifaa vya
/j//nj/ na zinazokaribiana ili kujenga vyenye sauti kidijitali
/g//ng/ matamshi bora. zinazokaribiana ili kujenga JKF; Nyota ya
c) Kufurahia kutumia kutega matamshi bora Kiswahili
na kutegua vitendawili. Kitabu cha
Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
47
3 Mahusiano Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Viwakilishi Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: maana ya viwakilishi viashiria Chati Kujibu maswali
Viwakilishi a) Kueleza maana ya viashiria. vinahusu nini? Mabango Kujaza pengo
viashiria viwakilishi viashiria. Kamusi Kuandika tungo
b) Kutambua viwakilishi Mwanafunzi aweze Majarida Kazi mradi
viashiria katika sentensi. kutambua viwakilishi Je, ni viwakilishi Michoro na picha
c) Kuchangamkia kutumia viashiria katika sentensi viashiria zipi Vifaa vya
viwakilishi viashiria katika unazozijua? kidijitali
utungaji wa sentensi. Mwanafunzi aweze kueleza JKF; Nyota ya
na kutaja viwakilishi Kiswahili
viashiria mbalimbali Kitabu cha
Mwanafunzi
Mwanafunzi aweze Gredi ya 6, Uk.
kutambua viwakilishi 49-50
viashiria katika ubao,
tarakilishi, chati, mti wa
maneno au kadi za maneno.

4 Mahusiano Kusoma; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kusoma Je, urafiki Kapu maneno Kutunga sentensi
Kusoma kwa mwanafunzi aweze: ufahamu, ‘Marafiki wa mwema una Chati Kujibu maswali
ufahamu: a) Kusoma ufahamu, chanda na pete’ umuhimu gani? Mabango Kujaza pengo
Marafiki wa ‘Marafiki wa chanda na Kamusi Kuandika tungo
chanda na pete pete’ Mwanafunzi aweze kueleza Majarida Kazi mradi
b) Kueleza maana ya maneno maana ya maneno mapya Michoro na picha
mapya aliyoyapata katika aliyoyapata katika kifungu Vifaa vya
kifungu. akiwa katika kikundi. kidijitali
c) Kujenga mazoea ya JKF; Nyota ya
usomaji bora katika Mwanafunzi aweze kutunga Kiswahili
maisha ya kila siku. sentensi akitumia msamiati Kitabu cha
kutoka kwa kifungu. Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
50-52

9 1 Mahusiano Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Viwakilishi vya Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: maana ya viwakilishi vya idadi kamili Chati Kujibu maswali
Viwakilishi vya a) Kueleza maana ya idadi kamili. vinahusu nini? Mabango Kujaza pengo
idadi viwakilishi vya idadi Kamusi Kuandika tungo
kamili. Mwanafunzi aweze Je, ni viwakilishi Majarida Kazi mradi
b) Kutambua sentensi zenye kutambua sentensi zenye vya idadi kamili Michoro na picha
viwakilishi idadi kamili. viwakilishi idadi kamili. zipi unazozijua? Vifaa vya
c) Kuchangamkia kutumia kidijitali
viwakilishi idadi katika Mwanafunzi aweze JKF; Nyota ya
utungaji wa sentensi. kutambua viwakilishi vya Kiswahili
idadi katika ubao, Kitabu cha
tarakilishi, kadi za maneno, Mwanafunzi
chati au mti wa maneno. Gredi ya 6, Uk.
54-55
Mwanafunzi aweze kujaza
pengo kwa viwakilishi vya
idadi sahihi.

2 Mahusiano Sarufi; Aina za Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze kueleza Viwakilishi vya Kapu maneno Kutunga sentensi
maneno: mwanafunzi aweze: na kutaja viwakilishi vya idadi Chati Kujibu maswali
Viwakilishi vya a) Kueleza na kutaja idadi isiyodhihirika. isiyodhihirika Mabango Kujaza pengo
idadi viwakilishi vya idadi vinahusu nini? Kamusi Kuandika tungo
isiyodhihirika. Mwanafunzi aweze Majarida Kazi mradi
b) Kutambua viwakilishi vya kutambua viwakilishi vya Michoro na picha
idadi isiyodhihirika katika idadi isiyodhihirika katika Je, ni viwakilishi Vifaa vya
ubao, tarakilishi, kadi za ubao, tarakilishi, kadi za vya idadi kidijitali
maneno, mti wa maneno maneno, mti wa maneno au isiyodhihirika JKF; Nyota ya
au chati. chati. zipi unazozijua? Kiswahili
c) Kufurahia kutumia Kitabu cha
viwakilishi vya idadi Mwanafunzi aweze kujaza Mwanafunzi
isiyodhihirika katika mapengo kwa kuchagua Gredi ya 6, Uk.
mawasiliano ya kila siku. viwakilishi vya idadi 55
isiyodhihirika alivyopewa
katika mabano.

Mwanafunzi aweze
kuandika sentensi akitumia
viwakilishi vya idadi
isiyodhihirika.

3 Mahusiano Sarufi; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Kwa nini alama Kapu maneno Kutunga sentensi
Uakifishaji: mwanafunzi aweze: kutambua alama ya hisi (!) za kuakifisha Chati Kujibu maswali
Alama ya hisi a) Kutambua alama ya hisi (!) na ritifaa (‘) katika hutumiwa katika Mabango Kujaza pengo
(!) na ritifaa (‘) na ritifaa (‘) katika maandishi. maandishi? Kamusi Kuandika tungo
maandishi. Majarida Kazi mradi
b) Kutumia alama ya hisi (!) Mwanafunzi aweze kutumia Alama ya hisi na Michoro na picha
na ritifaa (‘) ifaavyo katika alama ya hisi (!) na ritifaa ritifaa hutumiwa Vifaa vya
maandishi. (‘) ifaavyo katika vipi katika kidijitali
c) Kufurahia matumizi ya maandishi. maandishi? JKF; Nyota ya
alama ya hisi na ritifaa Kiswahili
katika maandishi. Mwanafunzi aweze Kitabu cha
kutafuta katika kamusi, Mwanafunzi
atamke na kuandika Gredi ya 6, Uk.
maneno yenye sauti ya 56
ungo’ong’o.
4 Mahusiano Sarufi; Kufikia mwisho wa mada ndogo Mwanafunzi aweze Alama ya Kapu maneno Kutunga sentensi
Uakifishaji: mwanafunzi aweze: kutambua alama ya koloni kuakifisha- Chati Kujibu maswali
Koloni (:) a) Kutambua alama ya koloni (:) katika maandishi. koloni hutumiwa Mabango Kujaza pengo
(:) katika maandishi. vipi katika Kamusi Kuandika tungo
b) Kueleza matumizi ya Mwanafunzi aweze kueleza maandishi? Majarida Kazi mradi
koloni (:) katika matumizi ya koloni (:) Michoro na picha
maandishi. katika maandishi. Vifaa vya
c) Kuchangamkia matumizi kidijitali
ya koloni katika Mwanafunzi aweze kutunga JKF; Nyota ya
maandishi. sentensi na kuziakifisha Kiswahili
kutumia koloni. Kitabu cha
Mwanafunzi
Gredi ya 6, Uk.
57
10 TATHMINI YA MWISHO WA MUHULA

You might also like