You are on page 1of 36

SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH

SOUTH NYANZA CONFERENCE


IDARA YA MAWASILIANO

SEMINA ZA IDARA YA

MAWASILIANO
2023
“ LAKINI WEWE, EE DANIELI,
YAFUNGE MANENO HAYA,
UKAKITIE MUHURI KITABU, HATA
WAKATI WA MWISHO; WENGI
WATAENDA MBIO HUKO NA
HUKO, NA MAARIFA
YATAONGEZEKA.
Daniel 12:4
“ HABARI NJEMA HII YA
UFALME ITAHUBIRIWA
KATIKA ULIMWENGU
WOTE, KUWA
USHUHUDA KWA
WATU WOTE

Mathayo 24:14
KATIKA AGIZO KUU LA UTUME ,
YESU ANASEMA UTUME WA
KANISA NI “KUFANYA MATAIFA
YOTE KUWA WANAFUNZI
WAKE”(MATHAYO 28:19).
UJUMBE WA MALAIKA WATATU
UNAOPATIKANA KATIKA UFUNUO 14:6-12 NI
MSINGI SANA KWA KANISA LA
WAADVENTISTA WA SABATO HIVI KWAMBA
NI SEHEMU YA UTUME WA KANISA.

JUMBE ZA MALAIKA WATATU ZIMEKUWA


KIINI CHA UJUMBE NA UTUME WA
WAADVENTISTA WA SABATO TANGU
MWANZO WA HARAKATI HII.
IDARA YA MAWASILIANO HUHAMASISHA
UTUMIAJI WA PROGRAMU THABITI YA
UHUSIANO NA MBINU ZOTE ZA KISASA ZA
MAWASILIANO, TEKNOLOJIA ENDELEVU
IDARA YA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA
MAWASILIANO KUENEZA INJILI.

Jenga Madaraja Ya Matumaini


~ MWONGOZO WA KANISA (TOLEO 2010) UK 104.
• Mchungaji anayekufikia bila hodi ‘siku
365’
• Mjumbe anayeeleweka haraka
• Haichagui wakati, wala msimu wala rika
• Inashurikisha kila mtu kwa ajili ya
TEKNOLOJIA uinjilisti
Mchungaji Asiye Na Mipaka
• Inavyo vivutio vyote vinavyogusa Hisia
• Inayo kasi kubwa – kuruka
• Gharama ndogo matunda mengi
• Teknolojia ya mawasiliano imebadilisha
njia tunayoishi na kuwasiliana na kila
mmoja wetu. Je, tunawezaje kutumia
teknolojia ya habari ili kuimarisha utume
wa kanisa letu?

TEKNOLOJIA • Hatupaswi kukwepa teknolojia. Ikiwa

Mchungaji Asiye Na Mipaka


Mungu ametubariki kwa akili na
maendeleo ya kiteknolojia, basi
tunapaswa kutumia hiyo teknolojia kwa
utukufu wa Mungu
Inatupasa kutumia kila njia iliyo halali
kuleta nuru kwa watu. Vyombo vya Habari
vitumike, kila shirika la matangazo
litakalovuta usikivu juu ya kazi ya Mungu”
6T, 36.pg

NUKUU ZA “Njia zitabuniwa za kuifikia mioyo, baadhi


E.G.WHITE ya njia zitumikazo katika kazi hii zitakuwa
Juu ya Teknolojia
tofauti na njia zilizokuwa zikitumika
zamani. 6T, pg 37.
TEKNOLOJIA & UTUME
Mungu hutumia njia tofauti kuwafikia
watu wake. Kupitia teknolojia, kuna
fursa zaidi ya kushiriki injili na wengine.

Kupitia Maendeleo ya teknolojia


tunaweza kutengeneza tovuti,
Tunaweza kushiriki imani yetu kupitia
machapisho ya blogu, kupitia redio,
Facebook, Twitter, TV, YouTube, n.k
TEKNOLOJIA & UTUME
• Vyombo vya mawasiliano vina uwezo mkubwa wa kuimarisha
usambazaji wa Injili na uundaji wa hekima ya Kikristo katika enzi
mpya ya habari.
• Kuja kwa mtandao kumesababisha makutaniko kutumia
teknolojia ya kompyuta kuimarisha na kukuza huduma zao kama
vile kuabudu, ushirika, uchungaji, elimu, uinjilisti wa misheni.
• Teknolojia imechukua nafasi kubwa katika kueneza habari njema
ya Injili.
KUELEKEA IMPACT 2025
KUTOKA WATAZAMAJI HADI KUWA WAFANYA WANAFUNZI
IMPACT 2025 NI NINI?
Ni mpango wa Utume wa Dharura ndani ya Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati
wenye kiini chake katika Imani yetu ya kuwa Yesu Kristo anakuja upesi sana na kila
mshiriki anapaswa kuhusika kikamilifu kuufikia ulimwengu na ujumbe uuokoao
wa malaika wa tatu. Mpango huu una mikazo minne ambayo ni;

MKAZO 1 MKAZO 2 MKAZO 3 MKAZO 4

UINJILISTI: KUONGEZA UAMINIFU: KUFIKIA UAMSHO NA MATENGENEZO: KUBADILI TASWIRA:


IDADI YA WASHIRIKI MARA MBILI YA IDADI KUWAANDAA WASHIRIKI KUHUSIKA KATIKA
KUFIKIA MARA MBILI YA YA WAAMINIFU KIKAMILIFU KUKUTANA NA KUHAKIKISHA
IDADI YA SASA IFIKAPO WALIOPO SASA BWANA WAO ANAEKUJA MAKANISA NA TAASISI
2025 IFIKAPO 2025. UPESI SANA. ZETU ZINAKUA BORA.
NAFASI YA IDARA YA MAWASILIANO KATIKA
MALENGO KUFIKIA IMPACT 2025
• Makanisa yote kuwa na vibao elekezi kwa
kiwango sahihi
• Washiriki wanaosikiliza na kualika marafiki
kufuatilia TV na Radio.
• Kuwe na mazingira nadhifu kwenye kila kitu.
• Mpangilio wa matukio ya ibada bora.
• Kuwa na mbinu madhubuti za kukuza
matukio ya kiinjilisti.
• Jihusishe kwa makundi sogozi kutoa mafunzo.
TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO VINAFAAJE
KWA IMPACT 2025
• Njia inayoweza kumshirikisha kila mtu kwa ajili ya
uinjilisti.
• Inavyo vivutio vyote vinavyogusa Hisia
(multimedia).
• Inasambaa kwa kasi Zaidi ya njia nyingi za
kawaida.
• Inatumia gharama ndogo kwa matunda mengi
• Mrejesho wakati wote (Shares, Likes, Subscribes,
Rates & Comments) yeyote anaweka ushawishi.
• Kiunganishi kwa idara zote.
• Uwezo wa kuhifadhi ili kurejerea.
• Inabeba asilimia kubwa ya vijana na umri wa kati.
TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO VINAFAAJE
KWA IMPACT 2025
• Chagua watu (Vijana) wanaopenda teknolojia ya mawasiliano na
habari na wapewe kazi na mafunzo yatakayo wawezesha kutumika
vyema makanisani.
• Kumhusisha mratibu wa idara ya mawasiliano kwa program
kanisani.
• Jiunge na fuatilia mifumo na mitandao mingine ya kanisa
• Jihusishe katika mikutano ya GAiN na ile ya uinjilist ya NET Event.
• Hamasisha washiriki kusikiliza na kutumia vyombo vya Habari vya
kanisa.
• Tumia radio zilizoko Jirani kuweka matangazo yahusuyo makanisa
yetu.
• NjooMedia centre rekodi mahubiri
• Toa taarifa na kutuma visa na shuhuda katika media center yetu
(Hope Media SNC)
HUSISHA KANISA LAKO KWA KUFANYA
MAMBO YAFUATAYO
• Weka anuani ya kanisa lenu kwenye Google
Address na Google Maps.
• Weka taarifa za kanisa katika kurasa za
mitandao ya kijamii (Facebook, Twitter,
Instagram etc)
• Weka masomo na Mahubiri ya kanisa lako
katika YouTube.
• Ushuhuda wa Hope at Home.
• Ongeza ubora wa ibada kwa kutumia
teknolojia za projection na mifumo bora ya
usikivu.
MUELEKEO WA IDARA 2025
KUJENGA MADARAJA YA MATUMAINI & UTUMISHI
UINJILISTI
Kutumia rasilimali zote zilizo ndani ya
uwezo wetu kuhakikisha tunafikia lengo la
Impact 2025 la kufikisha mara mbili ya
idadi ya washiriki katika SNC.

Hii inahusisha matumizi ya Media Center


na Mitandao ya kijamii na tovuti ya
Conference.
KUFIKIKA KWA MAKANISA
Kuhakikisha makanisa yetu yanafikika
kirahisi kwa kuhakikisha yanakua hai kote
katika mazingira yao na katika majukwaa
ya kidigitali.

Hii inajumuisha matumizi ya Mabango,


Tovuti za Makanisa na Taasisi pamoja na
matumizi ya Google Maps kwa makanisa
yote.
MAFUNZO & MIKUTANO
Uhamasishaji wa kutosha kwa washiriki
kuhudhuria katika mikutano ya mafunzo
kwa njia mbalimbali ikiwemo uandaaji wa
matangazo, Makala, vipindi nk
vitakavyokua vikielezea umuhimu wa
mikutano hii kwa makanisa na mshiriki
mmojammoja. Kushirikiana na wachungaji
kuandaa mpango mkakati wa kuchagua
wajumbe kila mwaka.

Mikutano hii inajumuisha mikutano ya


GAiN, Cinematography, Semina na
mingineyo.
MIKUTANO YA NET EVENTS
Kuandaa matangazo ya NET Events
mapema na kuyasambaza kwa njia
mbalimbali. Kushiriki vikao vyote
vinavyohu- siana na maandalizi ya
mikutano ya NET Event. Kuandaa tovuti
maalum kwa ajili ya NET Events.
Kuandaa mfumo mzuri na rahisi wa
ukusanyaji wa taarifa za NET Event.
UINJILISTI WA KIDIGITALI
(DIGITAL EVANGELISM)
TULIPO SASA
• TAYARI KUNA TOVUTI YA JIMBO INAYOENDELEA
KUFANYA KAZI HUKU TUKIZIDI KUJAZA TAARIFA.
• KURASA ZETU KWA UJUMLA ZINA WAFUASI ZAIDI
YA 15,000 NA TUNAKUSUDIA KUWAONGEZA ZAIDI.

Website: www.sncadventist.or.tz
Twitter: @sncadventist
Instagram: @snc_Adventist
Facebook: South Nyanza Conference of SDA
Youtube: Hope Media SNC.
JINSI MITANDAO YA KIJAMII INAVYOFANYA
KAZI NA KILE KINACHOTOKEA SASA

Juma ni rafiki wa kulwa


Juma anagundua Asha ni rafiki wa Kulwa
Juma anatuma ugeni kwa Asha ili awe rafiki
Asha anamkubali Juma akiamini kwamba
Kulwa ndiye aliyependekeza rafiki huyo mpya
Asha anadhani kumkataa Juma
kungemuumiza rafiki yake Kulwa

Tunapaswa kutambua mahusiano yana


nguvu na kuutumia ufahamu huu
kuwatambulisha Rafiki zetu kwa Mungu.
DONDOO ZA MUHIMU TUNAPOTENGENEZA
MAUDHUI KWA AJILI YA MITANDAO YETU
• Maudhui yetu yanapaswa kufuata misingi
ya Neno la Mungu.
• Kama hapatoonekana hitaji la muhimu,
inashauriwa kwa idara na vikundi vyote
vilivyo ndani ya kanisa husika kutumia
akaunti moja kwa kila mtandao wa kijamii
hii itasaidia kurahisisha usimamizi na
kuhakikisha udhibiti wa aina wa maudhui
yanayowekwa mtandaoni.
• Maudhui yetu yanapaswa kuwa zaidi ya
taaarifa na matangazo. Tunapaswa
kutengeneza Zaidi maudhui yatakayo
wasogeza wafuatiliaji wetu karibu na
msalaba wa Kalvari.
DONDOO ZA MUHIMU TUNAPOTENGENEZA
MAUDHUI KWA AJILI YA MITANDAO YETU
• Zingatia matumizi ya rangi, logo na fonts
kama yalivyoainishwa katika miongozo ya
utambuzi ya waadventista wa sabato
ulimwenguni (www.adventist.design/)
• Hakikisha kunakuwepo na uthabiti
(consistency) ya chapa na maudhui yanayo
wekwa katika kurasa zetu za mitandao.
• Lugha inayotumika katika maudhui yetu
inapaswa kuwa ya staha yenye
kumwakilisha Kristo.
MASWALI YA KUJIULIZA KABLA HAUJAPOST
LOLOTE KWENYE MITANDAO
• Kwa nini nina post?
• Walengwa ni akina nani
• Je watakaoumizwa watapozwaje nafisi?
• Je mtu atanitofautishaje mimi na post?
• Je nimeelewa feedback pande zote mbili?
• Je kwa post zangu nimelinda sura (Image/
Reputation) yangu, ya Kanisa au Taasisi
yangu?
VIFAA (TOOLS) MUHIMU ZA KAZI KWA AJILI
YA UINJILISTI WA MITANDAO
• Digital Diary kuweka matukio Mfano;
Google Calendar.
• Recorder (Camera, Simu, Microphones etc)
• Computer.
• Programu tumishi mbalimbali
• Internet
BAADHI CHANGAMOTO ZINAZOWEZA KUZUIA
KAZI YA UINJILISTI WA MITANDAO
• Matangazo yapitayo huharibu
• Uraibu
• Kuingililiwa na usogozi
• Kukosa utulivu wa jambo
• Kutaka vitu vya viwango mno
• Ugumu wa kulisimamia kanisa la
mtandaoni
• Ni rahisi kujivika vazi la kondoo- wezi
• Kuzalisha waumini wasioshikika volatile
• Mjadala na siri zote huachwa wazi
• Maamuzi yanafanyika mezani, Kukosoa
• Fedha .etc
Thanks!

BWANA AWABARIKI
Yesu Anakuja upesi! Tujihusishe

©Mawasiliano SNC, 2023.

You might also like