You are on page 1of 6

RATIBA YA KISWAHILI DARASA LA 7 MUHULA WA 3

NAME

TSC NO.

SCHOOL
RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI DARASA LA SABA MUHULA WA PILI
WK KI FUNZO MADA SHABAHA SHUGHULI ZA NYENZO ASILIA MAONI
P MAFUNZO
1 KUFUNGUA SHULE NA MATAYARISHO
2 1 KUSIKILIZA NA Uhusiano way Kufikia mwisho wa kipindi -Kuuliza na -Ubao Kiswahili kwa darasa
KUONGEA watu na nchi mwanafunzi aweze kueleza uhusiano kujibu maswali -Zoezi la 7: kitabu cha
wa watu na nchi zao kufumbua kitabuni mwa wanafunzi:Kiswahili
mafumbo wanafunzi. kitukuzwe( toleo la
tatu);uk77
2 KUSOMA Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi -Kusoma -Ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kudondoa hoja -Kuuliza na -Picha na Uk 78
muhimu kuhusu ugonjwa wa ukimwi kujibu maswali taarifa
-Kufanya zoezi katika
kitabu cha
mwanafunzi.
3 KUANDIKA IMLA Kufikia mwisho wa kipindi -Kuandika Ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kuakifisha na sentensi Uk82
kuandika maneno kwa tahajia sahihi

4 SARUFI Matumizi ya Kufikia mwisho wa kipindi -Kuunda -Zoezi Kitabu cha mwanafunzi
kwa mwanafunzi aweze kutumia kwa katika sentensi katika UK 80
sentensi mbali mbali kuleta maana -Kujadili mada kitabu cha
tofauti -Kufanya zoezi mwanafunzi
-Ubao
5 MSAMIATI Watu wa nchi Kufikia mwisho wa kipindi -Kujadili -Ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kuitambua misamiati Uk 80
msamiati wa majina ya watu wa Kuunda sentensi
nchi. -Kufanya zoezi
3 1 KUSIKILIZA NA Misemo Kufikia mwisho wa kipindi -Kutunga -Ubao Kiswahili kwa darasa
KUONGEA mwanafunzi aweze kutunga sentensi sentensi la 7: kitabu cha
akitumia misemo -Kuuliza wanafunzi: Kiswahili
nakujibu kitukuzwe(toleo la
maswali. tatu);uk 83
2 KUSOMA Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi -Kusoma -Ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kusoma makala -Kuuliza na -Taarifa Uk84
katika magazeti ya kiswahili kujibu maswali katika
-Kufanya zoezi kitabu cha
mwanafunzi.
3 KUANDIKA Mapambo na Kufikia mwisho wa kipindi -kufanya zoezi Zoezi Kitabu cha mwanafunzi.
virembesho mwanafunzi aweze kutaja aina za Kuandika insha kitabuni mwa Uk 85
vya kiswahili mapambo na kueleza yanavovaliwa mwanafunzi
mwilini
4 SARUFI Kauli ya Kufikia mwisho wa kipindi Kunyambua -Zoezi Kitabu cha mwanafunzi
kutendana mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika Uk.85
vitenzi katika kauli za -Kujadili mada kitabu cha
kutendana -Kufanya zoezi mwanafunzi
-Ubao
5 MSAMIATI Mapambo Kufikia mwisho wa kipindi Kutamia -Vifaa Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa halisi,Picha Uk. 87
msamiati wa mapambo kutunga tarakimu na michoro
sentensi -Kufanya zoezi mbalmbali.

4 1 KUSIKILIZA NA Vitendawili Kufikia mwisho wa kipindi -Kusoma ubao Kiswahili kwa darasa
KUONGEA mwanafunzi aweze kutega na kutegua -Kuunda la 7: kitabu cha
vitendawili sentensi wanafunzi: Kiswahili
kitukuzwe( toleo la
tatu);uk88
2 KUSOMA Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi -Kusoma -Ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kusoma taarifa -Kuuliza na -Picha na Uk. 91
(Ulaghai) kwa makini na kujibu kujibu maswali taarifa
maswali kutoka kwenye taarifa -Kufanya zoezi katika
hiyo kwa usahihi. kitabu cha
mwanafunzi.
3 KUANDIKA Insha Kufikia mwisho wa kipindi -Kuratibu Mwalimu atoe anwani.
mwanafunzi aweze kuandika insha vidokezo -Ubao
kulingana na anwani atakayopewa -Kuandika insha
kwa hati nadhifu.
4 SARUFI Kauli ya Kufikia mwisho wa kipindi Kuunda sentensi ubao Kitabu cha mwanafunzi
kutendesha mwanafunzi aweze kuandika vitenzi na -kutambua Uk.92
sentenai katika kauli ya kutendesha udogo, wastani
na ukubwa wa
nomino
-Kufanya zoezi
5 MSAMIATI Dawa Kufikia mwisho wa kipindi -Kujadili maana -ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kutaja na kuunda ya visawe Uk.91
sentensi sahihi Kuunda sentensi
-Kufanya zoezi
5 1 KUSIKILIZA NA Sentensi zenye Kufikia mwisho wa kipindi -Kuuliza na Hotuba Kiswahili kwa darasa
KUONGEA misamiati ya mwanafunzi aweze kutunga sentensi kujibu maswali. kitabuni la7kitabu cha
viwanda akitumia msamiati wa viwanda -Kukamilisha wanafunzi: Kiswahili
salamu kitukuzwe( toleo la
tatu);uk 94
2 KUSOMA Ufahamu; Kufikia mwisho wa kipindi -Kusoma -Ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kusoma taarifa -Kuuliza na -Picha na Uk. 95
kwa makini na kujibu maswali kujibu maswali taarifa
kutoka kwenye taarifa hiyo kwa -Kufanya zoezi katika
usahihi. kitabu cha
mwanafunzi.
3 KUANDIKA Insha Kufikia mwisho wa kipindi -Kupanga -Ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kuandika barua vidokezo ubaoni Uk. 98
rasmi. -Kuandika insha
4 SARUFI Kauli ya Kufikia mwisho wa kipindi - -Kujadili ubao Kitabu cha mwanafunzi
kutendana mwanafunzi aweze kutunga sentensi mada Uk. 97
akitumia maneno katika kauli ya Kuunda sentensi
kutendeana -Kufanya zoezi
5 MSAMIATI Viwanda Kufikia mwisho wa kipindi Kutamia -Vifaa Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa halisi,Picha Uk.98
msamiati wa tarakimu kwa usahihi tarakimu na michoro
-Kufanya zoezi mbalmbali.

6 1 KUSIKILIZA NA majadiliano Kufikia mwisho wa kipindi -Kutaja vitawe - Ubao Kiswahili kwa darasa
KUONGEA mwanafunzi aweze kutoa hoja -Kuunda la 7: kitabu cha
muhimu kuendeleza mjadala kuhusu sentensi wanafunzi: Kiswahili
methali -Kuuliza na kitukuzwe( toleo la
kujibu maswali. tatu);uk 103
2 KUSOMA Ufahamu; Kufikia mwisho wa kipindi -Kusoma -Ubao Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kusoma taarifa( -Kuuliza na -taarifa Uk. 104
haki za mtoto ni zipi?)kwa makini kujibu maswali katika
na kujibu maswali kutoka kwenye -Kufanya zoezi kitabu cha
taarifa hiyo kwa usahihi. mwanafunzi.
3 KUANDIKA Insha Kufikia mwisho wa kipindi Kuandika insha -Ubao Mwalimu atoe anwani
mwanafunzi aweze kuandika insha ya insha
kwa hati nadhifu.
4 SARUFI Kauli ya Kufikia mwisho wa kipindi Kueleza maana -Zoezi Kitabu cha mwanafunzi
kutendatenda mwanafunz aweze kutunga sentensi ya vitenzi, katika Uk.106
katika hali ya kutendatenda -kutoa mifano kitabu cha
-Kufanya zoezi mwanafunzi
-Ubao
5 MSAMIATI Mekoni Kufikia mwisho wa kipindi Kujadili -Makala ya Kitabu cha mwanafunzi
mwanafunzi aweze kuutambua msamiati Kuunda magazeti Uk. 108
msamiati wa mekonina kuutumia sentensi
kuunda sentensi sahihi. -Kufanya zoezi

7 1 MITIHANI YA Jaribio la Kufikia mwisho wa kipindi Kufanya zoezi -Zoezi Kiswahili kwa darasa
MAJARIBIO pili mwanafunzi aweze kuandika majibu la majaribio katika la 7: kitabu cha
sahihi kwa zoezi la marudio -kurejelea kitabu cha wanafunzi: Kiswahili
kujitayarisha kwa mtihani kwa zoezi na mwanafunzi kitukuzwe( toleo la
kitaifa. kurekebisha tatu);UK 99
makosa

2 MITIHANI YA Jaribio la Kufikia mwisho wa kipindi ‘’ -Zoezi Kitabu cha mwanafunzi


MAJARIBIO pili mwanafunzi aweze kuandika majibu katika Uk100
sahihi kwa zoezi la marudio kitabu cha
kujitayarisha kwa mtihani kwa mwanafunzi
kitaifa. .
3 MITIHANI YA Jaribio la Kufikia mwisho wa kipindi ‘’ -Zoezi Kitabu cha mwanafunzi
MAJARIBIO tatu mwanafunzi aweze kuandika majibu katika uk101
sahihi kwa zoezi la marudio kitabu cha
kujitayarisha kwa mtihani kwa mwanafunzi
kitaifa. -Ubao
4 MITIHANI YA Jaribio la Kufikia mwisho wa kipindi ‘’ -Zoezi Kitabu cha mwanafunzi
MAJARIBIO nne mwanafunzi aweze kuandika majibu katika Uk. 101
sahihi kwa zoezi la marudio kitabu cha
kujitayarisha kwa mtihani kwa mwanafunzi
kitaifa.
5 MITIHANI YA Jaribio la Kufikia mwisho wa kipindi ‘’ -Zoezi Kitabu cha mwanafunzi
MAJARIBIO tano mwanafunzi aweze kuandika majibu katika Uk. 102
sahihi kwa zoezi la marudio kitabu cha
kujitayarisha kwa mtihani kwa mwanafunzi
kitaifa.
8 1 KUSKILIZA NA nchi za africa Kufikia mwisho wa kipindi -Kuuliza na Chati Kitabu cha mwanafunzi UK
KUONGEA mwanafunzi aweze kutaja baadhi ya kujibu maswali 109
nchi za Afrika -Kufanya zoezi

2 KUSOMA ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi ‘’ vitabu KITABU cha mwanafunzi


mwanafunzi aweze kutambua mbinu mbalimbali 110
muafaka za kujibu maswali ya vya marudio
ufahamu
3 KUANDIKA Uandishi wa Kufikia mwisho wa kipindi Kuandika vitabu KITABU cha mwanafunzi
insha mwanafunzi aweze kufahamu mbinu mbalimbali 113
muafaka za uandishi wa insha ya vya marudio
kusisimu
4 SARUFI ,, Kufikia mwisho wa kipindi Kuandika vitabu Cha 115
mwanafunzi aweze kutumia viunganishi mbalimbali
muafaka mbalimbali katika sentensi ya vya marudio
kuandika
5 MSAMIATI Msamiati Kufikia mwisho wa kipindi Kuandika vitabu Kiswahili Kwa. darasa
Majina ya nchi mwanafunzi aweze kujifahamisha mbalimbali Uk115
misamiati ya nchi vya marudio

You might also like