Professional Documents
Culture Documents
Kiswahili Form 4 2020 Schemes of Work
Kiswahili Form 4 2020 Schemes of Work
JUMA
NJIA ZA
KPD
NYENZO ZA
MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MAONI
KUFUNDISHIA KUFUNDISHIA
1 1 Kusikiliza na Utu bora. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Ufahamu wa kusikiliza. Kiswahili
Fasaha – 4
kuzungumza. aweze: Maelezo. Kitabu cha
Kueleza maana ya utu. Ufafanuzi. Mwana-funzi.
Kufafanua mafunzo katika somo. Maswali na majibu. KCM Uk 1
Kujadili kwa ufasaha mada aliyopewa. Masimulizi. Mwongozo wa
Mwalimu.
MWM Uk 1-3
5,6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule.
aweze: Kusikiliza.
Kutaja na kugusia yaliyomo katika kitabu Kuandika.
teule cha fasihi. Kujadiliana.
Kueleza mtiririko wa kitabu kwa Uchambuzi.
muhtasari.
1
2 1-2 Fasihi teule. ChimbUko la mashairi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi.
KCM
ya arudhi. aweze: Majadiliano. Uk 9-10
Kueleza chimbUko la mashairi ya arudhi. Uchunguzi.
Kueleza sifa za mashairi ya arudhi. Kazi ya vikundi. MWM
UK 8
Kitabu teule.
3 Utunzi. Barua ya kirafiki. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Mifano halisi ya barua. KCM
Uk 10
aweze: Maelezo.
Kueleza kanuni za uandishi wa barua ya Kuandika. MWM
kirafiki. UK 8-9
Kuandika barua ya kirafiki kwa usahihi. Vielelezo vya
barua.
5 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule.
aweze: Kusikiliza.
Kutaja na kugusia yaliyomo katika kitabu Kuandika.
teule cha fasihi. Kujadiliana.
Uchambuzi.
2
2 Sarufi. Umoja na wingi. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Mifano. KCM
Kubainisha maumbo ya maneno katika umoja Uk 15-17
Maelezo.
na wingi. Ufaraguzi. MWM
Kuandika sentensi kwa umoja na wingi. Maswali na majibu. UK. 14-15
Kueleza mabadiliko ya viambishi vya ngeli na
upatanisho ya kisarufi katika umoja na wingi.
Mazoezi.
3 Fasihi teule. ChimbUko la mashairi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Dayologia. KCM
Kufafanua wakati na sababu za kuchipua kwa Uk 19-20
huru. Maelezo.
mashairi huru. Utafiti. MWM
Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi Mifano. Uk 15-16
huru.
Kutoa maoni kuhusu mgogoro wa mashairi ya
jadi na huru.
4 Utunzi. Mchezo wa kuigiza. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Maigizo. KCM
Kuandika mchezo wa kuigiza kuzingatia Uk 20
Vikundi.
kanuni za utunzi. MWM
Utatuzi wa mambo. Uk 16-17
Kutumia alama za kuakifisha ipasavyo.
Kuandika. Makala
magazetini.
3
3 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji.
KCM
aweze: Maelezo. Uk 22-25
Kusoma kwa sauti na kimya. Maswali na majibu.
Kujibu maswali. Utafiti. MWM
Kubainisha umuhimu wa usalama Uk 20-21
barabarani. Kamusi.
6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule.
aweze: Kusikiliza.
Kutaja na kugusia yaliyomo katika kitabu Kuandika.
teule cha fasihi. Kujadiliana.
Kueleza mtiririko wa kitabu kwa Uchambuzi.
muhtasari.
5 1 Fasihi teule. Fani katika mashairi ya Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kudadisi. KCM
Uk 29-32
arudhi. aweze: Uchunguzi.
Kueleza maana na umuhimu wa fani Mifano na ufafanuzi. MWM
katika mashairi ya arudhi. Uhakiki. Uk. 23-24
Kufafanua muundo, mtindo, wahusika, na
matumizi ya lugha katika mashairi ya
arudhi.
Kuchambua fani katika mashairi ya
arudhi.
2 Utunzi. Insha ya methali. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Masimulizi. KCM
Uk 32
aweze: Uchunguzi.
Kufafanua muundo wa insha ya methali. Mifano. MWM
Kupambanua sifa za insha ya methali. Kuandika. Uk. 24-25
Kuandika insha ya methali.
4
3 Kusikiliza na Haki za wafanya kazi. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Majadiliano. KCM
Uk 33
kuzungumza. aweze: Maswali na majibu.
Kubadilisha mawazo kwa njia ya Uchunguzi na kudadisi. MWM
majadiliano. Utatuzi wa mambo. Uk. 25-27
Kusikiliza kwa makini na kutekelaza. Makundi.
Kueleza haki za wafanyakazi.
4 Fasihi yetu. Misemo. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Mashindano. KCM
Uk 33-34
aweze: Majadiliano.
Kueleza umuhimu wa misemo. Maelezo na ufafanuzi. MWM
Kutoa mifano ya misemo na kutumia Maswali na majibu. Uk. 27-28
katika misemo kimantiki na kisarufi.
6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule.
aweze: Kusikiliza.
Kutaja na kugusia yaliyomo katika kitabu Kuandika.
teule cha fasihi. Kujadiliana.
Kueleza mtiririko wa kitabu kwa Uchambuzi.
muhtasari.
2 Ufasaha wa lugha. Matumizi ya maneno Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 40-43
maalum. aweze: Maswali na majibu.
Kueleza kueleza maana na kubainisha Mifano.
matumizi ya maneno maalum. Mazoezi. MWM
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno Uk 31
maalum.
Kusahihisha matumizi mabaya ya maneno
maalum.
5
3 Fasihi teule. Fani katika mashairi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Udadisi. KCM
Uk 43-6
huru. aweze: Uchunguzi.
Kueleza maana na umuhimu wa fani. Mifano.
Kufafanua fani katika mashairi huru. Maswali na majibu. MWM
Uhakiki. Uk 31-3
4 Utunzi. Insha ya mazungumzo. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 46
aweze: Ufaraguzi na
Kueleza insha ya mazungumzo. mazungumzo. MWM
Kufafanua muundo wa insha ya Maswali na majibu. Uk 33
mazungumzo. Kuandika.
7 1 Fasihi yetu. Mafumbo. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uvumbuzi wa mafumbo. KCM
Uk 47-9
aweze: Uvumbuzi huria.
Kutoa maana ya mafumbo. Michezo ya lugha.
Kueleza sifa bainifu za mafumbo. Maelezo na ufafanuzi. MWM
Kupambanua dhima ya mafumbo. Mifano. Uk 34-5
Kufumbua mafumbo.
2 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM
Uk 49-51
aweze: Maelezo. MWM
Kusoma kwa sauti na kimya. Maswali na majibu. Uk 35-6
Kujibu maswali. Utafiti.
Kubainisha umuhimu wa usalama Kamusi,
Tarakimu, grafu
barabarani. na chati.
6
3 Sarufi. Aina ya vitenzi. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 51-4
aweze: Mifano.
Kueleza maana ya vitenzi. Mazoezi. MWM
Kubainisha vitenzi katika sentensi. Uk 36-38
Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu,
visaaidizi, vishirikishi, vipungufu na
vitenzi sambamba.
5 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kueleza mtiririko wa kitabu kwa Kuandika.
muhtasari. Kujadiliana.
Kundodoa matUkio makuu katika Uchambuzi.
maonyesho.
6
MAJARIBIO
7
4 Sarufi. Viwakilishi. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 63-66
aweze: Maswali na majibu.
Kueleza maana ya viwakilishi. Majadiliano.
Kuainisha viwakilishi mbalimbali na Mazoezi. MWM
mifano yake. Uk 45-6
Kufafanua matumizi ya viwakilishi.
Kutunga sentensi kwa kutumia
viwakilishi.
6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kueleza mtiririko wa kitabu kwa Kuandika.
muhtasari. Kujadiliana.
Kundodoa matUkio makuu katika Uchambuzi.
maonyesho.
8
4 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM
Uk 77-78
aweze: Utafiti.
Kusoma taarifa kwa ufasaha. Utatuzi wa mambo.
Kujibu maswali kwa usahihi. Uchunguzi kifani. MWM
Kueleza maana ya maneno na misemo. UK. 52-3
Kuzingatia mafunzo. Kamusi.
6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kueleza mtiririko wa kitabu kwa Kuandika.
muhtasari. Kujadiliana.
Kundodoa matUkio makuu katika Uchambuzi.
maonyesho.
10 1 Ufasaha wa lugha. Muhtasari. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. KCM
Uk 82-83
aweze: Kufupisha.
Kufupisha taarifa kuambatana na maagizo. Maswali na majibu. MWM
Mahojiano. Uk 54-5
3 Fasihi yetu. Ngano. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 87-9
aweze: Masimulizi.
Kufafanua muundo wa ngano. Maswali na majibu.
Kueleza maana ya ngano. Makundi. MWM
Kuandika insha ya mawazo. Uhakiki. Uk 60-63
Vielelezo.
9
4 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kueleza mtiririko wa kitabu kwa Kuandika.
muhtasari. Kujadiliana.
Kundodoa matUkio makuu katika Uchambuzi.
maonyesho.
10
4 Utunzi. Insha za wasifu na Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 98
tawasifu. aweze: Mifano.
Kueleza muundo na hatua za Maswali na majibu. MWM
Kuandika insha za wasifu na tawasifu. Melezo na ufafanuzi. Uk 70
Kuandika.
2 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kueleza mtiririko wa kitabu kwa Kuandika.
muhtasari. Kujadiliana.
Kundodoa matUkio makuu katika Uchambuzi.
maonyesho.
3 Ufasaha wa lugha. Muhtasari. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. KCM
Uk 106-7
aweze: Kufupisha.
Kufupisha taarifa kuambatana na maagizo. Maswali na majibu. MWM
Mahojiano. Uk 74
11
5 Fasihi yetu. Mighani. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 111-4
aweze: Madadiliano na MWM
Kueleza mighani. masimulizi. Uk 79-80
Kutoa sifa za mighani. Vielelezo,
Kusimulia mighani. magazeti,
majarida,
makala maalum.
NJIA ZA
MADA KUU SHABAHA MAONI
JUMA
12
3 Ufasaha wa lugha. Uundaji wa maneno. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Majadiliano. KCM
Uk 118-120
aweze: Mifano.
Kueleza sababu za kuendelea kuunda Majibu na maswali. MWM
maneno kila wakati. Maelezo na ufafanuzi. Uk 81-3
Kutaja mifano ya maneno ambayo
Makala yenye
yamezUka katika nyanja mbalimbali maandishi.
kutokana na maendeleo ya jamii.
4-5 Fasihi teule. Fani katika hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM
Uk 120-3
fupi. aweze: Kujibu maswali.
Kusoma hadithi fupi. Uhakiki. MWM
Kufafanua vipengele vya fani. Udadisi. Uk 83-4
Kuchambua fani katika mkusanyiko wa Maelezo na ufafanuzi.
Kitabu
hadithi fupi. kilichoteuliwa
Kujibu maswali.
6 Utunzi. Uandishi wa Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Tajriba na mifano. KCM
Uk 123-4
matangazo. aweze: Makundi.
Ueleza umuhimu wa matangazo. Kuandika. MWM
Kubainisha aina za matangazo. Uk 84-5
Kuandika matangazo. mandhari
halisi,
mabango,
magazeti.
2 1 Kusikiliza na Hotuba. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Mdahalo. KCM
Uk 125-6
kuzungumza. aweze: Kuhutubu. MWM
Kusikiliza hotuba kwa makini. Kusikiliza. Kazi mradi. Uk 85-6
Kufafanua ujumbe wa hotuba kwa mandhari
ufasaha. halisi,
mabango,
magazeti.
13
4 Sarufi. Vihisishi. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maigizo. KCM
Uk 130-3
aweze: Utfiti.
Kueleza na kuainisha vihisishi. Mifano. MWM
Kutoa mifano ya vihisishi. Masimulizi. Uk 88-9
Kutumia vihisishi katika maandishi na Mazoezi.
mzungumzo.
5 Ufasaha wa lugha. Mwingiliano wa aina Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 130-3
za maneno. aweze: Maswali na majibu.
Kubainisha dhana ya mwingiliano wa Uchunguzi. MWM
maneno. Uk 89-90
Kutambulisha aina za maneno.
Mandhari ya
Kutunga sentensi kudhihirisha wanafunzi.
mwingiliano wa maneno mbalimbali.
6 Fasihi teule. Fani katika riwaya. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 133-4
aweze: Uchambuzi.
Kueleza maana ya fani. Majadiliano. MWM
Kubainisha mambo muhimu katika Maswali na majibu. Uk 90
fani.
Kufafanua umuhimu wa fani..
Kuhakiki riwaya teule kifani.
3 1 Fasihi teule. Maudhui katika Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Majadiliano. KCM
Uk 135-6
riwaya. aweze: Ugunduzi.
Kueleza maudhui na dhamira. Utafiti. MWM
Kupambanua hatua na vigezo vya Uhakiki. Uk 90
kupata maudhui. Maswali na majibu.
Riwaya teule.
Kufafanua maudhui ya riwaya teule.
2 Utunzi. Hotuba. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maigizo ya hotuba. KCM
Uk 136
aweze: Ufahamu wa kusikiliza.
Kueleza maana ya hotuba. Kujadili muundo na MWM
Kufafanua sifa za hotuba. ujumbe wa hotuba. Uk 90-2
Kuzingatia ujumbe katika hotuba. Kuandika.
Kuandika hotuba.
3 Kusikiliza na Mahojiano – Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Mahojiano. KCM
Uk 137-8
kuzungumza. Jopo la waajiri. aweze: Maigizo.
Kueleza sifa za mahojiano katika jopo Majadiliano. MWM
la waajiri. Uk 92-3
Kuendesha mahojiano.
14
4 Fasihi yetu. Soga. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 138-9
aweze: Ufaraguzi.
Kueleza maana ya soga. Majadiliano. MWM
Kufafanua sifa za soga. Maswali na majibu. Uk 93-4
Kubainisha mafunzo katika soga.
Kutoa mfano wa soga.
5 Fasihi. Tamthilia. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo, Kitabu teule.
aweze: Mifano,
Kuzitambua mbinu na fani mbalimbali Uchambuzi.
zilizotumika katika tamthilia. Maswali na Majibu,
Uhakiki.
4 1-2 Sarufi. Vijensi vya sentensi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. KCM
Uk 142-6
I. aweze: Maelezo.
Kubainisha vijensi vya sentensi. Maswali na majibu. MWM
Kutunga sentensi ili kudhihirisha Uchunguzi. Uk 96-7
vijensi maalumu. Majadiliano.
Kamusi.
3 Ufasaha wa lugha. Dayologia. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uigizaji. KCM
Uk 146-8
aweze: Maelezo.
Kusoma na kuigiza dayologia kwa Ufafanuzi. MWM
ufasaha.. Maswali na majibu. U97-8
Kujibu maswali kutokana na dayologia. Kazi mradi.
Kuandika dayologia.
4 Fasihi teule. Maudhui katika Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 148-150
hadithi fupi. aweze: Utafiti.
Kueleza maana ya maudhui. Ugunduzi. MWM
Kueleza vigezo vya kuzingatia katika Uhakiki. Uk 98-99
uchambuzi wa maudhui.
Kufafanua maudhui ya hadithi.
5-6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kundodoa matUkio makuu katika Kuandika.
maonyesho. Kujadiliana.
Kutambua maudhui yanayoendelezwa Uchambuzi.
katika tamthilia.
15
5 1 Utunzi. Mahojiano. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 150
aweze: Kuigiza.
Kufafanua muundo wa mahojiano. Kuandika. MWM
Kuandika insha ya mahojiano kwa Maswali na majibu. Uk 99-00.
ufasaha.
2 Kusikiliza na Wavuti. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 151
kungumza. aweze: Majadiliano.
Kutumia mavuti ipasavyo. Maelezo. MWM
Kuzingatia ujumbe katika wavuti. Ufafanuzi. Uk 100-1.
4 Fasihi yetu. Malumbano ya Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi kifani. KCM
Uk 151-33
utani. aweze: Maelezo.
Kuchunguza mifano ya malumbano ya Mifano. MWM
utani. Maswali na majibu. Uk 101
Kupambanua aina za utani.
Kueleza matumizi ya lugha katika
malumbano ya utani.
Kufafanua dhima ya malumbano ya
utani.
5,6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kutambua maudhui yanayoendelezwa Kuandika.
katika tamthilia. Kujadiliana.
Uchambuzi.
6 1-2 Sarufi. Vijensi vya sentensi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Mifano. KCM
Uk 155-9
II aweze: Maelezo.
Kubainisha vijensi mbalimbali vya Maswali na majibu. MWM
sentensi kama shamilisho, vishazi na Uchunguzi. Uk 103-4
virai. Majadiliano.
Mikusanyo ya
Kutunga sentensi ili kudhihirisha maandishi.
vijensi maalumu.
16
3 Ufasaha wa lugha. Muhtasari. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maswali na majibu. KCM
Uk 160-1
aweze: Uchunguzi kifani.
Kufupisha habari. Maelezo na ufafanuzi. MWM
Kufafanua hoja mbalimbali. Kuandika. Uk 104-5
4 Fasihi teule. Mafunzo tathmini Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo. KCM
Uk 162-3
katika riwaya. aweze: Uvumbuzi.
Kueleza mafunzo ya tathmini . Maswali na majibu. MWM
Kupambanua vipengele vya mafunzo Maelezo. Uk 105-6
ya tathmini. Uhakiki.
Kufafanua mafunzo ya riwaya ya
tathmini.
6 5,6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kutambua maudhui yanayoendelezwa Kuandika.
katika tamthilia. Kujadiliana.
Uchambuzi.
Uhakiki.
7 1
MAJARIBIO
2 Utunzi. Memo, Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 164-6
baruaumeme, aweze: Mifano. MWM
ujumbe wa rununu. Kueleza maana ya memo, baruaumeme Uvumbuzi. Uk. 106-7
na ujumbe wa rununu. Utafiti. Mikusanyo ya
Kuandika baruaumeme, memo na Kuandika. baruaumeme,
Ujumbe wa
ujumbe wa rununu. rununu.
17
5 Fasihi teule. Mafunzo ya tathmini Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Majadiliano. KCM
Uk 167-8
katika fasihi aweze: Maelezo na ufafanuzi.
simulizi. Kufafanua mafunzo yanayojitokeza Maswali na majibu. MWM
katika vipera vya fasihi. Uk. 111-2
6 Fasihi. Kusoma kwa kina. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule,
aweze: Kusikiliza. Mwongozo.
Kutambua maudhui yanayoendelezwa Kuandika.
katika tamthilia. Kujadiliana.
Uchambuzi.
Uhakiki.
8 1 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM
Uk 169-171
aweze: Uvumbuzi.
Kusoma kwa ufasaha. Maelezo. MWM
Kueleza ujumbe wa kifungu. Majadiliano. Uk 111-3
Kujibu maswali ya ufahamu. Kujibu maswali.
Kamusi.
18
9 1 Utunzi. Insha ya masimulizi. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 182
aweze: Masimulizi.
Kufafanua sifa za insha ya masimulizi. Mifano. MWM
Kusimulia kisa kwa sauti. Kuandika. Uk 126-7
Kuandika insha ya masimulizi.
19
10 1 Sarufi. Mnyambuliko wa Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 188-94
vitenzi I. aweze: Mifano.
Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Ufafanuzi. MWM
Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Maswali na majibu. Uk 130-1
Kufafanua maana ya vitenzi katika Mazoezi.
Chati –
kauli mbalimbali. viambishi vya
vitenzi.
2 Ufasaha wa lugha. Muhtasari. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo.
KCM
Janga la Tsunami. aweze: Uchunguzi kifani. Uk 194-6
Kusoma taarifa kwa makini. Kuigiza.
Kufupisha habari. Maswali na majibu. MWM
Kufafanua hoja. Uk 131-2
Kuzingatia mafunzo katika taarifa. Ramani, picha.
3-4 Fasihi teule. Chimbuko na usuli Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 196-8
wa tamthilia. aweze: Ufafanuzi.
Kueleza chimbuko na usuli wa Uchunguzi kifani. MWM
tamthilia. Ugunduzi. Uk 132-3
Kueleza mikindo ya tamthilia. Maswali na Majibu.
Kupambanua usuli wa tamthilia.
20
11 1 Kusikiliza na Wimbo. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uimbaji. KCM 201
kuzungumza. aweze: Maelezo. MWM
Kuimba wimbo kwa mahadhi Majidiliano. Uk 133-5
yanayovutia.
Kujadili ujumbe wa wimbo.
Kuainisha wimbo.
Kuzingatia mafunzo katika wimbo.
2-3 Fasihi yetu. Nyimbo. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Uimbaji. KCM
201-5
aweze: Maelezo.
Kupambanua sifa na muundo wa Makundi. MWM
nyimbo. Majidiliano. Uk 135-7
Kuainisha nyimbo.
Kutambua mafunzo ya nyimbo
mbalimbali.
4 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM
141-4.
aweze: Ufafanuzi. MWM
Kueleza taarifa. Tajriba. UK. 101-3.
Kueleza chanzo na madhara ya ufisadi. Makundi. Kamusi.
Kujibu maswali. Mjadala.
5-6 Sarufi. Hali ya kuamuru. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
207-9
aweze: Maelezo.
Kueleza dhana ya kuamrisha. Majadiliano. MWM
Kubainisha vigezo vinavyotawala hali Tajriba. Uk 139-40
ya kuamrisha. Mazoezi.
Kutunga sentensi katika hali ya
kuamrisha.
12,
MTIHANI WA MWIGO WA K.C.S.E.
13
21
MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA NNE MUHULA WA TATU 2020
KIPINDI
NJIA ZA
UMA
22
2 1 Kusoma na Ufahamu. Kufikia mwisho wa somo, Usomaji. KCM
218-220
kuandika. mwanafunzi aweze: Utafiti.
Kusoma taarifa kwa ufasaha. Utatuzi wa MWM
Kujibu maswali kwa usahihi. mambo. Uk 144-5
Kueleza msamiati uliotumika. Uchunguzi kifani.
Kamusi.
Kuzingatia mafunzo.
4-5 Fasihi teule. Maudhui katika tamthilia. Kufikia mwisho wa somo, Tajriba. KCM
Uk 225-7
mwanafunzi aweze: Mjadala.
Kueleza maudhui na dhamira. Maswali na MWM
Kubainisha vipengele vinavyobeba majibu. Uk. 146-7
maudhui. Uchambuzi.
Kufafanua maudhui ya tamthilia Kuandika.
teule.
6 Utunzi. Insha ya maelezo. Kufikia mwisho wa somo, Maelezo. KCM
Uk 227-8
mwanafunzi aweze: Majadiliano.
Kufafanua sifa za insha ya maelezo. Tajriba. MWM
Kuandaa vidokezo vya insha. Utafiti. Uk. 147-8
Kuandika insha ya maelezo kwa Mahojiano.
usahihi.
3 1-2 Kusikiliza na Umuhimu wa utafiti. Kufikia mwisho wa somo, Ufaraguzi. KCM
Uk. 229
kuzungumza. mwanafunzi aweze: Mifano.
Kueleza maana na umuhimu wa Uchunguzi. MWM
utafiti. Kuandika. Uk 148-150
Kuzingatia mafunzo kutokana na
mada.
Kueleza maana ya istiali.
23
3 3 Fasihi yetu. Ngomezi. Kufikia mwisho wa somo, Uchunguzi. KCM
Uk. 229-230
mwanafunzi aweze: Ufaraguzi.
Kueleza maana ya ngomezi. Utafiti. MWM
Kufafanua matumizi na manufaa ya Mifano. Uk 150-2
ngomezi katika jamii ya kisasa. Maelezo.
Ufafanuzi.
4-5 Sarufi. Mnyambuliko wa vitenzi Kufikia mwisho wa somo, Uchunguzi. KCM
Uk. 179-81.
kutokana na shina II. mwanafunzi aweze. Mifano. MWM
Kubainisha maumbo ya vitenzi Maelezo. Uk.
Ufafanuzi. 131-2.
4 1-2 Fasihi teule. Mafunzo tathmini katika Kufikia mwisho wa somo, Uchanganuzi. KCM
237-240
tamthilia. mwanafunzi aweze: Ufafanuzi.
Kueleza namna ya kupata mafunzo Majadiliano. MWM
katika tamthilia. Maswali na Uk 56-7
Kupambanua mafunzo kwenye majibu.
tamthilia teule.
Kueleza yanayolengwa katika
tathmini ya tamthilia.
3-4 Utunzi. Barua kwa mhariri wa gazeti. Kufikia mwisho wa somo, Mifano. KCM
240
mwanafunzi aweze: Majadiliano.
Kueleza muundo na sifa za barua Maelezo. MWM
kwa mhariri wa gazeti. Ufafanuzi. Uk 157-8
Kuandika barua kwa mhariri wa Tajriba.
gazeti. Kuandika.
24