You are on page 1of 3

VIFURUSHI VYETU

VIJANA NA UTUMISHI tuna vifurushi aina nne (4)

ambavyo ni;

 VITABU
IJUE VIJANA NA UTUMISHI


MWONGOZO
SEMINA

 VIPINDI VYA MAHOJIANO

 VIPINDI VYA USHAURI KWA


WAGENI
Tunatoa vitabu, tunafanya semina na vipindi

vya mahojiano na ushauri kwa vijana. Kupitia

majukwaa yetu tunaweza kuwafikia vijana

wote na kugusa maisha yao.

Tunatoa mwaliko kwa wachungaji na wa-

tumishi wa Mungu mbalimbali kufanya nao

vipindi vya mahojiano na ushauri. Lakini,

kwa vijana wenye vipaji vya uandishi,

tunatoa mwaliko wa kufanya kazi na sisi,

vitabu vyao vifike kwa wengi. VIJANA NA UTUMISHI


ARUSHA, TANZANIA
Phone: 0764771298
MARCH, 2018
Email: vijanautumishi@gmail.com

1
KUHUSU SISI MAJUKUMU UANACHAMA
VIJANA NA UTUMISHI ina majukumu makuu manne (4)
Kuna ngazi tatu za uanachama ambazo ni;
kama ifuatavyo;
VIJANA NA UTUMISHI ni Taasisi yenye misingi ya NGAZI YA “COMPREHENSIVE”
kipentekoste iliyoanza tangu mwishoni mwa 1. Kutayarisha na kutoa vitabu
Ni ngazi ya juu ya uanachama. Mwanachama kati-
mwaka 2014 mahsusi kumjenga kijana kiu- 2. Kufundisha Neno la Mungu, na kutoa jumbe fupi
ka ngazi hiii atapata mambo yafuatayo;
tumishi katika usafi na utakatifu. fupi za kumjenga kijana
1. Kushiriki vikao vya ndani
Inalenga kuwa mahali pekee kwa kijana kuachilia 3. Kutengeneza mazingira mazuri kwa kijana kutumia
na kutumia karama na kipaji alichonacho. karama na kipaji chake kupitia matamasha mba- 2. Kupata nafasi za uongozi

DIRA limbali 3. Masomo yao kuchapishwa

Kutoa/kuandaa jukwaa zuri kwa vijana kuachilia 4. Kufanya vipindi vya mahojiano na watumishi wa 4. Kutoa maoni na mapendekezo
na kutumia karama na kipawa walivyo navyo kwa Mungu vitakavyowajenga vijana kupitia shuhuda
5. Kupata nafasi ya ushirikia katika programu
utukufu wa Mungu. na uzoefu wao.
zote muhimu
DHIMA UGUSAJI WA JAMII
VIJANA NA UTUMISHI inatoa mchango wake kwa jamii
Kumjenga kijana kiutumishi kupitia mafundisho
kwa kufanya mambo mawili (2) makubwa; NGAZI YA ‘ASSOCIATIVE”
ya Neno la Mungu, kutoa vitabu, kufanya semina
na makongamano, kuandaa mahojiano na kutoa 1. Kutoa mkono wa shirika kwa wachungaji Ni ngazi ya kati ya uanachama. Mwanachama

ushauri ili kumtumikia Mungu wanaoanza huduma hasa kwa maeneo ya vijijini katika ngazi hiii atapata mambo yafuatayo;

MAADILI YA MSINGI 2. Kufanya huduma ya masaidiano kwa watoto yati- 1. Masomo yao kuchapishwa

ma, wajane na watu waishio mazingira magumu 2. Kutoa maoni na mapendekezo


1. UTAKATIFU
KAULIMBIU 3. Kupata nafasi ya ushirikia katika program
2. UTUMISHI
Tuna kaulimbiu mbili ambazo ni; zote muhimu
3. UMOJA
1. Kijana leta mguso
ARUSHA, TANZANIA
2. Mahali kijana anajengwa kiutumishi
Phone: 0764771298
Email: vijanautumishi@gmail.com

2
NGAZI YA “AMATEURISH”

Ni ngazi ya chini kabisa ya uanachama. Mwa-


nachama katika ngazi hiii atapata mambo yafu- TUNAWAFIKIAJE VIJANA?
atayo;
VIJANA NA UTUMISHI, katika kuwafikia vijana wengi,
1. Kutoa maoni na mapendekezo tuna akaunti katika mitandao ya jamiii. Zifuatazo ni
2. Kupata nafasi ya ushirikia katika baadhi ya akaunti zetu ambazo unaweza kutembelea wakati
programu wowote;

1. Facebook

UNAKUWAJE MWANACHAMA? 2. Twitter

Itahesabika kama mwanachama baada ya kujaza 3. Instagram


fomu ya uanachama na kukubali masharti na Andika tu jina VIJANA NA UTUMISHI na bonyeza kifute
vigezo vya kuwa mwanachama. cha kutufatilia.
VIgezo na masharti atapewa yule tu aliyejaza Lakini pia, tuna blogu yetu ambayo kiunganishi chake
fomu ya uanachama. ni vijananautumishi.wordpress.com. Tembelea leo na
utakuta ziko Makala nyingi na masomo ya kutosha kwa
ajili yako.

T U FAT I L I E
ARUSHA, TANZANIA

Phone: 0764771298
Email: vijanautumishi@gmail.com

You might also like