You are on page 1of 11

GREDI YA KWANZA MAAZIMIO YA KAZI YA KISWAHILI MUHULA WA PILI

JUM KIPIN MADA MADA NDOGO MATOKEO MAALUMU MASWALI MAPENDEKEZO YA NYENZO TATHMINI MAONI
A DI YANAYOTARAJIWA DADISI SHUGHULI ZA UFUNZAJI
1
2 1 Kusikili Msamiati Kufikia mwisho wa mada, Wiki moja ina Mwanafunzi atambue Charti Maswalimepesi
za na mwanafunzi aweze: siku ngapi siku za wiki yaani: Vifaa harisi ya kauli
Kuzung kutambua siku za wiki Jumatatu, Jumanne,
umza katika mawasiliano ya kila Jumatano, Alhamisi,
siku Ijumaa, Jumamosi na
Jumapili kwa kutumia
kadi za maneno
2 Msamiati Kufikia mwisho wa mada, Wiki moja ina Mwanafunzi aweza Charti Maswalimepesi
mwanafunzi aweze kutaja siku ngapi kuimba wimbo wa siku Vifaa harisi ya kauli
majina ya siku za wiki za wiki.
kwa mfululizo ili Mwanafunzi aweza
kumsaidia kuratibu kukariri mashairi kuhusu
shughuli za siku siku za wiki

3 Msamiati Kufikia mwisho wa mada, Wiki moja ina Mwanafunzi aweza Charti Maswalimepesi
mwanafunzi aweze siku ngapi kuimba wimbo wa siku Vifaa harisi ya kauli
kuelezea shughuli za siku za wiki.
mbalimbali za wiki ili Mwanafunzi aweza
kujenga stadi ya kukariri mashairi kuhusu
kuzungumza siku za wiki

3 1 Masimulizi Kufikia mwisho wa mada, Ni matukio yapi Mwanafunzi asimulie Charti Maswalimepesi
mwanafunzi aweze uliyowahi kisa darasani. Vifaa harisi ya kauli
kuelezea shughuli za siku kushuhudia Mwanafunzi aonyeshe
aweze: kusimulia umakinifu anaposikiliza
matukio katika siku tofauti masimulizi ya mwalimu
za wiki ili kujenga stadi ya na wanafunzi wenzake
kuzungumza

2 Masimulizi Kufikia mwisho wa mada, Ni matukio yapi Wanafunzi waweza Charti Maswalimepesi
mwanafunzi aweze uliyowahi kusimuliana matukio ya Vifaa harisi ya kauli
kuelezea shughuli za siku kushuhudia siku za wiki wakiwa
kufahamu masimulizi ya wawili wawili.
matukio ya siku za wiki Mwanafunzi asikilize
aliyosimuliwa ili kupata masimulizi kuhusu
ujumbe matukio ya siku za wiki
kupitia vifaa vya
kiteknolojia k.m. simu,
kinasasauti, kipakatalishi
n.k.

3 Masimulizi Kufikia mwisho wa mada, Ni matukio yapi Wanafunzi waweza Charti Maswalimepesi
mwanafunzi aweze uliyowahi kusimuliana matukio ya Vifaa harisi ya kauli
kuelezea shughuli za siku kushuhudia siku za wiki wakiwa
kuonyesha umakinifu wa wawili wawili.
kusikiliza katika Mwanafunzi asikilize
mawasiliano masimulizi kuhusu
matukio ya siku za wiki
kupitia vifaa vya
kiteknolojia k.m. simu,
kinasasauti, kipakatalishi
n.k.

4 1 Kusoma Kufikia mwisho wa mada, Umewahi Mwanafunzi ajadili picha Charti Maswalimepesi
Hadithi mwanafunzi aweze kusikiliza hadithi zilizojumuishwa kwenye Vifaa harisi ya kauli
kutambua msamiati ip hadithi.
uliotumika katika hadithi Mwanafunzi atabiri
ili kuimarisha ufahamu kitakachotokea kwenye
hadithi

2 Kusoma Kufikia mwisho wa mada, Umewahi Mwanafunzi atabiri Charti Maswalimepesi


Hadithi mwanafunzi kusikiliza hadithi kitakachotokea kwenye Vifaa harisi ya kauli
awezekusikiliza hadithi ip hadithi.
zikisomwa na mwalimu Mwanafunzi athibitishe
zinazojumuisha matukio utabiri wake baada ya
ya siku za wiki ili kujenga kusomewa hadithi
umakinifu
3 Kusoma Kufikia mwisho wa mada, Umewahi Mwanafunzi athibitishe Charti Maswalimepesi
Hadithi mwanafunzi aweze kusikiliza hadithi utabiri wake baada ya Vifaa harisi ya kauli
kufahamu hadithi ip kusomewa hadithi.
aliyosomewa katika mada Mwanafunzi asikilize
ili kupata ujumbe hadithi ikisomwa na
mwalimu.
Mwanafunzi aeleze
matumizi ya msamiati
uliotumika kwenye
hadithi

5 1 Familia Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Ni sauti zipi Mwanafunzi ashirikishwe Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi unazojua kutambua sauti /m/, /a/, Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili awezekutamka sauti nne kutamka /u/ na /k katika maneno.
za herufi moja ili Mwanafunzi asikilize
kuimarisha mazungumzo mwalimu akitamka sauti
lengwa, kisha watamke
pamoja na mwalimu na
mwishowe atamke akiwa
peke yake, wawili wawili
na katika darasa.

2 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Ni sauti zipi Mwanafunzi ashirikishwe Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi unazojua kutambua sauti /m/, /a/, Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili awezekutambua sauti za kutamka /u/ na /k katika maneno.
herufi moja zilizofunzwa Mwanafunzi asikilize
katika maneno ili mwalimu akitamka sauti
kuimarisha mazungumzo lengwa, kisha watamke
pamoja na mwalimu na
mwishowe atamke akiwa
peke yake, wawili wawili
na katika darasa.

3 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Ni sauti zipi Mwanafunzi atumie Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze unazojua teknolojia (papaya) Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kutambua majina ya herufi kutamka
zinazowakilisha sauti kutamkia sauti.
lengwa katika kuimarisha Mwanafunzi atambue
stadi ya kusoma herufi inayowakilisha
sauti lengwa kwa kutumia
kadi za herufi.
Mwanafunzi
aambatanishe silabi
kusoma maneno
yanayotokana na sauti
lengwa

6 1 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua kusoma Mwanafunzi atumie Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze herufi na maneno teknolojia (papaya) Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kusoma herufi za sauti yapi? kutamkia sauti.
moja katika kujenga stadi Mwanafunzi atambue
ya kusoma herufi inayowakilisha
sauti lengwa kwa kutumia
kadi za herufi.
Mwanafunzi
aambatanishe silabi
kusoma maneno
yanayotokana na sauti
lengwa

2 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua kusoma Mwanafunzi atenganishe Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze herufi na maneno silabi katika kutambua Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kusoma maneno kwa yapi? sehemu mbalimbali za
kutumia silabi maneno.
Wanafunzi waweza
zinazotokana na sauti
kushirikishwa kusikiliza
lengwa katika kujenga mgeni mwalikwa
stadi ya kusoma mwenye umahiri wa
kutamka sauti lengwa.
Mwanafunzi asome
maneno kwa kutumia
silabi au kugawa maneno
marefu zaidi vipande
vipande

3 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua kusoma Mwanafunzi atenganishe Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze herufi na maneno silabi katika kutambua Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kusoma vifungu vilivyo na yapi? sehemu mbalimbali za
maneno yaliyo na sauti maneno.
Wanafunzi waweza
lengwa ili kujenga stadi ya
kushirikishwa kusikiliza
kusoma mgeni mwalikwa
mwenye umahiri wa
kutamka sauti lengwa.
Mwanafunzi asome
maneno kwa kutumia
silabi au kugawa maneno
marefu zaidi vipande
vipande

7 1 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua Mwanafunzi asome Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze kuandika herufi maneno kwa kutumia Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kusoma vifungu vilivyo na na maneno silabi au kugawa maneno
maneno yaliyo na sauti yapi? marefu zaidi vipande
vipande.
lengwa ili kujenga stadi ya
Wanafunzi wasome
kusoma
hadithi zilizo na maneno
yaliyobeba sauti lengwa
kama darasa au wawili
wawili.
Mwanafunzi asikilize na
kusoma hadithi kupitia
vifaa vya kiteknolojia
kama vile tarakilishi,
projekta n.k.

2 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua Mwanafunzi asome Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze kuandika herufi maneno kwa kutumia Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili na maneno silabi au kugawa maneno
kuandika maumbo ya yapi? marefu zaidi vipande
herufi zinazowakilisha vipande.
sauti lengwa katika Wanafunzi wasome
kuimarisha stadi ya hadithi zilizo na maneno
yaliyobeba sauti lengwa
kuandika
kama darasa au wawili
wawili.
Mwanafunzi asikilize na
kusoma hadithi kupitia
vifaa vya kiteknolojia
kama vile tarakilishi,
projekta n.k.

3 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua Mwanafunzi afinyange na Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze kuandika herufi aandike maumbo ya Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kuchangamkia kutumia na maneno herufi za sauti alizosoma
maneno yanayojumuisha yapi? hewani na vitabuni.
sauti zilizofunzwa katika Mwanafunzi aandike
mawasiliano ya kila siku maneno yaliyo na herufi
za sauti alizofunzwa kwa
kunakili aliyoandika
mwalimu

8 1 Kusikili Maneno ya Kufikia mwisho wa mada, Unapopewa Wanafunzi waweza Charti Maswalimepesi
za na heshima mwanafunzi aweze zawadi unatakiwa kuonyeshwa mchoro wa Vifaa harisi ya kauli
Kuzung kutambua maneno ya kusema nini? mtoto akipokea zawadi
umza heshima katika familia halafu wajadili neno
linalofaa kutumiwa na
anayepokea zawadi.
Mwanafunzi aweza
kuonyeshwa video
inayoashiria matumizi ya
maneno ya heshima k.m.
Mtu akipokea zawadi au
wageni wakimtembelea
mgonjwa hospitalini
2 Maneno ya Kufikia mwisho wa mada, Unapopewa Mwanafunzi aweza Charti Maswalimepesi
heshima mwanafunzi aweze zawadi unatakiwa kuonyeshwa video Vifaa harisi ya kauli
kutumia maneno ya kusema nini? inayoashiria matumizi ya
heshima katika maneno ya heshima k.m.
mawasiliano Mtu akipokea zawadi au
wageni wakimtembelea
mgonjwa hospitalini.
Mwanafunzi aweza
kupewa ufafanuzi kuhusu
maneno ya heshima kama
vile “asante, pole na
tafadhali

3 Maneno ya Kufikia mwisho wa mada, Unapopewa zawadi au wageni Charti Maswalimepesi


heshima mwanafunzi aweze zawadi unatakiwa wakimtembelea Vifaa harisi ya kauli
kuambatanisha maneno ya kusema nini? mgonjwa hospitalini.
heshima na hisia zifaazo Mwanafunzi aweza
katika mawasiliano kupewa ufafanuzi kuhusu
maneno ya heshima kama
vile “asante, pole na
tafadhali.”
Wanafunzi waweza
kushirikishwa katika
kuigiza vitendo vya
heshim

9 1 Kusoma: Kufikia mwisho wa mada, Unatakiwa Mwanafunzi aweza Charti Maswalimepesi


Hadithi mwanafunzi aweze kufanya nini kujadili picha Vifaa harisi ya kauli
kutambua msamiati unaposomewa zilizojumuishwa kwenye
uliotumika katika hadithi hadithi hadithi.
Mwanafunzi aweza
kutabiri kitakachotokea
kwenye hadithi

2 Kusoma: Kufikia mwisho wa mada, Unatakiwa Mwanafunzi aweza Charti Maswalimepesi


Hadithi mwanafunzi aweze kufanya nini kutabiri kitakachotokea Vifaa harisi ya kauli
kusikiliza hadithi unaposomewa kwenye hadithi.
zikisomwa na mwalimu hadithi Mwanafunzi aweza
zinazohusu familia kufuatilia hadithi
darasani ikisomwa na mwalimu,
kisha asome pamoja na
mwalimu na baadaye

3 Kusoma: Kufikia mwisho wa mada, Unatakiwa Mwanafunzi aweza Charti Maswalimepesi


Hadithi mwanafunzi aweze kufanya nini kufuatilia hadithi Vifaa harisi ya kauli
kusoma hadithi kuhusu unaposomewa ikisomwa na mwalimu,
familia darasani hadithi kisha asome pamoja na
mwalimu na baadaye
asome akiwa peke yake
au wiwili wawili.
.

10 1 Sarufi Kufikia mwisho wa mada, Je, unatumia Mwanafunzi aweza Charti Maswalimepesi
mwanafunzi aweze maneno gani kutumia nafsi ya kwanza Vifaa harisi ya kauli
kutambua maneno na kujirejelea na wakati uliopo hali ya
viambishi vinavyotumika mkiwa wengi? umoja na wingi katika
kuonyesha nafsi ya mawasiliano.
kwanza wakati uliopo hali Mwanafunzi aweza
ya umoja na wingi katika kutumia nafsi ya kwanza
sentensi wakati uliopo hali ya
umoja na wingi katika
sentensi

2 Sarufi Kufikia mwisho wa mada, Je, unatumia Mwanafunzi aweza Charti Maswalimepesi
mwanafunzi aweze maneno gani kutumia nafsi ya kwanza Vifaa harisi ya kauli
kusoma vifungu vya kujirejelea na wakati uliopo hali ya
maneno vinavyoashiria mkiwa wengi? umoja na wingi katika
sentensi.
nafsi ya kwanza wakati
Manafunzi aweza
uliopo hali ya umoja na kusoma sentensi
wingi zinazojumuisha matumizi
ya nafsi ya kwanza
wakati uliopo hali ya
umoja na wingi

3 Sarufi Kufikia mwisho wa mada, Je, unatumia Manafunzi aweza kusoma Charti Maswalimepesi
mwanafunzi aweze maneno gani sentensi zinazojumuisha Vifaa harisi ya kauli
kutumia nafsi ya kwanza kujirejelea na matumizi ya nafsi ya
wakati uliopo hali ya mkiwa wengi? kwanza wakati uliopo
hali ya umoja na wingi.
umoja na wingi katika
Mwanafunzi aweza
sentensi
kujaza mapengo kwa
kutumia maneno na
viambishi
vinavyowakilisha nafsi ya
kwanza na wakati uliopo
kama vile; mimi nina ;
sisi tuna.

11 1 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Ni sauti zipi Mwanafunzi atambue Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze unazojua sauti /t/, /l/, /n/ na /o/ Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kutamka sauti nne za kutamka katika maneno.
herufi moja katika
kuimarisha mazungumzo

2 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Ni sauti zipi Mwanafunzi asikilize Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze unazojua mwalimu anapotamka Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kutambua sauti za herufi kutamka sauti lengwa, kisha
moja zilizofunzwa katika atamke pamoja na
maneno mwalimu na mwishowe
atamke akiwa peke yake,
wawili wawili au kama
darasa

3 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Ni sauti zipi Mwanafunzi atambue Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze unazojua herufi inayowakilisha Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kutambua majina ya herufi kutamka sauti lengwa kwa kutumia
zinazowakilisha sauti kadi za herufi
lengwa katika kuimarisha
stadi ya kusoma

12 1 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua kusoma Mwanafunzi asome Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze herufi na maneno kwa kutumia Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kusoma herufi za sauti silabi na kuchanganua
moja katika kujenga stadi yaliyo marefu zaidi.
ya kusoma Wanafunzi wasome
hadithi zilizo na maneno
yaliyobeba sauti lengwa
kama darasa au wawili
wawili
2 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua kusoma Mwanafunzi asome Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze herufi na maneno kwa kutumia Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kusoma maneno kwa silabi na kuchanganua
kutumia silabi yaliyo marefu zaidi.
zinazotokana na sauti Wanafunzi wasome
lengwa katika kujenga hadithi zilizo na maneno
stadi ya kusoma yaliyobeba sauti lengwa
kama darasa au wawili
wawili
3 Sauti na majina Kufikia mwisho wa mada, Unajua kusoma Wanafunzi wasome Charti Maswalimepesi
ya herufi za mwanafunzi aweze herufi na hadithi zilizo na maneno Vifaa harisi ya kauli
Kiswahili kusoma vifungu vilivyo na yaliyobeba sauti lengwa
maneno yaliyo na sauti kama darasa au wawili
lengwa ili kujenga stadi ya wawili.
kusoma Mwanafunzi asikilize na
kusoma hadithi kupitia
vifaa vya kiteknolojia
kama vile tarakilishi,
projekta n.k.

MITIHANI
13
$ KUFUNGA SHULE
14

You might also like