You are on page 1of 29

*QUR'AN NA BIBLIA PAMOJA NA HADITHI ZA MUHAMMAD ZATHIBITISHA KUWA YESU ANAZO SIFA ZOTE

ZA KUITWA MUNGU USHAHIDI HUU SASA WAISLAMU KWANINI MNAMKANA YESU WAKATI QUR'AN
IMEMPA SIFA NYINGI KUWA NDIYE MWOKOZI NA NDIYE MUNGU WA KWELI*:

➖➖➖➖➖➖

YESU NI BWANA WA MABWANA NA MFALME WA WAFALME SWALI AYA IPI ALLAH ANAITWA BWANA
BWANA BWANA NA MFALME WA WAFALME NA PAI ANAITWA MWANA KONDOO HUYU ALLAH ILI YESU
ASIWE NDIYE ALITAJWA KATIKA QUR'AN KUWA NDIYE MFALME WA WAFALME NA BWANA WA
MABWANA

✔️Ufunuo wa Yohana 17:13

13 Hawa wana shauri moja, nao wampa yule mnyama nguvu zao na mamlaka yao.

14 Hawa watafanya vita na Mwana-Kondoo, na Mwana Kondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni
Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme, na hao walio pamoja naye ndio walioitwa, na wateule, na
waaminifu.

✔️Kumbukumbu la Torati 10:17 Kwa maana BWANA, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu wa miungu, na
Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, asiyependelea nyuso za watu, wala hakubali
rushwa.

✔️Kutoka 8:27 La, tutakwenda safari ya siku tatu jangwani, tumchinjie dhabihu BWANA, Mungu wetu,
kama atakavyotuagiza.

✔️1 Timotheo 6:15 Ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyehimidiwa, Mwenye uweza
peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana.

✔️Qur'an 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme,
Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye
nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha
nayo:

✔️Qur'an 62:1. Viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi vinamtakasa Mwenyezi Mungu, Mfalme,
Mtakatifu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
➖➖➖➖➖➖➖

YESU NDIYE BWANA WA MABWANA SWALI WAPI AYA MIMI ALLAH NI BWANA WA MABWANA?

Ufunuo wa Yohana 19:11

Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye
Mwaminifu na Wa-kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita.

12 Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina
lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe.

13 Naye amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aitwa, Neno la Mungu.

14 Na majeshi yaliyo mbinguni wakamfuata, wamepanda farasi weupe na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe,
safi.

15 Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili awapige mataifa kwa huo. Naye atawachunga kwa
fimbo ya chuma, naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadhabu ya hasira ya Mungu Mwenyezi.

16 Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA
MABWANA.

➖➖➖➖

KRISTO ANAJITAMBULISHA KUWA NDIYE MUNGU HUKAA KATI YA WATU WOTE QUR'AN NA BIBLIA
ZINATHIBITISHA USHAHIDI HUU HAPA :AYA IPI MIMI ALLAH HUKAA KATIKATI YA WANADAMU KAMA
ALIVYOTAMKA YESU KWA KINYWA CHAKE

✔Mathayo 18:20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo
katikati yao.
✔Quran 58:7 Kwani huoni kwamba Mwenyezi Mungu anajua vilivyomo katika mbingu na vilivyomo
katika ardhi? Hauwi mnong'ono wa watu watatu ila Yeye huwa ni wane wao, wala wa watano ila Yeye
huwa ni wa sita wao. Wala wa wachache kuliko hao, wala walio wengi zaidi, ila Yeye yu pamoja nao
popote pale walipo. Kisha Siku ya Kiyama atawaambia waliyo yatenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi
wa kila kitu.

➖➖➖

✔️YESU ANAYAJUA YASIONEKANA NA YANAYOONEKANA NA HASA ANAYAJUA YOTE YALIYOMO NDANI


YA MOYO WA MWANADAMU USHAHIDI QUR'AN YAKO NA BIBLIA ZINATHIBITISHA SASA UNAMKATAJE
YESU ASIWE MUNGU

✔️Yohana 2:24-25

24 Lakini Yesu hakujiaminisha kwao; kwa kuwa yeye aliwajua wote;

25 na kwa sababu hakuwa na haja ya mtu kushuhudia habari za mwanadamu; kwa maana yeye
mwenyewe alijua yaliyomo ndani ya mwanadamu.

✔️Qur'an 59:22. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mwenye
kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana. Yeye ndiye Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

➖➖➖➖➖

YESU NDIYE ALIMTOKEA MUSA AKIJITAMBULISHA KWA JINA LA NIKO AMBAYE NIKO SWALI AYA IPI
ALLAH ANAITWA NIKO AMBAYE NIKO JAMANI KATIKA QUR'AN YOTE

✔️Yohana 8:58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi Niko.

✔️Qurani 2:186 Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu.
Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate
kuongoka.

✔️Kutoka 3:13-15

13 Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa
baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?
14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa
Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.

15 Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba
zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu
hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.

➖➖➖➖

YESU NDIYE ALIMTOKEA IBRAHIMU KAMA MWENYEZI MUNGU USHAHIDI HUU HAPA :KAMA UNAPINGA
AYA IPI ALLAH ALIPOMTOKEA IBRAHIMU ILI YESU ASIWE NDIYE ALIYEMTOKEA MAANA YESU ANAKIRI
KUWA MIMI NIYE ALIPONIONA IBRAHIMU ALIFURAHIA UKUU WANGU NA YESU ALIKUWEPO KABLA YA
IBRAHIMU TERA NAHORI:

✔️Yohana 8:56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona,
akafurahi.

✔️Yohana 8:58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi Niko.

✔️Mwanzo 18:1,3

1 BWANA akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake
mchana wakati wa hari.

3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa
wako.

➖➖➖➖➖

YESU ALIKUWEPO KABLA YA ADAMU NA HAWA NDIYE MUUMBAJI WA VYOTE

✔️Yohana 1 (Biblia Takatifu)

1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.


3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

⁴ Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.

5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

¹⁴ Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana
pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

✔️Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja
nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

✔️Wakolosai 1:15-20

15 naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.

16 Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana
na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia
yake, na kwa ajili yake.

17 Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.

18 Naye ndiye kichwa cha mwili, yaani, cha kanisa; naye ni mwanzo, ni mzaliwa wa kwanza katika wafu,
ili kwamba awe mtangulizi katika yote.

19 Kwa kuwa katika yeye ilipendeza utimilifu wote ukae;

20 na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba
wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni.

✔️Warumi 9:5 Ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya
mambo yote, Mungu, mwenye kuhimidiwa milele. Amina.

✔️Quran 59 :24 Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Muumbaji, Mtengenezaji, Mtia sura, Mwenye majina
mazuri kabisa. Kila kilioko katika mbingu na ardhi kinamtakasa, naye ni Mwenye kushinda, Mwenye
hikima.
✔️Quran 59:23 Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme,
Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye
nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha
nayo.

✔️Quran 59:22 Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mwenye
kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana. Yeye ndiye Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

✔️Mithali 8:22-31

22 BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, <br>Kabla ya matendo yake ya kale.

23 Nalitukuka tokea milele, tangu awali, Kabla haijawako dunia.

24 Wakati visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji.

25 Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nalizaliwa.

26 Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde Wala chanzo cha mavumbi ya dunia;

27 Alipozithibitisha mbingu nalikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;

28 Alipofanya imara mawingu yaliyo juu; Chemchemi za bahari zilipopata nguvu;

29 Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;

30 Ndipo nilipokuwa pamoja naye, kama stadi wa kazi; Nikawa furaha yake kila siku; Nikifurahi daima
mbele zake;

31 Nikiifurahia dunia inayokaliwa na watu; Na furaha yangu ilikuwa pamoja na wanadamu.

➖➖➖➖➖➖

YESU NI MUNGU USHAHIDI HUU HAPA YESU ALIKUBALI KUITWA BWANA NA MUNGU

✔️Yohana 20:28-28

28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!


29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.

✔️Tito 2:13 :13-14

13 Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi
wetu;

14 ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe
milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.

➖➖➖➖➖➖➖

QUR'AN NA BIBLIA ZINATHIBITISHA KUWA YESU NDIYE MCHUNGAJI WA ISA WA QUR'AN NA


NIMCHUNGAJI WETU WOTE WANADAMU

✔️Yohana 10:11,14

11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.

14 Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi;

➖➖➖➖➖

KUMBE HATA NABII DAUDI ALIKUWA ANAMTAJA YESU KUWA NDIYE MCHUNGAJI WAKE MWEMA
MAANA YESU KAKIRI KUWA MIMI YESU NDIYE MCHUNGAJI MWEMA NA HAKUNA AYA KATIKA QUR'AN
YOTE INASEMA MIMI ALLAH NI MCHUNGAJI MWEMA ILA UTAKUTANA NA NENO YEYE BALA YA MIMI

✔️Zaburi 23:1 -6

1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja
nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na
kikombe changu kinafurika.

6 Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA
milele.

✔️SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NDIYE MCHUNGAJI MWEMA NDANI YA QUR'AN ILI YESU ASIWE NDIYE
ANATAJWA KATIKA HIZI AYA? ZA QUR'AN KUWA YESU NDIYE MCHUNGAJI WA ISA WA QUR'AN PAMOJA
NA WAISLAMU WOTE:

✔Quran 5: 118 (Issa) Sikuwaambia lo lote ila yale Uliyoniamuru: ya kwamba Mwabuduni Allah , Mola
wangu na Mola wenu; na nilikuwa shahidi juu yao nilipokuwa kati yao, lakini Uliponifisha Wewe
Mwenyezi Mungu Ukawa Mchungaji juu yao, na Wewe ni Shahidi juu ya kila kitu.[Abdullah Saleh Al-
farsy ]

✔️Qur'an 33:52. Baada ya hawa hawakuhalalikii wewe wanawake wengine, wala kuwabadilisha kwa
wake wengine ingawa uzuri wao ukikupendeza; isipo kuwa yule uliye mmiliki kwa mkono wako wa kulia.
Na Mwenyezi Mungu ni Mchungaji wa kila kitu.[Abdullah Saleh Al-farsy ]

➖➖➖➖➖

YESU KATAMKA KWA KINYWA CHAKE KUWA MIMI YESU NDIYE BWANA WENU NYOTE YOHANA 13:13
NA NENO BWANA NDANI YA QUR'AN YENU NA BIBLIA MAANA YAKE MUUMBAJI YAANI MWENYEZI
MUNGU:SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NI BWANA WENU ALITAMKA MWENYEWE BILA KUSEMEWA KAMA
ALIVYOTAMKA YESU KUWA MIMI NDIYE BWANA WENU QUR'AN TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH FANCY
NA ALI MUHSIN BARWAN

✔️YESU ANASEMA MIMI YESU NDIYE BWANA NA QUR'AN IMESEMA BWANA MWENYEZI
MUNGU

✔️Yohana 13:13 Ninyi mwaniita, Mwalimu, na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.

✔️BWANA MAANA YAKE NI MWENYEZI TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH FANCY QUR'AN


114:1

✔️Qur'an 114:1-3

1. Sema: Ninajikinga kwa Bwana mwenye Kuwalea

2. Mfalme wa watu
3. Muabudiwa wa watu

Ufafanuzi wake

Qur'an 114:1 Mwenyezi Mungu baada ya kuwa ni Bwana wa watu kadhalika ndiye mwenye kuwalea
tangu walimatumboni hata wakamaliza umri wao katika ulimwengu, kwa roho na kiwiliwili na pumzi na
chakula na maji na kila wadhamilialo katika maisha yao, kisha akawapa akili, akawaonesha njia ya "kheri"
ya dunia na Akhera, akawaamrisha waifuwate; akawaonesha na njia ya "shari" ya dunia na Akhera,
akawaamrisha waiepuke na watahadhari nayo.

➖➖REJEA TENA HAPA YESU NDIYE BWANA ANATAMBULIWA NDANI YA QUR'AN YENU YA TAFASIRI YA
ALI MUHSIN BARWAN

✔️Yohana 13:13 Ninyi mwaniita, Mwalimu, na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.

✔️Qur'an 21:22. Lau wangeli kuwamo humo miungu wengine isipo kuwa Mwenyezi Mungu basi bila ya
shaka hizo mbingu na ardhi zingeli fisidika. Subahana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu, Bwana wa
A'rshi (Kiti cha Enzi), na hayo wanayo yazua. (TAFASIRI YA ALI MUHSIN BARWAN)

➖➖➖➖➖➖

HAPA YESU ANASEMA MIMI YESU NDIYE BWANA NA NENO BWANA NDIYE MUNGU WA KWELI
YEREMIA 10:10 SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NDIYE BWANA KAMA ALIVYOTAKAMA YESU KWA KINYWA
CHAKE BILA KUSEMEWA:

✔️Yohana 13:13 Ninyi mwaniita, Mwalimu, na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.

✔️Yeremia 10:10 Bali BWANA ndiye Mungu wa kweli; Ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele; Mbele
za ghadhabu yake nchi yatetemeka, Wala mataifa hawawezi kustahimili hasira yake.

➖➖➖➖

MUSA ALIKWENDA KUMWABUDU YESU USHAHIDI HUU HAPA MAANA YESU KAKIRI KUWA MIMI YESU
NDIYE BWANA NA HAKUNA AYA ALLAH AKIKIRI KUWA YEYE NDIYE BWANA
✔️Yohana 13:13 Ninyi mwaniita, Mwalimu, na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.

✔️Kutoka 9:13-14

13 BWANA akamwambia Musa, Ondoka asubuhi na mapema, ukasimame mbele ya Farao, umwambie,
BWANA, Mungu wa Waebrania, asema, Wape watu wangu ruhusa waende ili wanitumikie.

➖➖➖➖➖

KAZI KUU YA MUNGU NI KUWAFUFUA WOTE SIKU YA KIYAMA NA YESU NDIYE UFUFUO WA WAFU
WOTE WALIOKO MAKABURINI NDANI YA QUR'AN HAKUNA AYA HATA MOJA MIMI ALLAH NDIYE
UFUFUO NA UZIMA

✔️Yohana 11:25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa,
atakuwa anaishi;

✔️Yohana 6:40,44,54

40 Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini
yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.

44 Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya
mwisho.

54 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya
mwisho.

✔️Qur'an 22:14 Kwani wakati huu nitaleta mapigo yangu yote juu ya moyo wako, na juu ya watumishi
wako, na juu ya watu wako; ili upate kujua ya kuwa hapana mmoja mfano wa mimi ulimwenguni mwote.

6. Hayo ni kwa sababu hakika Mwenyezi Mungu ndiye Haki, na kwamba hakika Yeye ndiye mwenye
kuhuisha wafu, na kwamba hakika Yeye ni Muweza wa kila kitu

✔️Qur'an 30:50 Basi ziangalie athari za rehema ya Mwenyezi Mungu, jinsi anavyo ihuisha ardhi baada ya
kufa kwake. Basi hakika huyo ndiye bila ya shaka Mwenye kuhuisha wafu. Na Yeye ni Muweza wa kila
kitu.

➖➖➖➖➖➖

YESU NDIYE HAKIMU NA NDIYE UFUFUO WA SIKU YA KIYAMA USHAHIDI HUO CHINI
✔️Yohana 11:25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi,
ajapokufa, atakuwa anaishi;

✔️Yohana 5:21

Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha wale awatakao.

✔️Quran 58:6 Siku atapo wafufua Mwenyezi Mungu, na awaambie yale waliyo yatenda. Mwenyezi
Mungu ameyadhibiti, na wao wameyasahau! Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kushuhudia kila kitu.

✔️Yohana 5:22 ,23,25-29

22 Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote;

23 ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana
hamheshimu Baba aliyempeleka.

25 Amin, amin, nawaambia, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu,
na wale waisikiao watakuwa hai.

26 Maana kama vile Baba alivyo na uzima nafsini mwake, vivyo hivyo alimpa na Mwana kuwa na uzima
nafsini mwake.

27 Naye akampa amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana wa Adamu.

28 Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia
sauti yake.

29 Nao watatoka; wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliotenda mabaya kwa ufufuo
wa hukumu.

➖➖➖➖➖➖
QURAN NA BIBLIA ZINATHIBITISHA MWENYEZI MUNGU KUWA ANAWEZA KUFANYIKA MWILI KWA
KUINGIA NDANI YA MWILI WA MWANDAMU NDIYO MAANA HATA YESU ALIFANYIKA MWILI AKAISHI NA
SISI WANADAMU USHAHIDI HUU HAPA NA AKAONEKANA KWA WATU WOTEEE

✔ Quran 8:24. Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la
kukupeni uzima wa milele. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake, na
kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa.

NDIYO MAANA MUSA ALIMWITA MWENYEZI MUNNGU KUWA NI MTU WA VITA KWA HIYO HUWEZI
KUKWEPA KWA KUTUMIA NENO MTU ILI YESU ASIWE MUNGU

✔️Kutoka 15:1-3

Ndipo Musa na wana wa Israeli wakamwimbia BWANA wimbo huu wakanena, na kusema, Nitamwimbia
BWANA, kwa maana ametukuka sana; Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.

2 BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu,
nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza.

3 BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake. 👈

✔Yohana 1 (Biblia Takatifu)

¹ Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

¹⁴ Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana
pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

✔” 2 Wakorintho 5:19 “yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake,
asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.

✔1 Timotheo 3:16 “Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika
kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaaminiwa katika
ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

YESU NDIYE WA MWANZO NA MWISHO QURAN NA BIBLIA ZINATHIBITISHA USHAHIDI HUU HAPA

✔Quran 57:3 Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye
ndiye Mjuzi wa kila kitu.[ TAFASIRI YA AL-BARWAN 1950, ABDULLAH SALEH AL-FARSY 1969

NINI MAANA YA NENO DHAAHIRI?

DHAAHIRI, Maana yake ni Kitu kuwa wazi, inaonekana,kuonekana wazi kabisa, hakuna kificho ,
kujionyesha wazi, Kuonekana kote

SWALI HUYU MUNGU AMBAYE ALISHAWAHI KUONEKANA WAZI KABISA YAANI DHAAHIRI JINA LAKE
ANAITWA NANI? AYA IPI MIMI ALLAH NI WA MWANZO NA WAMWISHO:

✔Qur'an 28:70. Naye ni Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye. Sifa zote njema ni
zake Yeye, Mwanzo na Mwisho. Na hukumu ni yake Yeye. Na kwake Yeye mtarejeshwa

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

WAPI ANDIKO MIMI ALLAH NI WA MWANZO NA WA MWISHO NDANI YA QUR-AN KATIKA SURA 114?

KUMBE YEYE NI👉YESU KRISTO 😂😂😂😃😁👍👍

✔Ufunuo wa Yohana 2:8 “Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye
aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.”

✔️Isaya 41:4 Ni nani aliyetenda na kufanya jambo hilo, aviitaye vizazi tangu mwanzo? Mimi, BWANA, wa
kwanza na wa mwisho, mimi ndiye.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

HUYU ALIYEKUWA AMEKUFA KISHA AKAWA HAI AMBAYE NI WA MWANZO NA MWISHO JINA LAKE
ANAITWA NANI?

JIBU NI YESU KRISTO NA SIYO ALLAH WA QUR'AN MAANA HAKUNA AYA HATA MOJA MIMI ALLAH
LIKIKUWA KISHA NIKAWA HAI😛

✔Ufunuo wa Yohana 1 (Biblia Takatifu)

¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯

7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia
wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.

8 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na
atakayekuja, Mwenyezi.👈

17 Nami nilipomwona, nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kuume
juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,👈

18 na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za
mauti, na za kuzimu.👈

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

MWENYE MAMLAKA YA KUTUMA MALAIKA WACHAMUNGU ANAITWA MUNGU AMA ANAITWA


SHETANI? JIBU NI MWENYEZI MUNGU TUMTII NDIYE HUTUMA MALAIKA USHAHIDI HUU AMBAYE KWA
USHAHIDI YESU NDIYE KUTUMA MALAIKA KWA HIYO HAMNA MASHAKA KUWA NDIYE MWOKOZI WETU

✔Ufunuo wa Yohana 22: 16, 12,13


16 Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi
ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.

12 Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.

13bMimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.

YESU NDIYE HUTUMA MALAIKA KUTUTOA GIZANI NA KUTUINGIZA NURUNI

SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NIMEMTUMA MALAIKA WANGU ILI AWATOE GIZANI NA KUWAINGIZA
NURUNI?

✔ Ufunuo wa Yohana 22:16 “Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo
katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.

✔Quran 33: 43. Yeye na Malaika wake ndio wanakurehemuni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru.
Naye ni Mwenye kuwarehemu Waumini

✔Ufunuo wa Yohana 2

¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯

25 Ila mlicho nacho kishikeni sana, hata nitakapokuja.

26 Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa,

27 naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyanzi vipondwavyo, kama mimi nami
nilivyopokea kwa Baba yangu.

28 Nami nitampa ile nyota ya asubuhi.


➖➖➖➖➖➖➖

QURAN NA BIBLIA ZATHIBITISHA KUWA YESU KRISTO NDIYE NURU YA KWELI YEYOTE ANAYEMFUATA
YESU KRISTO HATAPOTEA MILELE BALI ATAKUWA NA NURU YA UZIMA WA MILELE

➖➖➖➖➖➖➖➖➖

QURAN YAKIRI KUWA ALLAH HAKUNA AYA HATA MOJA ALIPO SEMA KUWA MIMI ALLAH NI NURU YA
MBINGU NA ARDHI KUANZIA SURA 1 HADI 114 ILA YESU KRISTO PEKEE NDIYE KASEMA KUWA MIMI
YESU NDIYE NURU YA MBINGU NA ARDHI 😊😊

✔Yohana 8:12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye
hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.

✔Quran 5:16. Mwenyezi Mungu huwaongoa wenye kufuata radhi yake katika njia za salama, na
huwatoa katika giza kuwapeleka kwenye nuru kwa amri yake, na huwaongoa kwenye njia iliyo nyooka

✔(Yohana 12: 46)"Mimi nimekuja ili niwe nuru ya ulimwengu, ili kila mtu aniaminiye mimi asikae gizani."

✔(Yohana 9: 5)"Muda nilipo ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu."

Quran nayo inathibitisha kuwa YESU KRISTO NDIYE NURU YA ULIMWENGU

✔Quran 24:35 Mwenyezi Mungu ni Nuru ya Mbingu na Ardhi. Mfano wa Nuru yake ni kama shubaka
lenye kuwekwa ndani yake taa. Taa ile imo katika tungi. Tungi lile ni kama nyota inayo meremeta, inayo
washwa kwa mafuta yanayo toka katika mti ulio barikiwa, mzaituni. Si wa mashariki wala magharibi.
Yanakaribia mafuta yake kung'aa wenyewe ingawa moto haujayagusa - Nuru juu ya Nuru. Mwenyezi
Mungu humwongoa kwenye Nuru yake amtakaye. Na Mwenyezi Mungu huwapigia watu mifano. Na
Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kila kitu.

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

MUNGU HUCHAGUA MITUMI KUTOKA MIONGONI MWA WATU NA MALAIKA YESU ALICHAGUA
MALAIKA NA MITUME

✔Quran 22:75. Mwenyezi Mungu huchagua Mitume miongoni mwa Malaika na miongoni binadamu .
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona.

✔(Ufunuo 22: 16)"Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika
makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi."

YESU KRISTO ALICHAGUA MITUMI 12 KWA AJILI YA KAZI MAALUMU YA KUPELEKA INJILI

✔(Luka 6 )

------------

13 Hata kulipokuwa mchana aliwaita wanafunzi wake; akachagua kumi na wawili miongoni mwao,
ambao aliwaita Mitume;

14 Simoni, aliyemwita jina la pili Petro, na Andrea nduguye, na Yakobo na Yohana, na Filipo na
Bartolomayo,

15 na Mathayo na Tomaso, na Yakobo wa Alfayo, na Simoni aitwaye Zelote,

16 na Yuda wa Yakobo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyekuwa msaliti.


17 Akashuka pamoja nao, akasimama mahali tambarare, pamoja na wanafunzi wake wengi, na
makutano makubwa ya watu waliotoka Uyahudi wote na Yerusalemu, na pwani ya Tiro na Sidoni;
waliokuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao;

KAZI YA MUNGU NI KUTUMA MANABII NA YESU NDIYE ALITUMA MANABII NA WAANDISHI NA WENYE
HEKIMA KWETU

✔Mathayo 23:34 “Kwa sababu hiyo, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na
waandishi; na wengine wao ninyi mtawaua na kuwasulibisha, na wengine wao mtawapiga katika
masinagogi yenu, na kuwafukuza mji kwa mji;”

➖➖➖➖➖➖➖➖

YESU KASEMA MANENO YAKE HAYATAPITA KAMWE HATA MBINGU NA NCHI ZITAPITA LAKINI MANENO
YAKE YAKO YATAISHI MILELE

✔Marko 13:31 Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

✔Isaya 40:8 Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele

✔Quran 6: 34. Na hakika walikanushwa Mitume wa kabla yako. Nao wakavumilia kule kukanushwa, na
kuudhiwa, mpaka ilipo wafikia nusura yetu. Na hapana wa kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu. Na
bila ya shaka zimekujia baadhi ya khabari za Mitume hao.

✔Mathayo 5:17-19

17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.

18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya
torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
✔Mathayo 28 :18-20

18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana,
na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote,
hata ukamilifu wa dahari

MWENYE KUJA NA MALAIKA PAMOJA ILI KUHUKUMU WENYE DHAMBI ANAITWA MUNGU NA YESU
NDIYE ATAKUJA NA MAWINGU PAMOJA NA MALAIKA ZAKE NA ATAWATUMA MALAIKA KUWAKUSANYA
WOTE WALIOMPOKEA NA WALIOANDIKWA KWENYE KITABU CHAKE CHA UZIMA WA MILELE

✔Quran 2:210. Je wanangoja mpaka Mwenyezi Mungu awajie katika vivuli vya mawingu pamoja na
Malaika, na hukumu iwe imekwisha tolewa? Na kwa Mwenyezi Mungu ndio hurejeshwa mashauri yote.

✔(Mathayo 24 )

25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.

27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo
kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota
zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika;

✔Quran 81:1-3

1. Jua litakapo kunjwa,

2. Na nyota zikazimwa,

3. Na milima ikaondolewa

✔Mathayo 24:30-31
30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu
watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na
nguvu na utukufu mwingi.

31 Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake
toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.

KILA JICHO LITAMWONA ANAPORUDI MARA YA PILI YESU KRISTO AKIJA NA MAWINGU

✔(Ufunuo 1 )

------------

3 Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa
maana wakati u karibu.

7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia
wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.

8 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na
atakayekuja, Mwenyezi.👈👈👈

18 na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za
mauti, na za kuzimu.👈👈👈👈

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

YESU KRISTO ALISHATUJULISHA JINSI WATU WATAKAVYOMKIMBIA WANAOMKATAA KUWA SIYO


MWOKOZI WAO

✔(Luka 23 )

------------

27 Mkutano mkubwa wa watu wakamfuata, na wanawake waliokuwa wakijipiga vifua na


kumwombolezea.
28 Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na
watoto wenu.

29 Kwa maana tazama, siku zitakuja watakaposema, Heri walio tasa, na matumbo yasiyozaa, na maziwa
yasiyonyonyesha.

30 Ndipo watakapoanza kuiambia milima, Tuangukieni, na vilima, Tufunikeni.

31 Kwa kuwa kama wakitenda mambo haya katika mti mbichi, itakuwaje katika mkavu?

SIKU YA KIYAMA YESU ATAZIKUNJA MBINGU KAMA KARATASI

✔Quran 21:104. Siku tutakapo zikunja mbingu kama mkunjo wa karatasi za vitabu. Kama tulivyo anza
umbo la mwanzo tutalirudisha tena. Ni ahadi iliyo juu yetu. Hakika Sisi ni watendao

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

KILA JICHO LITAMWONA YESU KRISTO ANAPORUDI MARA YA PILI KUCHUKUA WATU WAKE

✔(Ufunuo 22 )

------------

12 Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.

13 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.

14 Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango
yake.

16 Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi
ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.👈👈👈👈

✔(Ufunuo 6 )

14 Mbingu zikaondolewa kama ukurasa ulivyokunjwa, na kila mlima na kisiwa kikahamishwa kutoka
mahali pake.
15 Na wafalme wa dunia, na wakuu, na majemadari, na matajiri, na wenye nguvu, na kila mtumwa, na
mwungwana, wakajificha katika pango na chini ya miamba ya milima,

16 wakiiambia milima na miamba, Tuangukieni, tusitirini, mbele za uso wake yeye aketiye juu ya kiti cha
enzi, na hasira ya Mwana-Kondoo.

17 Kwa maana siku iliyo kuu, ya hasira yao, imekuja; naye ni nani awezaye kusimama?

✔Quran 52:9-11

9. Siku zitakapo tikisika mbingu kwa mtikiso,

10. Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa.

11. Basi ole wao siku hiyo hao wanao kadhibisha,

Qur'an 56:5-6

5. Na milima itapo sagwasagwa,

6. Iwe mavumbi yanayo peperushwa

12. Ambao wanacheza katika mambo ya upuuzi.

✔Quran 69:13-16

13. Na litapo pulizwa barugumu mpulizo mmoja tu,

14. Na ardhi na milima ikaondolewa, na ikavunjwa kwa mvunjo mmoja,

15. Siku hiyo ndio Tukio litatukia.

16. Na mbingu zitapasuka, kwani siku hiyo zitakuwa dhaifu kabisa.

17. Na Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu; na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba Kiti
cha Enzi cha Mola wako Mlezi.
18. Siku hiyo mtahudhurishwa - haitafichika siri yoyote yenu

Quran 78:18-20

18. Siku litapo pulizwa barugumu, nanyi mtakuja kwa makundi,

19. Na mbingu zitafunguliwa, ziwe milango,

20. Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi

✔Isaya 25:9 "Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja
atusaidie; Huyu ndiye Bwana tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake."

✔Ufunu 3:10 “Kwa kuwa umelishika neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya
kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote, kuwajaribu wakaao juu ya nchi.

MWISHO

YESU NDIYE HAKIMU SIKU YA KIYAMA USHAHIDI HUU HAPA WA HADITHI PAMOJA NA INJILI MATHAYO
25:31-46 Mathayo 16:27 Ufunuo 22:12LETE ANDIKO ALLAH WENU ALIPOTAMKA KWA MDOMO WAKE
ALIKUWA MGONJWA ,ALIKUWA ANANJAA, ALIKUWA UCHI ALIKUWA NA KIU NA HATUKUMPA MAHIJAJI
YAKE HIVYO SISI WANADAMU? ILI YESU ASIWE NDIYE ANATAJWA KWENYE HADITH HII KAMA
MWENYEZI MUNGU NA HAKIMU WA SIKU YA KIYAMA YESU ALISEMA NILIKUWA NINANJAA HUKUNIPA
CHAKULA, NILIKUWA UCHI HUKUNIVIKA, NILIKUWA NA KIU HUKUNIPA MAJI NILIKUWA MGONJWA
HUKUJA KUNIONA.

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

YESU KWA KAULI YAKE KASEMA MIMI NITAWAHUKUMU WENYE DHAMBI WOTE USHAHIDI HUU HAPA
LETE ANDIKO MIMI ALLAH NITAHUKUMU WENYE DHAMBI WOTE NDANI YA QUR-AN SENTENSI IANZE
NA NENO MIMI NA SI VINGINEVYO

”✔ Mathayo 16:27 “Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na
malaika zake; ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.


✔Ufunuo wa Yohana 22:12 “Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama
kazi yake ilivyo.

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

YESU NDIYE HAKIMU SIKU YA KIYAMA USHAHIDI HUU HAPA WA HADITHI PAMOJA NA INJILI MATHAYO
25:31-46 Mathayo 16:27 Ufunuo 22:12LETE ANDIKO ALLAH WENU ALIPOTAMKA KWA MDOMO WAKE
ALIKUWA MGONJWA ,ALIKUWA ANANJAA, ALIKUWA UCHI ALIKUWA NA KIU NA HATUKUMPA MAHIJAJI
YAKE HIVYO SISI WANADAMU? ILI YESU ASIWE NDIYE ANATAJWA KWENYE HADITH HII KAMA
MWENYEZI MUNGU NA HAKIMU WA SIKU YA KIYAMA YESU ALISEMA NILIKUWA NINANJAA HUKUNIPA
CHAKULA, NILIKUWA UCHI HUKUNIVIKA, NILIKUWA NA KIU HUKUNIPA MAJI NILIKUWA MGONJWA
HUKUJA KUNIONA.

Abu Huraira Alisimulia kuwa

: Mtume wa Mwenyezi Mungu, amani na baraka ziwe juu yake, alisema, "Mwenyezi Mungu Mtukufu
atasema Siku ya Kiyama: Ewe mwana wa Adam, nilikuwa mgonjwa lakini haukunitembelea. Atasema:
Mola wangu Mlezi! Je! Nawezaje kukutembelea wakati wewe ni Mola Mlezi wa walimwengu wote?
Mwenyezi Mungu atasema: Je! Hamkujua ya kuwa mja wangu alikuwa akiumwa na hamkumtembelea,
na laiti mlingemtembelea mngekuwa mnanikuta pamoja naye? Ewe mwana wa Adamu, nilikuuliza
chakula lakini hukunilisha. Atasema: Mola wangu Mlezi! Je! Nawezaje kukulisha hali wewe ni Mola Mlezi
wa walimwengu wote? Mwenyezi Mungu atasema: Je! Hamkujua kwamba mja wangu alikuuliza chakula
lakini hukumlisha, na lau ungemlisha ungalinikuta pamoja naye? Ewe mwana wa Adamu, nilikuomba
kunywa lakini hukuninywesha Atasema: Mola wangu Mlezi! Je! Nawezaje kukunywesha na wewe ni
Mola wa walimwengu wote? Mwenyezi Mungu atasema: Mja wangu alikuomba kinywaji lakini
hukumruzuku, na lau ungempa ungalinikuta pamoja naye.

‫ قَا َل قَا َل َرسُو ُل هَّللا ِ صلى هللا‬،َ‫ ع َْن َأبِي ه َُر ْي َرة‬،‫ ع َْن َأبِي َرافِ ٍع‬،‫ت‬ ٍ ِ‫ ع َْن ثَاب‬،َ‫ َح َّدثَنَا َح َّما ُد بْنُ َسلَ َمة‬،‫ َح َّدثَنَا َب ْه ٌز‬،‫َح َّدثَنِي ُم َح َّم ُد بْنُ َحاتِ ِم ب ِْن َم ْي ُمو ٍن‬
‫َأ‬ ْ
َ‫ قَا َل َما َعلِ ْمت‬. َ‫ك َو ْنتَ َربُّ ال َعالَ ِمين‬ ‫َأ‬ ‫َأ‬
َ ‫ قَا َل يَا َربِّ َك ْيفَ عُو ُد‬. ‫ت فَلَ ْم تَ ُع ْدنِي‬ ُ ْ‫عليه وسلم " ِإ َّن هَّللا َ َع َّز َو َج َّل يَقُو ُل يَوْ َم ْالقِيَا َم ِة يَا ا ْبنَ آ َد َم َم ِرض‬
َ‫ك َوَأ ْنت‬ َ ‫ط ِع ُم‬ْ ‫ال يَا َربِّ َو َك ْيفَ ُأ‬ َ َ‫ ق‬. ‫ط ِع ْمنِي‬ ْ ُ‫ك فَلَ ْم ت‬َ ُ‫َط َع ْمت‬ْ ‫ض فَلَ ْم تَ ُع ْدهُ َأ َما َعلِ ْمتَ َأنَّكَ لَوْ ُع ْدتَهُ لَ َو َج ْدتَنِي ِع ْن َدهُ يَا ا ْبنَ آ َد َم ا ْست‬َ ‫َأ َّن َع ْب ِدي فُالَنًا َم ِر‬
‫ط َع ْمتَهُ لَ َو َجدْتَ َذلِكَ ِع ْن ِدي يَا ا ْبنَ آ َد َم ا ْستَ ْسقَ ْيتُكَ فَلَ ْم‬ ْ ‫ك لَوْ َأ‬ َ َّ‫ط ِع ْمهُ َأ َما َعلِ ْمتَ َأن‬ ْ ُ‫َط َع َمكَ َع ْب ِدي فُالَ ٌن فَلَ ْم ت‬
ْ ‫ال َأ َما َعلِ ْمتَ َأنَّهُ ا ْست‬ َ َ‫ ق‬. َ‫َربُّ ْال َعالَ ِمين‬
ْ
. " ‫ك لَوْ َسقَ ْيتَهُ َو َجدْتَ َذلِكَ ِعن ِدي‬ ‫َأ‬ ُ
َ َّ‫ك َع ْب ِدي فالَ ٌن فَلَ ْم تَ ْسقِ ِه َما ِإن‬ َ ‫ال ا ْستَ ْسقَا‬ ْ ْ ‫َأ‬ ‫َأ‬
َ َ‫ال يَا َربِّ َك ْيفَ ْسقِيكَ َو نتَ َربُّ ال َعالَ ِمينَ ق‬ َ َ‫ ق‬. ‫تَ ْسقِنِي‬

Sahih Muslim 2569 kitabu 45, Hadith 54


➖➖➖➖➖➖➖➖➖HIYO HADITHI ILIKOPIWA KWENYE KITABU CHA MATHAYO 25:31-46 NA PIA HIYO
MATHAYO 25:31-46 ILIKOPIWA KWA KUFUPISHWA KWENYE QURAN 90:12-20 USHAHIDI HUU HAPA

YESU ATAHUKUMU WALIOMKATAA WOTEEE SIKU YA KIYAMA

✔(Mathayo 25 )

------------

31 Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye,
ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake;

32 na mataifa yote watakusanyika mbele zake; naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo
kondoo na mbuzi;

33 atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto.

34 Kisha Mfalme atawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu,
urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu;

35 kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni,
mkanikaribisha;

36 nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia.

37 Ndipo wenye haki watakapomjibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona una njaa, tukakulisha, au
una kiu tukakunywesha?

38 Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika?


39 Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia?

40 Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu
zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.

41 Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa,
mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake;

42 kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe;

43 nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije
kunitazama.

44 Ndipo hao pia watajibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni,
au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikuhudumie?

45 Naye atawajibu, akisema, Amin, nawaambia, Kadiri msivyomtendea mmojawapo wa hao walio
wadogo, hamkunitendea mimi.

46 Na hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele; bali wenye haki watakwenda katika uzima
wa milele.

✔Quran 90:12-20

12. Na nini kitakujuvya ni nini njia ya vikwazo vya milimani?

13. Kumkomboa mtumwa;

14. Au kumlisha siku ya njaa

15. Yatima aliye jamaa,


16. Au masikini aliye vumbini.

17. Tena awe miongoni mwa walio amini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana.

18. Hao ndio watu wa kheri wa kuliani.

19. Lakini walio zikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari wa kushotoni.

20. Juu yao utakuwa Moto ulio fungiwa kila upande

👆👆👆👆👆

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

YESU NDIYE ANATUMA MALAIKA KUJA KWAKO LETE ANDIKO MIMI ALLAH NIMETUMA MALAIKA AU
NITAWATUMA MALAIKA ZANGU KAMA YESU ALIVYOSEMA

✔(Mathayo 24 )

------------

27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo
kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu
watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na
nguvu na utukufu mwingi.

31 Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake
toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.

✔Quran 16:2 - Huwateremsha Malaika na Roho kwa amri yake juu ya amtakaye katika waja wake ili
nyinyi muonye kwamba hapana mungu ila Mimi, basi nicheni Mimi

✔(Ufunuo 22: 16)"Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika
makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi."
➖➖➖➖➖➖➖➖➖

YESU ATAKUJA NA MAWINGU PAMOJA NA MALAIKA ZAKE NA ATAWATUMA MALAIKA KUWAKUSANYA


WOTE WALIOMPOKEA NA WALIOANDIKWA KWENYE KITABU CHAKE CHA UZIMA WA MILELE [Mathayo
24:25-31 na Qur'an 2:210 SWALI WAPI ALLAH ANAKIVULI ILI AWE NDIYE HAKIMU AKIWA NA MAWINGU
KAMA YUPO MBINGUNI BADALA YA YESU NA KAPATEJE KIVULI WAKATI MNADAI HAFANANI NA
CHOCHOTE? CHENYE KIVULI KINA MWILI SIKU ZOTE

✔(Mathayo 24 )

------------

25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.

27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo
kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota
zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika;

30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu
watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na
nguvu na utukufu mwingi.

31 Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake
toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.

✔Quran 2:210. Je wanangoja mpaka Mwenyezi Mungu awajie katika vivuli vya mawingu pamoja na
Malaika, na hukumu iwe imekwisha tolewa? Na kwa Mwenyezi Mungu ndio hurejeshwa mashauri yote.

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
MWENYEZI MUNGU ANAKIVULI NA ATAKUJA KWENYE MAWINGU SIKU YA KIYAMA NA KIVULI USHAHIDI
HUU HAPA SWALI WAPI ALLAH ANAKIVULI ILI AWE NDIYE HAKIMU AKIWA NA MAWINGU KAMA YUPO
MBINGUNI BADALA YA YESU NA KAPATEJE KIVULI WAKATI MNADAI HAFANANI NA CHOCHOTE? CHENYE
KIVULI KINA MWILI SIKU ZOTE

Imesimuliwa na Abu Hurairah kuwa

Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) alisema, "Siku ya Kiyama, Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka,
atasema:" Wako wapi wale wanaonipenda kwa sababu ya Utukufu Wangu? Leo nitawahifadhi katika
Kivuli Changu Mimin wakati huo hakutakuwa na kivuli isipokuwa Changu Mimi ". [Muslim].

- ‫وعنه قال قال رسول هللا صلى هللا عليه وسلم " إن هللا تعالى يقول يوم القيامة أين المتحابون بجاللي؟ اليوم أظلهم في ظلي يوم ال ظل إال‬
. ))‫ظلي" (( رواه مسلم‬

Riyad as-Salihin 377 Hadith 377

➖➖➖➖➖➖

Yahya Alisimulia kutoka kwa Malik kutoka kwa Abdullah ibn Abd ar-Rahman bin Mamar kutoka Abu'l-
Hubab Said ibn Yasar kwamba Abu Hurayra alisema, "

"Mtume wa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu ambariki na ampe amani, alisema," Mwenyezi Mungu,
Mbarikiwa, Aliyetukuka, atasema Siku ya ufufuo, "Wako wapi wale walionnipenda kwa utukufu Wangu?
Leo nitawafunika kwa kivuli changu siku ambayo hakuna kivuli isipokuwa kivuli Changu Mimi

‫ َأنَّهُ قَا َل قَا َل َرسُو ُل هَّللا ِ صلى هللا‬،َ‫ار ع َْن َأبِي هُ َر ْي َرة‬
ٍ ‫ َس ِعي ِد ْب ِن يَ َس‬،‫ب‬ ِ ‫ ع َْن َأبِي ْال ُحبَا‬،‫ ع َْن َع ْب ِد هَّللا ِ ب ِْن َع ْب ِد الرَّحْ َم ِن ب ِْن َم ْع َم ٍر‬،‫ك‬
ٍ ِ‫َو َح َّدثَنِي ع َْن َمال‬
‫ُأ‬
. " ‫عليه وسلم " ِإ َّن هَّللا َ تَبَارَكَ َوتَ َعالَى يَقُو ُل يَوْ َم ْالقِيَا َم ِة َأ ْينَ ْال ُمتَ َحابُّونَ لِ َجالَلِي ْاليَوْ َم ِظلُّهُ ْم فِي ِظلِّي يَوْ َم الَ ِظ َّل ِإالَّ ِظلِّي‬

Muwatta Malik 51, Hadithi 1745

➖➖➖➖➖➖➖➖➖ASALAAM ALEIKUM

You might also like