You are on page 1of 18

AZIMIO LA KAZI YA KISWAHILI GREDI 4 MUHULA 2

NAME

TSC NO.

SCHOOL
Shule Gredi Eneo la kusomea Muhula Mwaka
4 Kiswahili 2

Wiki Kipindi Mada Mada Ndogo Matokeo Maalum Maswali Mapendekezo Ya Shughuli Pendekezo Nyezo Maoni
Yanayotokea Dadisi Za Ufunzaji Ya Tathmini

1 1 Kuandika Insha ya Kufikia mwisho wa Insha ya Mwanafunzi:


Maelezo mada, mwanafunzi maelezo atambue vifungu vya
aweze: inahusu maelezo vilivyoandikwa
kutambua vifungu nini kwenye matini
vya maelezo katika mbalimbali au tarakilishi
matini aandae vidokezo
vitakavyo mwongoza
kuandika insha yake

2 Kuandika Insha ya Kufikia mwisho wa Insha ya aandike insha ya maelezo


Maelezo mada, mwanafunzi maelezo kuhusu mada lengwa
aweze: inahusu (ushauri-nasaha)
kuandika insha ya nini akitumia vivumishi na
maelezo kwa vielezi vifaavyo kutoa
kufuata kanuni picha dhahiri kuhusu
zifaazo anachokielezea
akizingatia anwani,
mpangilio mzuri wa
mawazo, hati safi, tahajia,
kanuni za kisarufi,
uakifishaji mwafaka na
kwa lugha ya kiubunifu
Ashiriki na wenzake
kujadili mada ya insha na
muundo wa insha ya
maelezo

3 Kuandika Insha ya Kuchangamkia Unazinga aandike insha ya maelezo


Maelezo utunzi mzuri wa tia nini mtandaoni na
insha ya maelezo ili unapoan kuisambaza kwa wenzake
kujenga ubunifu dika na mwalimu ili waisome
wake. insha ya na kuitathmini
maelezo Awasomee wenzake
? insha aliyoandika ili
kuisikiliza na kuitathmini.

4 Sarufi Ngeli ya U-I Kufikia mwisho wa Nomino Mwanafunzi:


mada, mwanafunzi zinazorej atambue nomino katika
aweze: elea ngeli ya U-I kwenye kadi,
kutambua nomino mimea mti maneno, tarakilishi au
katika ngeli ya U-I na vitu kapu maneno
kuandika nomino za vya aandike nomino za ngeli
ngeli ya U-I katika kimaumb ya U-I katika umoja na
umoja na wingi ile ni wingi akiwa peke yake,
zipi? wawili wawili au katika
vikundi

2 1 Sarufi Ngeli ya U-I kuandika umoja na Nomino asikilize usomaji wa


wingi wa mafungu zinazorej nomino za ngeli ya U- I
ya maneno katika elea katika umoja na wingi
ngeli ya U-I mimea kwenye kinasasauti
na vitu aandike mafungu ya
vya maneno yenye nomino za
kimaumb ngeli ya U-I katika umoja
ile ni na wingi
zipi?

2 Sarufi Ngeli ya U-I kuchangamkia Nomino ajaze mapengo kwa


kutumia nomino za zinazorej kutumia viambishi vya
ngeli ya U-I katika elea umoja na wingi wa
mawasiliano. mimea nomino katika ngeli ya U-I
na vitu kwa hati ya mkono au
vya kwenye
kimaumb tarakilishi.
ile ni
zipi?
3 Sarufi Ngeli ya U-I Kufikia mwisho wa Ni Mwanafunzi:
mada, mwanafunzi nomino ataje nomino za ngeli ya
aweze: gani za U-I (k.v.
kutambua sentensi ngeli ya mti – miti, mlima –
zilizoundwa U-I milima, mto – mito,
kutokana na nomino unazoziju muwa – miwa, mwaka –
za ngeli ya U-I katika a? miaka) katika umoja na
umoja na wingi wingi akishirikiana na
wenzake katika vikundi
asome sentensi
zilizoundwa kutokana na
nomino za ngeli ya U-I
katika umoja na wingi
akiwa peke yake au
katika vikundi kutoka
kitabuni, ubaoni, katika
tarakilishi au mitandaoni
4 Sarufi Ngeli ya U-I kuunda sentensi Ni aunde sentensi sahihi
akitumia nomino za nomino akitumia nomino za ngeli
ngeli ya U-I, katika gani za ya U-I katika umoja na
umoja na wingi ngeli ya wingi akizingatia
akizingatia U-I upatanisho wa kisarufi
upatanisho wa unazoziju ashiriki katika mchezo wa
kisarufi a? kuchopoa kadi za
sentensi zenye nomino za
ngeli ya U-I kutoka
kwenye kikapu au boksi
na kisha kuzisoma

3 1 Sarufi Ngeli ya U-I Kufikia mwisho wa Ni atumie tarakilishi kuunda


mada, mwanafunzi nomino sentensi katika umoja na
aweze: gani za wingi akirejelea ngeli ya
kufurahia matumizi ngeli ya U-I kisha azisambaze kwa
ya nomino za ngeli U-I wenzake
ya U-I katika unazoziju mtandaoni ili wachangie
mawasiliano. a? kuziboresha

2 Kusikiliza na Ushairi Kufikia mwisho wa Ushairi Mwanafunzi:


Kuzungumza mada, mwanafunzi unaweza akariri shairi kuhusu
aweze: kuboresh mada lengwa (bendera ya
kukariri au kuimba a taifa) kwa kuzingatia
shairi kwa kuzingatia mazungu matamshi na mahadhi
matamshi na mzo yako mbalimbali
mahadhi mbalimbali vipi? asikilize shairi lengwa
likikaririwa au kuimbwa
na mwalimu, mgeni
mwalikwa (mghani) au
kupitia vifaa vya kidijitali

3 Kusikiliza na Ushairi Kufikia mwisho wa Ushairi ashirikiane na wenzake


Kuzungumza mada, mwanafunzi unaweza kukariri au kuimba shairi
aweze: kuboresh kwa mahadhi mbalimbali
kutumia msamiati a atambue msamiati
uliotumiwa katika mazungu uliotumika katika ushairi
shairi ili kuboresha mzo yako kuhusu maadili (k.v.
mawasiliano vipi? uhuru, bendera, rangi za
bendera, kupandisha na
kushukisha bendera) na
kuueleza akiwa peke
yake au kwa kushirikiana
na wenzake

4 Kusikiliza na Ushairi kueleza maana ya Ushairi ashirikiane na wenzake


Kuzungumza msamiati unaweza kujadili ujumbe katika
uliotumiwa katika kuboresh shairi
shairi a ajibu maswali
mazungu yanayotokana na shairi
mzo yako alilosikiliza, aliloimba au
vipi? kukariri

4 1 Kusikiliza na Ushairi kueleza ujumbe wa Ushairi ashirikiane na wenzake


Kuzungumza shairi ili kudhihirisha unaweza kujadili ujumbe katika
ufahamu wake kuboresh shairi
kuchangamkia a ajibu maswali
ushairi kama njia ya mazungu yanayotokana na shairi
kujieleza kwa mzo yako alilosikiliza, aliloimba au
ufasaha. vipi? kukariri

2 Kusoma Makala Kufikia mwisho wa Kusoma Mwanafunzi:asome


mada, mwanafunzi hadithi makala ya aina
aweze: kuna mbalimbali (k.m. hadithi
kusoma makala kwa umuhim fupi, michezo mifupi,
kuzingatia vipengele u gani? mashairi mafupi)
mbalimbali akizingatia vipengele
vinavyoyajenga kama vile tahajia, sarufi,
wahusika na ujumbe
kutoka kwa kitabu, gazeti
au blogi

3 Kusoma Makala Kufikia mwisho wa Kusoma ajadiliane na wenzake


mada, mwanafunzi hadithi kuhusu makala
aweze: kuna aliyoyasoma na umuhimu
kusoma na umuhim wake
kutambua umuhimu u gani?
wa ujumbe wa
makala husika

4 Kusoma Makala Kufikia mwisho wa Ni atumie kamusi kupata


mada, mwanafunzi ujumbe maana za msamiati
aweze: upi uliotumika katika makala
kufurahia kusoma uliopata
makala mbalimbali kwenye
ili kukuza ufahamu. makala
uliyowah
i
kusoma?

5 1 Kuandika Kuandika Kufikia mwisho wa Insha ya Mwanafunzi:


Insha: mada, mwanafunzi wasifu atambue insha ya wasifu
Insha ya aweze: inahusu kwa kurejelea vielelezo
Wasifu kutambua insha ya nini? vya insha zilizoandikwa
wasifu kwa kwenye matini
kuzingatia muundo mbalimbali au tarakilishi
aandae vidokezo
vitakavyomwongoza
kuandika insha yake

2 Kuandika Kuandika kuandika insha ya Insha ya aandike insha inayoeleza


Insha: wasifu kwa kufuata wasifu sifa za mtu kama vile
Insha ya kanuni zifaazo inahusu mzazi au mlezi, rafiki,
Wasifu akizingatia vivumishi nini? mwalimu au kiongozi
na vielezi kujenga yeyote (kwa kutumia
picha dhahiri ya vivumishi na vielezi ili
anachokielezea kujenga picha dhahiri ya
anachokiandikia)
daftarini kwa kuzingatia
anwani, mpangilio mzuri
wa mawazo, hati safi,
tahajia, kanuni za
kisarufi, uakifishaji
mwafaka na kwa lugha ya
kiubunifu
3 Kuandika Kuandika Kufikia mwisho wa Insha ya ashiriki na wenzake
Insha: mada, mwanafunzi wasifu kujadili mada ya insha na
Insha ya aweze: inahusu muundo wa insha ya
Wasifu kuchangamkia nini? wasifu
utunzi mzuri wa aandike insha ya wasifu
kuandika insha ya mtandaoni na
wasifu ili kukuza kuisambaza kwa wenzake
ubunifu. na mwalimu ili
waisome na kuitathmini
awasomee wenzake insha
aliyoandika ili
waitathmini.

4 Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa Nomino Mwanafunzi:


wingi wa mada, mwanafunzi zinazorej atambue nomino katika
nomino aweze: elea ngeli ya LI-YA kwenye
katika Ngeli kutambua nomino matunda kadi, mti maneno,
ya LI- YA katika ngeli ya LI-YA ni zipi? tarakilishi au kapu
maneno
Umoja na aandike nomino za ngeli
wingi wa ya LI-YA katika umoja na
nomino wingi akiwa peke yake,
katika Ngeli wawili wawili au katika
ya LI- YA vikundi

6 1 Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa Nomino asikilize usomaji wa


wingi wa mada, mwanafunzi zinazorej nomino za ngeli ya LI-YA
nomino aweze: elea katika umoja na wingi
katika Ngeli kuandika nomino za matunda kwenye tepurekoda au
ya LI- YA ngeli ya LI-YA katika ni zipi? kinasasauti
umoja na wingi aandike mafungu ya
kuandika umoja na maneno yenye nomino za
wingi wa mafungu ngeli ya LI-YA katika
ya maneno katika umoja na wingi
ngeli ya LI-YA

2 Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa Nomino ajaze mapengo kwa


wingi wa mada, mwanafunzi zinazorej kutumia viambishi vya
nomino aweze: elea umoja na wingi wa
katika Ngeli kuchangamkia viungo nomino katika ngeli ya LI-
ya LI- YA kutumia nomino za vya mwili YA kwa hati ya mkono au
ngeli ya LI-YA katika ni zipi? kwenye tarakilishi.
mawasiliano.

3 Sarufi Ngeli ya LI- Kufikia mwisho wa Ni Mwanafunzi:


YA mada, mwanafunzi nomino ataje nomino za ngeli ya
aweze: gan za LI-YA (k.v. jiwe- mawe,
kutambua sentensi ngeli ya jiko-meko/majiko, yai-
zilizoundwa LI- YA mayai) katika umoja na
kutokana na nomino unazoziju wingi akishirikiana na
za ngeli ya LI-YA a wenzake katika vikundi
katika umoja na
wingi

4 Sarufi Ngeli ya LI- Kufikia mwisho wa Ni asome sentensi


YA mada, mwanafunzi nomino zilizoundwa kutokana na
aweze: gan za nomino za ngeli ya LI-YA
kuunda sentensi ngeli ya katika umoja na wingi
sahihi akitumia LI- YA akiwa peke yake au
nomino za ngeli ya unazoziju katika vikundi kutoka
LI-YA, katika umoja a kitabuni, ubaoni,
na wingi akizingatia tarakilishi au mtandaoni
upatanisho wa aunde sentensi akitumia
kisarufi nomino za ngeli ya LI-YA
katika umoja na wingi
akizingatia upatanisho
wa kisarufi

7 1 Sarufi Ngeli ya LI- kufurahia matumizi Ni ashiriki katika mchezo wa


YA ya nomino za ngeli nomino kuchopoa kadi za
ya LI-YA katika gan za sentensi zenye nomino za
mawasiliano ngeli ya ngeli ya LI- YA kutoka
LI- YA kwenye kikapu au boksi
unazoziju na
a kisha kuzisoma
2 Sarufi Ngeli ya KI- Kufikia mwisho wa Ni Mwanafunzi:
VI mada, mwanafunzi nomino atambue nomino katika
aweze: zipi zilizo ngeli ya KI-VI (k.m. kitabu,
kutambua nomino katika kikombe, kisu, chakula,
katika ngeli ya KI-VI ngeli ya choo) kwenye kadi, mti
kutambua viambishi KI-VI? maneno, tarakilishi au
vipatanishi vya ngeli kapu maneno
kwenye mafungu ya atambue viambishi vya
maneno ngeli ya KI-VI katika
mafungu ya maneno kwa
kuvipigia mstari au
kuvikoleza rangi katika
tarakilishi

3 Sarufi Ngeli ya KI- Kufikia mwisho wa Ni atumie nomino za ngeli


VI mada, mwanafunzi nomino ya KI-VI katika sentensi
aweze: zipi zilizo akiwa peke yake, wawili
kutumia nomino za katika wawili au katika vikundi
ngeli ya KI-VI katika ngeli ya asikilize usomaji wa
sentensi KI-VI? sentensi zenye nomino
katika ngeli ya KI-VI
kutoka kwenye
tepurekoda au
kinasasauti
aandike mafungu ya
maneno yenye nomino za
ngeli ya KI-VI katika
umoja na wingi

4 Sarufi Ngeli ya KI- Kufikia mwisho wa Ni atunge sentensi kwa


VI mada, mwanafunzi nomino kutumia nomino katika
aweze: zipi zilizo ngeli ya KI-VI akiwa peke
kuchangamkia katika yake au kwa kushirikiana
kutumia nomino za ngeli ya na wengine
ngeli ya KI-VI katika KI-VI? ajaze mapengo kwa
mawasiliano. kutumia viambishi vya
ngeli ya KI-VI kwa hati ya
mkono au kwenye
tarakilishi.
8 1 Kusikiliza na Nahau za Kufikia mwisho wa Je, ni Mwanafunzi:
Kuzungumza maadili na mada, mwanafunzi nahau atambue nahau za
uraia aweze: zipi maadili na uraia (k.v.
kutambua nahau za zinazohu fanya haki, omba kibali,
maadili na uraia su omba ruhusa, piga hodi
katika matini maadili? na taka idhini) katika
mbalimbali chati, michoro, picha,
kutambua maana za kapu maneno, mti
nahau mbalimbali za maneno, chati na katika
maadili na uraia vyombo vya kidijitali
katika mazungumzo

2 Kusikiliza na Nahau za kutumia nahau za Je, ni ashiriki katika kujadili na


Kuzungumza maadili na maadili na uraia nahau wenzake maana za nahau
uraia katika mawasiliano zipi za maadili na uraia
kuthamini matumizi zinazohu kutumia nahau za maadili
ya nahau za maadili su na uraia kutunga sentensi
na uraia katika maadili? akiwa pekee au kwa
mawasiliano. kushirikiana na wenzake

3 Kusoma Matini Kufikia mwisho wa Kwa nini Mwanafunzi:


mada, mwanafunzi unapend atambue matini (k.v.
aweze: a vitabu, majarida,
kutambua matini ya kusoma? magazeti) yanayomvutia
aina mbalimbali ya maktabani na mtandaoni
kusoma na kuchagua
yanayomvutia

4 Kusoma Matini Kufikia mwisho wa Ni nini asome matini aliyochagua


mada, mwanafunzi kinachok ili kufaidi ujumbe na
aweze: ufanya lugha iliyotumiwa
kusoma matini uchague
aliyochagua ili kitabu au
kufaidi ujumbe na makala
lugha iliyotumiwa ya
kufurahia usomaji kusoma?
wa aina mbalimbali
za matini
9 1 Kuandika Insha ya Kufikia mwisho wa Je, ni vitu Mwanafunzi:
Maelezo mada, mwanafunzi gani atambue vifungu vya
aweze: vinavyow maelezo vilivyoandikwa
kutambua insha ya eza kwenye matini
maelezo katika kuandiki mbalimbali au tarakilishi
matini wa insha ashiriki na wenzake
kuandika insha ya ya kujadili mada na muundo
maelezo kwa maelezo wa insha ya maelezo
kufuata kanuni ? aandae vidokezo
zifaazo vitakavyomwongoza
kuchangamkia kuandika insha yake
utunzi mzuri wa aandike insha ya maelezo
insha ya maelezo ili akizingatia mada lengwa
kukuza ubunifu. (k.v. upanzi wa miti na
mimea, utunzaji wa
mimea, shamba la
matunda n.k.) hasa
akizingatia vivumishi na
vielezi vifaavyo kutoa
picha dhahiri kuhusu
anachokielezea
aandike insha ya maelezo
akizingatia anwani,
mpangilio mzuri wa
mawazo, hati safi,
tahajia, kanuni za
kisarufi, uakifishaji
mwafaka na kwa lugha ya
kiubunifu
2 Sarufi Sentensi Kufikia mwisho wa Ni Mwanafunzi:
katika Ngeli mada, mwanafunzi nomino ataje nomino za ngeli ya
ya KI-VI aweze: gani za KI-VI (k.v. kiatu - viatu,
kutambua sentensi ngeli ya chakula - vyakula, kioo –
zilizoundwa KI-V vioo, choo-vyoo n.k.)
kutokana na nomino unazoziju katika umoja na wingi
za ngeli ya KI-VI a? akishirikiana na wenzake
katika umoja na katika vikundi
wingi asome sentensi
zilizoundwa kutokana na
nomino za ngeli ya KI-VI
katika umoja na wingi
akiwa peke yake au
katika vikundi kutoka
kitabuni, ubaoni, kwenye
tarakilishi au mtandaoni
3 Sarufi Sentensi Kufikia mwisho wa Ni aunde sentensi sahihi
katika Ngeli mada, mwanafunzi nomino akitumia nomino za ngeli
ya KI-VI aweze: gani za ya KI-VI katika umoja na
kuunda sentensi ngeli ya wingi akizingatia
sahihi akitumia KI-V upatanisho wa kisarufi
nomino za ngeli ya unazoziju ashiriki katika mchezo wa
KI-VI, katika umoja a? kuchopoa kadi za
na wingi akizingatia sentensi zenye nomino za
upatanisho wa ngeli ya KI- VI kutoka
kisarufi kwenye kikapu au boksi
kufurahia matumizi na kisha kuzisoma
ya nomino za ngeli
ya KI-VI katika atumie tarakilishi kuunda
mawasiliano sentensi katika umoja na
wingi akirejelea ngeli ya
KI-VI kisha azisambaze
kwa wenzake mtandaoni
ili wachangie kuziboresha
4 Sarufi Nomino Kufikia mwisho wa Ni Mwanafunzi:
katika Ngeli mada, mwanafunzi nomino atambue nomino katika
ya LI-LI aweze: zipi zilizo ngeli ya LI-LI (k.m. jua-
kutambua nomino katika jua, giza-giza, bombo-
katika ngeli ya LI-LI ngeli ya bombo, chaguo – chaguo
kuandika nomino za LI-LI? na huba-huba) kwenye
ngeli ya LI-LI katika kadi, mti maneno,
umoja na wingi tarakilishi au kapu
maneno
aandike nomino za ngeli
ya LI-LI katika umoja na
wingi akiwa peke yake,
wawili wawili au katika
vikundi

10 1 Sarufi Nomino Kufikia mwisho wa Ni asikilize usomaji wa


katika Ngeli mada, mwanafunzi nomino nomino za ngeli ya LI-LI
ya LI-LI aweze: zipi zilizo katika umoja na wingi
kuandika umoja na katika kwenye tepurekoda au
wingi wa mafungu ngeli ya kinasasauti
ya maneno katika LI-LI? aandike mafungu ya
ngeli ya LI-LI maneno yenye nomino za
kuchangamkia ngeli ya LI-LI katika umoja
kutumia nomino za na wingi
ngeli ya LI-LI katika ajaze mapengo kwa
mawasiliano. kutumia viambishi vya
umoja na wingi wa
nomino katika ngeli ya LI-
LI kwa hati ya mkono au
kwenye tarakilishi

2 Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa Ni Mwanafunzi:


Wingi wa mada, mwanafunzi nomino ataje nomino za ngeli ya
Sentensi: aweze: gani za LI-LI (k.v.jua-jua, giza-
Ngeli ya LI- kutambua sentensi ngeli ya giza, bombo-bombo,
LI zilizoundwa LI- LI chaguo
kutokana na nomino unazoziju – chaguo na huba-huba)
za ngeli ya LI-LI a? katika umoja na wingi
katika umoja na akishirikiana na wenzake
wingi katika vikundi
kuunda sentensi asome sentensi
sahihi akitumia zilizoundwa kutokana na
nomino katika ngeli nomino za ngeli ya LI-LI
ya LI-LI, katika katika umoja na wingi
umoja na wingi akiwa peke yake au
akizingatia katika vikundi kutoka
upatanisho wa kitabuni, ubaoni,
kisarufi tarakilishi au mtandaoni
aunde sentensi sahihi
akitumia nomino za ngeli
ya LI-LI katika umoja na
wingi akizingatia
upatanisho wa kisarufi
3 Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa Ni ashiriki katika mchezo wa
Wingi wa mada, mwanafunzi nomino kuchopoa kadi za
Sentensi: aweze: gani za sentensi zenye nomino za
Ngeli ya LI- kufurahia matumizi ngeli ya ngeli ya LI-LI kutoka
LI ya nomino za ngeli LI- LI kwenye kikapu au boksi
ya LI-LI katika unazoziju na kisha kuzisoma
mawasiliano a? atumie tarakilishi kuunda
sentensi katika umoja na
wingi akirejelea ngeli ya
LI-LI kisha azisambaze
kwa wenzake mtandaoni
ili wachangie
kuziboresha.
4 Kusikiliza na Visawe: Kufikia mwisho wa Unajua Mwanafunzi:
Kuzungumza Visawe vya mada, mwanafunzi maneno aeleze maana ya neno
maneno aweze: gani ya kisawe akiwa peke yake
mawili kueleza maana ya Kiswahil au kwa kujadiliana na
kisawe ili yaliyo na wenzake
kukibainisha maana atambue visawe vya
sawa? maneno mawili vya
kiwango chake (k.v.
tembo – ndovu, kinyonga
– lumbwi, adui-hasimu,
siri- faragha, baba-abu,
barua-waraka, ami- amu,
televisheni-runinga) kwa
kurejelea kapu maneno,
kadi za maneno na mti
maneno

11 TATHMINI NA KUFUNGA SHULE

You might also like