You are on page 1of 10

2024 RATIBA YA KAZI

KISWAHILI
GREDI YA SABA
MUHULA WA KWANZA
SHULE GREDI ENEO LA KUJIFUNZA MUHULA MWAKA
GREDI 7 KISWAHILI 1 2024

Wi Kip Mada Mada Matokeo maalum Shughuli za ujifunzaji Maswali Nyenzo Mapendeke Maoni
ki indi Kuu ndogo yanayotarajiwa dadasi zo ya
tathmini
1 1 Usafi Kusikiliza Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa wawili, wanafunzi Je, KLB; Top Kutunga
wa na mwanafunzi aweze: amweleze mwenzake unaposikiliza Scholar; sentensi
Kibinaf kuzungum kuhusu picha aliyoitazama. mtu Kiswahili Kujibu
si za; a) Kueleza kuhusu picha akizungumza Kitabu cha maswali
Kusikiliza aliyoitazama katika Wanafunzi waweze unafaa Mwanafunzi Kujaza
na kujibu kitabu cha kusikiliza mazungumzo kufanya nini Gredi ya 7, Uk. pengo
mwanafunzi. kati ya Simba na Mnyama ili uupate 1-2 Kuandika
b) Kusikiliza Mgeni ambayo mwalimu ujumbe tungo
mazungumzo kati ya atawasilisha. kiukamilifu? Kapu maneno Kazi mradi
Simba na Mnyama Chati
Mgeni ambayo Wanafunzi waweze kutaja Mabango
mwalimu atawasilisha. vitendo ambavyo wanyama Kamusi
c) Kutaja vitendo walifanya kuonyesha kuwa Majarida
ambavyo wanyama walikuwa wanasikiliza Michoro na
walifanya kuonyesha wakati wa mazungumzo picha
kuwa walikuwa yao Vifaa vya
wanasikiliza wakati kidijitali
wa mazungumzo yao.
d) Kukuza ubunifu wa
usikilizaji.

2 Usafi Kusikiliza Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa katika vikundi, Je, ni KLB; Top Kutunga
wa na mwanafunzi aweze: wanafunzi waweze kujadili vipengele Scholar; sentensi
Kibinaf kuzungum tabia za kinidhamu gani vifaavyo Kiswahili Kujibu
si za; a) Kujadili tabia za alizozingatia Mnyama katika Kitabu cha maswali
Kusikiliza kinidhamu Mgeni wakati wa kumjibu kusikiliza na Mwanafunzi Kujaza
na kujibu alizozingatia Mnyama Simba. kujibu Gredi ya 7, Uk. pengo
Mgeni wakati wa mazungumzo? 2-3 Kuandika
kumjibu Simba. Wakiwa wawili, wanafunzi tungo
b) Kuigiza mazungumzo kuigiza mazungumzo ya Kapu maneno Kazi mradi
ya simu kisha simu na mwenzake. Kamusi
kuzungumza kuhusu Zungumzieni kuhusu usafi Majarida
usafi wa kibinafsi. wa kibinafsi. Vifaa vya
c) Kuchangamkia usafi kidijitali
wa kibinafsi.

3 Usafi Kusoma; Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa wawili, wanafunzi Je, ni mambo KLB; Top Kutunga
wa Ufahamu mwanafunzi aweze: waweze, kueleza mambo gani Scholar; sentensi
Kibinaf wa yanayoweza kumsaidia yanaweza Kiswahili Kujibu
si kifungu a) Kueleza mambo kupata ujumbe katika kukusaidia Kitabu cha maswali
cha yanayoweza kifungu cha ufahamu. kupata Mwanafunzi Kujaza
simulizi kumsaidia kupata ujumbe katika Gredi ya 7, Uk. pengo
ujumbe katika kifungu Wakiwa wawili, wanafunzi kifungu cha 3 Kuandika
cha ufahamu. waweze, kutazama picha ufahamu? tungo
b) Kutazama picha iliyopo katika kitabu cha Kapu maneno Kazi mradi
iliyopo katika kitabu mwanafunzi kisha Kamusi
cha mwanafunzi kisha kuzungumza Michoro na
kuzungumza kinachofanyika. picha
kinachofanyika. Vifaa vya
c) Kufurahia kidijitali
mazungumzo yao.

4 Usafi Kusoma; Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa katika vikundi au Kwa nini KLB; Top Kutunga
wa Ufahamu mwanafunzi aweze: wawili, wanafunzi waweze Unasoma Scholar; sentensi
Kibinaf wa kusoma kifungu iliyopo ufahamu? Kiswahili Kujibu
si kifungu a) Kusoma kifungu katika kitabu cha Kitabu cha maswali
cha iliyopo katika kitabu mwanafunzi. Mwanafunzi Kujaza
simulizi cha mwanafunzi. Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kujibu maswali ya Wakiwa katika vikundi au 3-7 Kuandika
kifungu. wawili, wanafunzi waweze tungo
c) Kufurahia kusoma kujibu maswali ya kifungu. Kapu maneno Kazi mradi
kifungu. Kamusi
Majarida
Michoro na
picha

2 1 Usafi Kusoma; Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa katika vikundi, Umesoma KLB; Top Kutunga
wa Ufahamu mwanafunzi aweze: wanafunzi waweze kueleza kifungu gani Scholar; sentensi
Kibinaf wa maneno yaliyotumika katika Kiswahili Kujibu
si kifungu a) Kueleza maneno katika kifungu mtandao? Kitabu cha maswali
cha yaliyotumika katika alichokisoma. Mwanafunzi Kujaza
simulizi kifungu alichokisoma. Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kusoma kifungu Wakiwa katika vikundi, 7-8 Kuandika
mtandaoni kuhusu wanafunzi waweze kusoma tungo
usafi wa kibinafsi. kifungu mtandaoni kuhusu Kamusi Kazi mradi
c) Kufurahia kutumia usafi wa kibinafsi. Michoro na
mtandao. picha
Vifaa vya
kidijitali

2 Usafi Kuandika: Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa katika vikundi, Je, herufi KLB; Top Kutunga
wa Viakifishi; mwanafunzi aweze: wanafunzi kueleza kubwa Scholar; sentensi
Kibinaf Kichocheo matumizi ya herufi kubwa hutumiwa vipi Kiswahili Kujibu
si a) Kueleza matumizi ya katika sentensi. katika Kitabu cha maswali
herufi kubwa katika maandishi? Mwanafunzi Kujaza
sentensi. Wakiwa wawili au peke Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutunga sentensi yao, wanafunzi kutunga 8-10 Kuandika
akizingatia matumizi sentensi akizingatia tungo
ya herufi kubwa. matumizi ya herufi kubwa. Kamusi Kazi mradi
c) Kujadiliana matumizi Majarida
tofauti ya herufi Wakiwa katika vikundi, Michoro na
kubwa. wanafunzi, kujadiliana picha
d) Kuchangamkia matumizi tofauti ya herufi Vifaa vya
matumizi ya herufi kubwa. kidijitali
kubwa.

3 Usafi Kuandika: Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa katika vikundi, Kikomo KLB; Top Kutunga
wa Viakifishi; mwanafunzi aweze: wanafunzi kueleza hutumiwa vipi Scholar; sentensi
Kibinaf Kichocheo matumizi ya kikomo katika katika Kiswahili Kujibu
si a) Kueleza matumizi ya sentensi. maandishi? Kitabu cha maswali
kikomo katika Mwanafunzi Kujaza
sentensi. Wakiwa wawili au peke Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutunga sentensi yao, wanafunzi kutunga 8-10 Kuandika
akizingatia matumizi sentensi akizingatia tungo
ya kikomo. matumizi ya kikomo. Kamusi Kazi mradi
c) Kujadiliana matumizi Majarida
tofauti ya kikomo. Wakiwa katika vikundi, Michoro na
d) Kuchangamkia wanafunzi, kujadiliana picha
matumizi ya kikomo. matumizi tofauti ya Vifaa vya
kikomo. kidijitali

4 Usafi Sarufi: Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa wawili, wanafunzi Nomino ni KLB; Top Kutunga
wa Aina za mwanafunzi aweze: kutambua nomino za pekee nini? Scholar; sentensi
Kibinaf nomino; katika orodha iliyoandikwa Kiswahili Kujibu
si Nomino a) Kutambua nomino za ubaoni au katika kitabu cha Kitabu cha maswali
za pekee pekee katika orodha mwanafunzi. Mwanafunzi Kujaza
iliyoandikwa ubaoni Gredi ya 7, Uk. pengo
au katika kitabu cha Wanafunzi waweze, 10-11 Kuandika
mwanafunzi. kueleza matumizi ya tungo
b) Kueleza matumizi ya nomino za pekee. Kapu maneno Kazi mradi
nomino za pekee. Mabango
c) kuchangamkia Kamusi
matumizi ya nomino Michoro na
za pekee. picha

3 1 Usafi Sarufi: Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa wawili, wanafunzi Je, kuna aina KLB; Top Kutunga
wa Aina za mwanafunzi aweze: waweze kutambua nomino gani za Scholar; sentensi
Kibinaf nomino; za pekee katika sentensi. nomino? Kiswahili Kujibu
si Nomino a) Kutambua nomino za Kitabu cha maswali
za pekee pekee katika sentensi. Wanafunzi waweze Mwanafunzi Kujaza
b) Kutumia nomino za kutumia nomino za pekee Gredi ya 7, Uk. pengo
pekee kutunga kutunga sentensi. 11-12 Kuandika
sentensi. tungo
c) Kutambua aina nne za Wanafunzi waweze Kapu maneno Kazi mradi
nomino za pekee. kutambua aina nne za Chati
d) Kuonea fahari nomino za pekee. Mabango
matumizi ya nomino Kamusi
za pekee. Majarida
Michoro na
picha
2 Usafi Sarufi: Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze, Nomino za KLB; Top Kutunga
wa Aina za mwanafunzi aweze: kuchagua nomino za kawaida Scholar; sentensi
Kibinaf nomino; a) Kuchagua nomino za kawaida katika orodha ya ulizochagua Kiswahili Kujibu
si Nomino kawaida katika orodha maneno iliyoandikwa zinarejelea Kitabu cha maswali
za ya maneno ubaoni. vitu gani? Mwanafunzi Kujaza
kawaida iliyoandikwa ubaoni. Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutaja majina ya vitu Mwanafunzi, aweze kutaja 1-2 Kuandika
vinavyopatikana majina ya vitu tungo
shuleni. vinavyopatikana shuleni. Mabango Kazi mradi
c) Kuchangamkia Kamusi
matumizi ya nomino Majarida
za kawaida. Michoro na
picha

3 Usafi Sarufi: Kufikia mwisho wa kipindi, Wanafunzi, kueleza Unatumia vipi KLB; Top Kutunga
wa Aina za mwanafunzi aweze: matumizi ya nomino za nomino za Scholar; sentensi
Kibinaf nomino; kawaida katika sentensi na kawaida? Kiswahili Kujibu
si Nomino a) Kueleza matumizi ya vifungu. Kitabu cha maswali
za nomino za kawaida Mwanafunzi Kujaza
kawaida katika sentensi na Wanafunzi, kujaza nafasi Gredi ya 7, Uk. pengo
vifungu. katika kifungu kifuatacho 1-2 Kuandika
b) Kujaza nafasi katika kwa kutumia nomino za tungo
kifungu kifuatacho kawaida. Mabango Kazi mradi
kwa kutumia nomino Kamusi
za kawaida. Majarida
c) Kuonea fahari Michoro na
matumizi ya nomino picha
za kawaida.

4 Lishe Kusikiliza Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa katika vikundi, Ni maneno KLB; Top Kutunga
Bora na mwanafunzi aweze: wanafunzi waweze gani unayojua Scholar; sentensi
Kuzungu kusikiliza silabi ambayo yana Kiswahili Kujibu
mza; a) Kusikiliza silabi zitakozotamkwa na sauti dh au Kitabu cha maswali
Kusikiliza zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa. th? Mwanafunzi Kujaza
kwa kina mwalimu au Gredi ya 7, Uk. pengo
kurekodiwa. Mkiwa wawili, wanafunzi 15-16 Kuandika
b) Kuandika maneno kuandika maneno tungo
yaliyotamkwa yenye yaliyotamkwa yenye sauti Kapu maneno Kazi mradi
sauti dh na th. dh na th. Kamusi
c) Kuchangamkia Majarida
kukariri silabi za sauti Vifaa vya
dh na th katika silabi kidijitali
na maneno.

4 1 Lishe Kusikiliza Kufikia mwisho wa kipindi, Wanafunzi, kutambua Je, ni maneno KLB; Top Kutunga
Bora na mwanafunzi aweze: silabi zinazotokana na sauti gani yenye Scholar; sentensi
Kuzungu zinazokaribiana katika sauti dh na Kiswahili Kujibu
mza; a) Kutambua silabi maneno (/dh/ na th/) th? Kitabu cha maswali
Kusikiliza zinazotokana na sauti Mwanafunzi Kujaza
kwa kina zinazokaribiana katika Wanafunzi waweze Gredi ya 7, Uk. pengo
maneno (/dh/ na th/) kutamka vitanzandimi 15-17 Kuandika
b) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi tungo
vinavyoundwa kwa za sauti zinazokaribiana Mabango Kazi mradi
silabi za sauti kimatamshi (/dh/ na th/) Kamusi
zinazokaribiana Majarida
kimatamshi (/dh/ na Michoro na
th/) picha
c) Kufurahia kutunga Vifaa vya
vitanzandimi zenye kidijitali
silabi /dh/ na /th/

2 Lishe Kusoma Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Ni kitabu gani KLB; Top Kutunga
Bora kwa mwanafunzi aweze: kusimulia wenzake katika cha hadithi Scholar; sentensi
mapana; kikundi kisa alichowahi ulichosoma Kiswahili Kujibu
Kichocheo a) Kusimulia wenzake kusoma. kikakufurahis Kitabu cha maswali
katika kikundi kisa ha zaidi? Mwanafunzi Kujaza
alichowahi kusoma. Wanafunzi waweze Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutambua msamiati kutambua msamiati 17 Kuandika
uliotumika katika uliotumika katika hadithi tungo
hadithi alichosimulia. alichosimulia. Kamusi Kazi mradi
c) Kufurahia kusimulia Majarida
hadithi. Michoro na
picha

3 Lishe Kusoma Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze, Umechagua KLB; Top Kutunga
Bora kwa mwanafunzi aweze: kuchagua matini kutoka kusoma Scholar; sentensi
mapana; maktabani au kwenye matini gani? Kiswahili Kujibu
Kichocheo Kitabu cha maswali
a) Kuchagua matini mitandao salama ili Mwanafunzi Kujaza
kutoka maktabani au aisome. Gredi ya 7, Uk. pengo
kwenye mitandao 17-18 Kuandika
salama ili aisome. Mwanafunzi aweze tungo
b) Kutambua msamiati kutambua msamiati Kapu maneno Kazi mradi
uliotumika katika uliotumika katika hadithi Mabango
hadithi kisha aandike kisha aandike maana za Kamusi
maana za maneno maneno hayo daftarini. Michoro na
hayo daftarini. picha
c) Kufurahia kusoma Vifaa vya
hadithi maktabani au kidijitali
mtandaoni.

4 Lishe Kusoma Kufikia mwisho wa kipindi, Mkiwa wawiliwawili, Ni kitabu gani KLB; Top Kutunga
Bora kwa mwanafunzi aweze: wanafunzi waweze cha hadithi Scholar; sentensi
mapana; kutunga sentensi daftarini ulichosoma Kiswahili Kujibu
Kichocheo a) Kutunga sentensi akitumia msamiati kikakufurahis Kitabu cha maswali
daftarini akitumia aliojifunza kutoka kwenye ha zaidi? Mwanafunzi Kujaza
msamiati aliojifunza matini aliyosoma. Gredi ya 7, Uk. pengo
kutoka kwenye matini 17-18 Kuandika
aliyosoma. Mwanafunzi aweze, tungo
b) Kueleza ujumbe kueleza ujumbe alioupata Kapu maneno Kazi mradi
alioupata kutokana na kutokana na matini Mabango
matini aliyoisoma. aliyoisoma. Kamusi
c) Kuandika muhtasari Majarida
wa hadithi aliyoisoma. Mwanafunzi aweze, Michoro na
kuandika muhtasari wa picha
hadithi aliyoisoma. Vifaa vya
kidijitali

5 1 Lishe Kuandika; Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa wawiliwawili, Je, ni shughuli KLB; Top Kutunga
Bora Barua ya mwanafunzi aweze: wanafunzi waweze kueleza gani ambayo Scholar; sentensi
kirafiki ya umuhimu wa barua ya inaweza Kiswahili Kujibu
kutoa a) Kueleza umuhimu wa kirafiki ya mwaliko. kukufanya Kitabu cha maswali
mwaliko barua ya kirafiki ya umwandikie Mwanafunzi Kujaza
mwaliko. Wakiwa wawiliwawili, rafiki yako Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kusoma barua ya wanafunzi kusoma barua barua ya 20-21 Kuandika
kirafiki iliyoandikwa ya kirafiki iliyoandikwa kutoa tungo
katika kitabu cha katika kitabu cha mwaliko? Mabango Kazi mradi
mwanafunzi. mwanafunzi. Kamusi
c) Kuchangamkia Majarida
kuandika barua ya Vifaa vya
kirafiki. kidijitali

2 Lishe Kuandika; Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze kutaja Ni mambo KLB; Top Kutunga
Bora Barua ya mwanafunzi aweze: vipengele vya kimuundo gani Scholar; sentensi
kirafiki ya vya barua ya kirafiki ya unazingatia Kiswahili Kujibu
kutoa a) Kutaja vipengele vya kutoa mwaliko. unapoandaa Kitabu cha maswali
mwaliko kimuundo vya barua vidokezo vya Mwanafunzi Kujaza
ya kirafiki ya kutoa Mwanafunzi kuandika barua ya Gredi ya 7, Uk. pengo
mwaliko. barua ya kirafiki ya kutoa kirafiki ya 21-22 Kuandika
b) Kuandika barua ya mwaliko. kutoa tungo
kirafiki ya kutoa mwaliko? Mabango Kazi mradi
mwaliko. Kamusi
c) Kufurahia kuandika Majarida
barua ya kirafiki ya Michoro na
kutoa mwaliko picha

3 Lishe Sarufi; Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze, Je, ni vitu KLB; Top Kutunga
Bora Aina za mwanafunzi aweze: kuchagua nomino za gani Scholar; sentensi
nomino: makundi katika orodha ya unavyojua Kiswahili Kujibu
Nomino a) Kuchagua nomino za maneno iliyoandikwa ambavyo Kitabu cha maswali
za makundi katika orodha ubaoni. vinapatikana Mwanafunzi Kujaza
makundi ya maneno katika Gredi ya 7, Uk. pengo
iliyoandikwa ubaoni. Mwanafunzi aweze kutaja mafungu au 23-24 Kuandika
b) Kutaja majina ya vitu majina ya vitu vikundi katika tungo
vinavyopatikana vinavyopatikana katika mazingira Chati Kazi mradi
katika mazingira yao. mazingira yao yako? Mabango
c) Kuchangamkia Kamusi
matumizi ya nomino Majarida
za makundi. Michoro na
picha

4 Lishe Sarufi; Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Nomino za KLB; Top Kutunga
Bora Aina za mwanafunzi aweze: kutambua nomino za makundi ni Scholar; sentensi
nomino: makundi katika sentensi. gani? Kiswahili Kujibu
Nomino Kitabu cha maswali
Mwanafunzi
za a) Kutambua nomino za Mwanafunzi aweze Gredi ya 7, Uk. Kujaza
makundi makundi katika kuandika aya moja kuhusu 24-25 pengo
sentensi. lishe bora akitumia angalau Kuandika
b) Kuandika aya moja nomino mbili za makundi Kapu maneno tungo
kuhusu lishe bora Chati Kazi mradi
akitumia angalau Kamusi
nomino mbili za Majarida
makundi. Michoro na
c) Kuonea fahari picha
matumizi ya nomino
za makundi.

6 LIKIZO FUPI
7 1 Lishe Nomino Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Ni nomino KLB; Top Kutunga
Bora za mwanafunzi aweze: kuchagua nomino za gani Scholar; sentensi
dhahania dhahania kati ya nomino zinazotaja hali Kiswahili Kujibu
a) Kuchagua nomino za zilizo katika kapu la au vitu vya Kitabu cha maswali
dhahania kati ya maneno. kufikirika tu? Mwanafunzi Kujaza
nomino zilizo katika Gredi ya 7, Uk. pengo
kapu la maneno. Mwanafunzi aweze 25-27 Kuandika
b) Kutunga sentensi kutunga sentensi akitumia tungo
akitumia nomino nomino dhahania. Kapu maneno Kazi mradi
dhahania. Chati
c) Kuchangamkia Mabango
kutumia nomino za Kamusi
dhahania. Vifaa vya
kidijitali

2 Lishe Nomino Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Je, KLB; Top Kutunga
Bora za mwanafunzi aweze: kutambua nomino za umegundua Scholar; sentensi
dhahania dhahania katika sentensi. nini kuhusu Kiswahili Kujibu
a) Kutambua nomino za nomino hizo Kitabu cha maswali
dhahania katika Mwanafunzi aweze ukirejelea Mwanafunzi Kujaza
sentensi. kuandika aya moja kuhusu uwezekano Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kuandika aya moja lishe bora akitumia nomino kuonekana 27-28 Kuandika
kuhusu lishe bora za dhahania. kwa macho au tungo
akitumia nomino za kushikika kwa Kapu maneno Kazi mradi
dhahania. mikono? Chati
c) Kuonea fahari Mabango
matumizi ya nomino Kamusi
za dhahania. Vifaa vya
kidijitali

3 Uhuru Kusikiliza Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Je, umewahi KLB; Top Kutunga
wa na mwanafunzi aweze: kueleza maana ya fasihi. kusimuliwa Scholar; sentensi
Wanya kuzungum hadithi gani? Kiswahili Kujibu
ma za; Tanzu a) Kueleza maana ya Mwanafunzi kutaja sifa za Kitabu cha maswali
za fasihi fasihi. tanzu za fasihi. Mwanafunzi Kujaza
b) Kutaja sifa za tanzu za Gredi ya 7, Uk. pengo
fasihi. Mwanafunzi kusoma 29-31 Kuandika
c) Kusoma hadithi hadithi iliyopo katika tungo
iliyopo katika kitabu kitabu cha mwanafunzi Kapu maneno Kazi mradi
cha mwanafunzi. Kamusi
d) Kufurahia kusoma Majarida
hadithi zinazohusu Vifaa vya
fasihi. kidijitali

4 Uhuru Tanzu za Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi kutaja aina za Je, umewahi KLB; Top Kutunga
wa fasihi mwanafunzi aweze: tungo za fasihi simulizi na kusoma tungo Scholar; sentensi
Wanya fasihi andishi katika gani? Kiswahili Kujibu
ma a) Kutaja aina za tungo matini. Kitabu cha maswali
za fasihi simulizi na Mwanafunzi Kujaza
fasihi andishi katika Wakiwa wawiliwawili au Gredi ya 7, Uk. pengo
matini. katika vikundi, wanafunzi 32-34 Kuandika
b) Kuigiza mazungumzo waweze Kuigiza tungo
kati ya Ngamia na mazungumzo kati ya Kapu maneno Kazi mradi
Ng’ombe. Ngamia na Ng’ombe. Mabango
c) Kutaja tungo za fasihi Kamusi
kutoka kwenye Wanafunzi waweze kutaja Majarida
mazungumzo ambayo tungo za fasihi kutoka Michoro na
mmeyaigiza. kwenye mazungumzo picha
d) Kuonea fahari tanzu ambayo mmeyaigiza. Vifaa vya
za fasihi. kidijitali

8 1 Uhuru Kusoma; Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Unafurahia KLB; Top Kutunga
wa Kusoma mwanafunzi aweze: kutumia kamusi au kusoma Scholar; sentensi
Kiswahili
Wanya kwa kina- a) Kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya vitabu gani Kitabu cha Kujibu
ma Novela mtandao kutafuta novela. vya hadithi? Mwanafunzi maswali
maana ya novela. Gredi ya 7, Uk. Kujaza
b) Kueleza kuhusu kitabu Mwanafunzi kueleza 35-37 pengo
kilichoandikwa katika kuhusu kitabu Kuandika
kitabu cha kilichoandikwa katika Kapu maneno tungo
mwanafunzi. kitabu cha mwanafunzi Kamusi Kazi mradi
c) Kuchangamkia Majarida
kusoma novela. Michoro na
picha

2 Uhuru Kusoma Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi a sehemu ya Sifa za novela KLB; Top Kutunga
wa kwa kina- mwanafunzi aweze: novela iliyoteuliwa na ni gani? Scholar; sentensi
Wanya Novela mwalimu aweze kusoma. Kiswahili Kujibu
ma a) Kusoma sehemu ya Kitabu cha maswali
novela iliyoteuliwa na Wanafunzi wakiwa katika Mwanafunzi Kujaza
mwalimu. vikundi waweze Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kujadiliana sifa za kujadiliana sifa za novela. 36-37 Kuandika
novela. tungo
c) Kufurahia kusoma Kapu maneno Kazi mradi
novela. Kamusi
Majarida

3 Uhuru Kuandika; Kufikia mwisho wa kipindi, Wanafunzi kujadiliana Ni kisa gani KLB; Top Kutunga
wa Insha za mwanafunzi aweze: mada mbalimbali za unachoweza Scholar; sentensi
Wanya kubuni kuandika insha ya kubuni kuandika Kiswahili Kujibu
ma a) Kujadili mada kuhusu wanyama. insha ya Kitabu cha maswali
mbalimbali za kubuni? Mwanafunzi Kujaza
kuandika insha ya Mwanafunzi kueleza Gredi ya 7, Uk. pengo
kubuni kuhusu ujumbe wa insha yao 37 Kuandika
wanyama. itakuwa upi tungo
b) Kueleza ujumbe wa Kamusi Kazi mradi
insha yao itakuwa upi. Majarida
c) Kuonea fahari insha za Vifaa vya
kubuni. kidijitali

4 Uhuru Kuandika; Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi kuandika Unaweza KLB; Top Kutunga
wa Insha za mwanafunzi aweze: vidokezo vya insha ya kuandika Scholar; sentensi
Wanya kubuni kubuni aliyoichagua. vidokezo gani Kiswahili Kujibu
ma a) Kuandika vidokezo kuhusu kisa Kitabu cha maswali
vya insha ya kubuni Mwanafunzi kuandika ulichotambua Mwanafunzi Kujaza
aliyoichagua. insha ya kubuni ? Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kuandika insha ya 38 Kuandika
kubuni. tungo
c) Kuchangamkia Kamusi Kazi mradi
kuandika insha za Majarida
kubuni. Michoro na
picha

9 1 Uhuru Sarufi; Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Ni vitu gani KLB; Top Kutunga
wa Aina za mwanafunzi aweze: kutambua nomino za wingi unavyojua Scholar; sentensi
Wanya nomino: katika kapu maneno. ambavyo Kiswahili Kujibu
ma Nomino a) Kutambua nomino za hupatikana Kitabu cha maswali
za wingi wingi katika kapu Mwanafunzi nomino za katika wingi Mwanafunzi Kujaza
maneno. wingi za vitu tu? Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kuandika nomino za vinavyopatikana shuleni au 38-39 Kuandika
wingi za vitu nyumbani i aweze tungo
vinavyopatikana kuandika Kapu maneno Kazi mradi
shuleni au nyumbani. Mabango
c) Kuonea fahari nomino Kamusi
za wingi. Majarida

2 Uhuru Aina za Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Unatumia vipi KLB; Top Kutunga
wa nomino: mwanafunzi aweze: kutunga sentensi akitumia nomino za Scholar; sentensi
Wanya Nomino nomino za wingi. wingi? Kiswahili Kujibu
ma za wingi a) Kutunga sentensi Kitabu cha maswali
akitumia nomino za Mwanafunzi kutumia Mwanafunzi Kujaza
wingi. nomino za wingi kuandika Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutumia nomino za aya ya maneno hamsini 39 Kuandika
wingi kuandika aya ya kuhusu uhuru wa tungo
maneno hamsini wanyama. Kapu maneno Kazi mradi
kuhusu uhuru wa Chati
wanyama. Mabango
c) Kuchangamkia Kamusi
kutumia nomino za Majarida
wingi.
3 Uhuru Nomino Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze kutaja Unafikiria KLB; Top Kutunga
wa za vitenzi- mwanafunzi aweze: nomino za vitenzi jina nomino za Scholar; sentensi
Wanya jina katika matini. vitenzi jina ni Kiswahili Kujibu
ma a) Kutaja nomino za gani? Kitabu cha maswali
vitenzi jina katika Mwanafunzi aweze Mwanafunzi Kujaza
matini. kusoma kifungu, ‘Shime Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kusoma kifungu, tulinde mazingira’ kisha 39-41 Kuandika
‘Shime tulinde kutambua nomino za tungo
mazingira’ kisha vitenzi-jina. Kapu maneno Kazi mradi
kutambua nomino za Chati
vitenzi-jina. Mabango
c) Kuonea fahari nomino Kamusi
za vitenzi-jina. Majarida
Vifaa vya
kidijitali

4 Uhuru Nomino Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Unatumia vipi KLB; Top Kutunga
wa za vitenzi- mwanafunzi aweze: kutunga sentensi akitumia nomino za Scholar; sentensi
Wanya jina nomino za vitenzi-jina. vitenzi-jina? Kiswahili Kujibu
ma a) Kutunga sentensi Kitabu cha maswali
akitumia nomino za Mwanafunzi kutumia Mwanafunzi Kujaza
vitenzi-jina nomino za vitenzi-jina Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutumia nomino za kuandika aya ya maneno 41 Kuandika
vitenzi-jina kuandika tungo
aya ya maneno. Kapu maneno Kazi mradi
c) Kuchangamkia Mabango
kutumia nomino za Kamusi
vitenzi-jina. Majarida

10 1 Aina za Kusikiliza Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi kutaja nyimbo Je, ni nyimbo KLB; Top Kutunga
Maliasi na mwanafunzi aweze: za watoto anazozijua katika gani za watoto Scholar; sentensi
li kuzungum jamii yake. unazozijua Kiswahili Kujibu
za; a) Kutaja nyimbo za katika jamii Kitabu cha maswali
Nyimbo watoto anazozijua Mwanafunzi kusikiliza yako? Mwanafunzi Kujaza
za watoto katika jamii yake. wimbo ufuatao ukiimbwa Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kusikiliza wimbo na mwalimu. 43-44 Kuandika
ufuatao ukiimbwa na tungo
mwalimu. Mabango Kazi mradi
c) Kuchangamkia Kamusi
kuimba nyimbo za Vifaa vya
watoto. kidijitali

2 Aina za Nyimbo Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze kutaja Unapoimba KLB; Top Kutunga
Maliasi za watoto mwanafunzi aweze: sifa za nyimbo za watoto. nyimbo za Scholar; sentensi
li watoto, Kiswahili Kujibu
a) Kutaja sifa za nyimbo Wanafunzi wakiwa katika unazingatia Kitabu cha maswali
za watoto. vikundi kujadili namna ya mambo gani Mwanafunzi Kujaza
b) Kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za ili mtoto Gredi ya 7, Uk. pengo
kuwasilisha nyimbo za watoto. atulie au 44 Kuandika
watoto. kulala? tungo
c) Kuimba nyimbo moja Mwanafunzi kuimba Kamusi Kazi mradi
ya watoto. nyimbo moja ya watoto. Majarida
d) Kufurahia kuimba Michoro na
nyimbo za watoto. picha

3 Aina za Nyimbo Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze kutaja Je, ni nyimbo KLB; Top Kutunga
Maliasi za mwanafunzi aweze: nyimbo unazozijua katika gani Scholar; sentensi
li bembelezi jamii yao ambazo huimbwa unazozijua Kiswahili Kujibu
a) Kutaja nyimbo kumbembeleza mtoto. katika jamii Kitabu cha maswali
unazozijua katika yako ambazo Mwanafunzi Kujaza
jamii yao ambazo Mwanafunzi aweze huimbwa Gredi ya 7, Uk. pengo
huimbwa kusikiliza wimbo ufuatao kumbembelez 44-45 Kuandika
kumbembeleza mtoto. ukiimbwa na mwalimu a mtoto? tungo
b) Kusikiliza wimbo Kamusi Kazi mradi
ufuatao ukiimbwa na Michoro na
mwalimu. picha
c) Kuchangamkia Vifaa vya
kuimba nyimbo kidijitali
bembelezi.

4 Aina za Nyimbo Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Unapoimba KLB; Top Kutunga
Maliasi za mwanafunzi aweze: kueleza sifa za bembelezi.bembelezi, Scholar; sentensi
li bembelezi unazingatia Kiswahili Kujibu
a) Kueleza sifa za Wakiwa katika vikundi, mambo gani Kitabu cha maswali
bembelezi. waweze kujadiliana mtindo ili mtoto Mwanafunzi Kujaza
b) Kujadili mtindo ya ya uwasilishaji wa atulie au Gredi ya 7, Uk. pengo
uwasilishaji wa bembelezi. kulala? 45-46 Kuandika
bembelezi. tungo
c) Kuimba nyimbo moja Mwanafunzi kuimba Kapu maneno Kazi mradi
bembelezi. nyimbo moja bembelezi. Chati
d) Kufurahia kuimba Mabango
nyimbo bembelezi. Kamusi
Majarida

11 1 Aina za Kusoma; Kufikia mwisho wa kipindi, Wakiwa wawiliwawili, Unazingatia KLB; Top Kutunga
Maliasi Kusoma mwanafunzi aweze: wanafunzi waweze kusoma nini ili Scholar; sentensi
li kwa kifungu katika kitabu cha kusoma Kiswahili Kujibu
ufasaha a) Kusoma kifungu mwanafunzi. makala kwa Kitabu cha maswali
katika kitabu cha ufasaha? Mwanafunzi Kujaza
mwanafunzi. Wanafunzi waweze Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kuhesabu idadi ya kuhesabu idadi ya maneno 46-47 Kuandika
maneno katika kifungu katika kifungu tungo
c) Kufurahia kusoma Kamusi Kazi mradi
kifungu katika kitabu Majarida
cha mwanafunzi. Vifaa vya
kidijitali

2 Aina za Kusoma Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Unazingatia KLB; Top Kutunga
Maliasi kwa mwanafunzi aweze: kusikiliza mwanahabari nini ili Scholar; sentensi
li ufasaha akitangaza taarifa. kusoma Kiswahili Kujibu
a) Kusikiliza makala kwa Kitabu cha maswali
mwanahabari Mwanafunzi kumwigiza ufasaha? Mwanafunzi Kujaza
akitangaza taarifa. mtangazaji huyo mbele ya Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Mwigiza mtangazaji wenzake darasani 47 Kuandika
huyo mbele ya tungo
wenzake darasani. Kamusi Kazi mradi
c) Kufurahia kuigiza Majarida
watangazaji. Vifaa vya
kidijitali

3 Aina za Kuandika; Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Unazingatia KLB; Top Kutunga
Maliasi Insha za mwanafunzi aweze: kusoma insha ya mambo gani Scholar; sentensi
li kubuni- masimulizi iliyopo katika unapoandika Kiswahili Kujibu
Masimuliz a) Kusoma insha ya kitabu cha mwanafunzi, insha ya Kitabu cha maswali
i masimulizi iliyopo ‘Mvumilivu hula mbivu’ masimulizi? Mwanafunzi Kujaza
katika kitabu cha Gredi ya 7, Uk. pengo
mwanafunzi, Mwanafunzi kueleza 48-49 Kuandika
‘Mvumilivu hula umuhimu wa lugha ya tungo
mbivu’ kiubunifu katika insha za Kapu maneno Kazi mradi
b) Kueleza umuhimu wa masimulizi. Mabango
lugha ya kiubunifu Kamusi
katika insha za Majarida
masimulizi. Michoro na
c) Kuchangamkia picha
kuandika insha za Vifaa vya
masimulizi. kidijitali

4 Aina za Insha za Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi kueleza Insha ya KLB; Top Kutunga
Maliasi kubuni- mwanafunzi aweze: umuhimu wa wahusika na masimulizi Scholar; sentensi
li Masimuliz mandhari katika insha za inahusu nini? Kiswahili Kujibu
i a) Kueleza umuhimu wa masimulizi. Kitabu cha maswali
wahusika na mandhari Mwanafunzi Kujaza
katika insha za Mwanafunzi aweze Gredi ya 7, Uk. pengo
masimulizi. kuandika insha ya 49-50 Kuandika
b) Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia tungo
masimulizi kwa lugha, wahusika na Kamusi Kazi mradi
kuzingatia lugha, mandhari. Majarida
wahusika na Michoro na
mandhari. picha
c) Kufurahia kuandika Vifaa vya
insha za masimulizi. kidijitali

12 1 Aina za Sarufi; Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Kwa nini KLB; Top Kutunga
Maliasi Nyakati: mwanafunzi aweze: kutambua vitenzi vilivyo tunatumia Scholar; sentensi
li Wakati katika wakati uliopo. nyakati Kiswahili Kujibu
uliopo a) Kutambua vitenzi mbalimbali Kitabu cha maswali
vilivyo katika wakati Mwanafunzi kutumia katika Mwanafunzi Kujaza
uliopo. wakati uliopo katika mawasiliano? Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutumia wakati uliopo sentensi. 50-51 Kuandika
katika sentensi. tungo
c) Kuchangamkia Kapu maneno Kazi mradi
matumizi ya wakati Mabango
uliopo Kamusi
Majarida
2 Aina za Wakati Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Ni kipande KLB; Top Kutunga
Maliasi uliopita mwanafunzi aweze: kutambua vitenzi vilivyo gani cha neno Scholar; sentensi
li katika wakati uliopita. kinachowakili Kiswahili Kujibu
a) Kutambua vitenzi sha wakati? Kitabu cha maswali
vilivyo katika wakati Mwanafunzi kutumia Mwanafunzi Kujaza
uliopita. wakati uliopita katika Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutumia wakati sentensi. 51-52 Kuandika
uliopita katika tungo
sentensi. Kamusi Kazi mradi
c) Kuchangamkia Majarida
matumizi ya wakati Michoro na
uliopita. picha

3 Aina za Wakati Kufikia mwisho wa kipindi, Mwanafunzi aweze Unatumia vipi KLB; Top Kutunga
Maliasi ujao mwanafunzi aweze: kutambua vitenzi kwenye wakati ujao? Scholar; sentensi
li kifungu katika wakati ujao. Kiswahili Kujibu
a) Kutambua vitenzi Kitabu cha maswali
kwenye kifungu katika Mwanafunzi kutumia Mwanafunzi Kujaza
wakati ujao. vitenzi ili kuunda sentensi Gredi ya 7, Uk. pengo
b) Kutumia vitenzi ili kuonyesha wakati ujao. 52-54 Kuandika
kuunda sentensi tungo
kuonyesha wakati Kamusi Kazi mradi
ujao. Majarida
c) Kuchangamkia Michoro na
matumizi ya wakati picha
ujao.

4 MARUDIO
13 KUFUNGA SHULE
Get more updated education material from www.elimulibrary.com
 Schemes of Work

 Lesson Plans
 Primary Notes
 Termly Lesson Plans
 Records of Work
 Exams and Homework (Pri)
 CBC Curriculum Designs
 Secondary Notes
 Exams and Homework (Sec)
 CBC Assessment Books
 8-4-4 Syllabus
 Topical Questions
 Longhorn Exams and Quizzes
 Authentic Tasks - CBC
 Assessment Rubrics - CBC
 KCSE Revision Exams
 Holiday Homework and Assignments
 Longhorn Topical Analysis

You might also like