You are on page 1of 8

GHARAMA YA FOMU NI SHILINGI 10,000/=

CHUO CHA NEMAHUHAI KILICHOSAJILIWA NA NACTE KWA NAMBA REG./HAS/145 NA


KUTAMBULIWA NA TNMC AMBACHO KINATOA MAFUNZO YA UUGUZI NA UKUNGA
NGAZI YA CHETI. PIA KINATAMBULIWA NA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII,
JINSIA , WAZEE NA WATOTO.

KUMB : MHDO/NEMAHUHAI/NSGC/1/34
JINA:
ANUANI..
Ndugu

Ninayo furaha kukutaarifu kuwa umepata nafasi ya kujiunga na mpango wa mafunzo ya cheti
TAREHE YA KURIPOTI
(NTA LEVEL 5) katika Kozi ya UUGUZI na UKUNGA.
ITAKUWA 20 SEPTEMBA 2017 BILA KUKOSA NA MAFUNZO
YATAANZA TAREHE 25 SEPTEMBA.
MAELEKEZO:-

1. Hakikisha unawasilisha mwenyewe fomu hii kwenye ofisi ya Mkuu wa Chuo.


2. Tafadhali lichukulie kwa uzito wake kuwa ni zawadi uliyopewa kwa sifa za taaluma yako
kama utakavyowasilisha katika taarifa na sifa za masomo yatakayokubaliwa kusajiliwa
kwako na baada ya hapo kuthibitishwa na TNMC, NACTE na NECTA.
3. Sifa za mwanachuo ni angalau ufaulu wa kiwango cha C katika masomo ya KEMIA
NA BAOLOJIA, na kiwango cha D katika masomo ya FIZIKIA NA KIINGEREZA
(ENGLISH) katika mtihani wa kidato cha nne.
4. Uje na cheti cha elimu ya sekondari au kivuli cha matokeo ya kidato cha nne, School
leaving certificate, na cheti cha kuzaliwa.
Atakayeripoti bila vyeti halisi vya elimu ya sekondari hatapokelewa kujiunga na kozi.

1
ONYO: NI KOSA LA JINAI KUWASILISHA TAARIFA ZISIZOSAHIHI ZA KUGHUSHI
VYETI VYA KITALUMA. HATUA ZA KINIDHAMU ZITACHUKULIWA KWA YEYOTE
ATAKAYEKUWA KINYUME NA MAELEKEZO HAYA

5. MPANGO WA MASOMO
Mwaka wa masomo umeundwa kwa vipindi viwili
MIHULA YA KUJIUNGA NA MASOMO
Masomo yataanza mwezi wa Septemba 2017.

6. YANAYOHITAJIKA KATIKA USAJILI.


MUDA WA USAJILI
Muda wa kuripoti chuoni ni saa 2: asubuhi mpaka saa 12 jioni.
UNATAKIWA KUWA UMESAJILIWA ndani ya wiki 2 tangu chuo kilipoanza
WAKATI WA USAJILI UTATAKIWA KUSAINI SHERIA NA KANUNI ZA
UTAWALA WA SHULE.
7. Muundo wa malipo (ADA) ( Mode of payment of school fees)
Utatakiwa kulipa ada ya chuo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kupitia akaunti ya
chuo tu.
Malipo yanalipwa kwa awamu tatu yaani nusu ya ada unapoanza Masomo robo
unapoanza kipindi cha pili cha masomo yako na robo ya mwisho miezi mitatu baada
ya kuanza kipindi cha pili cha masomo
Kabla ya kuanza mafunzo utapimwa afya yako
Ada ilipwe kupitia jina la akaunti ya benki NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED
INSTITUTE,
AKAUNTI NAMBA: 0152492420300 (CRDB), 05000339 (MUCOBA),
60210019201 (NMB) NA RISITI YA MALIPO( PAY IN SLIP) IPELEKWE
CHUONI PALE UNAPORIPOTI AU PELEKA KUPITIA
Email.nemahuhai@yahoo.com.

8. UKITAKA KUFIKA CHUONI


(a) Chuo hiki kipo Mkoa wa Iringa, , Wilaya ya Mufindi, Mji wa Mafinga, Kata ya
Boma, Kijiji cha Ndolezi,km tano (5) kutoka Mafinga Stand Kuu. Uliza madereva
Tax, pia bodaboda watakufikisha mpaka Chuoni. AU,
(b) Ukitelemkia stendi kuu ya mabasi Mafinga fika Zahanati ya Huruma kwa Msaada
zaidi.

2
ADA YA MAFUNZO MWAKA WA KWANZA

MAELEZO JUMLA YA MALIPO MUHULA WA KWANZA MUHULA WA


PILI
01. USAJILI CHUONI 20,000/= 20,000/= _
02. ADA YA MAFUNZO(tuition fee) 1,600,000/= 800,000/= 800,000/=
03. KITABU CHA VITENDO 40,000/= 40,000/= _
04. ACCOMODATION HOSTEL 100,000/= 50,000/= 50,000/=
05 MITIHANI WAZARA YA AFYA 150,000/= _ 150,000/=
06 KITAMBULISHO 10,000/= 10,000/= _
07 RIMU MBILI (02) 20,000/= 20,000/= _
08 BIMA YA AFYA 50,400/= 50,400/= _
09 UCHAKAVU 30,000/= 30,000/= _
10 QUALITY ASSURANCE (NACTE) 15,000/= 15,000/= _
11 MEDICAL EXAMINATION 30,000/= 30,000/= _
12 VYETI VYA CHUO 20,000/= _ 20,000/=
13 MITIHANI YA SEMESTA 100,000/= 50,000/= 50,000
14 USAJILI NACTE 30,000/= 30,000/= _
JUMLA 2,215,400 1,145,400 1,070,000/=

A. ADA YA MAFUNZO MWAKA WA PILI

MAELEZO JUMLA YA MUHULA WA MUHULA WA


MALIPO KWANZA PILI
01. ADA YA MAFUNZO(tuition fee) 1,600,000/= 800,000/= 800,000/=
02. ACCOMODATION HOSTEL 100,000/= 50,000/= 50,000/=
03. RIMU MBILI (02) 20,000/= 20,000/= _
04. BIMA YA AFYA 50,400/= 50,400/= _
05 QUALITY ASSURANCE (NACTE) 15,000/= 15,000/= _
06 TNMC 60,000/= 60,000/= _
07 MITHAHANI WIZARA YA AFYA 150,000/= 150,000/= _
08 MAZOEZI KWA VITENDO 150,000/= 150,000/= _
09 MITIHANI YAA SEMESTA 200,000/= 50,000 150,000/=
JUMLA 2,345,400/= 1,345,400/= 1,000,000/=

9. VITU VYA KUCHUKUA


9.1 Cheti cha kuhitimu elimu ya sekondari (Original)
9.2 Cheti cha taaluma cha elimu ya sekondari (Original)
9.3 Barua ya uthibitisho kutoka kwa mkuu wa shule ya sekondari uliyosoma au shule iliyokaribu nawe.
9.4 Cheti cha kuzaliwa (Original)

ANGALIZO: Malipo ya mtihani wa mwisho wa marudio kwa atayefeli( supplementary )


Tshs 500,000/=
3
10. MAHITAJI MUHIMU
Chuo kitakupangisha chumba cha kulala, kitanda kimoja, godoro moja na chandarua, hivyo
Mwanachuo lete vifuatavyo:-
10.1.1 mablanketi 2 mashuka mawili Pink, mto mmoja, ndoo moja ya lita 10, Taulo 2 na tochi
moja
10.1.2 kalamu 2 blue/ na nyeusi 1, penseli yenye kifutio, daftari kubwa (kwaya 3) 4, daftari
kubwa kwaya 2(6) daftari zenye karatasi 48 12, picha 4 za passport size.

11. SARE ZA CHUO


S/NO SARE GHARAMA
JUMLA
1 SURUALI/SHATI-SUTI 2 @ TSHS 55,000/= 110,000/=

2 GAUNI - 2 @ TSHS 35,000/= 70,000/=

3 SWETA -1 @ TSHS 30,000/= 30,000/=

4 T-SHIRT - 1 @ TSHS 18,000/= 18,000/=

5 APRON - 1 @ TSHS 5000/= 5000/=

6 HIJABU NYEUPE 2

12. MAHITAJI MENGINEYO

Nguo za michezo: track suti, T- Shirt, bukta, raba kwa wavulana na wasichana.

Vifaa vya mafunzo hivi ni vifaa muhimu kwa mwanachuo kujifunza na

vinamilikiwa na mwanafunzi mwenyewe kwa mazoezi ya kila siku

i. Mashine ya kupimia Bp MOJA {1}


ii. Stethoscope 1
iii. Themometa 1
iv. Clinical tochi 1
v. Tape measure 1
vi. Box 2 za mipira kwa ajili ya upasuaji {S/Groves }
vii. Box 2 za mipira ya usafi (D/gloves)
viii. Saa ya mkononi yenye mshale wa sekunde
ix. Mwanafunzi aje na faili (spring file plastic)

Nyongeza ya vitu vingine vya kujifunzia kama LAPTOP /SMART PHONE sio lazima lakini ni
muhimu kwa kujifunzia.

4
MALIPO MWAKA WA KWANZA
MALIPO YATAFANYIKA KWA AWAMU TATU KWA MWAKA.

1. AWAMU YA KWANZA TSHS 980,400/=


2. AWAMU YA PILI TSHS 950,000/=
3. AWAMU YA TATU TSHS 285,000/=

MALIPO MWAKA WA PILI

MALIPO YATAFANYIKA KWA AWAMU TATU KWA MWAKA.

1. AWAMU YA KWANZA TSHS 950,400/=


2. AWAMU YA PILI TSHS 950,000/=
3. AWAMU YA TATU TSHS 445,000/=

CHAKULA

UTAJITEGEMEA KWA MUDA WOTE AMBAO UTAKUWEPO CHUONI

5
FOMU YA MKATABA

SEHEMU (A) MKATABA WA MUOMBAJI.

MIMI. MWENYE

ANUANI Nakiri na nathibitisha kwamba kwa taarifa nilizozitoa


kwa ujuzi wangu kuwa ni za kweli zimetosha na sahihi na kama kunakuwa na udanganyifu
wowote sheria za kinidhamu zichukuliwe dhidi yangu wakati wowote.

Terehe _________________________________ Saini ya


mwanachuo________________________

SEHEMU B Ijazwe na mdhamini

i. MWOMBAJI ALIYEPOKAZINI TU
Mimi ninaye saini hapa chini
_______________________________________________________________________
_______________________________________________________________________
i. Jina la mwombaji___________________________ jina la kozi ya
___________________na kama akichaguliwa, nachukua fursa hii kukubali gharama
zote zinazohusiana na kozi.
ii. Nathibitisha kwamba mwombaji akichaguliwa kama mwanafunzi wa kozi hii atapokea
likizo ya kutokuwepo kwa kipindi cha kozi yote.
iii. Nathibitisha kwamba mwombaji kama anakubaliwa hatapewa majukumu mengine au
kazi yoyote itakayosababisha mwombaji kushindwa kutekeleza majukumu yake ya
kitaaluma wakati wa kozi husika.
- Kazi ya mwajiri______________________________________
- Jina la mwajiri_______________________________________
- Anwani ya mwajiri____________________________________
- Namba ya simu ya mwajiri______________________________
- Saini ya mwajiri________________________
- Official stamp ______________________ mahali__________________

6
MAELEZO BINAFSI YA MWANACHUO

1. JINA KAMILI.
2. MKOA WILAYA
3. KATAKIJIJI
4. TAREHE YA KUZALIWA:ELIMU
5. KABILA DINISIMU NO.
6. UNAUJUZI GANI.
7. UMEOA / KUOLEWAJINA LA ME/KE
8. MAJINA YA WATOTO ULIONAO
a. MWAKA ALIOZALIWA
b. MWAKA ALIOZALIWA
c. MWAKAALIOZALIWA..
9. (A) JE WEWE NI MTUMISHI KATIKA TAASISI AU
SERIKALI?
(B) KAMA NDIO UNAFANYA KAZI TAASISI/SERIKALI GANI?
(C) UNAFANYA KAZI GANI?..........................................................................
(D) ANUANI YA MWAJIRI WAKO
(E) SIMU NAMBA YAKE MOBILE
(F SIMU YA OFISI
(G) E-MAIL YA OFISI
(H) UNAFANYIA MKOA GANI?..........................................................
(I) WILAYA GANI?............................................................................
(J) KIJIJI GANI?....................................................................................

10. JINA LA MZAZI/ MLEZI/ MLIPA ADA:

JINA
ANUANI YAKE.
NAMBA YA SIMU YAKE YA
MKONONI

NINAAHIDI KUMLIPIA ADA NA MICHANGO MINGINE KAMA ATAPEWA NAFASI YA MAFUNZO KATIKA
CHUO CHAKO.

SAINI YA MZAZI / MLEZI/ MLIPA ADATAREHE

11.ANGALIZO

11.1. MALIPO

. Malipo yote ya Ada, na mengineyo ni kwa fedha taslimu tu hundi hazikubaliwi

Napenda kukupongeza tena kwa kuchaguliwa kujiunga chuo cha NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED
INSTITUTE.( NEMAHUHAI )kwa niaba ya uongozi wa chuo nakutakia masomo mema na mafanikio
katika kipindi chote cha masomo katika chuo cha NEMAHUHAI KARIBU SANA

ALHAJI JAFARI C. MILLANZI

MKUU WA CHUO.
7
TANGAZO LA MASOMO
MKUU WA CHUO CHA NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED INSTITUTE (NEMAHUHAI)
KILICHOSAJILIWA NA NACTE NAMBARI: REG /HAS/145, KWA USAJILI WA KUDUMU.

CHUO KIPO WILAYANI MUFINDI, MJI WA MAFINGA, KIJIJI CHA NDOLEZI KM 5 TOKA STANDI
KUU YA MAFINGA, ANAWATANGAZIA KOZI ZIFUATAZO KWA MUHULA WA SEPTEMBA 2017:

KOZI YA UUGUZI NA UKUNGA NGAZI YA CHETI MIAKA MIWILI.

SIFA: AWE NA C ZA BIOLOJIA NA KEMIA NA D KATIKA FIZIKIA, KIINGEREZA (ENGLISH)


NA HESABU (ADDED ADVANTAGE)

KOZI YA COMMUNITY HEALTH MWAKA MMOJA

SIFA AWE NA D YA BIOLOJIA NA D TATU ZA MASOMO YA SANAA.

KOZI HIZI MBILI UDAHILI UNAFANYWA KUPITIA CHUONI NEMAHUHAI KWA IDHINI YA NACTE.
KWA URAHISI TUMA INDEX NUMBER YAKO, JINA KAMILI NA SIMU NAMBA.

WOTE WENYE SIFA WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBARI ZIFUATAZO;

0754 470248, , 0754968229, 0754451596, 0759002271, 0755222477, 0758903476, 0673


-- 903475:

EMAIL: nemahuhai@yahoo.com, Jarufumakoti.jm@gmail.com, Makoti256@gmail.com AU


KWA NJIA YA WHATSAPP NAMBARI: 0766041652

FOMU ZINAPATIKANA:
HURUMA DISPENSARY MAFINGA0759 - 002172 ,OFISI KUU KINYANAMBO 0756 - 546535,
SONGEA MAJENGO 0768 - 316400, DAR-ES SALAM UKONGA GEREZANI 0754 -
654206, SINGIDA HALMASHAURI YA VIJIJINI 0766 - 370544, DAR- ES- SALAAM GEREZANI
SEGEREA 0753 - 141434, CHUONI NDOLEZI MAFINGA 0755-890069 IRINGA VIJIJINI WILAYA
YA KILOLO 0766877778,WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA NZIMA.

You might also like