You are on page 1of 1

Je, Unajua Chaguo Lako la

Mbinu za Kupanga Uzazi?


Mtoa huduma wako wa mpango wa uzazi anaweza
2017
Imerekebishwa kujumuisha
mwongozo wa Shirika la
kukusaidia. Tafadhali uliza! Afya Duniani hadi

Kipandikizi Kitanzi chenye Kufunga Kizazi


Madini ya Shaba Vasektomi
Wanawake

• Kijiti kimoja au 2 vidogo vya plastiki au kapsuli • Kiplastiki kidogo kilicho na madini ya shaba au • Imekusudiwa kuwa ya kudumu. Inawafaa • Imekusudiwa kuwa ya kudumu. Inawafaa
vinavyoingizwa chini ya ngozi ya mkono wa homoni, huwekwa ndani ya kizazi cha wanawake ambao wana uhakika kuwa wanaume ambao wana uhakika kuwa
mwanamke. Hatahitajika kufanya lolote mwanamke. hawatahitaji watoto zaidi. Fikiria kwa makini hawatahitaji watoto zaidi. Fikiria kwa makini
akishawekewa vipandikizi. • Kina ufanisi mkubwa, unaweza kubadili kwa kabla ya kufanya uamuzi. kabla ya kufanya uamuzi.
• Vinafanya kazi kwa ufanisi kwa miaka 3 hadi 5, mbinu nyingine na ni mbinu ya muda mrefu. • Inafanya kazi kwa ufanisi (lakini ufanisi wake • Tumia mbinu nyingine kwa miezi 3 ya mwanzo,
kulingana na aina ya vipandikizi. Kitanzi cha aina ya TCu-380A cha shaba hufanya haufikii 100%). mpaka vasektomi ianze kufanya kazi.
• Inaweza kutumiwa katika umri wowote hata kama kazi kwa kipindi cha miaka 12. LNG-IUD ya • Inajumuisha kukaguliwa afya na upasuaji ni • Inafanya kazi vizuri sana baada ya miezi 3 (lakini
mwanamke alishazaa au hajazaa watoto. homoni inaweza kutumiwa kwa miaka 3 au 5. salama na rahisi. Kwa kawaida hufanyika ufanisi wake haufikii 100%).
• Mwanamke anaweza kumwendea mtoa huduma za • Kinaweza kuwekwa baada ya kujifungua na pia mwanamke akiwa macho. Hupewa dawa ya • Upasuaji ni salama, rahisi na usio na usumbufu.
afya mwenye utaalamu amtoe vipandikizi wakati wakati mwingine. kuzuia maumivu. Hufanywa kwa dakika chache. Hupewa dawa ya
wowote. Baadaye anaweza kupata mimba bila • Maumivu kidogo wakati wa kuingiza. Ukitumia • Maumivu na uvimbe unaweza kuendelea kwa kuzuia maumivu.
kuchelewa. kitanzi cha madini ya shaba hedhi inaweza kuwa siku chache baada ya upasuaji. Matatizo • Maumivu, uvimbe au mchubuko unaweza
• Anaweza kupata hedhi kidogo isiyotabirika, au nzito na ya muda mrefu haswa mwanzoni. makubwa hutokea kwa nadra. kuwepo kwa siku chache. Wanaume wachache
hedhi ya matone au anaweza kukosa hedhi. Haina Ukitumia LNG-IUD hedhi haiwi nzito na • Haina madhara ya muda mrefu. Haiathiri uwezo huwa na maumivu ya kudumu.
madhara. husaidia kuzuia anemia (damu yenye madini au hamu ya ngono.
kidogo ya chuma). • Haiathiri uwezo au hamu ya ngono.
• Salama wakati wa kunyonyesha maziwa ya mama. • Inaweza kufanyika muda tu baada ya kupata
• Matatizo makubwa hutokea kwa nadra. Ugonjwa mtoto, kama vile wakati mwingine.
wa nyonga hutokea mara chache kama
mwanamke alikuwa na ugonjwa wa ngono
wakati wa kuwekwa kitanzi. Vidonge Vyenye Vidonge Vyenye
• Kinaweza kujitoa chenyewe, haswa mwanzoni. Vichocheo Viwili Kichocheo Kimoja
Sindano • Mwanamke anaweza kupata mimba mara moja
baada ya kutoa kitanzi. • Ina ufanisi na mwanaume anaweza kuzalisha bila • Chaguo bora kwa kinamama
kuchelewa. wanaonyonyesha ambao wanataka kutumia
• Yenye ufanisi na salama.
• Meza kidonge kimoja kila siku na anza pakiti vidonge.
• Sindano moja kila miezi 3 (Wiki 13) pamoja na mpya kwa wakati ili kupata mafanikio makubwa
DMPA, kila miezi 2 pamoja na NET-EN. Rudi • Vina ufanisi mkubwa wakati wa kunyonyesha
zaidi. na anaweza kupata mimba bila kuchelewa
hata kama umechelewa wiki 4 kwa DMPA, au
wiki 2 baadaye kwa NET-EN, na bado unaweza • Hedhi isiyotarajiwa au ya matone inaweza ataacha kuvimeza.
kuchoma sindano inayofuata. kutokea, hasa mwanzoni. Haina madhara. Damu • Meza kidonge kimoja kila siku ili viwe na
ya hedhi inakuwa nyepesi na ya mara kwa mara ufanisi mkubwa.
• Unaweza kuchomwa sindano nje ya zahanati,
katika jamii. Njia ya kunyonyesha baada ya miezi michache.
• Kama hanyonyeshi, kuna uwezekano wa
• Baadhi ya wanawake hupata maumivu kidogo ya kupata hedhi kidogo na isiyotabirika. Haina
• Kupata hedhi ya matone au isiyotabirika hutokea kichwa, mabadiliko ya uzito, tumbo kuvurugika,
mara nyingi katika miezi michache ya mwanzo, madhara.
• Mbinu ya mpango wa uzazi inayohusu hasa mwanzoni. Haya kawaida huisha.
na kisha mara nyingi hutokea kukosa hedhi.
Kuongezeka uzito kwa haraka, maumivu kidogo kunyonyesha maziwa ya mama, kwa kipindi • Ni salama kwa karibu kila mwanamke. Madhara
ya kichwa. Haina madhara. kisichopungua miezi 6 baada ya kujifungua. makubwa hutokea kwa nadra sana.
• Ni mbinu yenye siri. Watu wengine hawawezi • Mwanamke anayenyonyesha hutumia LAM
wakati:
• Inaweza kutumiwa katika umri wowote hata
kama mwanamke alishazaa au hajazaa watoto. Mbinu za Kubaini
kujua kama mwanamke anatumia mbinu hii.
• Inaweza kutumiwa katika umri wowote hata - Mtoto wake anapata chakula kidogo au hapat • Husaidia kupunguza maumivu ya tumbo wakati Siku Hatari za
kama mwanamke alishazaa au hajazaa watoto. chakula au kinywaji isipokuwa maziwa ya mama, wa hedhi, wingi wa damu ya hedhi, anemia (damu Kushika Mimba
na hunyonyesha mara kwa mara usiku na yenye madini kidogo ya chuma), hali nyingine. Ikiwemo Mbinu za Siku Wastani
• Sindazo zikiacha kutumiwa, mwanamke anaweza mchana, na
kupata mimba. Baada ya sindano za miezi 3 • Mwanamke hujifunza kubashiri wakati ambao
inaweza kuchukua miezi michache zaidi. - Bado mzunguko wa kawaida wa hedhi anaweza kushika mimba katika mzunguko wake
haujarudi, na wa hedhi.
• Njia hii ni salama wakati wa kunyonyesha
maziwa ya mama, kuanzia wiki 6 baada ya - Mtoto wake ana umri chini ya miezi sita. • Wakati ambao una hatari ya kupata mimba
kujifungua. • Mwanamke apange kutumia mbinu ya LAM, kabla Kiwambo chenye wapenzi huepuka kujamiiana, au hutumia mbinu
ya muda wa kutumia mbinu ya kunyonyesha
• Sindano za kila mwezi zinapatikana. Kwa kutumia
haujapita
Dawa ya Povu na Jeli nyingine kama vile kondomu.
sindano za kila mwezi kama vile Cyclo-Fem, • Inaweza kuwa na ufanisi kama itatumiwa kwa
hedhi hutoka kidogo na hutoka kwa kipindi usahihi. Hata hivyo, kwa kawaida ufanisi wake ni
• Mwanamke huweka kiwambo ndani ya uke kila
kifupi au mara chache zaidi. Hedhi inaweza kuwa wastani.
mara kabla ya kujamiiana. Anaweza kufanya hivi
ya matone na isiyotabirika. • Inahitaji wenza kuwa na ushirikiano kwa karibu.
mapema.
Kondomu • Inafanya kazi vizuri kama itatumiwa kwa usahihi kila • Haina madhara ya kimwili.
wakati. • Mbinu fulani zinaweza kuwa na ugumu kutumia
• Kwa kawaida, lazima mwanamke afanyiwe wakati mama ana homa au maambukizi ya njia ya
• Husaidia kuzuia mimba na magonjwa mengine ya uchunguzi ili aweze kupata kiwambo chenye kizazi, baada ya kujifungua mtoto au wakati
ngono (Magonjwa ya ngono), ikiwa ni pamoja na ukubwa sahihi. akinyonyesha.
Vidonge Vya Dharura vya VVU/UKIMWI, kama itatumika kwa usahihi kila • Mara nyingi husababisha maambukizo ya kibofu.
Kuzuia Mimba mara.
• Husaidia kuzuia mimba kama vitamezwa ndani • Ili kupata kinga dhidi ya Magonjwa ya Ngono/VVU,
ya siku 5 baada ya ngono isiyo salama au baadhi ya wenza hutumia kondomu pamoja na Baadhi ya Mbinu Haziruhusiwi Kutumiwa Kama Una Hali Fulani ya Kiafya
ukifanya makosa katika mbinu za mpango wa mbinu nyingine za kupanga uzazi.
uzazi. • Rahisi kutumia kwa zoezi kidogo. Hali Mbinu Ambazo Haziruhusiwi
• Ni salama kwa wanawake wote. • Inafanya kazi vizuri kama itatumiwa kwa usahihi kila Vidonge Vyenye vichocheo Viwili (COCs). Kama unavuta sigara
wakati. Hata hivyo, mara nyingi haitumiwi kila Kuvuta sigara na umri wa miaka 35 na zaidi
• Haviharibu mimba au kumdhuru mtoto kama sana tumia sindano za kila mwezi.
mwanamke tayari ana mimba. wakati.
• Mbinu za kupanga uzazi za mara kwa mara • Baadhi ya watu wanapinga kwa kusema kuwa Vidonge Vichocheo Viwili, sindano za kila mwezi. Kama una
kondomu inavuruga tendo la ngono, inapunguza Shinikizo kubwa la damu
huwa na ufanisi zaidi. Tafadhali fikiria kuhusu shinikizo kubwa la damu tumia sindano za kila miezi 2 na 3.
kuanza mbinu nyingine sasa. hisia, au inawaaibisha. Kuzungumza na mwenza
wako kunaweza kusaidia. Kama unanyonyesha maziwa ya mama muda Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili, sindano za kila mwezi
wote au kiasi kikubwa kwa miezi 6 ya kwanza

Kama unanyonyesha maziwa ya mama kwa Tumia sindano kila miezi 2 na 3


wiki 6 za kwanza
Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili, sindano za kila mwezi. (Vidonge

Kulinganisha Ufanisi wa Mbinu za Kupanga Uzazi Siku 21 za mwanzo baada ya kuzaa, hunyonyeshi Vyenye Vichocheo Viwili na sindano za kila mwezi za kunyonyesha
haziruhusiwi kwa wiki 6 za mwanzo baada ya kujifungua ikiwa kuna
sababu maalum kuwa unaweza kupatwa na mgando wa damu katika
Zenye ufanisi mshipa wa ndani (YTE). Migando hii ya damu inaweza kutokea kwa
zaidi Jinsi ya kufanya mbinu miezi kadhaa baada ya kujifungua mtoto.) Subiri hadi wiki 6 baada ya
Chini ya mimba unayotumia iwe na ufanisi kujifungua mtoto ili daframu ikae vizuri.
1 kwa kila wanawake
100 katika mwaka zaidi: Baadhi ya magonjwa makubwa yasiyo ya kawaida ya Vidonge vyenye vichocheo viwili, sindano,Vidonge vyenye kichocheo
mmoja Vipandikizi, Kitanzi, kufuma kizazi moyo, mishipa ya damu, au ini, au saratani ya matiti kimoja, vipandikizi. Muulize mtoa huduma za afya.
mwanamke: Baada ya upasuaji, huhitajiwi
kufanya au kukumbuka lolote Vidonge vyenye vichocheo viwili na sindano za kila mwezi. Muulize
Vasektomi: Tumia mbinu nyingine Kipandauso (kichwa kuuma sana)
mtoa huduma za afya.
Vipandikizi Kitanzi kufuma kizazi Vasektomi kwa miezi 3 ya mwanzo
mwanamke Kipandauso chenye kuleta kifafa (wakati fulani
Vidonge vyenye vichocheo viwili na sindano za kila mwezi. Muulize
utaona mwanga mkali kwenye jicho moja), katika
Sindano: Choma sindano za kurudia umri wowote
mtoa huduma za afya.
kwa wakati
Mbinu ya kunyonyesha (kwa Ugonjwa wa kibofu cha nyonga Vidonge vyenye vichocheo viwili. Muulize mtoa huduma za afya.
miezi 6): Nyonyesha mara kwa mara,
mchana na usiku Hali fulani zisizo za kawaida kwa viungo vya
mwanamke Kitanzi. Muulize mtoa huduma za afya.
Vidonge: Meza vidonge kila siku
Sindano LAM Vidonge Kibandiko Pete Kibandiko, pete: Weka inapotakiwa,
ndani uke kumbuka kubadili kwa wakati Kitanzi. Tumia kondomu hata kama unatumia mbinu nyingine.
Magonjwa ya seviksi ya ngono, hatari kubwa ya
mhusika kupata maambukizo ya magonjwa haya; Wanawake wenye VVU, pamoja na wanawake wenye UKIMWI na wale
Kondomu za wanaume, kiwambo: ugonjwa wa uvimbe wa nyonga, au UKIMWI wanaopata tiba, wanaweza kutumia kwa kawaida mbinu yoyote ya
Tumia kwa usahihi kila wakati unapofanya
ngono kupanga uzazi. (Hizi ni pamoja na Kitanzi, kwa mwanamke mwenye
Mbinu za kubaini siku hatari za UKIMWI, kama anaendelea na matibabu na anaendelea vizuri.)
kushika mimba: Jizuie kufanya ngono
au tumia kondomu wakati ambao unaweza Mimba inayojulikana Hakuna mbinu inayohitajika.
Kondomu za kiwambo Mbinu za kubaini
kushika mimba. Mbinu mpya zaidi (Mbinu
wanaume siku hatari za ya kuhesabu siku na mbinu ya Ute) zinaweza Kumbuka: Pia tafuta ushauri wa shirika la viwango la kitaifa kwa ajili ya mwongozo zaidi
kushika mimba kuwa rahisi kutumia. Kwa maelezo zaidi kuhusu mbinu za kupanga uzazi, watoa huduma za afya wanaweza kusoma kitabu cha Mpango wa Uzazi: Mwongozo kwa Watoa Huduma za Afya Duniani. Watoa
huduma za afya wanaweza kupata mwongozo huu pamoja na nakala zaidi za chati hii kutoka kwa K4Health, Johns Hopkins Center for Communication Programs (JHCCP), 111 Market
Zenye ufanisi Kondomu za kike, kushusha kando, Place, Suite 310, Baltimore, Maryland 21202, USA; barua pepe: orders@jhuccp.org. Chati hii imerekebishwa na kuchukua nafasi ya matoleo yaliyotangulia yaliyochapishwa. Chati hii

mdogo zaidi dawa ya povu na jeli: Tumia kwa usahihi imeweza kutengenezwa kwa msaada kutoka kwa United States Agency for International Development, Global, GH/PRH/PEC, chini ya masharti ya Makubaliano ya Ushirikiano Namba
AID-OAA-A-13-00068. Marekebisho © 2017, Johns Hopkins Center for Communication Programs
kila wakati unapofanya ngono
Kunatokea karibu mimba
20 kwa kila wanawake Kondomu kushusha Dawa ya Ilichapishwa
100 katika mwaka mmoja za kike kando povu na jeli Mei 2017

You might also like