You are on page 1of 7

i

©october 2023 Mathayo Sanga

Haki zote zimehifadhiwa.

Hakuna sehemu yoyote ya kitabu hiki ambayo


inaruhusiwa kutolewa upya au kuhamishwa
kielektroniki au ufundi wowote wa kurekodi au
kufungua na kutoa Makala upya na kuirudishia
tena bila ruhusa ya maandishi kutoka kwa
mwandishi

ii
UTANGULIZI
Mapenzi ni moja ya hisia za msingi katika
maisha yetu. Tunayapata na kuyashiriki mara
nyingi lakini pia tunaumia tunapoyapoteza.
Mapenzi huathiri maisha yetu kwa njia nyingi, na
yanaweza kuwa chanzo cha furaha au huzuni,
kufanikiwa au kushindwa kwetu.

Kitabu hiki, "Mapenzi Nje ya Kitanda,"


kinajadili mambo ya msingi katika mahusiano ya
kimapenzi na tendo la ndoa, lakini kinachukua
mtazamo tofauti. Kinaangazia saikolojia ya
mapenzi na jinsi hisia, mawasiliano, na matendo
yetu nje ya kitanda vinavyoathiri uhusiano wa
mapenzi na tendo la ndoa.
1
Tunaangalia jinsi wanaume na wanawake
wanavyofikiria, wanavyojisikia, na
wanavyotamani katika mahusiano yao ya
kimapenzi. Pia, tunachunguza njia za
kuimarisha uhusiano wako na kufanya tendo
la ndoa liwe la kuvutia zaidi na lenye
kuridhisha kwa pande zote.

Kitabu hiki kinatoa ushauri, mbinu, na


maarifa ya kuboresha mahusiano yako na
kufanya tendo la ndoa kuwa sehemu muhimu
na yenye furaha maishani mwako. Ni
mwongozo kwa wote wanaotaka kuelewa zaidi
kuhusu saikolojia ya mapenzi, jinsi ya kujenga
mahusiano imara na yenye furaha, na jinsi ya
kufurahia mapenzi kitandani kwa kuanza
kuyajenga nje ya kitanda

Karibu kuanza safari hii ya kujifunza na


kuelewa zaidi kuhusu mapenzi, mahusiano, na
saikolojia ya mapenzi

2
MWANAMKE NA MWANAUME
KATIKA TENDO LA NDOA

Kuna tofauti kubwa sana katika kufanya,


kufurahia pamoja na uhitaji wa tendo la ndoa kati
ya mwanamke na mwanaume, tofauti hizi
zimekuwa zikileta migongano sana maana wengi
hawazijui mwanamke anahisi yupo sawa na
mwanaume na mwanaume anahisi yupo sawa
na mwanamke ila ukweli ni hawafanani hata
kidogo.
3
Unajua kwanini wanaume wengi huwa
wanavutiwa sana na wanawake wanaoonekana
kuwa na tabia furani za kimalaya? Najua
unashangaa lakini hii ni kweli we angalia wale
wanawake wanaovaa vibaya vibaya yaani
wanaacha baadhi ya sehemu zao za miili nje
kama maziwa mapaja na wengine hata makalio
kwasababu wanaume wote ni walevi wa mapenzi
wanafaidi Zaidi kwa kuona kuliko kula ndio maana
wanawake husema wanaume wote baba yao ni
mmoja, wakimaanisha wote tunapenda sana
mapenzi kuliko chochote. Mwanamke ichukue hii
kama ulikua huijui.

HII NI SAMPLE YA KITABU HIKI BOFYA


COVER HILI KUNUNUA KITABU KAMILI

4
BOFYA KITABU UNACHOKITAKA KISHA
CHAGUA WHATSAPP ILI KUTUMA
UJUMBE WA KUKIPATA

You might also like