Professional Documents
Culture Documents
Mpagawishe Mpenzi Wako Kitandani by MR Musa
Mpagawishe Mpenzi Wako Kitandani by MR Musa
humaanisha tatizo la kiafya kwa mwanaume kwa kusimamisha uume sawa sawa.
Kwa kawaida mwanaume ili uume uweze kufanya kazi uhitaji ushirikiano wa mifumo minne.
Kwanza ni mfumo wa mishipa ya damu ambao huingiza damu katika uume, mfumo wa neva za
fahamu ambao hutoa taarifa
kutoka kwenye ubongo hadi kwenye uume na kurudisha taarifa kutoka kwenye uume kwenda
kwenye ubongo.
Pia, kuna mfumo wa homoni na vichocheo vya mwili vinavyohitajika kuchochea mishipa ya
damu kutanuka ili uume ufanye kazi
na mfumo wa akili na saikolojia.
Kwa kawaida; uwezo wa ufanyaji kazi wa viungo vya uzazi vya mwanaume hupungua kadri
umri unavyokwenda.
Kwa ujumla tafiti zinaonyesha kwa kila wanaume 100 wenye umri wa miaka 20 hadi 75,
changamoto ya upungufu wa nguvu za
kiume huathiri wanaume 16.
Kiwango huwa kikubwa kwa wazee , kwa wastani wa asilimia 37 ya wazee wenye miaka 70 hadi
75 wanakabiliwa na tatizo hili.
Changomoto kubwa iliyopo sasa ni kwamba baadhi ya wanaume wanapoona uwezo wao utendaji
kazi wa uume umepungua
huamua kujinunulia dawa kama viagra au za asili bila kufahamu chanzo cha tatizo.
Tafiti zinaonyesha upungufu wa nguvu za kiume huweza kuwa kiashiria cha tatizo la kiafya
linaloendelea ndani ya mwili.
Chanzo cha upungufu nguvu za kiume
Kwa mfano: tafiti za magonjwa ya mfumo wa mishipa ya damu, magonjwa ya moyo na kisukari
zimeonyesha kuwa kuna
uhusiano wa upungufu wa nguvu za kiume na uwepo wa magonjwa haya.
Vivyohivyo upungufu wa nguvu za kiume unapotokea huweza kuwa kiashiria za ukubwa wa
matatizo yanayoathiri mfumo wa
mishipa ya damu, moyo na neva za fahamu.
Tafiti zinaonyesha kwa kila wanaume 100 wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, 90 kati
yao tatizo hili huwa limetokana
na magonjwa mengine ya kimwili na 10 hutokana na matatizo ya kisaikolojia. Hivyo ni muhimu
kwa mtu mwenye tatizo
kufanyiwa uchunguzi hospitalini kujua kama ana magonjwa mengine ya kiafya na kupatiwa tiba
stahiki sio kunywa dawa za
kuongeza nguvu kiholela bila kujua chanzo.
MAKOSA MATANO(05)YANAYOFANYWA
NA WANAUME WENGI KATIKA
TENDO LA NDOA
Wanaume wengi wamekuwa wakifanya makosa bila wao
kutambua kwa haraka kuwa yanasababisha kutojisikia
vizuri katika mapenzi kwa mwanaume na mwanamke.
Twende pamoja kuyaangalia makosa haya na usiwe
mmoja kati ya wanaokosea kwasababu wewe tayari
umeshajifunza makosa hayo:
Kosa la kwanza:
Kuharakaisha kugusa uke au sehemu za uke.
Kitendo hiki hufanyika na wanaume wengi sana bila wao
kujua kuwa ni kosa linaloathiri kitendo kizima cha
kupeana raha kwa pande zote mbili,mwanaume na
mwanamke. Katika taaluma ya sexolojia inaitwa ‘full
body orgasm’yaani mwili mzima kufika kileleni. Kwahiyo
unatakiwa kuhakikisha mwili mzima umeuandaa hadi
umefika kileleni kwanza ndipo utaanza kupeleka mkono
sehemu za uke. Hakikisha mke wako amefikia hatua
ambayo yeye mwenyewe anachukua mkono wako na
kuupeleka sehemu ya uke wake hapo fahamu kuwa
mambo ni mazuri. Lakini ukiona unapeleka mkono wako
kisha anakukwambia… ‘ooh subiri taratibu baby’, tambua
umekosea, kuna jambo umelifanya halijamfurahisha. Na
kuna baadhi ya wanawake hupoteza kabisa hisia ikiwa
utamfanyia kitu ambacho hakijamfurahisha.
Kosa la pili:
Kutoelewa mwitikio wa mwili wakena staili yake
ya kufika kileleni.
Usikariri, kama ambavyo wanaumehutofautiana,na
wanawake piahutofautiana.
Mwanaume usiangalie matakwa yako yako tu.Msikilize
mke wako anataka nini. Mfano unaweza kuwa
unamshika na kumchezea maziwa, kisimi, shingo,
mapaja na ukaona yeye hasisimki wala hageuki, wewe
umeng’ang’ana tu hilo nalo ni kosa. Au kuna wakati
anatamani umfanyie kitu flani kwa kutokuzingatia
unapeleka mkono ukeni,yeye anausogeza mkono wako
katika paja lake umshike lakini wewe unalazimisha
kumshika ukeni, hilo ni kosa.Chunguza aina ya
mwanamke uliye naye ni wa aina gani, anapenda nini,
wakati wa tendo la ndoa na usikariri kuwa kila siku
atakuwa hivo. Mapenzi kila siku unatakiwa kujifunza vitu
vipya.
Kosa la tatu:
Ongea nae na umuache aamue yeye.
Muulize mkewako angependa mpige mabao mangapi. Ni
moja au mawili au mangapi?Wanaume wachache wenye
kawaida ya kuuliza wake zao ikiwa wanaweza,
kupumzika nakuendelea au waishie bao moja tu. Mara
tu baada ya mwanamke kufika kileleni ile raha ya
mapenzi hudumu hadi dakika 15 mwilini mwake. Ndani
ya kipindi hiki mwanamke mwili wake huwa unajoto na
huwa anapenda sana kukumbatiwa na mwanaume
aliyempa raha hiyo. Raha anayoipata huwa ni kama bado
anaendelea kufanya mapenzi. Usifanye kosa katika
kipindi hiki, akishafika kileleni acha apumzike, au muulize
Kosa la nne:
Usidharau lugha ya mwilikwa mke wako.
Kila mahali kuna lugha yake. Muda wa kupeana raha
kuna lugha yake pia. Si kila kitu lazima atamke maneno.
Wakati wa kupena raha chumbani kuna lugha ambazo
mwanaume ni lazima uzifahamu toka kwa mke wako.
Kama hautozifahamu luhga hizo itakupa shida sana
kumfurahisha mke wako. Mtazame macho yake, mikono
yake, mdomo wake, miguu, kichwa chake na mwili kwa
ujumla utapata ujumbe utakaokusaidia kumfanyia
anachokipenda wakati huo ili ajisikie raha.
Kosa la tano:
Si muda wote mke wako yupo tayari kushiriki
tendo la ndoa.
Kwa kuwa wewe mwanaume unajisikia kufanya
mapenzi,usifikiri kuwa na mke wako naye yupo tayari
kufanya tendo la ndoa. Usimparamie tu mkeo. Kama
wewe unahamu, basi anza kumuandaa mapema. Kulala
kitandani na kupeana rahani hatua ya mwisho ya
mapenzi. Ile siyo hatua ya kwanza kama wengi
wanavyofahamu. Anza kumpigia simu, mpe maneno
matamu matamu ukiwa bado kazini kwako, kutuma
meseji za kuashiria kuwa usiku unaofuata ni usiku wa
kupeanaraha. Wanaume wengine huwa wanaanza
kumuandaamwanamke tangu asubuhi wanapoamka.
Maneno matamu, simu zenye kubembeleza, meseji tamu
tamu zile huamsha hisia za mapenzi na huandaa mwili
wake kuwa tayari kwa mapenzi. Ukiwakaribu nae utaona
anatamani muanze muda huo huo anapokuona maana
anaona ni kama anachelewa vile. Anataka umpe utamu.
Ukimgusa tu tayari amelowa, uke wake unakupa jibu
kuwa sasa kazi kwako mwanaume.
SIRI YA PILI
Kufanya tendo la ndoa nakupumzika(take a
break):Usifanye kosa hili ambalo wanaume wengi
wanafanya. Hakikisha katikati ya tendo la ndoa
unapumzika mara nyingi ladiri unavoweza kabla ya
kumwaga bao la kwanza. Fanya hivo hivo katika bao la
pili, na kuendelea. Rejea yaliyomo uk 11. Soma tena
hatua hizo. Fanya zoezi hili mara nyingi uwezavyoukiwa
katika hatua ya pili. Uume wako uko ndani ya uke, toa
nje kwa muda wa sekunde 30 hadi 60 kisha endelea
tena, anza taratibu kuchomeka uume wako. Anza na
kichwa, weka kichwa na kutoa kwa muda wa dakika
kadhaa kisha peleka ndani uume wote kwa dakika
chache, kisha sugua juu tena kwa kichwa cha uume
wako. Fanya hivo bila kuwa na papara yoyote, jiamini,
ondoamawazo kuwa utawahi kumaliza.
SIRI YA TATU
Vuta pumzi kwa nguvu(deep breathing): Fanya
zoezi hili katika hatua ya pili kama kawaida.Vuta pumzi
kwa nguvu kisha toa taratibu mpaka umalize hali
unaendelea kuingiza uume na kutoa nje, taratibu bila
papara. Fanya zoezi hilo mara kwa mara kadiri
unavoweza kabla ya kumaliza. Hali hii hufanya mwili
wako ku relaxhivyo inakusaidia kuchelewa kumaliza.
SIRI YA NNE
Ongea!Jiongeleshe mwenyewe,jisemeshe maneno
mazuri, kama unamsongo wa mawazo, ongea! Kama
unawasiwasi kuhusiana na kuwahi kumalizatendo la
ndoa, jiongeleshe mwenyewe ukiwa peke yako kwa
sauti.
Sema mimi sishindwi tena nikutanana na mke wangu,
nitatumia dakika (zitaje) unapofanya hivo unaundaa
ubongo wako kupambana na hali hiyo hadi muda
utakaohitaji kutumia wakati wat endo la ndoa. Hauwezi
kuona mabadiliko kwa siku moja,fanya mara kwa mara
utaona mafanikio mazuri sana.
SIRI YA TANO
Ingiza nusu uume au kichwa tu(short thrust):
Anza kuweka kicha cha uume, taratibu, chovya kichwa
kidogo tu endeleakumtekenya kwa kichwa tu pale juu.
Sababau ni kwamba pale juu ya ndipo pana mishipa
inayomsisimua sana siyo ndani ya uke. Fanya hivo
hakikisha mke wako anapagawa hadi anatamani
uchomeke uume wote lakini wewe usiharakishe.
Hadi achomeke mwenyewe uume wako ndani. Hakikisha
amelowana uke wake vizuri. Kisha ingiza uume wako
nusu kwanza, unatoa nje na kuendelea kuchovya kwa
kichwa. Usifanye kosa linalofanywa na wanaume wengi
kuchomeka uume wote wakidhani kuwa ndani ya uke
kuna raha anayopata. Raha anapata kwenye midomo ya
nje na sehemu ya ndani kidogo kina cha sentimeta tano
usawa wa juu kuelekea kwenye kitovu.
SIRI YA SITA
Fanya mazoezi:Mazoezi hupunguzamsongo wa
mawazo amabao husababisha kushindwa kufanya tendo
la ndoa kwa kiwango kinachatakiwa. Mazoezi hupunguza
kiwango cha mafuta mwilini au dutu.
Mafuta mengimwilini husababisha damu isiwe na
mzunguko mzuri mwilini.Mwili wa mazoezi ni mwepesi.
SIRI YA SABA
Tumia staili tofauti tofauti au badalisha mako
wakati wa sex:Wakati wa kufanya mapenzi ndani ya
hatua ya pili, unafanya na kubadilisha staili. Muombe
mke wako kubadilistaili, usimalazimishe. Hakikisha
unatumia staili ambayo haikusisimui sana wewe ila
inamsisimua zaidi yeyeili awahi kumaliza.
SIRI YA NANE
Tumia muda mrefu katika michezo ya awali (fore
play):Cheza cheza nae michezo ya kikubwa, muandae
vizuri mpaka mwili wake ulegee tayari kwa kuruhusu
uume kuingia bila kizuizi. Michezo hiyo husaidia mwili
wako kukusanya nguvu za kufanya tendo lenyewe la
ndoa. Unapomuandaa vizuri kwa muda mrefu hujisikia
rah ana baadhi ya wanawake hukojoa kabla uume
haujaingia ndani. Tumia muda mrefu kumuandaa hata
zaidi ya saa nzima muandae vizuri. Kama utamtekenya
vizuri hasa sehemuzakezinazompa nyege kali, kuna hali
hujitokeza wakati watendo lenyewe, kitaalamu inaitwa
multiple orgasim, yaani anapiga mabao mawili kwa mara
mojandani ya sekunde moja.
Mwanamke akipata hali hii hatakusahau akilini mwake
daima mahali popote atakapokuwepo, maana ni raha
isiyosimulika,si yakawida na ni wanawake wachache
hubahatika kupata hali hii.
SIRI YA TISA
Kanadamiza eneo la kati ya tudu la haja kubwa na
korodani: Eneno hili hupitisha hisia zinazotoka katika
ubongo kupitia katika uti wa mgongo.Wakati wa kufanya
mapenzi bonyezakwa kidole chakomara kwa mara kadiri
uwezavyo kabla kufikia hatua ya tatu ambayo huwezi
kujizuia. Unapofanya zoezi hilonikama unakatisha hamu
ya kutaka kukojoa na unaanza upya. Hivyo kama ulitumia
dakika tano, utakapo bonyeza bonyeza hapo hisia zako
zikakata, utakuwa na uwezo wa kutumia zaidia ya dakika
tano tena.
SIRI YA KUMI
Mbinuya kuhamisha mawazo:wakati unafanya
mapenzi, unazingatia mbinu zingine unazoona ni rahisi
kwako kutumia, usiache kutumia mbinuhii ya kuhamisha
mawazo yako. Lengo ni hushusha hisia zako za mapenzi,
ili uweze kutumia muda mrefu Zaidi kumridhisha mke
wako. Kuhamisha mawazo unaweza kufanya katika
hatua ya kwaza naya pili. Rejea uk 11na 12.Usihofu
kuwa uume utalala. Hata ukilala nirahisi zaidi kuvuta hisia
tena ukasimama maana bado haujaanza kuingiza ndani
ya uke. Kama tayari umeweka ndani ya uke, basi rahisi
zaidi pia kusimama tena maana kuna joto kali
linaloamsha hisia zako. Unaweza kuhamisha mawazo
kwa kuhesababu kwa kufuata mtiririko mgumu wa
namba. Mfano 100, 97,94,91,88,85,…au unaweza
kufikria juu ya kazi yako namambo mengie yoyote
yatakayokusaidia kuhamisha mawazo.
Muda wa rahaasiyoweza kusilimuliamtu
STAILI YA 1
Staili ya upande upande:
Hii staili ni nzuri pia kwa mwnaume kuchelewe kumaliza
na mwanamke kuwahi kumaliza.Wote wawili mnayo
nafasi ya kubanana na kila mmoja anaweza kuruhusu
uume uingie ndani au uingie nusu. Hali hii inampa uhuru
mwanaume kukadiria sehemu ya kusugua mpaka
kwenye G-Spot kwa kutumia uume, piaanaweza
kusugua kiembe kwa mkono ili kuharakisha mwanamke
kukojoa haraha.
STAILI YA 2
Staili ya ‘yab yum’:
Kama unavoona katika picha hapo, staili hii inamsugua
mwanamke G-Spot kwasasbu ipo juu unakolenga uume.
Pia unaweza kutumia mkono kuchezea kinembe
kumsisimua zaidi mwanamke. Maziwa yapo usawa wa
mdomo, kwahiyo unaweza kuyanyonya hali ukiendelea
kuchomeka na kuchomoauume wako hadiajisikie
amehama dunia.
.
STAILI YA 3
Staili ya msalaba:
Mwanaume anapata uhuru mkubwa wakumchenzea
mwanmke kinembe na G-spot wakati anaendelea
kuchomeka na kuchomoa uume wake. Poa anaweza
kuchezea maziwa na sehemu zingine za mwili kwa
mkono wake. Faida nyingine ni kwamba anachelewa
kumaliza kwasababu mwili wake haugusani kwa sehemu
kubwa haliambayo ingepeleka mbegu kutengenezwa
kwa wingi na misuli ya korodani kujikunja hali
inayopelekea mbegu kusukumwa nje kwa haraka.
STAILI YA 4
Staili ya mbwa mvivu(lazy dog):
Staili hii nitamu haswa. Faida zake ni kwamba kina cha
uke kimepunguzwa, kwahiyo uumeunaingia nusu au
kichwa tu. Kwasababu mwanmke amelala kifudifudi,
maana yake G-spot ipo usawa wa chini ambako uume
unapelekwa na ndiko mwanamke anasuguliwa vizuri
sana, na anawahi kumaliza. Uume unapoingia kichwa tu
kunafaida kwasababu kuna ubaridi amabaounasaidia
mwanaume kuchelewa kumaliza.
STAILI YA 5
Staili ya ‘kijiko’:
Mkao huu unakusaidia mwanaume kuuingiza nusu ya
uume au kichwa tu, hadi muda wa kutoa mbegu ndipo
utasukuma kwa nguvu uume wote uingie ndani.
STAILI YA 6
Staili ya ‘grinding missionary’:
Staili hii inapendwa sana na wandoa wengi sana. Staili
hii inampa uhuru wanaume kusugua vizuri mahali
anapotaka. Wanapenda kusugua nje kwenye midomo ya
uke (labia) ni rahisia kwasababu mwanaume
anatazamakaziyote anayoifanya. Mwanamke anapata
raha kwasababu anasuguliwa mpaka ndani kwenye G
spot inayompagawisha kwa haraka sana. Mwanamke
akikunja miguu ameibinjua kinembe na G-spot vyote vipo
jirani na uume vinasuguliwa vizuri sana.
STAILI YA 7
Staili ya kuchuchumaa:
Staili hii ni ngumu kwa mwanume kwasababu unatakiwa
kuchuchumaa, na unatakiwa kusukumauume ungie
ndani ijapokuwa ni vigumu kuingiza uume wote. Sataili
hii inampa mwanamke raha sana kwasababu
anasuguliwa vizuri sana katika midomo ya uke wake
palipo na msisimko mkubwa. Pia mwanamke anaweza
kujisugua kwenye kisimi kwa mkono wake. Hivyo
kwasasababu ya ugumu wa staili mwanamume
anachelewa sana kumaliza.
STAILI YA 8
Staili ya ‘cowgirl’:
Mkao mwingine huo hapo kama picha iavoonesha. Mkao
huu unampa uhuru mwanamke kujimegea anavopenda,
kwahiyo mwanamke husugua sehemu zinazomnyegesha
hivyoanawahi kukojoa maana anafanya kila
anachokipenda kwa uhuru wake kwa kutumia uume.
Faida kwa mwanaume na korodani zinapata ubaridi
kidogo inayofanya uume uwe na nguvu na kufanya kwa
muda mrefu. Korodani na uume zinapenda ubaridi
STAILI YA 9
Staili ya kusimama kishupavu:
Mkao huu unawapa raha wote wawili. Mwanaume anayo
nafasi nzuri ya kulenga ndani katika G-spot ambako
mwanamke akisuguliwa na uume vizuri na mwanume
fundi, inampa raha ya ajabu. Mwanaume anayo nafasi ya
kuingiza uume woteaunusu atakavyo yeye.Pia
mwaname anayo nafasi ya kufanaya haraka au taratibu
anavopenda yeye. Pia hakuna ugumu wowote ikiwa
atapeda kupumzika kisha aendelee tena. Kama si mzoefu
staili hii unawahi kumaliza, hivyo usianze nayo.
STAILI YA 10
Staili ya mwanamke kuwa juu:
Mwanamke anafurahia mapigo ya uume kupanda na
kushuka, na yeye pia anauhuru wa kuchomeka mahali
anapopenda au kusugua mahali anapotaka yeye. Uume
anausugua kwenye G-spotinayompa msisimko wa ajabu.
Mwanaume unaweza kumsugua kinembe kwa vidole, pia
unaweza kumnyonya maziwa ikiwa utafanikiwa
kunyanyua kidogo shingo yako. Stailihii inamtaka
mwanaume awe mwepesi kutoa taarifa ikiwa anakaribia
kumaliza ili kubadili staili.
Program ya kwanza
Amua toka moyoni mwako kuacha kupiga punyeto au
kuangalia video chafu
Ataamua tangu leo kwamba umeamua kabisa bila
kulazimishwa na mtu. Hapa chini nitaweka madhara ya
upigaji punyeto. Tafakari pia katika kipengele cha
kuangalia video za ngono. Hapo juu nimeeleza hasara za
kuagalia video za ngono, hapa chini nitafafanua hasara
za kupiga punyeto kisha utapima mwenyewe na kufanya
maamuzi. Usihinikizwe na mtu yeyote katika program hii,
amua ukiwa naakili timamu kabisa
Program ya pili
Andika maneno haya NIMECHA KUPIGA PUNYETO
katika karatasi ndogo kisha weka mfukoni, kila
unapotembea uwe nayo.
Karatasi hiyo utakuwa unatembea nayo katika wallet au
mfuko wako kila unapotembea, na ukiwa sehemu
ambayo unaweza kusoma, itoe na kusoma kisha tafakari
kuwa kweli umeamua kuacha na kuiweka tena mfukoni
endelea na shughuri zako. Kwa wewe unayetamani
kuacha kuangalia video za ngono badilisha hapo andika
nimeacha kuangalia video za ngono.
Ukifanya hivo kwa uaminifu, utafanikiwa tukwa uwezo
wa Mungu. Ubongo huwa unaanza kuona tayari umefikia
lengo lako la kuangalia ingwa bado haujaacha. Na siku
itafika utaacha moja kwa moja.
Program ya tatu
Andika madhara ya kupiga punyeto katika karatasi, kishasoma asubuhi na jioni.
Unaposoma madhara ya kupiga punyeto kila siku
unajenga picha katika ubongo wako kuwa kama
utaendelea kufanya kitendo hicho unajiandaa kuishi
maisha ya majuto maisha yako yote. Fanya zoezi hili kwa
uaminifu kabisa kila siku kwa siku 21 kama ilivo katika
program ziingine. Aubuhiunapoamka na usiku kabla ya
kulala. Madhara ya kupiga punyeto nitayaandika hapa
chini, yaandike katika karatasi.
Kwa wewe unayetamani kuacha mazoea ya kuangalia
video za ngono utaandika madhara hayo kama nilivoelezea hapo juu.
NJIA YA 1
Fikiria kuhusu madhara yake, Kila aliewahi kufanya punyeto Kuna madhara aliyoyapata mabaya
hasa
madogo madogo kama kuchoka ovyo, kuumwa kichwa n.k
NJIA YA 2
Tafuta mpenzi kama huna kabisa,hii itakujengea hofu kwamba ukifanya hili utakubana na kuja
kushindwa
kumridhisha badae mpenz wako kwahyo Mafikilio yakufanya kitendo hiki kinakuwa kinatoka
badae
hufikilii kabisa Mimi Mr Musa Hilo nimelifanyia uchunguzi Kwa wengi.
NJIA YA 3
Acha kufuatilia simulizi za mapenzi au videoUnapojihusishana kuangalia video za
mapenzi au
kusilikiliza simulizi za mapenzi, au kusoma makala za hivi inakusukuma wewe kufikiri
kufanya
mapenzi. Hatakama umeoa usijaribu kujiingiza katika
ufuatilia simulizi.Sababau ni moja tu unapoangalia
unauunda upya ubongo wakokwaajili ya mapenzi, na
kwa uhalisia kile unachokiona na kuisikiza katika simulizi
hizo hazitakidhi kile unachopewa na mke wako. Ndipo
utaingia katika kujichua au kutafuta mwanamke
mwingine pembeni, hili ukilizingatia utafanukiwa sana nakushauri Mimi Mr Musa jaribu
Kuacha
Tabia hii mara Moja kama vipi futa mpaka kwenye simu Yako.
NJIA YA 4
Acha kutazama video au nyimbo kusikiliza Chochote kuhusu mapenzi Wataalamu
nawapenzi wa
kusiliza nyimbo zinazoelezea mapenzi wapo katika hatari ya kuingia katika wimbi
lakuangukia
kujichua. Na wenginehujikuta
tu wameanza kujichua hata wakijihoji sababu kubwa ni
nini hawapati jibu, lakini ukweli nikwamba kuagalia video
hizo zenye kusisimua mwili wako, ubongo wako hutunza kumbukumbu, nakushauri
kama
unapitia hii Hali na unania kuokoa wimbi la atari nakushauri tafuta njia mbadala
yakujifurahisha
ili ubongo uanze kuuza mazoezi Mimi Mr Musa nakushauri ivo.
NJIA YA TANO
Acha kupiga story na marafiki zako kuhusu punyeto au mapenzi Siku zote makundi ya
marafiki
ndo Moja yakisababishi kupelekea wewe upate kuwa na tabia Fulani kulingana na tabia
ya
marafiki zako kama ni stor za mapenzi basi hiyo Hali inakuwa inahifadhiwa kwenye
ubongo na
badae ukiwa peke Yako unatamani kufanya ivo kujarbu nakuleta Tabia badae itakuwa
vigumu
sana kuacha kupiga punyeto, nimepata taarfa nyingi sana vijana makundi makubwa na
watu
wazima kuwa katika wimbi hili, wengi nawashauri Kuacha kwanza alafu kama madhara
yametokea tutibu nakuwa salama, mr Musa nami liliweza kunikumba hili kipindi nipo
makundini
lakini nikaweza kutoka kabisa nakuwa salama.
NJIA YA TANO
Kuwa bize na kazi USIKAE kihasara Usikae tu bila kazi, tafuta kazi ya kufanya ili mwili
na
ubongo uweze kupoteza kumbukumbu, Sasa kama huna kazi ni kawaida
kweli utafanya mamboya yasiyo kwasababu umekaa tu
hauna kaziyoyote uliyoupatia ubongo wako.
hauna kazi ya kuufanyisha mwili wako nakushauri chukua nakala za kujenga ata
uchumi wako
mda huo huna kazi usome itakusaidia kusahau hii Tabia mbaya au kuwa bize
makanisani au
msikitini sikiliza mafundisho ya neno la mungu itakusaidia Mimi Mr Musa nakushauri
sana
zinagatia hili Amna dawa yakunywa ili uache kama ilivo Kwa wengine wanavyofahamu.
NJIA YA 6
Pata mafundisho ya mungu Kwa njia ya sauti pindi hisia zinakujia ukiwa peke
Yako 😀Hii njia
Mimi ilinisaidia sana kukwepa au kuzima hisia na Mafikilio ninapo taka kufanya hiki
lakini
haikuwa rahisi kama unavyofikilia nlikuwa nachukua foni nakuskilza chanel ya
mafundisho ya
neno la mungu na muombe sana mungu akuepushe kupitia Imani Yako mungu
ashindwi kama
kweli umeomba Kwa Imani ya kweli, ata wewe fanyia hii kazi itakusaidia sana Mimi Mr
Musa
nimeifanyia kazi binafsi nakutest Kwa wengine wengi zaidi ya vijana nakufanikiwa.
Badae
tuondoe madhara Sasa yaliyobaki.
NJIA YA 7
Fanya Mazoezi yoyote yanayoitwa mazoezi,
Yapo mazoezi mengi sana yakufanya wewe uweze kuupa mwili kusahaurisha kitendo hiki
USIKAE tu ovyo fanya mazoezi itakusaidia sana, mazoezi kama kengel exercise ambayo
yamedhibitishwa kujenga afya ya tendo kimwili Yani katika viungo, nakushauri zingatia hili
Mimi Mr Musa.
NJIA MAALUMU YAKUTIBU MADHARA YATOKANAYO NAKUJICHUA
Njia rahisi yakutibu Madhara yatokanayo na punyeto,
3.Mahitaji:
Tunda la limau, asali mbichi eiza nyuki wado au wakubwa na
kitunguu maji.
Njia ya kwanza
Mahitaji:Kitunguu swaumu robo kilomoja, tangawizi
robo kilo, majani mabichi ya mperaau majani ya mlonge
kilo moja au asali mbichi nusu lita.
Njia ya pili:
Tumia karanga kwa wingi kila siku, na tetele kwa wingi
na asali. Saga karanga au tetele ili kupata unga, ule unga
changanya na asali kwa kipimo cha kijiko kimoja cha asali
kwa vijiko viwili vya unga wa karanga au tetele. Faida za
karanga na telele hukusanya madini ya zink ambayo
huenda moja kwa moja katika mfumo wa uzazi.
Zoezi la kwanza
Kandamiza eneo lililo kati ya tundu la haja kubwa
na korodani (Perineum): Kandamiza eneo hilo kwa
vidolevyako. Endelea kukandamiza kama unatomasa
tomasa vile, mpaka hamu ya kufanya mapenzi ishuke.
Zoezi hili linafanyika wakati wa kufanya mapenzi, kwa
kufanya hivo itakusaidia wewe kuwa imara kutumia
muda mrefu wa kufanya tendo la ndoa.
Zoezi la pili
Vuta korodani wakati wa kufanya mapenzi
(Testicle Pull): Kuna mishipa ambayo huunganisha
korodani na uume. Wakati wa kufanya mapenzikorodani
hupanda juu. Hii ni kwasababu kabla ya kukojoa mishipa
ya kutoa mbegu hujikunja ili kuvuta mbegu. Vuta taratibu korodanikuelekea chini.Rudia
rudia
zoezi hili
utaona matokeo mazuri sana. Zoezi hili litakupa uwezo
wa kudumu muda mrefu katika tendo la ndoa hadi saa
nzima bila kumaliza. Usizibane korodani. Fanya zoezi hili
kwa muda wa sekunde 10 hadi 30.
Zoezi la tatu
Kubanamkojo na kukojoa: Kuna uhusiano wa moja
kwa moja kati ya kubana misuli ya mkojo wa kawaida
wakati wa haja ndogo na kubana misuli ya kutoa mbegu
wakati kujamiiana.
Kabla hujakojoa bana misuli kwa kujizuia kukojoa kwa
muda sekunde kadhaa, kisha achia kidogo, bana tena,
fanya zoezi hilo mpka mkojo unapoisha. Kila unapokojoa
fanya zoezi hili.
Zoezi la nne
Kandamiza uume eneo la kichwa:Mrija wa uume
unaopitisha mbegu hupanuka wakati wa kujiandaa kutoa
mbegu. Hivyo ukiubana uume eneo la juu.
Wakati wa tendo la ndoa kabla ya kumaliza chomoa
uume wako,kisha ubane vizuri kwa muda sekunde 10
hadi 30. Ukifanya zoezi hili hamu ya kufanya tendo la
ndoa itapotea, na una uwezo wa kuanza upya tena.
Hatua ya tatu
Kufika kileleni(orgasm):
Hii ni hatua ya mwanamke kufikia kilele. Ni kipindi kifupi
sana kuliko vyote. Huchukuasekunde chachetu. Dalili
zake ni kama ifuatavyo:
•Mishipa huanza kujikunja katika uke wake
kwasababu ya kasi ya mzunguko wa damu.
•Mwili mzima huingia hali yaghaflayenye raha ya
ajabu ‘sex flux’
•Mji wa uzazi pia hubadilika na kujikunja katika hali
ya kitalaam inaitwa rhythmic contraction
•Msukumo wa ghafla wa kimapenzi hujitokeza
Hatua ya nne
Mwili kurudi hali yake ya kawaida(resolution):
Hatua hii mwili huanza kuanza kurudi hali yake ya
kawaida, sehemu za mwili zilizokuwa zimesisimka na
kusimama kama vile matiti na kisimi. Pia sehemu za uke
hurudi katika rangi yake ya kawida.
Katika hatua hii, baadhi ya wanawake huweza kusisimka
tena na kufika tena kileleni baada ya kumaliza ikiwa
wewe mwanaume una uwezo wa kutumia muda mrefu.
Hali hiyo ni tofauti na mwanaume. Mwanaume akifika
kileleni anatakiwa kupata muda wa kupumzika
(refractoty period). Hii ndiyo sababu wewe mwanaume
unatakiwa kutumia muda mrefu kumaliza ili umridhishe
vizuri mke wako kwa kiwango anachotaka.
Hitimisho
Nishukuru mwanaume kuweza kufatilia Somo hili Kwa makini naamini umefurahia sana
nakujifunza, Sasa fanyia kazi Kwa vitendo vyote hasa vinavyopaswa ili uwe imara
usisite
kunitumia ushuhuda au Kila unachofanikiwa kupata au kuona,kuhisi nami nitafurahi
sana
Nakukupa zaidi mengi, bila kusahau pia kuwa mfatiliaji wa makala tofauti kupitia
mitandao ya
kijamii, jingine kama tatizo lako unaona kabisa linakuwa linaendelea umefanya yote
Amna
wewe unastahili kupata msaada kutoka kwangu wakaribu sana hatua kwa hatua
kwakupatiwa
program maamulu ya mwanaume afya program (MAP) kuondoa tatizo haraka Moja Kwa
moja
kabisa utawasiliana nami kupiga simu au ujumbe mfupi Neno MAP, mana inasema
mwanaume
umekuja kuyashinda yote Yani kuwa mtawala wa yote Sasa kushindwa kufanya vizuri ni
Hali
yakuonyesha huwezi naunakuwa tofauti na haki Kwahiyo ni lazima uone haja kubwa
yawewe
mwanaume kutumia gharama yoyote kuweza kutatua tatizo hili. Awali mke wako
ataonesha
kukuhurumia kwa tatizolako,atakufariji,lakini kadiri siku zinavozidi kwenda mbele ndivo
ataanza
kupata mbinu za kukudanganya na kutoka nje ya ndoa au mahusiano mpaka
mnaachana na
kila ukijaribu kutafakari sababu yawazihautaiona wala
hautaambiwa. Na hata ukianzisha mahusiano mapya
tatizo litaendelea kukutesa ikiwa hautachukua hatua kutibu tatizo.
Follow page zetu za mitandao ya kijamii
Facebook: afya_na_virutubisho_1
Histagram: afya_na_virutubisho_1
Whatsapp: 0767901124