Professional Documents
Culture Documents
2024 Kiswahili Form 2 Schemes of Work
2024 Kiswahili Form 2 Schemes of Work
KIPINDI
JUMA
NJIA ZA
MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NYENZO MAONI
KUFUNDISHIA
1
2 1-2 Kusikiliza na Ukusanyaji na Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Masimulizi.
KCM
kuzungumza. uhifadhi wa fasihi Kueleza njia zinazoweza kutumika kukusanya kazi za Maelezo. Uk 8-9
Fasihi yetu. simulizi. fasihi simulizi. Maswali na majibu.
Kufafanua njia zinazoweza kuhifadhi kazi za fasihi Ufahamu wa kusikiliza. MWM
simulizi. UK 10-12
Kueleza udhaifu ulioko katika njia za kuhifadhi fasihi
simulizi.
3 Kuandika. Insha ya mdokezo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Ufafanuzi. KCM
Uk 10
Kueleza sifa za insha ya mdokezo. Mifano.
Utungaji. MWM
UK 12
3 4 Ufasaha wa lugha. Uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Utafiti. KCM
Uk 16-17
Kueleza aina na umuhimu wa viwakifishi. Mifano.
Kutumia viwakifishi kwa ufasaha katika sentensi na Ufafanuzi. MWM
vifungu. Mazoezi. UK 17-18
Kamusi.
2
5 Kusikiliza na Masimulizi ya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Masimulizi. KCM
Uk 17-18
kudadisi. hadithi- fasihi Kueleza maana na matumizi ya hekaya. Kusoma. MWM
Fasihi yetu. simulizi. Kueleza mafunzo kutoka hekaya iliyosomwa. Maswali na majibu. UK. 18
Maigizo ya uwasilishaji. Vibonzo, maleba.
4 1 Kuandika. Uandishi wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza mifano. KCM
Uk 19-20
Utunzi. kiuamilifu. Kutoa tafsili ya neno resipe. Maelezo.
Resipe. Kutaja sababu za kutengeneza resipe. Tajriba. MWM
Kueleza mtindo wa kuandika resipe. Kuandika na kueleza UK. 18-19
Kutumia msamiati wa mapishi ipasavyo. msamiati.
2 Kusikiliza, kuandika Matamshi bora. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Utamkaji. KCM
Uk 21
na kuzungumza. Sauti tatanishi. Kubainisha sauti za Kiswahili. Usomaji.
Kueleza sababu za sauti tatanishi. Ufaraguzi. MWM
Kurekebisha utata unaotoka na sauti tatanishi. Makundi. UK. 19-21
Majadiliano.
Maswali na majibu.
3 Kusikiliza na Mahojoano baina ya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mahojiano. KCM
Uk 22-23
kuzungumza. daktari na mgonjwa. Kueleza mahojiano ni nini. Majadiliano.
Kueleza sifa za mahojiano. Kazi za makundi. MWM
Kueleza yaliyomo katika mahojiano. Mifano. UK 21-23
4-5 Kusoma kwa Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 23-25
ufahamu na mapana. Kusoma kwa sauti na kimya. Tajriba. MWM
Kujibu maswali. Maelezo. UK 23-26
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. Maswali na majibu. Michoro,
Utafiti wa msamiati. vibonzo,
mabango.
5 2 Kusikiliza na Lugha hospitalini. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mifano na maelezo. KCM
Uk 29-30
kuzungumza – Kueleza sifa na madhumuni ya lugha inayotumika Maswali na majibu.
ufasaha wa lugha. hospitalini. Utendaji. MWM
UK. 28-9
3
3-4 Kusoma kwa kina. Mashairi ya arudhi – Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Ufafanuzi. KCM
Uk 30-1
Fasihi yetu. Mashairi ya Kueleza sifa na muundo wa ngonjera. Majadiliano.
ngonjera. Kukariri ngonjera ifavyo. Kukariri. MWM
Kujibu maswali kutoka ngonjera. Kuigiza. UK. 29-30
2 Kusikiliza na Mazungumzo baina Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mifano na maelezo.
KCM
kuzungumza- ya mwalimu na Kuendesha mazungumzo kwa mtiririko mzuri Maswali na majibu. Uk 23-25
mzazi. Kutumia msamiati ipasavyo. Mashindano. MWM
UK.
22-23
3 Kusoma na Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa.
KCM
kuandika. Kusoma kwa sauti na kimya. Uvumbuzi. Uk 35-6
Kujibu maswali. Maelezo. MWM
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. Maswali na majibu. UK 33-4
Utafiti wa msamiati.
4 Sarufi. Vivumishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maswali na mifano; KCM
Uk 37-41
Kutaja aina na matumizi ya vivumishi. Majadiliano. MWM
UK 34-36
7 1
MTIHANI WA MAJARIBIO
4
3 Kuandika. Ratiba- siku ya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Tajriba. KCM
Uk 43-4
Utunzi. wazazi shuleni. Kutaja sifa za ratiba. Mifano.
Kuandika ratiba kwa ufasaha. Kuandika. MWM
Kulinganisha. UK. 38-9
4 Kusoma na kudadisi. Misemo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 45
Kueleza maana ya misemo. Mifano.
Kutumia misemo katika sentensi. Ufafanuzi. MWM
Kuandika. UK 39-40
5 Kusikiliza na Huduma ya dharura. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Masimulizi. KCM
Uk 45-6
kuzunungumza. Kueleza maana ya huduma ya huduma ya dharura. Tajriba.
Kushauri wakati wa kutolewa huduma za dharura Maigizo. MWM
mbalimbali. Ufahamu wa kusikiliza. UK 39-40
Utatuzi wa mambo.
8 1 Sarufi na matumizi Viwakilishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Vielezo. KCM
Uk 49-53
ya lugha. Kueleza maana ya viwakilishi. Mifano.
Kubainisha aina za viwakilishi. Maswali na majibu. MWM
Kutunga sentensi kwa kutumia aina mbalimbali za Utungaji wa senensi. UK 42-44
viwakilishi. Mazoezi.
Marudio.
2 Sarufi. Usemi halisi na Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mifano. KCM
Uk 53-54
usemi wa taarifa. Kupambanua usemi wa taarifa na halisi. Ufaraguzi.
Kugeuza sentensi kutoka hali moja hali nyingine. Mazoezi. MWM
Marudio. UK 44-5
3-4 Kusikiliza na Tamathali za usemi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 54-5
kudadisi. Kuonyesha wasanii wanavyotumia lugha katika fasihi. Mifano.
Fasihi yetu. Kutoa mifano ya baadhi ya tamathali za usemi. Kutunga sentensi. MWM
Utafiti. UK 45-6
5 Kuandika. Insha ya maelezo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Uigizaji. KCM
Uk 55-6
Utunzi. Kueleza mambo ya kuzingatia katika kutoa maelezo. Uchunguzi.
Kutoa ripoti ya jambo fulani kwa usahihi. Ufahamu wa kusikiliza. MWM
Kuandika. UK 46
9 1,2 Kusikiliza na Istiari. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 57
kudadisi. Kufafanua neno istiari. Uvumbuzi.
Kutoa na kueleza maana ya istiari mbalimbali. Maswali na majibu. MWM
Kutumia istiari katika sentensi. Majadiliano. UK. 47-8
.
Mazoezi.
5
3,4 Kusikiliza na Mafumbo. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Ufafanuzi. KCM
Uk 57-8
kudadisi. Kueleza dhana ya mafumbo na umuhimu wake. Maelezo.
Fasihi yetu. Kufumba na kufumbua mafumbo. Masali na majibu. MWM
Mashindano. UK. 48-51
Kujaza miraba
Imla.
5 Kusoma na Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa.
KCM
kuandika. Kusoma kwa sauti na kimya. Uvumbuzi. Uk 58-60
Kujibu maswali. Maelezo.
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. Maswali na majibu. MWM
Utafiti wa msamiati. UK 51-2
6
2-3 Kusikiliza na Kamusi ya methali. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. Kamusi ya
methali.
kuzungumza. Kueleza sifa za kamusi ya methali. Kutumia kamusi. Utafiti.
Kutumia kamusi ya methali.
4 Kusoma kwa Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 70-2
ufahamu. Kusoma kwa sauti na kimya. Uvumbuzi.
Kujibu maswali. Maelezo. MWM
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. Maswali na majibu. UK 58-9
Utafiti wa msamiati.
12-
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA
13
7
MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA PILI MUHULA WA PILI MWAKA
KIPINDI
JUMA
1 1-2 Kuandika. Uandishi wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Majaribio. KCM
Uk 73-7
Ufasaha wa lugha. kawaida. Kueleza umuhimu wa muhtasari. Utatuzi wa mambo.
Muhtasari. Kutaja hatua za kufupisha. Maswali na majibu. MWM
Kufupisha sentensi na vifungu. UK 60-1
3 Kusikiliza na Fasihi simulizi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mifano. KCM
Uk 74-7
kudadisi. Mighani. Kufafanua neno mighani. Masimulizi.
Kuandika mifano ya mighani. Kuigiza. MWM
UK 61-2
4-5 Kuandika. Insha ya methali. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 77-8
Utunzi. Kueleza muundo wa insha ya methali. Ufafanuzi.
Kuandika insha ya methali. Visa. MWM
Masimulizi. UK 62-3
Kuandika.
2 1 Kusikiliza, kusoma Matamshi bora. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Uchunguzi. KCM
Uk 79
na kuandika. Vitate. Kutamka maneno kwa usahihi. Majaribio.
Kuandika sentensi akionyesha maana ya maneno. Mchezo wa lugha. MWM
Imla. Uk 63-4
2 Kusikiliza na Hotuba ya kisiasa. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Tajriba. KCM
Uk 79-82
kuzungumza. Kutaja sifa za hotuba ya kisiasa. Ufafanuzi.
Kueleza hoja kuu teule. Mifano. MWM
Kazi mradi. Uk 64-5
2 3 Kusoma na Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 82-4
kuandika. Kusoma kwa sauti na kimya. Uvumbuzi.
Kujibu maswali. Maelezo. MWM
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. Maswali na majibu. UK 65-6
Utafiti wa msamiati.
8
4 Sarufi. Vihisishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Ufaraguzi wa hisia. KCM
Uk 84
Kueleza maana ya vihisihi. Kuigiza.
Kubainisha aina za vihisishi. Mifano katika sentensi. MWM
Kutumia vihisishi katika sentensi. Maelezo. UK. 66-7
Maleba.
3 1-2 Kusoma kwa kina. Ushairi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mifano. KCM
Uk 88-90
Kueleza maana ya utenzi. Maelezo.
Kudondoa ujumbe muhimu. Kazi mradi. MWM
Kuandika maneno kwa lugha ya nathari. Uk 69-71
Kueleza maana ya maneno na vifungu.
3 Kuandika. Hotuba ya kisiasa. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Tajriba. KCM
Uk 90
Utunzi. Kutaja sifa za hotuba ya kisiasa. Ufafanuzi.
Kueleza hoja kuu teule. Mifano. MWM
Kazi mradi. Uk 71
5 Kusikiliza na Kusoma vitabu Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma. Vitabu vya
maktaba.
kuzungumza. vya maktaba. Kusoma vitabu vya maktaba na kudondoa joja. Kuandika.
4 1 Kusoma na Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 92-3
kuandika. Kusoma kwa sauti na kimya. Maswali na majibu.
Kujibu maswali kwa usahihi. Maelezo na urekebishaji wa MWM
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. makosa. Uk 74-5
Utafiti wa msamiati.
Kamusi.
Mdahalo.
9
2 Sarufi. Vihusishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 93-4
Kueleza maana ya vihusishi. Tajriba. MWM
Kutaja mifano ya vihusishi. Mifano. UK. 75-6
Kutumia vihusishi katika sentensi. Mazoezi.
3 Kuandika. Matangazo ya vifo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Ufaraguzi. KCM
Uk 94-5
Ufasaha wa lugha. Kuelezea manufaa na sifa za matangazo ya vifo. Maelezo. MWM
Kuandika matangazo ya vifo kwa urefu na ufupi. Mifano. UK. 76-7
Magazeti.
Mifano ya
matangazo.
4-5 Kusikiliza na Kisasili. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Masimulizi. KCM
Uk 95-7
kudadisi. Kusoma na kufurahia kisasili. Maswali na majibu.
Kufafanua sifa za visasili. Utafiti / tajriba. MWM
UK. 77-9
5 1 Kuandika (Utunzi) Utungaji wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 97-8
kiuamilifu. Kueleza sifa za barua ya risala. Kuandika.
Barua ya risala ya Kuandika barua ya risala ya pongezi. MWM
pongezi. UK. 79
2 Kusikiliza na Chemsha bongo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mashindano. KCM
Uk 99
kudadisi. Kutega na kutegua vitendawili. Uigizaji. MWM
Kazi mradi. UK. 79-80
3 Kusikiliza, Jua na sayari. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Uvumbuzi. KCM
Uk 99-100
kuzungumza na Kuchora mfumo wa jua na sayari mbalimbali. Maelezo.
kuandika. Kueleza sifa za sayari mbalimbali. Ufafanuzi. MWM
Kusoma kwa upana. Mifano. UK. 80-81
5 4 Kusoma. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 100-2
Kusoma kwa sauti na kimya. Maswali na majibu. MWM
Kujibu maswali kwa usahihi. Maelezo na urekebishaji wa Uk 81-2
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. makosa.
Utafiti wa msamiati. Kamusi.
5 Sarufi na matumizi Mofimu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 102-3
ya lugha. Kueleza maana ya mofimu. Mifano.
Kubainisha mofimu za Kiswahili. Ufafanuzi. MWM
Kufafanua dhima ya mofimu. Utatuzi wa mambo. UK. 83
10
6 1 Sarufi. Uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maswali na majibu. KCM
Uk 104-5
Ufasaha wa lugha. Kuakifisha sentensi na vifungo. Mifano.
Mazoezi. MWM
UK. 83-4
2 Kusoma kwa kina. Mashairi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kukariri. KCM
Uk 106-8
Kusoma shairi na kujibu maswali kwa usahihi. Maelezo.
Kujibu maswali. MWM
UK. 84-5
3 Kuandika (Utunzi) Utungaji wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 108
kisanii- hadithi Kuandika hadithi fupi. Utafiti.
fupi. Kuandika. MWM
UK. 85-6
Kamusi.
7 1 Sarufi na matumizi Nyakati na Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutoa mifano. KCM
Uk 72-73
ya lugha. ukanushaji. Kutunga sentensi kwa kutumia viambishi vya nyakati. Ufaraguzi.
Kukanusha sentensi katika sentensi mbalimbali. Vielelezo. MWM
Uk 62-63
Kamusi.
11
3 Kuandika Uandishi wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mifano. KCM
Uk 78
(Utunzi) kiuamilifu – Kujaza fomu kwa hati nadhifu na tahajia sahihi. Maelezo.
kujaza fomu. Tajriba. MWM
Imla. UK. 65-66
5
MTIHANI WA MAJARIBIO
8 1 Kusoma na Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 80-81
kuandika. Kusoma kwa sauti na kimya. Maswali na majibu.
Kujibu maswali kwa usahihi. Maelezo na urekebishaji wa MWM
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. makosa. Uk 67-68
Utafiti wa msamiati.
2 Sarufi na matumizi Viambishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Uk 114-5
ya lugha. Kueleza matumizi ya viambishi. Mifano. MWM
UK -89
3 Kusikiliza na Lugha ya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Masimulizi. KCM
Uk 115-7
kuzungumza. mchezoni. Kupambarua sura za rugha ya mchezoni.kusimulia Maelezo.
(Ufasaha wa lugha) habari za michezo. Maigizo. MWM
Mifano. UK 89-90
4-5 Kusikiliza na Fasihi simulizi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutega na kutegua. KCM
Uk 117-9
kudadisi. Vitendawili. Kutega na kutegua vitendawili.kufafanua sifa za Mashindano.
vitendawili. MWM
UK 90-91
9 1 Kuandika. Insha ya mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mjadala. KCM
Uk 120
(Utunzi) Kutaja mambo ya kuzingatia na kuandika insha ya Kazi ya vikundi. MWM
mjadala. Kuandika. UK 91
Kuandika mjadala kufuatia kanuni za uandishi.
Redio.
12
2 Kusikiliza na Vitanza ndimi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutamka. KCM
Uk 121
kuzungumza na Kueleza dhana ya vitanza ndimi. Maelezo.
kuandika. Kutamka na kufafanua vitanza ndimi.. Mashindano. MWM
UK. 91-3
3 Kusoma na Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Usomaji wa taarifa. KCM
Uk 123-4
kuandika. Kusoma kwa sauti na kimya. Maswali na majibu.
Kujibu maswali kwa usahihi. Maelezo na urekebishaji wa MWM
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya. makosa. Uk 93-4
Utafiti wa msamiati.
Kamusi.
4-5 Kusoma na Vitabu vya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma. Vitabu vya
maktaba.
kusikiliza. maktaba. Kusoma vitabu vya maktaba na kudondoa joja. Kuandika.
10 1 Sarufi. Umoja na wingi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Uchunguzi. KCM
Uk 124
wa vivumishi vya Kutumia vivumishi vya pekee ili kupata upatanisho Vielelezo.
pekee. wa kisarufi. Mifano. MWM
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi. Ufahamu wa kusikiliza. UK. 95-6
Kazi mradi.
2-3 Kusoma kwa kina. Lugha ya ushairi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Ufafanuzi. KCM
Uk 124-6
Ufasaha wa lugha. Kutaja na kueleza sifa za lugha ya kishairi. Maelezo ya istihali.
Kutumia sifa za lugha kulikariri shairi. Kukariri shairi. MWM
Uchambuzi. UK. 96-7
4-5 Kusoma kwa kina. Nyimbo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Ufahamu wa kusikiliza. KCM
Uk 126-8
Fasihi yetu. Kueleza sifa za nyimbo. Mifano.
Kuhakiki nyimbo. Ugunduzi. MWM
Uimbaji. UK. 97-102
Uchambuzi.
2-3 Kuandika. Utungaji wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Ugunduzi. Uk 128
Utunzi. kisanii. Kueleza hatua za kutunga shairi.
Mashairi mepesi. Kuandika beti za mashairi kwa lugha nathari. Mifano.
MWM
Kuandika.
Kuandika mashairi mepesi. UK. 102-4
13
4 Sarufi. Umoja na wingi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maelezo. KCM
Maswali na majibu. Uk 132-4
wa viambishi vya Kutumia viambishi vya sifa katika sentensi katika hali
sifa. ya umoja na wingi. Mazoezi.
MWM
UK. 108-9
5 Kusikiliza na Lugha katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Uhakiki. KCM
Majadiliano. Uk 134-5
kuzungumza. matatu. Kueleza tofauti ya matumizi ya lugha katika biashara
Ufasaha wa lugha ya matatu na kwingineko. Maswali na majibu.
MWM
Ufahamu wa. Kusikiliza.
Kueleza na kufafanua sifa za lugha katika biashara hii. Uk. 109-112
Kuigiza.
Ufafanuzi. Vibonzo.
Mifano. Vielelezo.
Mandhari.
12-
13 MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA PILI
NJIA ZA
MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NYENZO MAONI
KUFUNDISHA
1 1 Kusoma kwa kina. Mchezo wa kuigiza I. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Drama. KCM
Uk 135-8
Fasihi yetu. aweze: Uhakiki.
Kufafanua kiini cha mchezo. Majadiliano. MWM
Kuwataja na kuwaelezea wahusika. Maswali na majibu. Uk 112-4
Kueleza ujumbe wa mchezo.
Maleba, vitu
Kufafanua maana ya maneno na vifungu. halisi, picha,
michoro.
14
2 Kuandika. Utungaji wa kisanii. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi ufaraguzi. KCM
Uk 138
Utunzi. Mchezo mfupi wa aweze: Maigizo.
kuigiza. Kuandika mchezo mfupi wa kuigiza. Ugunduzi. MWM
Kuigiza mchezo. Kuandika. Uk 115-6
2-3 Kusoma kwa kina. Mchezo wa kuigiza II. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Drama. KCM
Uk 147-9
Fasihi yetu. aweze: Uhakiki.
Kufafanua kiini cha mchezo. Majadiliano. MWM
Kuwataja na kuwaelezea wahusika. Maswali na majibu. Uk 120-1
Kueleza ujumbe wa mchezo.
Maleba, vitu
Kufafanua maana ya maneno na vifungu. halisi, picha,
michoro.
15
5 Kuandika. Utungaji wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo. KCM
Uk 149-50
Utunzi. kiuamilifu. aweze: Mifano.
Shajara. Kueleza maana ya shajara. Maelezo. MWM
Kueleza umuhimu wa shajara. Ufaraguzi. UK. 121
Kueleza namna ya kuweka shajara.
4 1-2 Kuandika. Uandishi wa kawaida Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
U k 159
Ufasaha wa lugha. kiuamilifu. aweze: Utafiti.
Taarifa ya habari. Kueleza sifa au umuhimu wa taarifa ya Maagizo. MWM
habari. Kuandika. Uk 127-8
Kuandika taarifa ya habari.
3-4 Kusoma kwa kina. Riwaya. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Majibu na maswlai, KCM
Uk 160-2
Fasihi yetu. aweze: Uchunduzi, usomaji,
Kusoma dondoo. Uchemuzi. Mjandlu. MWM
Kutaja wahusika na ijumbe. Uk 128-9
Kujibu maswali.
16
5 Kuandika. Insha ya maelezo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Michezo ya lugha. KCM
Uk 162
Utunzi. aweze: Kuandika.
Kueleza maana ya insha ya Mifano. MWM
maelezo. Melezo. Uk 128-9
5 1 Kusikiliza na Kutuma salamu redioni Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 163-4
kuzungumza. na magazetini. aweze: Maigizo. MWM
Kueleza mahitaji ya kutuma ya kutuma Ufaragui. Uk 130-1
salamiu dedioni na magazetini.
Redio, magaxetri
5 Sarufi. Kauli ya vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Melezo na ufafanuzi. KCM
Uk 168-170
aweze: Maswali na majibu.
Kunyambua vitenzi katika kauli Mazoezi. MWM
zinazozingatiwa. Uk 135-7
Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi
katika kauli tofauti.
6 1 Kusikiliza na kudadisi. Tanakali za sauti. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 177
aweze: Mifano.
Kueleza maana ya tanakali za sauti. Maelezo. MWM
Kueleza umuhimu wa tanakali za sauti. Uk. 140-1
Kutumia tanakali za sauti katika sentensi.
2 Kusoma kwa kina. Riwaya. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma kifungu. KCM
Uk 173-5
Fasihi yetu. aweze: Maelezo na ufafanuzi.
Kujibu maswali kutokana na kifungu. Uchambuzi. MWM
Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi. Uk 138-140
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi
Kitabu cha riwaya
zilizotumiwa. k.v. Nyota ya
Kueleza maana ya msamiati. Rehema.
17
3 Kusikiliza na Mahojiano. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mahojiano. KCM
Uk 173-5
kuzungumza. aweze: Majadiliano.
Kueleza sifa za mahijiano. Makundi. MWM
Kuendeleza mahojiano. Drama. Uk 138-140
Mifano.
6 4-5 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 166-8
aweze: Kusoma. MWM
Kusoma kwa ufasaha. Maswali na majibu. Uk 133-5
Kueleza maana za maneno na vifungu. Tajriba.
Kujibu maswali. Mazoezi. Kamusi.
3-4 Kusoma kwa kina. Hadihi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu cha dadithi.
aweze: Kuhakiki taarifa.
Kueleza sifa za wahusika. Majadiliano.
Kujadili mbinu zinazojitokeza.
5 Kuandika. Barua rasmi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 187-8
Utunzi. aweze: Majadiliano. MWM
Kueleza muundo wa barua rasmi. Kuandika. Uk. 148-9
Kuandika barua rasmi kwa usahihi. Barua rasmi.
18
8 3 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 190-3
aweze: Kusoma. MWM
Kusoma kwa ufasaha. Maswali na majibu. Uk 153-4
Kueleza maana za maneno na vifungu. Tajriba.
Kujibu maswali. Mazoezi. Kamusi.
4-5 Sarufi. Sentensi ambatano. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 194-7
aweze: Uvumbuzi.
Kueleza maana ya sentensi za aina nyingi Mifano. MWM
k.v. virai, vishazi, kundi nomino na kundi Mazoezi. Uk. 154-5
tenzi.
Kuunda na kubainisha sentensi.
9 1-2 Kuandika. Uandishi wa kawaida. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Michezo ya lugha. KCM
Uk 197-200
Ufasaha wa lugha. Muhtasari. aweze: Mashindano.
Kufafanua maana ya muhtasari. Mifano. MWM
Kueleza matumizi ya muhtasari. Imla. Uk. 155-6
Kazi mradi.
3-4 Kusikiliza na Uandishi wa kawaida. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Michezo ya lugha. KCM
Uk 197-200
kuzungumza. Ufupisho. aweze: Mashindano.
Kufupisha sentensi na vifungu. Mifano. MWM
Imla. Uk. 155-6
Kazi mradi.
10 1 Kuandika. Utungaji wa kisanii. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maigizo. KCM 201-2
Utunzi. Mchezo wa kuigiza. aweze: Uchunguzi. MWM
Kuandika mchezo wa kuigiza. Mifano. UK. 157
Kuigiza mchezo. Ufaraguzi.
2 Kusikiliza na kudadisi. Kufungu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Masimulizi. KCM 203
Utu ni unyama. aweze: Ufafanuzi.
MWM
Kueleza shani katika visa au dondoo fulani. Uchambuzi. UK.
Kutoa visa vingine vya kustaajabisha. Maswali na majibu. 157-9
Maelezo.
19
10 3 Kusikiliza na Makala katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
203-5
kuzungumza. magazeti / majarida. aweze: Mjadala.
Kueleza sifa za magazeti / majarida. Utafiti na uchunguzi. MWM 159-160
Kueleza umuhimu wa gazeti katika jamii. Maswali na majibu.
4-5 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 205-7
aweze: Kusoma. MWM
Kusoma kwa ufasaha. Maswali na majibu. Uk 160-2
Kueleza maana za maneno na vifungu. Tajriba.
Kujibu maswali. Mazoezi. Kamusi.
3 Sarufi na matumizi ya Viambishi vimikilishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
20
lugha. aweze: Tajriba.
Kubainisha maana ya vivumishi vimikilishi. Mifano. MWM 159-160
Kuorodhesha vivumishi vimikilishi. Maswali na majibu.
Kutumia vivumishi vimikilishi katika Mazoezi.
sentensi.
20
5 Kuandika. Utungaji wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 212
Utunzi. kiuamilifu. aweze: Ufafanuzi.
Insha ya dayolojia. Kueleza mtindo wa insha ya dayolojia. Utendaji. MWM
Kuandika insha ya dayolojia. Kuandika. Uk 167-8
12-13
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA
21