You are on page 1of 2

Dunia

inaendelea kutoka nyuma haijawahi kuwa na matatizo 3. Je, kuja kwa Yesu mara ya pili kutaonekana na watu
ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; wote au kundi fulani tu la watu?
siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo.”
kama iliyo nayo sasa hivi ambayo “Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona.”
Lk. 21:34. “Kwa maana kama vile ilivyokuwa Ufu. 1:7. “Kwa maana kama vile umeme utokavyo
yanaonekana kana kwamba hayana ufumbuzi. mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo
siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake
Mwana wa Adamu.” kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.”
Magazeti ya kila siku yanaandika juu ya matatizo Mt. 24:27.
Mt. 24:37.
Unyakuo wa siri, unaoaminiwa na wengi na
Kuna hatari kubwa ya kuzama katika ambayo mwanadamu hawezi kuyamudu.


mahangaiko ya maisha haya au anasa za dhambi kufundishwa siku hizi, haupo kwenye Biblia. Ni uzushi
na kuja kwa Yesu kukatujia kama Gharika wakati Ufumbuzi wa kudumu kwa matatizo haya wa wanadamu. Kuja kwa Yesu mara ya pili litakuwa tukio
wa Nuhu na kutushitukiza, tukiwa hatuko tayari halisi, litakaloonekana duniani kote. Yesu mwenyewe
na kupotea. Ndivyo itakavyokuwa kwa mamilioni unaweza kupatikana wapi? Biblia yako inalo ataonekana akija katika mawingu kuikomesha dunia na

Yachunguzeni
ya watu. kuwapa tuzo au kuwaadhibu watu wote.
jibu. Kristo alizungumzia tukio ambalo litatatua
Je, itakuwaje kwako? Yesu anarudi upesi sana 4. Ni nani atakayekuja pamoja na Yesu?

Maandiko!
matatizo yote ya wanadamu. Hakuna ufumbuzi “Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu
katika siku tunazoishi sasa. Je, uko tayari? Hakuna
jambo la muhimu kama hili. wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo
mwingine! atakapoketi katika kiti cha utukufu wake.” Mt. 25:31.
Je, unaamua kujiandaa ili uwe tayari siku Yesu
atakaporudi. Malaika wote wa mbinguni watakuwa pamoja na
Miaka 2000 iliyopita, mwishoni mwa huduma yake Yesu atakaporudi. Nao watawakusanya haraka wateule na
Je, uko tayari kufungua moyo wako ili Yesu hapa duniani, Yesu alizungumza juu ya siku ya kusulibiwa
aingie na kukubadilisha ili uwe mmoja kati ya watu kuwaandaa kwa ajili ya safari ya kwenda minguni
kwake. Wanafunzi hawakuweza kuamini kuwa janga kama (Mt. 24:31).
atakaokuja kuwachukua? hilo lingeweza kumpata Kiongozi wao ambaye walimpenda.
Kristo alijua kwamba wangehitaji tumaini thabiti katika siku 5. Lengo la kuja kwa Yesu mara ya pili ni lipi?
za usoni. Akawapaatia ahadi nzuri iliyopo katika Yohana “Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami,
Uamuzi Wangu: 14:1-3: “Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.” Ufu. 22:12.
Mungu, niaminini na mimi. Nyumbani mwa Baba yangu “Nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi,
mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana nanyi mwepo.” Yn 14:3. “Apate kumtuma Kristo Yesu…
naenda kuwaandalia mahali. Basi mimi nikienda na ambaye ilimpasa kupokewa mbinguni hata zije zamani za
kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili


kufanywa upya vitu vyote.” Mdo. 3:20,21.
nilipo mimi, nanyi mwepo.”
Kutimia kwa ahadi hii wakati wa kuja kwa Yesu mara ya 6. Kutatokea jambo gani kwa watu wenye haki?
pili ni tumaini pekee la ulimwengu. Hebu tuangalie Neno la “Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka
Mungu linafundisha nini juu ya tukio hili la ajabu – Kuja mbinguni… nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa
kwa Mfalme wetu! kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa
Tafadhali wasiliana na Kanisa la Waadventista Wasabato pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana
1. Je, tunaweza kuwa na uhakika kuwa Yesu atarudi hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana
lililo karibu nawe, au tuandikie kwa anwani hii:
tena duniani? milele.” 1 The. 4:16,17. “Sote tutabadilika… na wafu
“Kristo… atatokea mara ya pili.” Ebr. 9:28. “Nikienda watafufuliwa wasiwe na uharibifu… Maana sharti huu
na kuwaandalia mahali, nitakuja tena.” Yn 14:3. uharibikao uvae kutokuharibika.” 1 Kor. 15:51-53.
Kibidula Bible Studies “Tunamtazamia…Bwana Yesu Kristo, atakayeubadili
2. Je, Yesu atarudi tena kwa jinsi gani?
P.O. Box 17 “Walipokuwa wakitazama, akainuliwa, wingu likampokea
mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake
wa utukufu.” Flp. 3:20,21.
Mafinga/Iringa kutoka machoni pao. Walipokuwa wakikaza macho Wenye haki waliokufa, watafufuliwa na kupewa miili
mbinguni, yeye alipokua akienda zake, tazama, watu
Tanzania wawili wakasimama karibu nao, wenye nguo nyeupe,
mikamilifu isiyokufa kama ule wa Yesu. Nao wale wenye
haki walio hai, watapewa miili kama ule wa Yesu na kwa
wakasema, Enyi watu wa Galilaya, mbona mmesimama pamoja na wale waliofufuliwa watanyakuliwa ili kumlaki
mkitazama mbinguni? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka Bwana hewani.
kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi iyo hiyo

SOMO LA 5 mlivyomwona akienda zake mbinguni.” Mdo. 1:9-11.


Maandiko yanaahidi kuwa Yesu atarudi kwa jinsi ile
7. Kutatokea nini kwa watu waovu?
“Kwa pumzi ya midomo yake atawaua wabaya.” Isa.
ile alivyoondoka – akionekana katika mwili halisi.
Printed by: Mfalme Anakuja Mathayo 24:30 inasema: “Nao watamwona Mwana
wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na
11:4. “Na waliouawa na Bwana siku ile watakuwapo,
toka upande mmoja wa dunia hata upande wa pili.”
Yer. 25:33.
Light Bearers Ministry nguvu na utukufu mwingi.” Waovu watauawa na Yesu.
USA
8. Je, kuja kwa Yesu kutaiathiri vipi dunia yenyewe? F. Yesu kuja katika mawingu. F. Kuporomoka kwa maadili – Kupoa Kiroho. juu ya kutokufa kwa roho. Biblia inafundisha kuwa
“Palikuwa na tetemeko la nchi kubwa, ambalo tangu Unabii: “Ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana “Siku za mwisho… watu watakuwa wenye wafu, wamekufa.
wanadamu kuwako juu ya nchi hapakuwa namna ile, wa Adamu mbinguni; ndipo Mataifa yote ya kujipenda wenyewe,… wasiowapenda wa kwao,…
jinsi lilivyokuwa kubwa tetemeko hilo.” “Kila kisiwa ulimwengu watakapoomboloeza, nao watamwona wasiojizuia,… wasiopenda mema,… wenye mfano 11. Je, kuja kwa Bwana mara ya pili kumekaribia kiasi gani?
kikakimbia, wala milima haikuonekana tena.” Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake.” 2 Tim. “Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha
Ufu. 16:18,20. “Nikaangalia, na tazama, shamba mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.” 3:1-5. kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa
lililozaa sana limekuwa ukiwa, na miji yake yote ilikuwa Mt. 24:30. Talaka zinaongezeka, uhalifu, ukahaba. wakati wa mavuno u karibu; nanyi kadhalika, myaonapo
imebomoka mbele za BWANA.” Yer. 4:26. “BWANA Kutimia: Hili ndilo tukio linalofuata. Je, uko tayari? Kuongezeka kwa washiriki wengi kanisani wakati hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, milangoni.
ameifanya dunia kuwa tupu, aifanya ukiwa.” “Dunia hii hali ya kiroho inashuka, dhuluma. Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote
itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa.” Isa. 24:1,3. 10. Tutajuaje kwamba tumefikia ukingoni mwa historia ya dunia? G. Kutafuta anasa. yatakapotimia.” Mt. 24:32-34.
Dunia itakumbwa na tetemeko kubwa litakaloiacha Je, Biblia inaelezea hali ya dunia na watu wake katika kizazi “Siku za mwisho… watu watakuwa… wapendao Biblia iko wazi katika jambo hili. Ishara karibu zote
dunia hii katika hali ya kuharibiwa kabisa. Itakuwa tupu! cha mwisho? anasa kuliko kumpenda Mungu.” 2 Tim. 3:1-4. zimetimia. Hatuwezi kuijua siku wala saa ya kurudi kwa
A. Migogoro Makazini. Dunia imechanganyikiwa kwa kutafuta anasa. Kristo (Mt. 24:36), lakini tunaweza kuwa na uhakika
9. Je, Biblia ina maelezo yo yote juu ya kukaribia kuja kwa Yesu? “Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba Asilimia ndogo sana ya watu huenda kanisani, lakini kuwa sisi ndio watu tutakaoishi na kumwona Yesu
Ndiyo! Biblia ina maelezo. Yesu mwenyewe alisema, yenu, ninyi mliouzuia kwa hila, unapiga kelele, kumbi za starehe zinafurika. akirudi.
“Myaonapo hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa H. Kuongezeka kwa uhalifu, mauaji na ukatili.
milangoni.” Mt. 24:33. Bwana aliweka ishara katika Bwana wa majeshi.” “Nanyi vumilieni,… kwa maana “Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa 12. Shetani anasema uongo mwingi juu ya kurudi kwa Yesu mara
nyakati zote tangu kupa kwake hadi kuja kwake mara ya kuja kwake Bwana kunakaribia.” Yak. 5:4,8. wengi utapoa” Mt. 24:12. “Wabaya na wadanganyaji ya pili, pamoja na maajabu na miujiza, atawadanganya wengi.
pili. Zimeorodheshwa hapa. Hebu zisome kwa makini. Migogoro ya kikazi imetabiriwa kuwa itatokea wataendelea, na kuzidi kuwa waovu, wakidanganya Nitahakikishaje kuwa sidanganyiki?
A. Kuangamizwa kwa Yerusalemu. katika siku za mwisho. na kudanganyika.” 2 Tim. 3:13. “Nchi hii imejaa “Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara.”
Unabii: “Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo B. Vita na Machafuko. hukumu za damu, nao mji umejaa udhalimu.” Eze. Ufu. 16:14. “Nao watatoa ishara kubwa na maajabu;
halitabomoshwa.” “Walio katika Uyahudi na “Nanyi mtakaposikia habari za vita na fitina, 7:23. wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.”
wakimbilie milimani.” Mt. 24:2,16. msitishwe; maana, hayo hayana budi kutokea Ni wazi kabisa ishara hii imetimia. Uhalifu na Mt. 24:24. “Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa
Kutimia: Yerusalemu uliangamizwa na mpiganaji wa kwanza, lakini ule mwisho hauji upesi.” Lk. 21:9. uvunjaji wa sheria vinaongezeka kwa kasi ya kutisha. hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao
Kirumi, Tito, mnamo mwaka 70 B.K. Vita na mauaji ya kiraia yanaathiri I. Matetemeko yenye kuleta uharibifu, dhoruba, hapana asubuhi.” Isa. 8:20.
B. Mateso au dhiki. maelfu duniani kote. Ni kurudi kwa Yesu tu na njaa. Shetani amebuni mafundisho mengi ya uongo juu ya
Unabii: “Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kutakakokomesha maumivu na uharibifu wa vita. “Kutakuwa na matetemeko makubwa ya nchi; na kuja kwa Yesu mara ya pili na anawadanganya mamilioni
kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu C. Machafuko, hofu, na vurugu. njaa na tauni mahali mahali.” Lk. 21:11. kuwa amekwisha kuja au atakuja kwa namna ambayo
mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo “Tena, kutakuwa… na katika nchi dhiki ya Mataifa Matetemeko, tufani, mafuriko, n.k. haitajwi kwenye Biblia. Lakini Yesu amekwisha kutuonya
kamwe.” Mt. 24:21. wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko vinaongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi juu ya mbinu za Shetani, akisema, “Angalieni mtu
Kutimia: Kimsingi unabii huu unahusu kipindi wake; watu wakivunjia mioyo kwa hofu, na kwa kutokea. Theluthi ya wakazi wa dunia wana njaa asiwadanganye” (Mt. 24:4).
cha dhiki iliyotokea wakati wa Zama za Giza na kutazamia mambo yatakayojupata ulimwengu.” na maelfu hufa kwa njaa kila siku. Magonjwa
ilisababishwa na kanisa lililoasi. Dhiki hii ilichukua Lk. 21:25,26. yasiyotibika yanatishia dunia. 13. Ninawezaje kuhakikisha kuwa nitakuwa tayari wakati
zaidi ya miaka 1000. Zaidi ya Wakristo milioni 50 Hali ya wasiwasi iliyopo duniani leo, haipaswi J. Ujumbe maalum kwa ulimwengu katika siku za Yesu atakaporudi?
waliuawa kwa ajili ya imani yao katika kipindi cha kutushangaza. Yesu aliitabiri. Inapaswa kutushawishi mwisho kabisa. “Ye yote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe.” Yn 6:37.
dhiki kuu. kuwa kuja kwake ku karibu. “Habari Njema ya Ufalme itahubiriwa katika “Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto
C. Jua kutiwa giza. D. Kuongezeka kwa maarifa. ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; wa Mungu.” Yn 1:12. “Nitawapa sheria zangu katika
Unabii: “Mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua “Hata wakati wa mwisho… maarifa yataongezeka.” hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.” Mt. 24:14. nia zao, na katika mioyo yao nitaziandika.” Ebr. 8:10.
litatiwa giza.” Mt. 24:29. Dan. 12:4. Ujumbe wa Onyo Kuu la Mwisho juu ya kuja “Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana
Kutimia: Ulitimia kwa siku ya giza lisilokuwa la Enzi ya Kompyuta na Mitandao inathibitisha kwa Kristo mara ya pili unahubiriwa katika Lugha wetu Yesu Kristo.” 1 Kor. 15:57.
kawaida tarehe 19 Mei, 1780. Haikuwa kukamatwa wazi jambo hili. Hata mtu mwenye akili ngumu na Kabila zaidi ya 900. Yesu anasema, “Tazama, nasimama mlangoni,
kwa jua. Watu wengi walihisi kuwa siku ya hukumu kuamini anapaswa kukiri kuwa ishara hii imekwisha Karibu asilimia 95 ya wakazi wa dunia nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua
imekaribia. kutimia. Maarifa yanaongezeka katika nyanja zote. wanaweza kuupata ujumbe huu. Kabla ya kurudi mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na
D. Mwezi kuwa kama damu. E. Watu wenye kudhihaki, wenye mashaka katika kwa Yesu kila mtu duniani atakuwa amekwisha yeye pamoja nami.” Ufu. 3:20.
Unabii: “Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa dini wanaoukataa ukweli wa Biblia. kuonywa juu ya kurudi kwake upesi. Kwa njia ya Roho Mtakatifu na dhamiri yangu,
damu kabla haijaja hiyo siku ya BWANA iliyo kuu “Siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu K. Kugeukia Umizimu. Yesu anabisha na kuomba aingie moyoni mwangu ili
na itishayo.” Yoeli 2:31. wenye kudhihaki.” 2 Pet. 3:3. “Utakuja wakati “Nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, anibadilishe. Kama nitampa maisha yangu yote, atazifuta
Kutimia: Mwezi ulikuwa mwekundu kama damu watakapoyakataa mafundisho yenye uzima… wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho dhambi zangu zote (Rum. 3:25) za nyuma na kunipa
siku ile jua lilipotiwa giza tarehe 19 Mei, 1780. Watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia ya mashetani.” 1 Tim. 4:1. “Hizo ndizo roho za uwezo kuishi maisha matakatifu (Yn. 1:12).
E. Nyota kuanguka toka mbinguni. hadithi za uongo.” 2 Tim. 4:3,4. mashetani.” Ufu. 16:14.
Unabii: “Nyota zitaanguka mbinguni.” Mt. 24:19. Si vigumu kuona wenye dhihaka siku hizi kama Leo hii watu wengi, ikiwa ni pamoja na idadi 14. Yesu anatuonya sana juu ya hatari gani kubwa?
Kutimia: Nyota zilianguka kwa wingi usiku wa utimilifu wa unabii huu. Hata viongozi wa dini kubwa ya Viongozi wa Mataifa, wanatafuta ushauri “Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa
tarehe 13 Novemba, 1833. Kwa muda wa karibu wanakataa mafundisho ya wazi ya Biblia juu ya kwa wapiga bao na wenye mizimu. Umizimu katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.” Mt.
masaa manne anga lilikuwa likiangaza. uumbaji, Gharika, Uungu wa Kristo, Kuja kwa Yesu umevamia makanisa pamoja na fundisho la uongo 24:44. “Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na
na ukweli mwingine mwingi wa Biblia. inaendelea mbele

You might also like