Professional Documents
Culture Documents
Kis Grade 3 Term 1
Kis Grade 3 Term 1
NAME
TSC NO.
SCHOOL
RATIBA YA KAZI YA KISWAHILI GREDI 3 MUHULA WA KWANZA
W KI MADA MADA MATOKEO MAALUMU MASWALI MAPENDEKEZO YA SHUGHULI ZA NYENZO TATHMI
PI NDOGO YANAYOTARAJIWA DADISI UFUNZAJI NI
N
DI
1 1 KUFUNGUA SHULE NA MATAYARISHO
2 1- Shambani Sauti Kufikia mwisho wa mada, Vifaa harisi Maswali
3 mbili mwanafunzi aweze: 1) Ni sauti Mwanafunzi atambue sauti bw, fy na charti mepesi
tofauti a) kutambua sauti mbili zipi kw katika maneno. ya kauli
zinazota zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha unazoweza ilabi za sauti
mkwa matamshi bora kutamka? lengwa ikitamkwa na mwalimu kisha
pamoja b) kutamka sauti lengwa ili 2) Unajua atamke pamoja na mwalimu na
kuimarisha matamshi bora kusoma baadaye atamke akiwa peke yake,
c) kusoma silabi za sauti lengwa ili sauti zipi wawili wawili na kama darasa.Mifano
kuimarisha usomaji mbili ya silabi hizi ni: bwa, bwe; fya, fye;
d) kuandika silabi zinazotokana na zinazotamk kwa, kwe, kwi n.k.
sauti lengwa ili kuimarisha uandishi wa?
bora 3) Unajua teknolojia (papaya) kusikiliza sauti
e) kusoma maneno kwa kutumia kuandika lengwa ikitamkwa.
silabi zinazotokana na sauti lengwa ili maneno
kuimarisha usomaji gani mgeni mwalikwa akitamka sauti
f) kuandika maneno kutokana na yanayound lengwa.
silabi zilizofunzwa ili kuimarisha wa
uandishi bora kutokana kutumia silabi k.v. silabi bwana,
g) kusoma hadithi zilizo na maneno na sauti bweka, fyata, fyeka, kwao, kwea na
yaliyo na sauti lengwa ili kumsaidiwa mbili kwekwe.
mwanafunzi kutamka sauti husika ili zinazotamk
kuimarisha matamshi na usomaji wa alizosoma hewani na vitabuni pamoja
h) kuchangamkia kutamka sauti pamoja? na maneno yanayojumuisha sauti
lengwa ili kuimarisha mawasiliano hizo.
sentensi akitumia
msamiati wa shambani
hadithi aliyosoma.
1
4 TATHMINI NA KUFUNGA SHULE