You are on page 1of 2

Moja

inaendelea kutoka nyuma kati ya maonyo yenye lugha kali mnyama yule. Wakamsujudu yule joka kwa sababu
alimpa huyo mnyama uwezo wake; nao wakamsujudu
Onyo hili ni pamoja na:
kabisa katika Biblia linapatikana yule mnyama, wakisema, Ni nani afananaye na mnyama
(a) Msujudieni Muumbaji (fungu la 7).
huyu? Tena ni nani awezaye kufanya vita naye?
Maana yake ni kuishika ishara au alama ya uumbaji katika Kitabu cha Ufunuo. Katika onyo hilo “Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu,
wake, yaani, Sabato yake.
ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake
(b) Msipokee Alama ya Mnyama (fungu la 9-10). Mungu anaelezea adhabu watakayopata wale miezi arobaini na miwili. Akafunua kinywa chake
Maana yake usiikubali wala kuipokea ishara ya
amtukane Mungu, na kulitukana jina lake; na maskani
bandia ya utakatifu wa Jumapili. watakaopokea alama ya mnyama. “Mtu awaye


yake, nao wakaao mbinguni. Tena akapewa kufanya
Ni Mungu anayetupa maonyo haya. Shetani, adui wa
yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu vita na watakatifu na kuwashinda, akapewa uwezo juu
Mungu anataka nimtii kwa kushika alama yake. Yesu,
ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa. Na watu wote
Mwokoziwangu anataka nimtii kwa kuiadhimishaishara au
yake, na kuipokea chapa (alama) katika kipaji wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake

Yachunguzeni
alama yake.
halikuandikwa katika Kitabu cha Uzima cha Mwana-
Je, sasa umeelewa kwamba mtu ye yote Akiipokea Alama
ya Mnyama atapotea?
cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
“Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na
Yesu anabisha kwenye mlango wa moyo wako. Anasubiri

Maandiko!
atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya
jibu toka kwako. Je, utaamua kuipokea ishara yake tukufu
kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
kama ushahidi kwamba umempokea yeye kama Bwana na iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji.” Ufu. 13:18.
Mwokozi wako.
Mnyama huyu anaonekana wazi kuwa ni taasisi ya
Ufu. 14:9-10. kidini inayopingana na Mungu. Ni taasisi inayotaka
kusujudiwa au kuabudiwa. Hebu tuziangalie alama nane
Uamuzi Wangu: Ukisoma fungu la 12 linasema, “Hapa ndipo penye za kuweza kuitambua taasisi hii.
subira ya watakatifu,” hao wazishikao Amri za Mungu, na
Imani ya Yesu.” Hapa tunayaona makundi mawili ya watu A. Inapokea mamlaka yake toka kwa Joka
katika siku za mwisho. Wale wenye alama (muhuri) ya (fungu la 2).


Mungu, ndio wale wazishikao Amri za Mungu, na Imani ya Joka hapa anawakilisha Shetani (Ufu. 12:3,4,9),
Yesu, na wengine ni wale wenye alama ya mnyama, ndio wale lakini Shetani alifanya kazi yake kwa njia ya ufalme
waliokubaliana na hila za Ibilisi. wa Roma. Mfalme wa Kiroma Herode alijaribu
Lakini kama mtu hajui alama ya mnyama ni ipi, bila kumwua Yesu kwa kuua watoto wa Bethlehemu
shaka ataishia kuwa nayo hata bila kujua kuwa anayo. Je, una (Mt. 2:16-18). Hivyo Joka anamaanisha pia ufalme
uhakika kuwa unaweza kuitambua alama ya mnyama? Bila wa kipagani wa Roma.
Tafadhali wasiliana na Kanisa la Waadventista Wasabato hivyo maisha yako yako hatarini. Kuna taasisi moja tu ya kidini iliyopokea kiti cha
lililo karibu nawe, au tuandikie kwa anwani hii: Somo hili linaweza kufunua ukweli dhidi ya mambo enzi na mamlaka toka Ufalme wa Roma. Historia
ambayo umekuwa ukiyaamini na kuyapenda sana tangu inatueleza wazi kuwa taasisi hiyo ni Kanisa la Roma.
utoto. Lakini kwa kuwa Mungu katika upendo wake “Kanisa la Roma lilijiingiza mahali pa Ufalme
anatutumia ujumbe huu maalum, ni vyema kuupokea na
Kibidula Bible Studies kufuata ushauri wake.
wa Roma na kuuendeleza. Papa ni mrithi wa
Kaisari.” Bila shaka alama ya kwanza inahusu
P.O. Box 17 “Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii Mamlaka ya Papa.
huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u
Mafinga/Iringa karibu.” Ufu. 1:3. B. Ni ufalme ulioenea dunia nzima (fungu la 3,7).
Tanzania Hakuna anayeweza kubisha kuwa mamlaka ya papa
1. Kwa kuwa tunataka kujifunza juu ya Alama ya Mnyama, ilienea dunia nzima katika karne za kati. Alama hii
mnyama mwenyewe ni kitu gani? tena inahusu Mamlaka ya Papa.
“Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne
watakaotokea duniani.” Dan. 7:17. C. Ingedumisha uwezo wake kwa miezi 42.
Katika unabii mnyama anawakilisha ufalme, serikali Miezi 42 ni sawa na siku 30 x 42 = 1260. Katika
au taasisi yenye mamlaka. unabii siku moja ni sawa na mwaka mmoja
(Eze. 4:6). Uwezo wa Mamlaka ya Papa ulifikia
2. Mnyama anayeelezewa katika Ufunuo 13 ana sifa zipi? kilele mwaka 538 B.K. kutokana na barua ya
“Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye
S O M O L A 11 pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake
Mfalme Justinian iliyomtambua askofu wa Roma
kama mkuu wa makanisa yote. Hata hivyo, uwezo
ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya
Printed by: Alama Ya Mnyama makufuru. Na yule joka akampa nguvu zake na kiti
chake cha enzi na uwezo mwingi. Nikaona kimoja cha
wa Mamlaka ya Papa ulikomeshwa mwaka 1798
ambapo Jemadari wa Kifaransa, Berthier, aliingia
Roma na kumteka Papa. Kuanzia mwaka 538 B.K.
Light Bearers Ministry vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, na hadi mwaka 1798 ni miaka 1260 kamili.
USA pigo lake la mauti likapona. Dunia yote ikamstaajabia
D. Ni taasisi yenye kufanya makufuru (fungu la 5,6). V 5 F 0 D 500 112 wetu juu ya vipaji vya nyuso zao.” Ufu. 7:2,3. “BWANA Mamlaka ya Papa hapa inauliza swali. Hapa kuna
Biblia inaelezea kuwa makufuru ni kudai kuwa yeye akamwambia, Pita kati ya mji, kati ya Yerusalemu, ukatie swali maarufu ambalo Mamlaka ya Papa imekuwa
I 1 I 1 E 0 53
ni Mungu, na kudai kuwa ana uwezo wa kusamehe alama katika vipaji vya nyuso vya watu wanaougua na ikiwauliza mara kwa mara Waprotestanti, na cha
dhambi (Yn 10:33; Luka 5:21). C 100 L 50 I 1 501 kulia kwa sababu ya machukizo yote yanayofanyika kati kushangaza Waprotestanti wamekuwa hawalijibu:
Mamlaka ya Papa tena inayo alama hii, kwani A 0 I 1 501 666 yake… Waueni kabisa, mzee, na kijana, na msichana, “Mtaniambia kuwa Jumamosi ilikuwa Sabato ya
inadai kuwa mapadre wanaweza kusamehe dhambi. R 0 I 1 na watoto wachanga, na wanawake; lakini msimkaribie Wayahudi. Lakini Sabato ya Wakristo ilibadilishwa
Angalia jinsi Katekisimu moja inavyosema: mtu ye yote mwenye hiyo alama; tena anzeni katika kwenda Jumapili. Ilibadilishwa! Lakini na nani? Ni nani
I 1 53
Swali: Je, Padre husamehe kabisa dhambi, au huwa patakatifu pangu.” Eze. 9:4,6. aliye na mamlaka ya kubadili amri dhahiri ya Mungu
anatangaza tu kwamba zimeondolewa? U 5 Mungu anayo alama kwa ajili ya watu wake. Mwenyezi? Mungu anaposema, “Ishike siku ya saba
Jibu: Padre husamehe kabisa dhambi kwa uwezo S 0 uitakase,” ni nani anayeweza kusema, hapana. Unaweza
aliopewa na Yesu Kristo. 112 4. Je, tunaweza kuijua alama hiyo kwa uhakika? kufanya kazi na kushughulika na mambo yote ya kidunia
Pia mamlaka hii hudai kuwa Mungu. Hii hapa “Tena naliwapa Sabato zangu, ziwe ishara kati ya mimi katika siku ya saba, lakini uishike na kuitakasa siku ya
ni baadhi ya kauli zake: (1) “Wewe ni Mungu Hivyo Mamlaka ya Papa inayo alama hii tena. na wao, wapate kujua ya kuwa mimi, BWANA, ndimi kwanza badala yake? Hili ni swali muhimu ambalo sijui
mwingine hapa duniani.” (2) “Papa siyo mwakilishi niwatakasaye… Zitakaseni Sabato zangu; nazo zitakuwa namna mnavyoweza kulijibu. Ninyi ni Waprotestanti
wa Yesu Kristo tu, lakini ni Yesu Kristo mwenyewe G. Ni Taasisi au Mamlaka ya Kidini. ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi na mnadai kuwa mnafuata Biblia, tena Biblia peke yake,
aliyefichwa katika mwili.” Inajihusisha na mambo ya kiroho. Neno “kusujudia” ndimi BWANA, Mungu wenu.” Eze. 20:12,20. na bado katika suala muhimu kama la kuadhimisha
limetumika mara 4 katika Ufunuo 13. Sura hii Kwa uhakika kabisa. Mungu ameweka Sabato ili siku moja kati ya saba mnakwenda kinyume na andiko
E. Ni taasisi iliyopata Jeraha la Mauti, kisha inahusu ibada ya bandia. Hii ni alama nyingine iwe ishara ya watu wanaomtambua kwamba yeye ndiye la Biblia na kuweka siku nyingine badala ya ile ambayo
likapona, na “dunia nzima ikamstaajabia” inayoonekana katika Mamlaka ya Upapa. Muumbaji na kwamba yeye ndiye anayewatakasa watu Mungu ameamuru. Amri ya kushika siku ya saba ni
(fungu la 3). wake (angalia pia Yer. 10:10-16). moja kati ya Amri kumi. Mnaamini kuwa zile nyingine
Mamlaka ya Papa ilipata pigo la mauti mwaka H. Itafanya vita na kuwatesa Wakristo (fungu la 7). tisa zinapaswa kushikwa, ni nani aliyewapa ruhusa ya
1798 Papa alipotekwa na Jemadari Berthier na Historia inaonyesha wazi kuwa Mamlaka ya Papa 5. Biblia inasema kuwa Mamlaka ya Papa ingeazimu kufanya kuichezea ile ya nne? Kama kweli mnashikilia msimamo
kufia uhamishoni. Ulaya yote ilidhani kuwa huo ilitesa na kuangamiza Wakristo, hasa katika kilele jambo gani? wenu, kama kweli mnataka kufuata Biblia, tena Biblia
ulikuwa mwisho wa Mamlaka ya Papa. Lakini cha utawala wake katika karne za kati. Wanahistoria “Naye ataazimu kubadili majira na Sheria.” Dan. 7:25. peke yake, mnapaswa kutuonyesha sehemu katika Agano
leo hii kila mtu anatambua kuwa Mamlaka ya wengi wanasema zaidi ya watu milioni hamsini Kubadili majira (muda) na Sheria. Mamlaka ya Jipya ambapo amri ya nne imebadilishwa. (Nukuu
Papa ndiyo yenye ushawishi na mvuto kuliko zote waliuawa kwa ajili ya imani zao katika kipindi Papa inajigamba yenyewe kuwa ilifanya jambvo hilo. kutoka, Library of Christian Doctrine. Burns and Oates,
duniani. Jeraha la mauti lilipona pale Kiongozi wa cha dhiki kuu. Kanisa lilidhani kuwa lilikuwa Hebu angalia mahojiano haya yaliyo katika Katekisimu uk. 3-4., London.)
Italia (Musolini) alipomrudishia Papa Mamlaka linamsaidia Mungu kuondoa “uzushi.” Lakini ukweli ya Waumini ya Mafundisho ya Kikatoliki, katika ukurasa Mamlaka ya Papa inadai kuwa ilibadili siku ya Ibada
ya Kiserikali na kuunda Taifa la Vatikani mwaka unabaki pale pale kwamba lilitesa na kuangamiza. wa 50. toka Jumamosi kwenda Jumapili na kwamba Jumapili
1929. Leo hii mamilioni wanaiangalia Mamlaka ya Mamlaka ya Papa tena inayo alama hii. Swali: Siku ya Sabato ni ipi? au kushika Jumapili ni Alama ya Mamlaka na Uwezo
Papa kama tumaini pekee la umoja, upendo, amani Zingatia: Wapo Wakristo wengi wa Kikatoliki Jibu: Siku ya Sabato ni Jumamosi. wake. Alama au Ishara ya uwezo wa Mungu wa kuumba
na uungwana. Hivyo tena Mamlaka ya Papa inayo ambao ni wema, waaminifu na wenye upendo, Swali: Kwa nini tunaiadhimisha Jumapili badala ya na kutakasa ni Sabato au kushika Sabato, na Ishara au
alama hii. wanaomtumikia Yesu, na Yesu anawahesabu kuwa ni Jumamosi? Alama ya uwezo wa mnyama ni Jumapili.
watu wake. Jibu: Tunaadhimisha Jumapili badala ya Jumamosi
F. Ina namba ya siri 666. Ufunuo 13:17-18 Papa Yohana Paulo II mwenyewe anaonekana kwa sababu Kanisa Katoliki lilihamisha utakatifu wa siku 6. Je, kuna wakati ambapo watu watalazimishwa kupokea Alama
inatuambia tuihesabu hesabu ya mnyama maana kuwa mtu mchangamfu, mwenye huruma, mwenye hiyo kutoka Jumamosi kwenda Jumapili.” ya Mnyama?
ni hesabu ya kibinadamu. kupenda mapatano, na jasiri anayempenda Mungu. Mtu mmoja aliposoma mahojiano haya alishangaa, “Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri
Zingatia kuwa baadhi ya herufi za Kirumi hutumika Hili sio somo la kuwasuta rafiki zetu, Wakristo naye akidhani kuwa wachapaji walikuwa wamekosea, kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe
pia kama namba. Hivyo basi, hesabu ya jina la wa Kikatoliki. Hili ni shambulio dhidi ya Ibilisi alimwandikia James Cardinal Gibbons wa Baltimore chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji
mtu ni jumla ya herufi zote zilizo katika jina lake aliyesababisha yote haya. Hata hivyo ni kweli na kumwuliza kama kweli kanisa lilibadili siku ya vya nyuso zao; tena kwamba mtu awaye yote asiweze
zinazotumika kama namba. kwamba Mungu mwenyewe ndiye aliyetuambia Ibada kutoka Jumamosi kwenda Jumapili Kadinali kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina
Binadamu tunayemfikiria kila tunapozungumza kuwa Taasisi hii ina alama ambayo hatupaswi alijibu: “Ndiyo, Kanisa Katoliki linadai kuwa badiliko la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.” Ufu. 13:16,17.
juu ya Mamlaka ya Papa ni Papa mwenyewe. Moja kuipokea. Waprotestanti waaminifu, Wakatoliki, hilo lilikuwa ni tendo lake. Na tendo hilo ni ALAMA Biblia inasema wazi kwamba watu watawekewa
kati ya majina rasmi ya Papa ni “MWAKILISHI Wayahudi, na wasiokuwa katika kanisa lo lote, ya uwezo wake wa kikanisa na mamlaka yake katika vikwazo vya kiuchumi na hata kuuawa wasipoipokea
WA MWANA WA MUNGU” kwa Kirumi ni wanapaswa kuijua alama hii ili wasiipokee. masuala ya kidini.” Alama ya Mnyama.
‘VICARIUS FILII DEI’. Kitabu cha Ufunuo Tunamshukuru Mungu kwa kuifunua mipango Angalia pia mahojiano haya katika Katekisimu ya
kinasema kuwa jumla ya namba za Kirumi katika mibovu ya Shetani ya kutuangamiza sisi sote. Mafundisho iliyoandikwa na Stephen Keenan. 7. Nifanye nini sasa ili nisiipokee alama hiyo?
jina lake ni 666. Hebu tuone. Ili tuijue alama hii ya Mamlaka ya Papa, ni Swali: Je, unayo njia nyingine ya kuthibitisha kuwa Ufunuo 14:9-11 inaonya juu ya Alama ya Mnyama;
lazima kwanza tuijue Alama ya Mungu. kanisa lina uwezo wa kuweka sikukuu? fungu la 12 linaelezea jinsi watakatifu watakavyofanya
Jibu: “Kama lisingekuwa na uwezo kama huo, ili kuepuka alama hiyo. Watashika Amri za Mungu na
3. Je, Mungu naye anayo alama? lisingeweza kufanya jambo ambalo hata wanadini wa kuwa na Imani ya Yesu. Bwana asifiwe, ni imani ya Yesu
“Nikaona malaika mwingine, akipanda kutoka maawio leo wanalikubali. Lisingeweza kuweka maadhimisho inayofanya mwujiza kwa watu wanaoshika amri.
ya jua, mwenye muhuri ya Mungu aliye hai;… ya Jumapili, siku ya kwanza ya juma, badala ya Ujumbe wa Onyo la Mwisho toka kwa Mungu
Akisema, Msiidhuru nchi, wala bahari, wala miti, hata maadhimisho ya Jumamosi, siku ya saba ya juma, (Ufu. 14:6-12).
tutakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu mabadiliko ambayo hayakutokana na Maandiko.” inaendelea mbele

You might also like