You are on page 1of 4

ZIFAHAMU SEHEMU 12 ZENYE HISIA

ZAIDI KWA MWANAMKE

Tendo la ndoa ni sanaa, na sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo


yaliyo katika fikra za mwanadamu. Hivyo basi kwa kuwa tendo la ndoa
ni sanaa inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.

Ufundi huhitaji mandhari ya kuoneshea na uhitaji hadhira ya kufurahia,


ambapo fanani huhitaji kufahamu haswaa hadhra yake inataka nini.
Yafuatayo ni maeneo 12 (common) yenye msisimko ambapo kama
mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mwanamke atajiona
mwenye bahati sana.

1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake
wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi
pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa
kinywa kwa wote wawili ni muhimu hapa).
2. UKE NA KINEMBE.
Kuna namna mbili ya kucheza na mandhari hii, kwanza unaweza
kutumia ulini na lips zako kutembelea hapa (kwenda chumvini). Sihitaji
kulizungumzia sana kwali nilishawahi kufafanua kwa kina na mapana
namna bora ya kwenda chumvini, labda ukitaka nirudie nitakusaidia.
Namna ya pili ni ya wale wasio na ujasiri wa kwenda chumvini, Tumia
kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika
mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea jirani na mlango wa nyuma)
ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa.

Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na


kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na
majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha
mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na
chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.

3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa
uke wake. Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa
na kuyatomasa tomasa matiti yake, utayaminyaminya kwa upole wa
kimahaba, utayalambalamba haam haam na kuyanyonya nyonya bila
kuyaumiza na meno.
4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au
kunyonywa au kupigwa busu. Tembeza ulimi wako kama unaingia ndani
ya sikio, utaona anavosisimka na vipele kumtoka.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa
kutekenya tekenya. Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa
kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia, kisha
busu mara kadhaa.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na
utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata burudani kwa
kuishughulikia vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chako kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya
mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
8. MAKALIO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda makalio yao yachezewe kimahaba, anza
kwa kuyapapasa papasa, endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia
vidole, kisha uwe kama unayachapa kibao hivi (usimuumize). Yabane
bane na mikono yote miwili, yapikinye pikinye kimahaba. (ila angaia
usifike mbali kwai kigoma ndiyo mwisho wa reli)
9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi
ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la
ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa. Tumia kila ujanja
ulionao kuchezea miguu yake .
10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba
na huku
ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo
yake,mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie
amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa. Mkiwa
mmesimama hata kabla ya game kuanza, simama nyuma yake sambaza
mikono mwilini mwake, zaidi cheza na hips zake.
12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana
ikibonyezwa
bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko
katika ukuta wa juu wa uke.
Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza
akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya
kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke
na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke.

Sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri


inavyobonyezwa,
mwanamke anaweza kujisikiakama anataka kukojoa kabisa na hawezi
kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.

You might also like