You are on page 1of 11

YESU

ANASHINDA –
SHETANI
ANASHINDWA

Somo la 1 kwa ajili ya Aprili 1, 2023


“Joka akamkasirikia
yule mwanamke,
akaenda zake
afanye vita juu ya
wazao wake
waliosalia,,
wazishikao amri za
Mungu, na kuwa na
ushuhuda wa Yesu;
naye akasimama juu
ya mchanga wa
bahari”
(Ufunuo 12:17)
Paulo alituonya: “Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya
damu na nyama; bali juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu
wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu
wa roho.” (Waefeso 6:12)
Ufunuo 12 inaeleza nguvu hizo ni za nani zinazoshindana
nasi, pambano hili lilianzaje, na litaishaje: Yesu anashinda,
Shetani anashindwa.

Mzozo wa kiulimwengu. Ufunuo 12:7-8


Vita ya maamuzi. Ufunuo 12:1-5, 9
Washindi. Ufunuo 12:10-11
Mashambulizi ya Shetani. Ufunuo 12:6, 12-16
Waliosalia washambuliwa. Ufunuo 12:17
MZOZO WA KIULIMWENGU
“Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake
wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao
pamoja na malaika zake,” (Ufunuo12:7)

Ufunuo 12:7-8 inatumia alama kuongea namna vita vilivyoanza


huko mbinguni. Ilikuwa ni vita ya watu wawili (Ikionyeshwa kwa
“Mikaeli” na “joka”) na washirika wake (malaika wao). Mikaeli
alishinda na joka alitupwa kutoka mbinguni.

Kwanini vita hii ilianza? Mungu alimpatia


Lusifa uhuru wa kuchagua, na akachagua
kunyakua kiti cha enzi cha ulimwengu
(Is. 14:12-14).
Hapakuwa na malaika wa kubaki katikati, walipaswa kuchagua kati ya
Mikaeli na joka. Vita hii iliendelea Duniani, kwahiyo tunaweza
kuchagua kumsaidia Mikaeli na kupigana dhidi yake (Lk. 11:23).
VITA YA MAAMUZI
“[…] Na yule joka akasimama mbele ya yule mwanamke aliye tayari
kuzaa, ili azaapo, amle mtoto wake.” (Ufunuo 12:4)
Tunapaswa kufasiri vyema alama zilizopo katika Ufunuo 12 ili kuelewa vita
ya maamuzi katika vita vya kiulimwenzi.

Joka Mwanamke Mtoto manamume

Shetani (Uf. 12:9), Kanisa la Mungu, kote Yesu Kristo, aliyeteswa tangu
aliyeungwa mkono na katika Agano la Kale na alipozailiwa (Mt. 2:13). Alipaa
theluthi moja ya malaika Jipya (Ez. 16:46; 2Kor. mbinguni (Mrk. 16:19) na
(fg. 4) 11:2) alipewa mamlaka juu ya mataifa
yote (Uf. 2:26-27; 19:15)
VITA YA MAAMUZI
“[…] Na yule joka akasimama mbele ya yule mwanamke aliye tayari
kuzaa, ili azaapo, amle mtoto wake.” (Uunuo 12:4)

Sheta alijaribu kumzuia Yesu kutimiza utume Wake


tangu alipozaliwa kama mwanadamu (Eb. 4:15).
Yesu alishinda kwa kufa msalabani (Kol. 2:15).
Shetani alikuwa akiruhusiwa kuingia mbinguni (Ay 1:6),

lakini hakuruhusiwa tena tangu Yesu alipoishinda vita


ya maamuzi. Sheta alitupwa Duniani kwa wema
(Uf. 12:9).
Sisi ni washindi katika ushindi wa Yesu (Ru. 8:37).
Dhambi zetu husamehewa tunapompokea Yesu,
kwahiyo Shetani “mshitakiwa” (Uf. 12:10) hawezi tena
kutushitaki.
WASHINDI
“Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-kondoo, na
kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda
maisha yao hata kufa.” (Ufunuo 12:11)

Yesu alishinda, na sisi pia tumeshinda “kupitia damu”


ya Yesu (Kol. 1:20).
Tayari tumeshinda, lakini ushindi wa mwisho wa Yesu
bado haujaja (1Kor. 15:22-26).
Japokuwa mwisho a pambano haujafika, sisi tayari ni
washindi. Madeni yetu ya dhambi yamefutwa, na
tumefanywa wakamilifu mbele za Mungu
tunapopokea kile Yesu alichofanya kwetu kwa imani
(Kol. 1:14, 22).
Tumeshinda! Na Yesu atawapatia vitu vyote wale
walioshinda (Uf. 21:7).
MASHAMBULIZI YA SHETANI
“Na joka yule alipoona ya kuwa ametupwa katika nchi, alimwudhi
mwanamke yule aliyemzaa mtoto mwanamume.” (Ufunuo 12:13)
Kwa muda gani Shetani alilitesa Kanisa (Uf. 12:6, 14)?
Muda wa Unabii
Wakati, Nyakati mbili na
Miezi 42 Siku 1,260
nusu wakati
Uf. 11:2 Uf. 13:5 Uf. 11:3 Uf. 12:6 Dan. 7:25 Uf. 12:14
Mji
mtakatifu Mamlaka ya Mashahidi Mwanamke Mamlaka ya Mwanamke
kukanyagw mnyama wawili nyikani mnyama nyikani
a

Miezi 42 = Siku 1,260 = Wakati na nyakati mbili na nusu wakati.


Vipindi vyote vya mateso katika Danieli na Ufunuo vinafanana
MASHAMBULIZI YA SHETANI
“Na joka yule alipoona ya kuwa ametupwa katika nchi, alimwudhi
mwanamke yule aliyemzaa mtoto mwanamume.” (Ufunuo 12:13)

Waostrogothi wa Jenerali Berthier

Kutoka 538

Hadi 1798
Katika nyakati za kiunabii, siku ni sawa na mwishi anamfunga Papa
mwaka mmoja (Hes. 14:34, Ez. 4:6). Hebu waliondolewa, na gerezani kwa amri
tupitie ni lini siku 1,260 za mateso zilianza na Papa anapokea ya Napoleani
mamlaka ya
lini ziliisha. Mamlaka dhalimu na katili ya kisiasa juu ya mji
kidini ilikuwa ikiongoza mateso haya, Upapa. wa Rumi

Katika wakati huo, watu waaminifu walikuwa


wakitunzwa na Mungu nyikani [mahali penye watu
wachache] (Uf. 12:6, 14).
Mungu alilijali Kanisa Lake, na atawajali pia masalio
waaminifu katika Wakati wa Mwisho.
MASALIO WASHAMBULIWA
“Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake
waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasmama
juu ya mchanga wa bahari.” (Ufunuo 12:17)

Tangu mwaka 1798, Shetani ameongeza


mashambulizi yake kwa “waliosalia,” masalio.
Masalio ni kikundi kidogo chenye tabia kuu mbili:

Wanatunza amri za Mungu.


Wanaikumbuka sheria ya Mungu
iliyosahauliwa
Katika Yesu, kwa Yesu, kupitia
kwa Yesu, na kwasababu ya
Wana ushuhuda wa Yesu Kristo. Ni Yesu, ushindi wetu
waaminifu kwa Mwokozi wao
umehakikishwa
“Mungu atatusaidia katika nyakati za
uhitaji, lakini hatatulazimisha kumpenda
na kumtii Yeye. Tunapaswa kumpatia
upendo wetu usiogawanyika. Anatusata
tumwamini, na kumwambia siri zetu.
Anajua mahitaji yetu na anazo rasilimali za
kutusaidia katika kila wakati wa taabu.
Hatujaachwa kupigana vita vyetu wenyewe,
ila tuna msaada wa Kristo, na katika jina
Lake tutatoka tukiwa washindi.”
E. G. W. (Manuscript Releases, book 3, No. 168, p. 109)

You might also like