You are on page 1of 8

RATIBA YA KISWAHILI GREDI 1 MUHULA WA KWANZA

NAME

TSC NO.

SCHOOL
RATIBA YA KAZI YA KISWAHILI GREDI YA KWANZA MUHULA WA KWANZA
W KI MADA MADA MATOKEO MAALUMU MASWALI MAPENDEKEZO YA SHUGHULI ZA NYENZO TATHMI
PI NDOGO YANAYOTARAJIWA DADISI UFUNZAJI NI
N
DI
1
KUFUNGUA SHULE NA MATAYARISHO
2 1- Karibu Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali
3 Darasani a na mwanafunzi aweze: 1) Mwanafunzi aigize maamkuzi Vifaa halisi mapesi
Kuzungu a) kutambua maneno yatumiwayo Tunatumia kama vile hujambo? Sijambo; ya kauli
mza: katika maamkuzi maneno Hamjambo? Hatujambo darasani zoezi
Maamku b) kuamkua na kuitikia maamkuzi ili gani katika horo wa
zi kujenga stadi ya kuzungumza salamu? watu wawili wakisalimiana
c) kutambua umuhimu wa salamu 2)
katika mawasiliano Tunatakiwa washirikishwe katika mjadala kuhusu
d) kufurahia kushiriki katika kusalimian maamkuzi
maamkuzi. a vipi?
3) Kwa katika vikundi ili wajadili kuhusu
nini umuhimu wa maamkuzi
tunasalimia
na kushirikishwa katika kuigiza
maamkuzi mepesi

maamkuzi darasani wakiwa wawili


wawili

3 1- Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali


3 a na mwanafunzi aweze: 1) Mwanafunzi ashiriki katika kutoa Vifaa halisi mapesi
Kuzungu a) kutambua maagizo mepesi Umewahi na kufuata maagizo kama vile ya kauli
mza: yanapotolewa darasani kuambiwa simama, keti, andika na chora zoezi
Maagizo b) kutoa na kufuata maagizo mepesi ufanye
yanayotumiwa darasani jambo video ya jinsi ya kutoa na kufuata
c) kubainisha maagizo yanayopaswa lolote? maagizo
kufuatwa katika mazingira yake 2) Ni nani
d) kuthamini umuhimu wa maagizo 1- anayetakiw mjadala wa maagizo yafaayo na
2katika maisha ya kila siku a kutoa yasiyofaa kufuatwa
maagizo? zi afafanue umuhimu wa
3) Ni maagizo
maagizo
yepi katika masimulizi ya matokeo ya
yanayotaki kufuata na kutofuata maagizo
wa
kufuatwa katika kuimba nyimbo na kukariri
na mashairi yanayohusu maagizo
yasiyotaki
wa
kufuatwa?
4) Kufuata
maagizo
kuna
umuhimu
gani?

4 1- Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali


3 a na mwanafunzi aweze: 1) Je, Mwanafunzi ataje vifaa halisi k.v. Vifaa halisi mapesi
Kuzungu a) kutambua kwa majina vifaa wajua vitu dawati, kitabu, kalamu na kifutio ya kauli
mza: vinavyopatikana darasani ili unavyotum Zoezi
Msamiati kurahisisha mawasiliano ia picha za vifaa halisi na kutaja majina
b) kutumia majina ya vifaa vya darasani?
darasani katika sentensi ili kuwezesha 2) Je, vifaa vya darasani
mazungumzo wajua
c) kufurahia kutumia na kutunza vifaa umoja na kadi za maneno na vifaa halisi
vinavyopatikana darasani wingi wa darasani wakiwa katika vikundi.
vitu vya
darasani mwenzake kuhusu vifaa vya darasani
k.m. Hii ni nini? Hii ni kalamu

5 1- Kusoma: Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali


3 Hadithi mwanafunzi aweze; Kwa nini Mwanafunzi ajadili picha Vifaa halisi mapesi
a) kutambua msamiati uliotumika unapenda zilizojumuishwa kwenye hadithi ya kauli
katika hadithi ili kuimarisha ufahamu picha? zoezi
b) kusikiliza hadithi zikisomwa na 2) kwenye hadithi
mwalimu ili kujenga usikivu Unapenda ishe utabiri
c) kufahamu hadithi aliyosomewa hadithi? wake baada ya kusomewa hadithi
darasani katika kuimarisha stadi ya 3) Kwa
kusoma nini msamiati uliotumika kwenye hadithi
d) kuchangamkia hadithi katika unapenda
maisha ya kila siku hadithi? maswali.
4)
Unakumbu kuhusu hadithi wakiwa wawili wawili
ka hadithi
uliyosikiliz hadithi ikisomwa kwa kutumia
a tarakilishi na projekta

6 1- Mimi na Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali


3 Wenzang a na mwanafunzi aweze: 1) Wewe ni Mwanafunzi asikilize maelezo ya Vifaa halisi mapesi
u Kuzungu a) kutambua wenzake darasani kwa nani? wengine. ya kauli
mza: majina, jinsia, miaka na gredi ili 2) Mwanafunzi aweza kusikiliza zoezi
Maelezo kuweza kuwaelezea Mwenzako maelezo ya wenzake yaliyorekodiwa
b) kujieleza kwa kurejelea jina, jinsia, ni nani?
miaka na gredi kwa ufasaha katika kwenye simu, kinasa sauti,
3) kipatakalishi n.k.
mawasiliano ya kila siku Unapenda
kufanya
kuwahusu katika vikundi.
c) kutoa muhtasari wa maelezo nini?
i
aliyoyasikia katika mazingira yake waulizane. maswali na kujibizana
d) kudhihirisha umakinifu wa k.m. Unaitwaje?
kusikiliza katika mazingira yake
e) kuchangamkia maelezo yake na ya akizingatia jina, jinsia, umri na gredi
wenzake katika kuimarisha mbele ya darasa
mawasiliano
f) kujivunia nafsi yake na wenzake
katika miktadha mbalimbali. Mwanafunzi aeleze maana ya
msamiati unaotumiwa kujieleza k.v.
umri, miaka,msichana, mvulana, gredi
na rafiki.
Mwanafunzi atunge sentensi kwa
kutumia maneno yanayotumiwa
kujieleza na kueleza wenzake.
kuhusu maana na matumizi ya
msamiati unaotumiwa k.m. umri,
miaka, msichana, mvulana, gredi na
rafiki katika vikundi

7 Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Maswali


a na mwanafunzi aweze: 1) Mwanafunzi aweze kuwa makini mapesi
Kuzungu a) kusimulia hadithi aliyosikiliza Umewahi anaposimuliwa masimulizi. ya kauli
mza: darasani ili kujenga stadi ya kusikiliza kusimuliwa zoezi
Masimuli b) kufahamu hadithi aliyosimuliwa ili kisa kipi? kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m.
zi kupata ujumbe 2) simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k.
c) kuonyesha umakinifu wa kusikiliza Unatarajiw
katika miktadha mbalimbali a kufanya mgeni mwalikwa akisimulia
d) kuchangamkia hadithi simulizi nini masimulizi.
maishani unaposimul wekwa
iwa katika vikundi na kutoleana muhtasari
masimulizi wa masimulizi yaliyosimulia.
?
3) maswali kutokana na masimulizi
Unakumbu
ka nini
katika
masimulizi
uliyosimuli
wa

8 1- Kusoma: Kufikia mwisho wa mada, Charti


3 Hadithi mwanafunzi aweze: 1) Je, ni Mwanafunzi ajadili picha Vifaa halisi
a) kutambua msamiati uliyotumika hadithi zilizojumuishwa kwenye hadithi.
katika hadithi ili kuweza kuutumia kusomewa?
katika mawasiliano 2) kwenye hadithi.
b) kusikiliza hadithi zikisomwa ili Unatarajiw
kujenga usikivu a kufanya wake baada ya kusomewa hadithi.
nini
c) kufahamu hadithi aliyosomewa unaposome msamiati uliotumika kwenye hadithi.
darasani ili kupata ujumbe wa hadithi?
d) kuchangamkia kusikiliza hadithi 3) Wanafunzi wajadiliane kuhusu
kila siku Unakumbu hadithi waliosomewa katika vikundi.
ka nini
kusikiliza hadithi zikisomwa kupitia
vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi,
projekta n.k.

picha na kadi za msamiati uliotumiwa


katika hadithi.

maswali kutokana na hadithi

9 1- Tarakimu Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali


3 a na mwanafunzi aweze: 1) Unajua Mwanafunzi anaweza kupewa kadi za Vifaa halisi mapesi
Kuzungu a) kutambua nambari moja hadi kumi kuhesabu nambari azitaje kwa maneno. ya kauli
mza:Msa (1-10) katika mazingira yake nambari ariri zoezi
miati b) kuhesabu nambari 1-10 kwa ngapi? mashairi kuhusu nambari hadi kumi.
mfuatano ili kujenga stadi ya 2) Hesabu
kuzungumza moja hadi kuimba nyimbo za tarakimu.
c) kutaja majina ya nambari moja kumi.
hadi kumi kwa mfululizo ili kujenga 3) na maneno kwa kuonyeshwa nambari
stadi ya kuzungumza Unaweza na kutaja jina la nambari husika.
d) kutumia majina ya nambari moja kutumia
hadi kumi kutunga sentensi ili Kiswahili wakiwa wawili wawili k.m.
majina yapi
kujenga stadi ya kuzungumza
ya nambari mmoja anachukua kidole kimoja na
e) kuthamini matumizi ya nambari
moja hadi mwingine anataja jina la nambari,
katika maisha ya kila siku
kumi ‘moja’ n.k.
katika
sentensi? kadi za majina ya nambari hadi kumi
4) Ni nini kwa utaratibu.
umuhimu
wa nambari nambari na jina kwa kutumia
maishani? tarakilishi na projekta.

video ya wanafunzi wakisoma


nambari hadi kumi kwa tarakilishi

1 1- Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali


0 3 a na mwanafunzi aweze: 1) Nambari Mwanafunzi asikilize kisa Vifaa halisi mapesi
Kuzungu a) kusikiliza visa vinavyohusiana na hutumiwaje kikisimuliwa. ya kauli
mza:Mas nambari ili kujenga umakinifu ? Mwanafunzi ashiriki katika zoezi
imulizi b) kufahamu masimulizi ya visa 2) kusimulia kisa kinachohusisha
vinavyohusiana na nambari ili kupata Unatarajiw nambari.
ujumbe a kufanya
c) kuonyesha umakinifu wa kusikiliza nini matukio yaliyosimuliwa.
katika mawasiliano unaposimul
d) kuchangamkia masimulizi katika iwa kisa? visa vinavyojumuisha nambari
maisha ya kila siku 3) wakiwa wawili wawili au katika
Unakumbu vikundi.
ka nini
katika kisa masimulizi kupitia kwa vyombo vya
ulichosimul kiteknolojia kama vile simu,
iwa kinasasauti na kipatakalishi vyaweza
kutumiwa katika kusimulia visa
mbalimbali.

1 1- Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali


1 3 mwanafunzi aweze; 1) Mwanafunzi ashirikiane na Vifaa halisi mapesi
a) kutambua msamiati uliotumika Umewahi wengine kujadili picha ya kauli
katika kurahisisha ufahamu kusikiliza zilizojumuishwa kwenye hadithi. zoezi
b) kusikiliza hadithi zikisomwa na hadithi ipi? abiri kitakachotokea
mwalimu ili kujenga stadi ya 2) kwenye hadithi.
kusikiliza Unatarajiw
c) kufahamu hadithi aliyosomewa ili a kufanya wake baada ya kusoma hadithi.
kupata ujumbe nini
d) kuchangamkia kusikiliza hadithi unaposome akitumia msamiati uliotumika kwenye
kila siku ili kujenga ari ya kusoma wa hadithi? hadithi.
baadaye 3) Kwa
nini hadithi waliosomewa katika vikundi.
unapenda i aweza kusikiliza
picha? hadithi zikisomwa kupitia vifaa vya
4) kiteknolojia k.v. tarakilishi, projekta
Unaweza n.k.
kutabiri
kitakachoto maswali kutokana na hadithi.
kea katika
hadithi?
5)
Unakumbu
ka hadithi
uliyosome
wa

1 1- Siku za Kusikiliz Kufikia mwisho wa mada, Charti Maswali


2 3 wiki a na mwanafunzi aweze: 1) Wiki Mwanafunzi atambue siku za wiki Vifaa halisi mapesi
Kuzungu a) kutambua siku za wiki katika moja ina yaani: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, ya kauli
mza: mawasiliano ya kila siku siku ngapi? Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Zoezi
Msamiati b) kutaja majina ya siku za wiki kwa 2) Unaenda Jumapili kwa kutumia kadi za
mfululizo ili kumsaidia kuratibu shule siku maneno.
shughuli za siku gani?
c) kuelezea shughuli za siku 3) wa siku za wiki.
mbalimbali za wiki ili kujenga stadi Unaweza
ya kuzungumza kutaja na
d) kutumia majina ya siku za wiki mashairi kuhusu siku za wiki.
kuandika
kutunga sentensi ili kuimarisha majina yapi
mawasiliano majadiliano ya shughuli za siku za
ya siku za wiki k.m. Jumatatu naenda shule,
e) kuthamini kila siku ya wiki ili wiki kwa
kutilia maanani shughuli za siku Ijumaa, Jumamosi au Jumapili
mfuatano? nashiriki ibada n.k.
husika maishani. 4) Waweza
kutumia za majina ya siku za wiki kwa
majina yapi utaratibu wakiwa wawili wawili.
ya siku za
wiki katika
sentensi?

1 1-
TATHMINI NA KUFUNGA SHULE
3 3

You might also like