Professional Documents
Culture Documents
Wa0068.
Wa0068.
PONYA PENZI
LANGU
NIONE RAHA
~Uzuri wa kujuana, utofauti wetu uzuri wetu~
2|Page
YALIYOMO.
1. Utangulizi …………………………4-5
3. Mambo yanayomhusu
mwanamke………………………….17-26
4. Mambo yanayomhusu
mwanaume………………………….27-36
3|Page
UTANGULIZI
Mahusiano ya kimapenzi na ndoa katika kuelekea kujenga familia
limekuwa jambo lenye kuwatatiza wengi sana na wengi
wameingia kwenye mahusiano bila kuwazia hayo waliyoyakuta
kwenye mahusiano ya kimapenzi , matarajio yao na matumaini
yao yameangushwa na wengi wamekata tama na hawana tena
hamu na mapenzi na wengine wamefikia hatua ya kusema
hawayataki tena kwenye maisha yao.
Kitabu cha ponya penzi langu nione raha, kimekuja kwa
namna moja ama nyingine kuondoa mtanzuko huu wa
kimahusiano, kwakua matatizo mengi ya kimahusiano yamekuwa
sababu ya wanaohusiana na si mahusiano yenyewe. Wengi
wamekuwa kwenye mahusiano bila kufahamu yanayopaswa
kufahamika na kutokana na hilo wamejikuta wakiona kila jambo
kama geni kwao ikiwa ni pamoja na utofauti kati ya mwanaume
na mwanamke moja ya jambo ambalo wengi wameshindwa
kulifahamu na ambalo limeleta matatizo mengi ya kimahusiano
kwakua kati ya mwanamke na mwanaume wanao utofauti
mkubwa ambao haupaswi kuwa chanzo cha migogoro yao badala
yake utofauti huo unapaswa kuwajenga na kuwaimarisha
kufurahia penzi na kuona raha kama ambavyo lilikusudiwa kuwa
penzi liwe sehemu ya kufurahia na kustareheka baina ya wawili
wapendanao.
Si jambo la kushangaza tena kwenye jamii ya leo kusikia matukio
ya vifo vyenye kutokana na mahusiano ya kimapenzi kwamba
fulani kajinyonga kwa sababu ya mapenzi ama fulani kalishwa
sumu na mwenzi wake kwa sababu ya wivu wa kimapenzi, mara
huyu naye kamuua mke wake kwa sababu ya kuwa mwanamke
huyo anamsaliti kimapenzi dalili na matukio haya si salama tena
4|Page
kuwa kwenye mahusiano bila ya kuwa na ufahamu wa juu
kuyahusu mahusiano ya kimapenzi.
Kitabu hiki ni miongoni mwa vitabu vizuri sana ambavyo
vitakusaidia sana kuepusha na kukabiliana na migogoro ya
kimapenzi huku ukiwa mwenye mtazamo chanya na mwenye
ufahamu wa juu kuyahusu mapenzi, si kwamba kitabu hiki
kinakwenda kumaliza migogoro yote ya kimapenzi hapana
kwakua hakuna uhusiano wa watu usiokuwa na migogoro badala
yake migogoro hutofautiana kati ya uhusiano huu na ule na
wakati mwingine ni ukweli kuwa migogoro ipo kutuimarisha na
uzuri wake ni kuwa migogoro hii huwa haiji kukaa jumla ni
mambo yanayoweza kuja na kupita itategemea tu wale
wanaohusiana wana uwezo gani wa kukabiliana na kila gumu
linalowakuta na kwenda mbele zaidi wakijirekebisha na kufurahia
utofauti wao na uzuri wao.
Hakuna jambo bora sana kwa maisha ya mtu kuwa na utayari wa
kujifunza , kama kwenye maisha yako unayohamasa ya kujifunza
kwa hakika utafahamu mengi na utafanikisha mengi kwenye
safari yako ya kimaisha na uwepo wako hapa duniani.
Karibu sana na nikutakie usomaji mwema na uchukuaji wa hatua
zinazotakiwa.
Ndimi mwanagenzi Michael The Great one.
5|Page
MOJA.
UTOFAUTI WETU, UZURI WETU TUFAHAMIANE.
6|Page
c) Mahitaji yao na namna wanavyotenda na kujiendesha.
Basi wacha tuone tofauti hizo ili kuleta uzuri wao na si matatizo kwenye
mahusiano yao.
Maumbile ya Mwanaume.
7|Page
4. Mboo;- kiungo cha kiume cha kufanyia mapenzi kinachopitisha
mkojo kutoka kwenye kibovu na mbegu za kiume kwa maana ya
shahawa. Kiungo hiki kijawa na damu huwa kigumu na huko huitwa
kudinda na kudinda huku kwaweza kufanywa kwa kusisimuliwa kwa
kushikwa au kwa mawazo na wakati mwingine kwa sababu ya damu
kuzunguka kwa kawaida huko hii huonekana asubuhi ,urefu wa mboo
iliyolala hutofautiana kati ya mtu na mtu lakini urefu wa mboo
iliyosimama ni kati ya nchi sita hadi saba daima. Pamoja na hivyo
maumbile haya yanaweza kuelezewa kwa njia hizi tatu muhimu
kuwahusu wanaume wote ambazo ni;-
i. Mwanaume mwenye uume sungura (hare man) yaani uume
mdogo.
ii. Mwanaume mwenye uume ng’ombe (bull man) yaani uume
mkubwa size ya kati.
iii. Mwanaume mwenye uume farasi (horse man) yaani mwenye
uume mrefu.
Na hizi ndiyo aina zao uume zao na utakwenda pia kujifunza zinavyofana
na wanawake kwa kufaana kutokeza uzuri wa kiutofauti.
Maumbile ya Mwanamke;
Via vya uzazi vya kike vinaunganikia katika mafungu mawili yaani viungo
vya nje na vya ndani ya mwanamke kama ifuatavyo.
8|Page
lake kwa upande wa kushoto na wa kulia ambavyo hufanana na
mapumbu ya mwanaume.
9|Page
i) Mwanamke mwenye uke swala (deer female) ambaye huyu
anakuwa na kuma ndogo.
ii) Mwanamke mwenye uke farasi jike (female mare) ambaye huyu
anakuwa na kuma ndefu.
iii) Mwanamke mwenye uke tembo (female elepant) mwanamke
mwenye kuma kubwa.
10 | P a g e
b) Kitendo cha kukaribiana kimwili na maana ya kimapenzi
kwa kila mmoja.
Utofauti kati ya mwanamke na mwanamke juu ya kukaribiana
kimwili na maana ya mapenzi kwa wote wawili ni moja ya jambo pia
ambalo linatokeza utofauti kati yao wote wawili na kuwafanya kuwa
katika uzuri wa kuhitajiana na kutokeza uzuri wao kama watajuana
vyema , wacha tuone utofauti huu kwa jedwali hili.
No Mwanaume Mwanamke
1 Mwepesi wa kupata msisimko Husisimka polepole.
wa mwili kutaka kufanya
mapenzi.
2 Hupata hamu kubwa akiona tu Nyege zikimpanda huenea mwili
, mwanamke mzuri. mzima mpaka asikie.
3. Tamaa yake ya kufanya Tamaa yake huhitaji muda mrefu
mapenzi huwaka kama moto kuwaka , na ikiwaka kuzimika
wa makaratasi na huzimika huchukua muda mrefu.
upesi.
4. Hufanya mapenzi kutosheleza Hufanya mapenzi kuonyesha
tamaa za mwili wake kumwaga upendo kwa anayefanya naye.
mbegu.
5. Asipo fanya mapenzi ,laweza Hana wasiwasi na uhitaji
kuwa jambo la kuudhi sana mkubwa wa kimapenzi sana
kwake kutokana na kushindwa mpaka awake.
kutoa manii kiakili na kimwili.
6. Tendo hilo kwake ni moja ya Ni njia ya kuonekana na yeye
njia ya kupunguza migogoro anathaminika kwa kufanya na
kwenye mahusiano kama yule ampendaye na kujisikia na
akipata vyakutosha. mwanamke naye.
7. Humpatia maana ya maisha na Hutosheleza msukumo wake wa
kuwa mwenye uthubutu juu ya kufanya mapenzi na kumpatia
mambo mbalimbali kwenye thamani ya juu kama mwanamke
maisha yake. kamili.
8. Hutosheleza hali yake kama Hutumia njia hiyo kupoza
mwanaume kamili. wasiwasi wake.
11 | P a g e
Ni vizuri baada ya kuzifahamu tofauti hizo kujifunza mara kwa mara
kutokana nazo katika njia ya kupunguza migogoro isiyo kuwa na
maana kwenye mahusiano na hatimaye kuponya penzi lako nawe
uanze kuoana raha kama jina la kitabu chetu , kama ilivyoelezwa
hapo juu kwenye jedwali kuwa mwanaume ndiye kiumbe mwenye
msukumo wa juu sana wakutaka kufanya mapenzi na hii imeonekana
na kwenye maisha ya kawaida kuwa yeye ndiye mwanzishaji wa
mambo hayo , basi mwanamke mwenye busara hauna haja ya
kuendelea kushindana naye kutokutaka kumpatia ukifikiri kuwa ni
sawa na yeye ni kuleta matatizo yasiyo yalazima kwenye uhusiano
wenu fanya hivyo kama njia ya kumtosheleza kihisia na kiuhitaji wa
mwili wake , nawe mwanaume unapotaka kuanzisha mapenzi kwa
mwanamke ni vyema kutambua kanuni ya kuwa mwanamke
huchelewa kuwaka ama kusisimka kimwili tayari kwa ajili ya kufanya
mapenzi kwahivyo ni muhimu sana kucheza michezo na
mazungumzo ya kumweka tayari kwa ajili ya penzi ili mkianza safari
basi muanze naye kwa uzuri na kufikishana mnakokwenda mkiwa
wote wenye utoshelevu na hitaji la mioyo yenu likitimizwa kwa uzuri.
12 | P a g e
hapo ndiyo panakuza uzuri wa viumbe hivi nawe waweza pata picha
juu yao huyu ni imara mwili huyu mwili laini mvuto wa aina yake ,
pamoja na kwamba kwa sasa kuna kasumba mbaya wa vijana wa
kiume kujilemba na wao waonekane warembo wenye kuvutia hiyo
inaondoa dhana halisi ya uanaume ni vizuri kutokuipinga asili ndiyo
maana kwa kiasi kikubwa matendo ya mahusiano ya ajabu ya
mwanaume na mwanaume kuingiliana yameshamiri sana, na wakati
huohuo wanawake na wao wakisagana kwakua wanaona wanaume ni
wa kufanania na wao , sisemi juu ya walioumbwa wakiwa na kosoro
za kihomoni ambao nao badala ya kutumbukia kwenye mahusiano
hayo walihitaji kupata tiba na kuwa sawia na kuendeleza asili bora na
maalumu ya kuzaliwa kati ya mwanaume na mwanamke.
Jambo jingine muhimu la kutiliwa mkazo ambalo kwasasa
limeendelea kupuuzwa na wanawake wengi nalo limeleta migogoro ya
ajabu sana ni juu ya asili ya mwanaume ya kupenda kuongoza na
mwanamke kuwa mfuasi wa mwanaume , jambo hili si ajali kama
wengi ya wanawake wanavyoliona na kulipuuza kwa kutaka kwa sawa
na wanaume ni kwa asili kabisa mwanaume amezaliwa akiwa hivyo
kuwa yeye anapenda kuongoza na kuongoza kwake humletea
mamlaka na hali ya kujisikia wa kiume kama mlinzi na mwenye
kutenda na kubadilisha mambo na mwanamke wapaswa kuwa kwa
asili yako ya kujali na kupenda kufanya lolote kwa ajili ya unaye
mpenda ambacho ni moja ya siraha kubwa na hatari sana yenye
kusawasizisha kila jambo lenye ugumu kwako badala ya kutaka
kuongoza , jambo ambalo laweza kukuletea hata vipigo na kufokewa
bure.
13 | P a g e
Mwanaume habadiliki badiliki sana na msimamo wake waweza kuwa
mgumu kufahamika katika hofu na furaha, lakini akishindwa
huchukua muda mrefu kuirudia hali yake ya kawaida na huhitaji
utulivu na raha kusahau matatizo yake yaweza kuwa nyumbani ama
kwa marafiki zake.
Mwanamke ni mtu wa kubadilika badilika katika hali yake hasa kwa
sababu ya vipindi vyake vya mwezini , mara nyingi hajisikii salama ,
huhitaji kujipumzisha na kufanya mapenzi ya moyo na mwenzi wake
na hapa huchukua mawazo kwa haraka sana na kuyasahau na kwa
hakika anahitaji mme mtulivu na mwenye msimamo imara mwenye
kumtuliza, huhitaji kupewa alama za upendo , kwakua hataki mambo
makubwa bali tuvitu tudogo tudogo kwa kumjali kwa mambo madogo
madogo hapo ndiyo furaha yake.
Mwanaume hupambanua mambo ya nyumbani kwake , kazini kwake
na kujifunza kwake na ya familia yake bali mwanamke
huyaunganisha yote kwa pamoja ikiwa waligombana usiku basi siku
inayofuata nzima itakuwa mbaya.
Mwanaume anapenda utulivu , starehe na hata wakati mwingi
husahau kumwambia mke kwamba anampenda , wakati mwanamke
anapenda kuongea juu ya matukio ya siku kama watoto , watu ambao
mme wake amekutana nao , shughuli alizofanya yeye mwenyewe
nyumbani ama kazini kwake.
Mwanaume katika masuala ya imani , mila na mienendo hujifunza
kulinganisha mambo ,hupekua mambo kuona sababu zake , visa
vyake , kwanini afanye hivi au asifanye vile? , lakini mwanamke yeye
katika masuala ya imani, mila na mienendo huelewa mambo kwa
moyo wake hasa ,huelewa watu na hali za maisha yao kwa undani
zaidi huhisi mambo.
Mwanaume kila kitu mara nyingi kipo wazi anajua msimamo wake
kama ni ndiyo ni ndiyo na kama ni hapana ni hapana zaidi ya hayo
hamna , lakini kwa mwanamke hafanyi mambo kwa uwazi na kwa
kifupi hujizungusha mno na hapa ni vyema kuzijua mbinu za
kumuelewa.
14 | P a g e
Mwanaume katika habari ya Mungu hupenda kujua , kuona
,kuhakikisha , na humwelekea Mungu zaidi kwa kutumia akili yake na
kwa kiasi kikubwa dini yake ni matendo yake anataka kujenga kitu na
kuwatumikia wenzake , lakini kwa mwanamke humwona Mungu
kama mtu anayemwamini, na hutafuta usalam kwa Mungu ,
humwelekea Mungu kwa moyo wake wote.
Mwanaume katika habari ya maisha huangalia mambo muhiu ya
maisha siyo yale madogo madogo, hupendelea kufanya mambo
makubwa na hupenda kufikiria mambo ya wakati ujao , na huona
shida sana kufanya mambo madogo madogo kama vile kulipa madeni
,kazi ndogondogo za nyumbani kwakua anapenda kuwaza mambo
makubwa ya juu , lakini mwanamke hujali mambo madogo madogo
na hapangi kufanya yaliyo makubwa huangalia zaidi wakati uliopo na
kazi za kila siku kwake si tatizo kwakua amezoea mambo madogo
madogo.
Mwanaume katika kutaka kitu mara nyingi huangalia lengo lake na
hata kusahau wengine na kwamba na wao wanahitaji furaha kama
yeye , huweza kuwa mkaidi katika kujitimizia lengo lake la kupata
anachotaka, lakini mwanamke anaweza kujipatanisha na hali zote
yeye hafanyi uamuzi wa mara moja na anawezaa kubadilika kwa
haraka kutokana na mazingira na hali.
Katika hali za tabu na shida mwanaume hujua namna ya kuzivumilia
lakini hapendi kujisikia kama hawezi kitu, hujisukuma kutaka
kutenda kitu, kama mke wake ndiye anaumwa yeye hujisikia kama
hajui la kufanya na mara nyingi huonekana kama hajali kwa sababu
ya kutokujua lakufanya, lakini kwa mwanamke yeye yupo tayari
kupokea masumbuko na ameyazoea pamoja na kwamba atakuwa
anajisikia wasiwasi sana, lakini mbele ya wagonjwa hujiona imara
kwakua huamini wagonjwa wanajiona salama akiwepo yeye kutokana
na ujuzi wake mkubwa wa kuuguza na kutunza watu na yupo tayari
kufanya lolote kwa mtu ampendaye.
Katika undani na kuonana kati ya mwanamke na mwanaume,
mwanaume humwona mke wake kama mali yake, anapenda majisifu
na huona mke wake kama msaada wake na hupendelea sana kusifiwa
na pengine hata yeye husahau kusifia mwenzi wake, wakati kwa
15 | P a g e
mwanamke hujaribu kujifanya atamaniwe na hutaka amilikiwe awe
wa mwingine na yeye kwenye upendo hujitoa sana kwa yule
anayempenda na hutaka kuwa yeye peke yake tu anayependwa na
kwa hakika hujitahidi kubaki mzuri awezavyo ili abaki peke yake kwa
mwanaume huyo.
16 | P a g e
MBILI.
MAMBO YANAYO MHUSU MWANAMKE.
Mwanamke wewe ni kiumbe wa kiwango cha juu sana na kwa namna
ulivyotokezwa ni kwa namna ya kustaajabisha ni ya muhimu kuyafanya
maisha yawe na uzuri kutokana na wewe , sasa huwezi kutokeza mchango
mzuri kwa dunia hii wewe kama mwanamke kama haujifahamu bayana
wewe una maana gani kwenye maisha na kwenye uga wa kimapenzi mada
hii inakwenda kukufahamisha juu ya mambo ya muhimu kwako kufanya ili
kutokeza penzi tamu na zuri la kuponya penzi lenu na uanze na wewe
kuona raha.
17 | P a g e
maana mbaya mapenzi vichwani mwao na wengi wamefanya hivi kwa
kutokujua ama wakati mwingine kwa kuambiwa vibaya na watu
waliokuwa wanawaamini kama mama zao ama mashoga zao kuwa
mapenzi ni mabaya sana na haupati chochote na mtazamo huo
umewaumiza na hawapati chochote kwenye vyumba vya kulala ambako
walihitaji kupata penzi tamu na moto moto lakini kutokana na mtazamo
mbaya umewakosesha raha na utamu wa penzi, katika kubadili hali na
kuanza kuona utamu wa penzi lako anza na maaana nzuri kuyahusu
mapenzi kichwani kwako na kwa hakika yatakupatia utamu kitandani na
utaona uzuri.
18 | P a g e
21 utakuwa umejiponya na kuanza kujipenda na kujidhamini na kuwa
mwanamke wa haja anayehitajiwa na kwahakika utaanza kuona utamu
kwa haraka sana.
Njaa yako ya kimapenzi haiwezi kushibishwa kwa uzuri kama utaacha kuwa
muwazi na kusema yanayo paswa kuwekwa wazi juu ya mwili wako na
namna unavyojisikia , tendo la kufanya mapenzi ni moja ya njia ya kukidhi
haja ya njaa yako ya kimapenzi na kuwa wazi kutakusaidia kushiba katika
mwili wako na roho yako , kama unavyofahamu kuwa tukiwa na njaa
tunatafuta chakula, na tunalenga kukipata ili tuweze kutimiza haja zetu.
19 | P a g e
3. Itikia maitikio ya uchokozi wa mwanaume wa kutaka
kufanya mapenzi.
Kama mwanamke atalifahamu hili kwa uzuri kabisa kwa hakika mwili wake
utakuwa tayari kwa maitikio ya kimapenzi, kwamba utayari wako wa
kukubalia anavyojiendesha mwanaume wako kuja kwako ndiyo mwili wako
unavyofunguka badala ya kugoma na kukataa ama kuanzisha upinzani kwa
kufanya hivyo mwili mwako unajifunga kwa haraka sana na mwisho penzi
litakuwa lenye uchungu na maumivu juu yako badala ya kupata utamu na
raha kutoka kwenye penzi lililoponyeka.
20 | P a g e
Oga mara kwa mara kuondoa maji yatokayo ukeni kwako maana kwa
wakati mwingine hutoa harufu mbaya , kwakua ni ngumu wakati
mwingine kujua harufu mbaya kutoka kwenye mwili wako kama
umeizoea.
Kurudia rudia ndiyo imekuwa siri ya watu kujenga tabia ama kujizoesha
juu ya jambo lolote na kutokeza wataalamu ama watalamuna wa mambo
, hivyo hivyo hata kwenye penzi yahitaji kufanya mapenzi mara kwa
mara kutokeza kuyafahamu kwa uzuri na kuanza kuona kwa uzuri wake
yalivyo matamua na yenye kupendeza , na katika kufanikiwa kwenye hili
jifunze kuwa na maandalizi ya kimapenzi , kama tulivyo eleza hapo juu
hakikisha unakuwa mwenye ubunifu na mwenye kuyataka na kwa
hakika utafanikiwa kuyafahamu na yataanza kukupatia utamu
unaoutaka.
Mpatie heshima.
Mwachie uongozi wa mambo.
Fanya mambo yanakuza kujithamini kwake.
Mfanye ajisikie vizuri ndiyo kujiamini kwake kunaongezeka.
Anaweza kukufanyia chochote kizuri.
Msifie kwakua hilo analipenda sana na ndiyo njaa yake kuu ,na
haswa msifie kwa yale mazuri anayoyafanya.
Pendezwa kwa dhati na muunge mkono kwa yale anayoyafanya,
kuwa upande wake hapo ndiyo utamumiliki na hakikisha
unamsaidia kwa dhati kutimiza makubwa.
Mhimize kuchukua wajibu na mhimize kwa upole afanye maamuzi.
22 | P a g e
uzuri basi mvutie kwa macho , mpatie anayotaka mpaka aseme
nimetosheka na kama kuna mkao fulani wakati wa kula tunda
anaupenda usisite kumpatia hata kama hajaomba mpe. Na moja ya
mahitaji yake muhimu sana nje ya kitandani ni pamoja na mambo
haya….
23 | P a g e
kwake kama utajifunza kuwa mwema na mtaratibu na kuomba kitu
alichonacho uwezo.
24 | P a g e
Kumbuka mwanamke ndiyo jambo muhimu sana na la kupendeza
sana kwa mwanaume kwenye ulimwengu huu kuliko jambo lolote
kuwa wa thamani kwake.
Tumia mali zako vizuri ulizo nazo juu ya mwanaume wako
kumtuliza akolee kama kujisafisha kwa uzuri, kujipaka manukato
safi ,maneno matamu ya kubembeleza kama mwanaume wangu wa
mie, muuite kwa jina lake kwa madaha n.k
25 | P a g e
busara na hekima, kuishi maisha yako bila wasi, na mwisho kuwa na
furaha na mkamilifu.
26 | P a g e
TATU.
Nia yangu si kuyamulika majina hayo lahasha badala yake ni kutaka kuja
na uvumbuzi wa kimaarifa juu ya tunawezaje kuondokana na kadhia hiyo,
siku moja nikiwa jijini Mwanza nilihudhuria semina ya wanaume kazini
ama kongamano lililokuwa linaongelea kwa dhana ya kutaka kumukomboa
mwanaume na mwenyekiti wa asasi ya wanaume alisika akilalama juu ya
serikali na mashirika mbalimbali hapa nchini ambayo mengi yamekuwa
yakijikita katika harakati za kumukomboa mtoto wa kike tu na kuachilia
mbali harakati za kumkomboa mtoto wa kiume ambaye pamoja na
kutokuandaliwa kwake anakuja kuoa binti aliyekwisha kuandaliwa na kwa
maana hiyo mwenyekiti wa asasi hiyo “akasema kwa ukali kabisa
kwamba hatuoni kama tunamwandalia bomu binti huyu
ambalo litakwenda kumlipukia na kuleta madhara makubwa
kwa jamii, akamliza kwa kusema anatoa wito kwa mamlaka
27 | P a g e
huska na kwa asasi za kiraia kuona pia kuna haja ya kuja na
mbinu na mikakati ya kumukomboa mwanaume ili awe taa na
mwenye kutimiza wajibu wake wa kimungu alioletwa nao
hapa duniania kama yeye ni mpaji(provider), mlinzi wa jamii
(protector) na mzalishaji wa jamii yaani (producer)” mwisho wa
kumnukuu mwenyekiti huyo.
Ni ukweli kabisa hakuna jambo baya kwenye jamii kama kuona zipo
magereza kubwa na nyingi ni kwa ajili ya mwanaume, vipo vitanzi na
kamba za kujinyongea nazo ni nyingi ni kwa ajili ya mwanaume, wapo
watoto wengi mikononi mwa akina mama wasio na baba na sababu kubwa
ni mwanaume huyu kakimbia, wapo wanawake wengi wanalia kwenye
vyumba vya mapenzi na si kulia kwa mahaba bali kwa mateso makubwa ya
vipigo kwa sababu ya mwanaume huyu huyu, sindano za kujidunga kwa
madawa ya kulevya nayo ni kwa ajil ya mwanaume huyuhuyu, kuzamia nchi
za ugenini na kuacha mali na kila kitu afrika navyo vyote na kwa
mwanaume huyuhuyu, ujambazi mkubwa na uporaji wa ajabu nayo ni kazi
ya mwanaume huyuhuyu na mengi kati ya mengi ya kusikitisha na kubwa
kuliko lote ni ufukara uliochanganyikana na ujinga wa kukosa mbinu za
kujikwamua sasa yote haya ukiyajumlisha ukayaleta kitandani kwa lengo la
kupata penzi tamu la kuona raha huwezi ambulia kitu zaidi ya mapenzi
kinyume na maumbile michezo ya kisodoma na gomora na upumbavu
mkubwa.
28 | P a g e
hivi si kwamba unakuwa mtumwa hapana badala yake uanaume wako
unaimarishwa na maana ya kuwa mwanaume inakuwa imepata maana yake
halisi.
Baada yaw ewe kuwa umepata kazi na unayo kazi ya kuwafanya wengine
wastawi sasa njia bora ni kufurahia kwa kula penzi tamu lililoponyeka
kutokana na wewe kuwa na kipato na umewezesha mambo kwenda vyema
nyumbani na unapokuja sasa kutokeza penzi tamu mambo haya ni ya
muhimu sana na ya kuzingatia, karibu tuyaone moja baada ya jingine kwa
uzuri.
29 | P a g e
Akili bora na mawazo safi hukupatia kitu kwenye uhalisia kwa uzuri
badala ya kuanza kuwazia mabaya na kwa hakika utakwenda
kitandani na kuyakuta yakikusubiri uyale, kwahivyo badili muono
wako juu ya penzi utaona uzuri na utamu wa penzi na utafurahia kwa
hakika sana.
30 | P a g e
ujikwae ulimi moja ya jambo baya kwamba ukijikwaa ulimi hauwezi
kurudisha neno mdomoni kwako.
31 | P a g e
5. Dumisha uhusiano wa kihisia na kuunganikana kihisia
mara nyingi.
Muunganikano wa kihisia kwenye mapenzi huleta penzi lenye
kuponya maumivu ya mwili, kujaza hali ya kuridhika na ridhiko
mwanana rohoni na mwilini na kukusaidia kusaga mafuta mengi
mwilini kwakua linafanywa kwa uzuri na wawili wenye kunai mamoja
na wenye lengo moja la kufurahiana , sasa kutokeza muunganiko wa
kihisia ni kwa kufanya haya msaidie kuachilia misongo yote ya
kimawazo na waweza kumwambia kwa utaratibu kuwa una mpenda
na una mdhamini sana, mwambie aachane na mambo ya siku nzima
awe huru hapo kitandani na unataka kusafiri naye kumpeleka mahali
kuzuri sana kwenye raha nyingi na tamu za kimaisha, endelea zaidi
kwa kumpiga mabusu mwanana yenye kumvuta ili aondoe mawazo
na mbakie mkiwa wawili tu hapo kitandani na hii itawafanyeni kuwa
na penzi tamu na kila mmoja akitoka hapo akiwa mwepesi na
mwenye nguvu mpya na mwenye furaha na mwenzi wake.
34 | P a g e
kutosha na hata kujipulizia marashi mazuri baada ya kutoka
kuoga na kujikausha vizuri majimaji mwilini kwako.
35 | P a g e
kuruka ruka, na hata kucheza mziki ama kupiga push up na
n.k.
36 | P a g e
NNE.
KUFIKISHANA KILELENI BAINA YA MWANAMKE NA MWANAUME.
Kufikishana kileleni ni moja ya mada pendwa sana kwa sasa katika harakati
za watu kutafuta maarifa sahihi ya kimahusiano ya kimapenzi baina ya
mwanamke na mwanaume, ukweli wa mambo kwenye eneo hili la sura hii
tutakwenda kuangazi sababu haswa zinazopekelea kutokufikishana kileleni
baina ya mwanamke na mwanaume kwa kiwango kikubwa.
Lakini pia hatutakuwa wema kama tutashindwa kusema kwa bayana kuwa
kati ya mwanamke na mwanaume ambaye anapitia wakati mgumu sana
kwenye kufika kileleni ni mwanamke, na kwa mujibu wa tafiti nyingi
zinaonyesha kuwa kuna mamilioni ya wanawake ambao hawajui kwa
hakika kilele cha mwanamke na kufika kwa mwanamke kileleni ni kitu gani
na wengi kati yao wamekata tama juu ya habari ya kufika kileleni jambo
ambalo kwa wengi pia limeibua tashitwiti na mtafaruko mwingi mpaka wa
kuwafanya wengine kutaka kutoka nje ya mahusiano na kutaka kuchepuka
kitu ambacho kimekuwa sio suruhu ya tatizo kwani kwa kwenda huko
wameambuliwa majuto na hata kujisikia hatia ya kuwafanya vibaya kwenye
mahusiano yao.
Huenda hilo likawa miongoni mwa maswali yako, makubwa kwenye sura
hii, na hapa tunakwenda kukupatia majibu kama ifuatavyo….
1) Kutokujua.
38 | P a g e
miili yao inavyoweza kusababisha wao kufika kileleni, kwahivyo ni
vyema kufahamu kilele kina maana gani na uanze pia kutambua kama
umewahi kufika kileleni na uhusanishe na jambo hilo kutokana na kujua
maana yake.
39 | P a g e
3) Kujiwekea mipaka na mazuio.
4) Hofu na uoga.
40 | P a g e
5) Kutokufanya kitu kitandani.
Kuna wanawake wanayo asili ya uvivu hata likija swala la kufanya mapenzi
na wanapokuwepo kitandani inakuwa kama shughuli ama jambo hilo la
mtu mmoja tu yaani mwanaume kwamba kila kitu mwanaume afanye yeye
hali ya kuwa yeye mwanamke katulia tu, hapo hakuna kilele kitakachokuja
kwa mfumo huo na kwa hakika utakuwa unajichelewesha tu, mwanamke
ukifika kitandani yapaswa kuonyesha ushirikiano, kuonyesha juhudi na
kujituma kwa kufanya hivyo utaongeza radha ya penzi na kwa hakika
utagundua uwezo wa mwili wako kuitikia maitikio ya kimapenzi na
kukuwezesha kufika kileleni, na waweza kwa kuanza kwa kufanya matendo
madogo madogo kama kumshika mwanaume wako uume wake na
kuuandaa kwa ajili ya kufanya mapenzi ama ukichomoka unautia tena
ndani.
41 | P a g e
7) Mwanaume kutoa mbegu haraka.
42 | P a g e
kutawala,kujitoa kwake kwa hali yoyote kwake kunapotea, na hapa
wanawake wanakuwa katika hali ya juu ya kuachika na wanaume wao
maana kwa asili hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia hili na
kuendelea kubaki kwenye penzi la mwanamke mbishi,asiyeonyesha
upendo mwenye kutaka kuamua na kutawala kila kitu.
43 | P a g e
b) Mambo yanayochangia mwanaume kutokujiweza
kufanya mapenzi.
1) Hofu.
3) Umri mkubwa.
4) Kujichua.
45 | P a g e
Wanawake wengi haswa kwenye madarasa yetu ya online walituambia
kuwa walifikiri kuwa swala la kuanzisha mapenzi kitandani ni jukumu la
mwanaume na wao hawana wajibu huo, hudhani kuwa watadharaurika
kutaka kuainzisha mapenzi kwa wanaume wao, jambo ambalo si kweli
kuwa inaweza kuwaonyesha kudharaulika, ukweli wa mambo ni kuwa kama
mwanamke atataka mapenzi kwa mwanaume wake na mwanaume atajiona
mwenye maana sana kwenye kutakwa kufanya mapenzi na mwanamke
huyo na hii itamuongezea uwezo wa kujiamini na kutokeza msukumo wa
juu sana wakutaka kufanya mapenzi kitandani na kutokeza penzi tamu
liliponyeka badala ya mwanamke kuwa asiyefanya kitu hii humfanya
mwanaume kujiona duni sana na inaweza kumfanya kutokutaka kufanya
mapenzi ya yeye kila siku anaanzisha.
46 | P a g e
mambo yanaweza kuwa mazuri, kwahivyo mwanamke mwenye busara
atamwandalia mwanaume wake mazingira mazuri ya kutaka kufanya
mapenzi pamoja na uchovu wake alionao ikiwa ni pamoja na maneno
mazuri, lugha ya mwili umbo lenye kumshawishi ama mitego ya lazima ili
macho yake yaweze kuona na kushawishika kutaka, chakula kizuri
akipendacho , kumsifia na kumpongeza n.k yaweza kuwa chachu bora
kabisa ya kulisaidia penzi lenu kuponyeka na kuwa na mwanzo mzuri.
9) Uhanithi.
47 | P a g e
TANO.
MIKAO MIZURI YA KUFANYA MAPENZI.
48 | P a g e
e) Uwezo wa kufanya kwa wote wenzi wawili bila kuwa na malalamiko
ya mmoja ama mwingine.
49 | P a g e
Nambari mbili ya mkao wa kufanya mapenzi.
50 | P a g e
Nambari tatu ya mkao wa kufanya mapenzi.
51 | P a g e
Nambari nne ya mkao wa kufanya mapenzi.
52 | P a g e
Nambari tano ya mkao wa kufanya mapenzi.
53 | P a g e
Nambari sita ya mkao wa kufanya mapenzi.
54 | P a g e
MIKAO MINGINE KWA MICHORO YA MKONO.
Mchoro nambari 1.
55 | P a g e
Mchoro nambari 2.
56 | P a g e
Mchoro nambari 3.
57 | P a g e
Mchoro nambari 4.
58 | P a g e
Mchoro nambari 5.
59 | P a g e
Mchoro nambari 6.
60 | P a g e
Mchoro nambari 7.
61 | P a g e
Mchoro nambari 8.
62 | P a g e
Mchoro nambari 9.
63 | P a g e
MIKAO MINGINE KWA UZURI ZAIDI.
64 | P a g e