You are on page 1of 15

AINA ZA WATU

Psychology & Theology


Faida za kujifaham
• Husaidi kurekebisha madhaifu uliyonayo
• Kuimarisha tabia nzuri ulizonazo
• Kuishi na watu wa aina tofauti tofauti
• Husaidia katika mabadiliko ya dhati na
kujitambua (Transformation & Self-awareness)
Makundi manne(4) ya watu
✓Wana_saikolojia na wana_thiolojia hugawanya
watu katika makundi manne
1. Sanguine
2. Choleric
3. Melancholin
4.Phlagmetic
Sanguine na Choleric kwa pamoja huitwa
extrovert,, Melancholin na Phlagmetic kwa
pamoja huitwa introvert
SANGUINE
Sifa za Sanguine
•Ni wacheshi na walio na maneno mengi
•Muda wote wako nadhifu
•Ni wazuri katika kusifia
•Ni maarufu kutokana na maneno yao
•Wamejaa tabasam
•Rahisi kufanya urafiki
•Mbunifu na mfanyabiashara mzuri
•Hawaumii wanapokosolewa au kukosea jambo
•Hawapendi kufikiri mambo kwa kina
•Ni wainjilisti wazuri na hurejesha watu wengi kwa BWANA
Sanguine cont.
Madhaifu ya Sanguine
•Si mtunza siri
•Anasahau wajibu & huishi kwa hisia
•Hana uvumilivu
•Anapenda kujisifu na kujikweza
•Ni vinyonga katika tabia zao
•Wavivu wa kufanya kazi
•Watu wasiojua kupanga bajeti na ratiba
•Ni kundi la watu waoga sana
•wanapenda kusikiliza na kusoma vitu visivyo na
uchambuzi wa kina
Sanguine cont.
Mfano wa Sanguine katika Biblia
1.Petro
•Alipenda kujaribu kila kitu
•Alipenda kufaham kila kitu
•Alikua muoga na alimkana Yesu mara tatu kwa hofu ya
kuteswa na wayahudi
•Alikuwa muinjilist wa kutumainiwa
•Ushahidi katika maandiko yake
2.Daudi
Kisa chake cha pekee jinsi alivyomshinda Goriath mtu wa
Gathi
CHOLERIC
Sifa za Choleric
•Mtu mwenye maneno kiasi
•Anapenda kufanya kazi
•Hakati tamaa upesi
•Si mtu wa kutishiwa kirahisi
•Hapendi kuonewa
• Mtu wa kujiamini na kujaribu
•Anapenda kutegemea maamuzi yake mwenyewe
•Ni viongozi kwa asili
• hisia zao(hasa za upendo) hazionekani kirahisi
•Watu wa vitendo kuliko maneno
•Hawajutii maamuzi yao
•Hustahimili mazingira ya dhiki na shida
Choleric cont.
Udhaifu wa Choleric
•Si watu wanaopenda suluhu na amani
•Hawaongei Wala kucheka ovyo
•Hawajui kubembeleza
•Wanapenda dhuluma na ubabe
•Watu wa kulipiza visasi
•Hawapendi kupingwa Wala kukosolewa
•Wakali,wakaidi na hawana huruma
Choleric cont.
Mfano wa Choleric katika Biblia
1.Mtume Paulo
2.Nabii Yona
3.Samson
MELANCHOLIN
Sifa za Melancholin
•Mtu mkimya & hana maneno mengi
•Mchanganuzi & mtu wa vipawa vya akili
•Ni mtu mwaminifu & msema kweli
•Si mtu wa kutoa Siri ovyo
•Ni mtu wa kujitolea
•Siyo mwepesi wa kukata tamaa
•Ni watu wa pole pole na wasio na mambo mengi
•Wana hisia Kali za upendo
•Wanahuruma, wanajali na hawapendi uonevu
•Huondoa uchungu wao kwa machozi
•Wanabusara na hekima nyingi
•Hawapendi kuvunja sheria na taratibu za eneo husika
•Wanapenda kusoma, kusikiliza na kusimulia mambo yenye tafakari za kina
Melancholin cont.
Udhaifu wa Melancholin
•Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa
•Wanakata tamaa wanapokosolewa
•Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya
•Wanahitaji kutiwa moyo ili wasonge mbele
•Ni wagumu kusahau hivyo wagumu kusamehe
•Wana aibu nyingi sana
•Wanaridhika haraka
•Wanaogopa matatizo,vikwazo na changamoto
Melancholin cont.
Mfano wa Melancholin katika Biblia
1.Apostle Thomas (Yohana 20:25)
2.Eliya na Samwel
3.John the Baptist & apostle John
4.Yule tabibu mpendwa ??
4. JESUS is a PERFECT MELANCHOLIN
PHLAGMETIC
Sifa za Phlagmetic
•Watafiti wa mambo maelezo yao yamejawa mifano na takwimu
•Wafatiliaji wa mambo ya watu bila sababu
•Hawaumizwi wanapofanya makosa
•Hawapendi kuwaamini wenzake
•Wepesi wa kupokea lakini wagumu kutoa
•Wagumu wa kupokea mambo mapya hasa yahusuyo Imani/sera
•Hawaumizwi na maneno ya watu dhidi yao
•Wasuluhishi wazuri wa migogoro
•Hufanya mambo mengi kwa ufanisi wa wastani
•Wanapenda amani (hutoa chochote Ili wabaki na amani)
Phlegmatic cont....
Udhaifu wa Phlegmatic
•Wagumu kuomba msamaha
•Mabungwa wa kuhairisha mambo
•Hawapendi kusifia/kukubali kazi za wenzao
•Watu wabishi na mahiri kwa kujenga hoja
•Sio watu wanaojali muda na ratiba
•Ni rahisi kukatisha mahusiano ya aina yoyote
•Hukosoa na kumuumbua mtu hadharani
•Watu waliojawa dharau na majivuno mengi
•Hawapendi kuelezwa na viongozi wao na huwadharau
Phlegmatic
Mfano wa Phlegmatic katika Biblia
•Timotheo
•Barnaba
•Abraham

You might also like