You are on page 1of 2

Magonjwa ya Akili ni Nini na kisaikolojia kupita kiasi

husababishwa na Nini? 8 Kunyanyaswa kingono • Kuwa na wasiwasi au woga


• Magonjwa ya akili ni matatizo ya 8 Kupigwa na kutengwa kupita kiasi
ubongo ambayo humfanya mtu 8 Kutothaminiwa • Kupunguza kuongea au kuongea
kuwa na hisia, fikira na matendo 8 Kutokupata matunzo stahiki kupita kiasi
tofauti na yale yanayotarajiwa na • Hasira za haraka na kufikia hatua
jamii na kushindwa kukabiliana Dalili za Magonjwa ya Akili ni Zipi? ya kudhuru watu au kuharibu
na changamoto za maisha. Magonjwa ya akili yapo ya aina vitu.
• Magonjwa ya akili yanaweza nyingi na dalili zake zinatofautiana • Kuwa na msongo wa mawazo
kusababishwa na sababu za kati ya ugonjwa moja na mwingine. • Kujitenga na watu na kupenda
kibaiologia au kisaikolojia; kukaa mwenyewe muda mwingi
Dalili za Kihisia • Kutokuwa na ari ya kufanya kazi
Sababu za kibiologia • Kusikia sauti ambazo watu au kufanya kazi nyingi kwa wakati
• Kurithi vinasaba kutoka kwa wengine hawazisikii mmoja bila ya kuzikamilisha
wazazi. • Kuona vitu ambavyo watu • Kutokuonyesha hisia yoyote usoni
• Magonjwa ya muda mrefu kama wengine hawavioni mwake [furaha au huzuni]
degedege, malaria kali, UKIMWI • Kuhisi kufuatiliwa na watu • Kutokujijali usafi na muonekano
nk • Wivu uliopitiliza wake
• Matumizi ya dawa za kulevya • Kuhisi mawazo yake • Mwili kukosa nguvu au kuhisi mwili
yanajulikana na watu wengine una nguvu sana kupita kiasi
Sababu za kisaikolojia au yanazungumzwa kwenye • Kukosa usingizi au kulala usingizi
• Majanga, ubakaji, uvamizi, ajali, vyombo vya habari sana kupita kiasi
utekaji nyara, kukosa elimu, • Kuhisi kuwa mtu anatumia • Kukosa hamu ya kula au kuwa na
kukosa ajira nk mawazo yake kufanya mambo hamu sana ya kula
• Kufiwa, kutengana, talaka, ugoni, Fulani • Kutokutulia (kuhamanika) au
kufungwa • Kuhisi harufu ambayo watu kutulia sehemu moja muda mrefu
• Kufukuzwa kazi, kukosa mishahara, wengine hawaisikii bila ya kujisogeza
kustaafu kazi nk. • Kuhisi maisha hayana thamani • Maumivu sehemu mbalimbali
• Kutokufanya vizuri kwenye na kuona bora kufa kuliko kuishi za mwili ambayo vipimo vya
masomo na Kufukuzwa chuo/ hospitali havionyeshi tatizo lolote
shule Dalili za Kimwili la kimwili.
• Matatizo yanayowaathiri watoto • Kukosa furaha au kuwa na furaha
Dalili za Kiakili akili, juu ya matibabu na msaada
• Kukosa umakini wa shughuli zake anaohitaji mgonjwa ili kuendelea
za kila siku na maisha yake ya kila siku.
• Kusahau kwa haraka au kupoteza • Kupatiwa uchunguzi mapema
kumbukumbu ili apatiwe tiba sahihi na ya
• Kukosa uwezo wa kupambanua mapema
mambo kwa mitazamo tofauti • Tiba ya kisaikolojia (kujitambua
• Kutokujali aliko, anapotaka kuwa na
• Kuwa na imani zisizo za kawaida kuamua kufanya mabadiliko
kama vile; kwa kutegemea uwezo wake
8 Kuwa mtu maarufu au Nabii mwenyewe
8 Kupokea taarifa kutoka • Tiba kimwili kutumia dawa za
kwenye redio au mitandao hospitali
ya simu • Matibabu kwenye nyumba za
8 Imani ya kuwasiliana na watu upataji nafuu (Sober Houses)
maarufu • Ushirikiano kati ya mgonjwa
8 Kuamini kuwa na nguvu ya familia na wataalamu wa tiba
ziada kutoka nje ya mwili huleta mafanikio makubwa sana
8 Imani kuwa kuna watu katika matibabu.
wanamfuatilia/ wanataka • Kutokutumia madawa ya kulevya
kumdhuru ikiwa ni pamoja na vilevi
• Mawazo yake hayana mtiririko • Pata muda mrefu wa kupumzika
unaoeleweka. • Fanya mazoezi
• Usijitenge na jamii
Matibabu ya Magonjwa ya Akili • Kujibidisha kwenye shughuli za
Matibabu ya magonjwa ya akili kuleta kipato
hutoafautiana kati ya ugonjwa
mmoja na mwingine Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
• Elimu kwa jamii kuhusiana na Kituo cha Afya-Chuo Kikuu cha DSM
Simu: 2410500–8 Ext. 2006
magonjwa ya akili ni kitu cha Direct: 2410014
muhibu sana katika kuzuia Barua pepe: healthcentre@udsm.ac.tz
kujirudia au kupata ugonjwa wa Website: http://www.udsm.ac.tz

You might also like