You are on page 1of 2

RIPOTI YA SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA 2021/22

Sherehe ya mwaka wa kwanza (UNI REFRESH CLOSING YEAR BASH 2021)


iliyofanyika siku ya jumamosi ya tarehe 18/12/2021 katika ukumbi wa “wimol masai club”
maeneo ya Kurasini, Mchanganuo wa matumizi ya wizara ya Ustawi wa jamii ni kama
umavyojieleza hapo chini.

NAMNA MAPATO YALIVYOPATIKANA KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI


(IFM SO) 2021/2022
MAPATO/PESA GHARAMA KIASI KILICHOBAKI
ILIYOPATIKANA ILIYOTOKEA BAADA YA SHEREHE
TIKETI (100*1000) 100,000/=
USAFIRI (10,000/=)
WAUZAJI TIKETI (50,000/=)
JUMLA YA GHARAMA 40,000/= 40,000/=

MAFANIKIO YALIYOPATIKANA
1. SHEREHE KUFANYIKA KWA USALAMA NA WANAFUNZI KURUDI
CHUONI WAKIWA SALAMA PASINA YOYOTE KUUMIA AU KUDHURIKA
2. WANAFUNZI KUTOA MAONI CHANYA YA SHEREHE KUWA ILIFANAA.
3. IFM SO KUINGIZA MAPATO YASIYOPUNGUA (40,000/=)

MAPENDEKEZO:
KUENDELEA NA EVENTS ILI KUINGIZIA MFUKO WA IFMSO HELA NA
KUJENGA MAHUSIANO BAINA YA VYUO VINGINE PIA NAKUWAFANYA
WANAFUNZI WANAOPENDA MAMBO YA KIBURUDANI KUPATA HAKI YAO.

HITIMISHO
WIZARA INAPENDA KUTOA SHUKRANI NA AHSANTE KWA BARAZA ZIMA
LA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI PAMOJA NA EXECUTIVE KWA
USHIRIKIANO WALIOUTOA KATIKA KUFANIKISHA SHEREHE YA KUFUNGA
MWAKA 2021.
IMEANDALIWA NA WIZARA YA USTAWI WA JAMII
WAZIRI SILAS JOSEPH SUNGURA 0718893117
N/WAZIRI JAPHET O SHAYO 0654130939
N/WAZIRI ASIMWE SANYU 0748307696

You might also like