You are on page 1of 5

• Mstari wa 4-5.

"Je unayo haki ya kuwa na hasira" Yona alichukua hali ya hasira katika tumaini
lake la kuongaka kwenda kando kidogo ya mji kufanya kambi yake iii kungoJ~ matokeo ya
mahubiri yake kwa siku arobaini (40) hadi zilipokwisha. · ,
• Mstari wa 6. Mungu anamfundisha Yona jatoka mifano halisi akiandaa vitu vitatu. Kuingia kwa
siri ndani ya shida na kukata tama, akiwa katika hali yake ya kukata tama alikuwa taratibu
akimumunya kitoma.au ubuyu na divai na huku akimwona kwa upendo wa nyikani alikuwa akija
kasi kutoka mashariki yake. Mungu anamhurumia sio tu kwa wenye dhambi wa Ninawi lakini
pia hata kujatibu kuwafariji kwa kumfunza hali zote. Ubuyu ulionekana pia hata usiku wa
manane iii aweze kula kwa hiyo mambo yote Mungu aliyaweka wazi kwake iii aweze kufarijika.
Sehemu ambayo Yona alikuwa amekaa chini ya mti kule alikoenda alijitengenezea.kama mto
katika matawi ya miti ya mizabibu ndimo alimokuwa anaponea kwa ajili ya chakula.
• Mstari wa 7. Siku aliyofuafa Mungu akaweka buu (kitoma) chini ya mti ule wakautafuna nao
ukakauka nao walikufa pia.
• Mstari wa 8. Jua kali na upepo wa kuchoma mkali uliosababisha Yona aweze kuzimia katika
hisia yake ya kiwango chake kimwili alikuwa haj iwezi maana karibu afe. Linganisha na Eliya.
Yona alikasirika kuona ubuyu umekufa (Mtango) ingawa ilikuwa hata haina maana yoyote, kwa
ajili hakujua pia mimea ya aina hii pia ina naisha mafupi kwa hayo kama alihitaji ilibidi
angetunia na kuangalia iii kuweza kuwa msaada kwake mno. Na Mungu kwa hali ile ambayo
imeandi~a katika kitabu chenyewe na kuonyesha ~insi Mungu alivyoshughulika na watu wake
wote. Hivyo ndivyo alivyomalizia katika kitabu chenyewe, kitu kingine chenye ishara katika
ufunuo kamili wa wokovu wa Mungu na ujumbe ni kitu muhimu. Hatujaelezwa zaidi ya hapo
mambo mengine kwa undani kuhusu Yona baadaye.

UJUMBE WA KITABU CHENYEWE.


l. Upendo waMungu ni wa ulimwengu wote Yoh. 3:16, Isaya 56:6-7, Rumi 9:14-15. Mungu atakuwa
na rehema katika hali yoyote atakayo.
2. Mungu atakubali na kukubaliana na toba ya kweli.
0 3. Ni vigumu kukimbia mbele ya uso wa Mungu_. Linganisha na Zaburi 139.
4. Ujumbe wa Mungu lazima utolewe jinsi ulivyo bila kujali ukoje. Linganisha na Luka 6:27-38.
5. Hukumu ya kinabii ilikuwa ime~a~wa na kuwekwa.
\ ~\f\._(:;_ ' ( ~ '-1\_ ~ V-.-'-C, I

YONA KAMA MFANO.


Anatoa kivuli cha historia ya Taifa lake Israel, kuasi kwake kwa kujitoa na hali ya Kimbinguni. Nje ya
nchi ya wenyewe, kupata ukimbizi na uhamiaji katikati ya mataifa ya kipagani. Mahali popote au kila
mahali shida ya matatizo ya wamataifa, lakini bado wanamshuhudia Mungu wa kweli mbele au katikati
ya mataifa haya. Wakati wakitupwa na mataifa haya miujiza ilikuwa ikifanyika na kutunzwa katika
lengo la kuendelea na hali zao za desturi. W akimwita Mungu katika saa za mwisho kwa maombi na
kujitoa tena.
Kito cha aibu cha Kristo, kuzikwa kwake na kufufuka kwake.
Y ona ni mfano wa Kriso na ishara ya Mungu na ujumbe wake juu ya kutoka katika tumbo la samaki wa
namna yoyote ile, ujumbe ulipelekwa kwa mataifa ya kipagani. Mathayo 12:37,40,16:4, Luka 11 :29-30.

NABU MIKA NABII WA YUDA.

MIKA MWENYEWE {MTU MWENYEWE).


1. Jina lake ni kifupi cha "Mikava" 7 :18 yeJ/f'Ye asiye nab ii yule aliyetajwa katika kitabu cha
1Wafalme 22:8.
2. Ametokea katika sehemu ya Merashti-Gati maili 30 Kusini Magharibi ya Yerusalemu. Mika
binafsi alikuwa nabii mkulima, lakini aliwapasha habari na kuwajulisha dhambi zao Israeli
pamoja na Yerusalemu, na matendo yao juu ya nchi nzima. ··
3. Hakupendezwa na maisha ya mji na maovu yake na hivyo hukumu yake inaelezea na kuelekeza
ka kinyume na mji wa wakazi wake wale ndugu wajamaa na kabila mija naye au taifa moja naye
1:5, Mng'ao mafanikio wa nyumba zao haukuweza kumfanya adanganyike, aliona vizuri hali ya
uadilifu ya wema unaohita.Jdka kwa taifa la kweli katika ukuu wake.
4. Mika aliwekwa katika mateso Yerusalemu, lakini kwa ujasiri alisema na Hezekia mfalme, neno
la Bwana. Hii i~enakiliwa katika majibu ya Yeremia miaka 100 baadaye akijaribu kuokoa.
maisha yake aujinsi Yeremia alivyojitetea kujaribu kuokoa maisha yake Yer. 26:17-19.
Linganisha na Mika 3:12 hii ilikuwa inaonekana kama inachochea katika maongezi ya Hezekia
Yeremia 26:19.
5. Mika alijiona yeye mwenyewe kuwa ni sehemu ya mtu, alibakia kuwa mwaminifu 4:5, 7:7;
alishuhudia kujazwa kwake na Roho Mtakatifu wa Bwana 3 :8. Aliandaliwa kama lsaya kwenda
uchi (bila mavazi au vazi la kinabii lenye kufunika kutoka kichwa hadi miguuni) 1:8 kwa ajili ya
kuelezea ujumbe wake. ·

MUDA WAKE WA KUANDIKWA KWA KITABU CHENYEWE.

I. Huduma yake ilikuwa ni ndefu kuelekea kutoka utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia (742-
687 BC) hawa ni wafalme waliotawala katika taifa la Yuda 1 :1 hii ni kabla na baada ya
maanguko ya Samaria mwaka 721 BC.
2. _Mika alihofu kuwa askari watekaji nyara wa kiashuru wataingilia njia ya Misri kwa kupitia
Yerusalemu na kurudi tena Yuda kuamgamiza pia kupitia sehemu ya nchi ambayo ndiyo
kwanza watapata matatizo ingawaje Yerusalemu walikuwa wanapashwa habari na kujulishwa
juu ya tatizo lolote lile, hii ilitokea wakati wa mfalme Hezekia lakini Israel waliokolewa. 2Nya.
32:1-23, 2Wafalme 18 na 19.
3. Yothamu alijenga mji mzuri sana wenye maboma yenye kung'aa katika ikulu ya Yerusalemu
ambayo iliwaagharimu sana wakulima wengi katika maisha yao. 2Nyakati 27:1-9.
4. Chini y.a uongozi wa Ahazi, Yuda walilazimishwa kulipa ushuru au kodi wa Waashuru na
iliwalazimu watu wa kizazi chote na ngazi zote wafanye hivyo. Kwa hiyo wote walipata shida,
lakini wale matajiri walimiliki ardhi kufuatana na tabia zao walikuwa wabaya
wakiwanyang'anya mali zai)na kuwatoza kodi katika nyumba zao au kuwatoa katika mashamba
yao wenyewe hasa wajane.
5. Hezekia alijaribu kuongaza taifa lakini Yerusalemu ilibadilika na kuwa mahali pa dhuluma pa
kufanyia hila, ulanguzi au rusha, biashara vifaa hata pia ule ukuhani ilikuwa unanunuliwa iii mtu
awe na cheo hicho .naye aweze kuwa kuhani.
• '
MPANGO WA KITABU CHENYEWE:-

SURA YA 1-3.
Hukumu ya dhambi ya Samaria na Yuda na onyo la hukumu yenyewe.

KICHWA CHA UTANGULIZI WA KITABU 1:1.

1:1-7. Kwa sababu ya dhambi ya taifa, Israel na mji wake Samaria wataangamia angalia mstari wa 6. Hii
ilitokea wakati wa nabii huyu Mika wakati wa maisha yake.

'}
l :8-16. P~ngine~ kuwepo na uwezekano wa kukimbia katika mikono ya askati wa Kiashuru, Mika
ahhamga1ka kama alivyojihusisha katika kuona pia sehemu alimo, itakuwa na hali hii.

2: l-l l. Matendo maovu ya viongozi waliowaonea maskini na kuwararua na kuwadharau manabii


yametajwa na kuelezea hukumu yao inakuja mara. Angalia mistari 6-7,11 makaripio ya manabii
yalivyokuwa yanachukiwa mno.

2:12-13. Ahadi ya baadaye kwa taifa kukusanyika tena katika nchi yake m:wenyewe baada ya muda wa
hukumu kupita

3:1-4. Matendo ya kuasi sheria ya viongozi wa taifa yameorodheshwa hapatakuwa na hata mmoja wao
atakayeepuka siku ile ya shida.

3 :5-8. Manabii wa uongao hawafai watabiri yale ambayo yanatakiwa au yanayopendwa na watu na
kukubaliwa na watu ili waweze kulipwa fedha. Dini tu ilikuwa mbele yao kufunika matendo yao
ya kulihalifu neno la sheria za Mungu. Lakini Mika walijengwa na kufunikwa na Roho wqa
Mungu na kutaabiri chini ya upako wa Bwana.

3:9-12. atabiri yale ambayo yanatakiwa au yanayopendwa na watu na kukubaliwa na watu iii waweze
kulipwa fedha. Dini tu ilikuwa mbele yao kufunika matendo yao ya kulihalifu neno la sheria za
Mungu. Lakini Mika walijengwa na kufunikwa na Roho wa Mungu na kutaabiri chini ya upako
· waBwana.

)< 3:9-12. Yerusalemu itaaangamia kwa ajili ya uovu wake. Mika ni nabii wa kwanza kusemajuu ya
maangamizo na kuharibiwa kwa Yerusalemu.
rl

SURA YA4-5.

AHADI YA BAADAYE YA BARAKA NA KUREJESHWA TENA KWA TAIFA.


4:1-8: Utukufu wa siku zijazo utakuwa mkubwa lakini tu baada ya mateso au dhiki. Mistari hii
inaonekana tu katika wakati wa Masihi atawalapo katika mji wa Yerusalemu ambao utakuwa
ndio mji mkuu wa ulimwengu na mahali pakuu pa kutunga sheria, amani hali ya kidini na
mafanikio yote yakatokea huko~Ze3karia 14:16-21.

4:9- 5:1. Hukumu na kushinda ambako kutatanguliwa kwanza kumeelezwa na kuonyehswa


kwa kielelezo cha mwanamke katika kazi. Lakini mpango wa Mungu ni kutumia mataifa haya
• (4:12) kwa ajili ya makusudi yake iii kuleta shangwe ya mwisho ya Israeli.

5:2-4. Masihi atainuliwa katika mkulima aliye wa chini na kujulikana kutokan katika kijiji cha
Bethlehemu na ataongoza taifa tena katika ibada ya kweli na kuangamiza taifa linalowatawala.
Hii ilinakiliwa na waandishi wa Kiyahudi kwa mfalme Herode baada ya wale Mamajusi'
kuwasili wakitafuta kumwona mtoto Yesu alikozaliwa Mathayo 2: 1-6. ·

5 :5-15. Utimizo wa hukumu kinyume cha wale aliowamiliki Israeli, nchi itatakaswa kutokana
na sanamu zao.
SURA YA 6.

UGOMVI WA MUN GU NA:.lV ATU WAKE NA UHAMBI ZAO ZA ASILI KURUIJIA_. _


. '>.:: .·-~- . "' .. -~>~:
6: 1-2. Katika mpango wa sheria ambayo Bwana ameleta vilima vinaombwa kushuhtidia: __-
uaminifu wa Mungu na kutokuwa na auminifu na uhalifu wa watu wake. -

6:3-8. Mungu anatoa katika orodha mambo yaliyomo, yaliyopita waliyofanhiwa watu, yaani
mambo Mungu amewafanyia watu wake.
a) Kuwaokoa katika Misri na kuwatoa Misri. 6:4.
b) Kisasi juu ya makusudio ya Balaamu. 6 :5.
c) Uongozi wa Musa na Haruni. 6:4. . . . . .
d) Kuvuka mto Yordan kutoka Shitimu hadi Giligali. 6:5. Kwa h1yo halt ya dmt katika
watu ilikuwa katika upande wa dini ya kipagani hata matokeo ya matoleo ya watµ
Wenyewe yalikuwa ni yajinsi hiyo, mstari wa 8 unaeleza dini ya kweli.

6:9-16. Dhambi na adhaabu yajukumu ya watu imeelezwa na walikuwa wanafuata njia mbaya ya
wafalme wa Ahabu na Omri. Lakini watakuwa wamekwisha na kupita na hawatapata kitu.

7:1-7. Mika anatubia na kukiri dhambi za watu, ubora wao ni bure kuliko pembe zisizo na manufaa
kwa:watu. Angalia matokeo ya rushwa -( 7:5-6).

7:8-13. Matumaini ya mapumziko, msamaha na kufanyiza upya kwa watu, kunakuja baada ya wakati
wa hukumu kupita.

7:14-20. Zaburi ya kusifu~hema na upendo wa Mungu na nguvu zake za kuokoa na kusababisha


Israel kushinda, katika kutegemea Agano lake na Ibrahimu, hii ilikuwa inetimia wakati akitawala
duniani.

A. ELIMU YA KIT ABU.


Tabia ya Mungu.
- Yeye ni Mungu wa Yakobo 2:12, 4:4, 7:20, na Ibrahimu 7:20. Yeye ni Mfalme (2:13) anatembea
kama mchungaji (2:12).
I. Mungu anaayeokoa kutokana na hali ya wokovu na katika hali ya ushindi 6:4-5, 7:15 huu ni
ukumbusho wa Agano lake na watu wake.
·2. Yuda ni "watu wangu" 6:3-5 na Mungu anajitambulisha kwao. Aliwachagua wao kutoka katika
mataifa ya dunia na kuingia katika ushirika maalim; kwa hiyo anayomadai maalum kwa ajili yao.
3 • Anataka haki katika sheria kwenye mahakama na shiria ya haki katika hukumu, hali ya uadilifu na
kweli wa udai sahihi wa mambo kwa walio wengi 6:6-8.
4. Yeye_ ~i Mungu wa Agano mwenye upendo kamili usio na kigeugeu na huruma na neema yake ni
kam1h, Mwenye kuhurumia na kusamehe - (7:18-20).
5. Atayahukumu mataifa na Israeli nakutawala maishayao na hali zao - 5:15, 7:12-13, 16-17.
\.. ASILI y A DHAMBI YA YUDA:-
1. MAO VU YA JAMIi:- .. .
i) Mika alikemea dhambi za maisha ya mJI mz1ma. . . serikalini na
ii) Ariaona uchoyo ya dhuluma ya wamilik~ji katika ardh1 Y3;"_~1 ;;~ -~~n;e;ra: pengine kuwatoa
matajiri katika mji wa ':7erusalemu wak1waonea . wa~ah·a~i~u ~ak;ti.li waliwakandamiza bila
wanawake na watoto kat1ka nyumba zao. Waamuz1 au . h li a ku"itetea
kuhakikisha makosa ya yule mtubumiwa kuwa amekosa kweh, ambaye hana a i_I . J . . ya
kwanza kwa watu wasio na hatia wakiwa na watulivu, ni jambo baya watu wenye u a nyama
wanadamu 2:8-9 3:2-3, 10, 7:2-3. . • • · a rushwa 3·11
iii) Matajiri walijiweka wao wenyewe, hii ni kutokana na sherta yao wehyoitumia Y · ·
iv) Vipimo visivyo halali vilitumika katika biashara 6:1 0,_l 1_.
v) Maisha yajamii na mategemeo ya taifa yameshuka chm1 7:5, 6.

2. MAOVU YA KUHALIFU WEMA:- . · .


1. Choyo 2:2 Kazi ya nyumba ya mfalme Ahabu (6:16) ikielezea kuhus1ana na shamba la
mizabibu la Nabothi I Wafalme 21 :12-28. .
2. Haki iliondolewa kabisa wala haikuonekana katika maisha yao 3: 1- 2 k1wango cha wema
hakikuonekana ushirikiano hakuna. . ...
3. Matokeo ya tuhuma yalifika hata kwa kufamilia au jamii kuwa mbaya katika kufatia uvunJaJI
wa maisha ya kijamii 7 :5.
4. Dharau -2:4. mabezo na akili mbaya za wakubwa kwa kizazi kichanga zilizoonekana kwao
zikifanyika 7:6.
5. Udanganyifu, uongo, ubaya na fujo - 3:10; 6:10-12.

KUFANYA IBADA UONGO KWA MUNGU.


t' 1. Kuna utulivu katika dini pamoja na matumaini yasiyo ya kweli kwa ajili ya ulinzi wa Mungu
,t bila ya kujali matatizo ya hakimu (waamuzi), makuhani na manabii (2:6, 3:11). Watu walipata
shida kutokana upofu wa kiroho na Sayuni waliyachukulia bila taratibu. Wakigeuza m(fgongo
yao kwa Mungu na kutegemea katika utajiri na nguvu za kijeshi (6:12-15; 5 :10).
11. Unabii wa kwali umekomeshwa (2:6) Mika binafsi anapelekwa mbele ya baraza au mahakama.
m. Unabii wa uongo umeenea pote (umekithiri) na kuwa na manabii wengi ambao wanahutubu
bila kile ambacho kinawapendeza wasikilizaji wao iii waweze kuwalipa kama wanaweza
kufanya hivyo (2:21; 3:5).
1v. Dini yao ni bure haina maana yoyote bila haki katika sheria za mahakama na upendo wa Mungu
na ndugu zao (6:6-8). Taifa halikutambua uadilifu wa utakatifu wa Mungu na kutazamia
kuokolewa kutoka matatizoni wakati yatakapowakabili (3:4).
v~ Dhabihu ya mtoto (6:7) Ahazi na Manase alitoa dhaabihu za watoto wao (2Wafalme 16:3, 21 :6).
vi. Kufanyiza sanamu na kutumikia sanamu na hali ya kuabudu miungu kwa mungu wao Baali na
Ahsera katika Yuda (5:12-14; 6:16) na ulinzi wa kiroho wa Israeli (I :7).
HUKUMUIJAYO.
1. Mahadhali ya sheria ya mahakama, kwa 'hali ya kuonekana na Mungu kama mshtaki, Yuda
hawana la kujitetea kufanya lolote lile - 6:1-3.
2. Mungu atawahukumu watu kutokana na dhambi zao (2:3-5, 3:4, 6:13. Hii haina budi kutokea
haitaepukika kamwe (7:4, I :9). Mungu hatawaj1bu hao maombi yao - (3 :14 ). . '
3. TaJm atapata hasara kwa kile alichokitunza - (6:14-15).

2ff

You might also like