Professional Documents
Culture Documents
19. Ukomo wa Ununuzi wa Hisa Kiwango cha mwisho cha kununua hisa ni Tsh
250,000/= kwa week.
20. Mwanakikundi kutokuchangia mawazo online Tshs 5,000
21. Mwanakikundi kukataa kutoa faini Atalipa mara mbili ya faini
Kiongozi wa Nidhamu atasimamia hili
22. Gawio/ Faida italipwa kwa wanakikundi wote Zitagawiwa kulingana na Hisa za mwanachama
kulingana na hisa na mwisho wa daraja la mikopo
kufungwa.
23. Kufukuzwa kwa mwanakikundi kwa makosa yatakayo Atakatwa 10% ya Hisa zake na kurejeshewa hela
ainishwa na wanakikundi/ au kwa azimio la Zake
wanakikundi kwa pamoja
24. Mwanakikundi akifariki Madeni yake yatafutwa
Fedha zake atapewa mrithi wake
Bima ya wanakikundi kutoka bank itacover.
Kikundi kitatoa Taji, Sanda
Mrithi anaweza kua mwanachama
akikidhi vigezo
25. Mwanakikundi akipatwa na msiba wa Rambi rambi itatolewa kutokana na policy ya Bima
Mume au Mke tutakayo jiunga.
Mtoto
Mzazi
26. Mwanakikundi kutokuhudhuria mambo ya jamii Tshs 20,000
27. Mwanachama akijifungua Kila mwanakikundi atachangia Tshs 10,000
28. Mwanachama akiwa na harusi . Kila mwanakikundi lazima kuchangia
mchango wa harusi
. Kila mwanakikundi atachangia zawadi
20,000
41. Mkopo wa Dharula ni wa mwezi na kiwango chake ni Mwisho wa kuchukua mkopo wa dharula ni mara 2.
Tsh 200,000 bila riba na huu mkopo unarudishwa ndani
ya mwezi Mmoja.
42. Wanakikundi kwa pamoja watatembelea watoto Kila mwanakikundi atachangia Tsh 20000/=
wasiojiweza kila mwisho wa mwaka.
43. Mwanakikundi akishindwa kurejesha mkopo, Pamoja na mali alizoorodhesha endepo hisa
atakatwa hisa zake pamoja na wadhamini wake hazitatosha.
VIONGOZI