Professional Documents
Culture Documents
بسم الله الرحمن الرحيم
بسم الله الرحمن الرحيم
HALI YA SASA.
CHANGAMOTO.
Walimu ni kiigizo chwema kwa wanafunzi na pia ni kivutio cha wateja wetu 70%
ya walimu hawapo simat kimavazi
Uongeaji wa Kiswahili uliokithiri.
MAONI.
Walimu wote wa kiume wajitahidi kuvaa kanzu japo kwa wiki mara 4
Itakua haina maana sana kumrudisha mwanafunzi kwa ajili ya kanzu muda huo mzazi anamuona
mwalimu hana kanzu.
Wabillahi taufiiq.