You are on page 1of 2

SHULE YA SEKONDARI MPANDA DAY

MTIHANI WA ROBO MUHULA KIDATO CHA 1


KISWAHILI – 2023
MUDA SAA MOJA 1:30

MAELEKEZO

ZINGATIA MAELEKEZO YA KILA SEHEMU

SEHEMU “A” ALAMA (35)

Chagua jibu sahihi

1. Ni hali ya kupeana taarifa baina ya watu wawili au zaidi huitwa?


a. Mawasiliano
b. Lugha
c. Maneno
d. Mazungumzo
2. Ni nyenzo kuu ya mawasiliano baina ya binadamu
a. Maandishi
b. Lugha
c. Msamiati
d. Herufi
3. Maneno hujengwa kwa vipande vidogo vidogo vinavyoitwa
a. Herufi
b. Sentensi
c. Silabi
d. Tungo
4. Ni sehemu ndogo ya sana ya lugha
a. Silabi
b. Neon
c. Tungo
d. Herufi
5. Lugha utofautiana kulinganisha na
a. Watumiaji
b. Mazungumzo
c. Maandishi
d. Chanzo

Jedwali la majibu

1 2 3 4 5
Oanisha maneno ya sehemu “B” mbele ya sehemu “A”

Na SEHEMU A SEHEMU B
6. Hutumika katika kujenga tungo A-Dhima ya lugha
7. Wakati mwandishi ni chanzo yeye ni kikomo B-Lugha
8. Inapobeba maana mawasiliano hukamilika C-Msomaji
9. Lugha ni chombo cha kueleza fikra D-Maneno
10. Athari ya kutokitumia lugha fasaha E-Hukwamisha mawasiliano
F-Nomino
G-Kitenzi

SEHEMU B ALAMA (65)

11. Eleza maana ya mafanishi………………………………………………………………….


12. Taja njia (4) nne zinazotumika kupashana habari………………………………………….
13. Eleza sababu nne zinazoonesha sifa na tabia ya lugha ya lugha……………………………
14. Onesha kazi nne au dhima za lugha katika mawasiliano…………………………………...

You might also like