You are on page 1of 2

TAARIFA YA UTEKELEZA WA MIRADI YA MFUKO WA JIMBO KIGOMA – KASKAZINI, HADI MAY 2011.

KATA KIJIJI KAZI ZIZOPANGWA HATUA YA GHARAMA MATUMIZI SALIO


ILIYOFIKIWA YA MRADI
HADI SASA
MWANDIGA KIGANZA Kumalizia madarasa 2 Kazi imekamilika 12,000,000 12,000,000 0
ambayo yapo hatua ya na madarasa
lenta Sekondari ya yanatumika.
Mungonya.
MAHEMBE CHANKABWIMBA Kuchangia ukamilishaji wa Kazi imekamilika 3,500,000 3,500,000 0
nyumba ya mwalimu S/m na nyumba
Kabanga. inatumika
UNUNUZI WA VITANDA NA Kununua vitanda vya Manunuzi 7,700,000 7,700,000 0
MAGODORO KATIKA ZAHANATI. kujifungulia 14 na yamafanyika na
magodoro 28 kwa ajili ya vitanda
vituo vya afya na
vimesambazwa
zahanati. (wastani wa bei
kwa mjibu wa MSD ni Tsh kwenye vituo
550,000/= kwa kitanda 1 vya huduma.
na magodoro 2).
KAGUNGA KAGUNGA Kuchangia mradi wa maji Kazi ya 15,500,000 12,576,000 2,924,000
Kagunga. kutandaza
mabomba
inaendelea.
JUMLA MIRADI 38,700,000 35,776,000 2,924,000
Uendeshaji wa vikao tathimini na 4,413,528 4,161,750 251,778
ufuatiliaji wa miradi.
JUMLA KUU TSH 43,113,528 39,937,750 3,175,778
MGAWANYO WA VITANDA NA MAGODORO KWA VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI.

NA JINA LA KITUO CHA AFYA/ZAHANATI IDADI YA IDADI YA


VITANDA MAGODORO
1 KITUO CHA AFYA BITALE 2 4
2 KITUO CHA AFYA MWAMGONGO. 2 4
3 ZAHANATI YA KIJIJI CHA MWANDIGA 1 2
4 ZAHANATI YA KIJIJI CHA MGALAGANZA 1 2
5 ZAHANATI YA KIJIJI CHA MKIGO 1 2
6 ZAHANATI YA KIJIJI CHA KALINZI 1 2
7 ZAHANATI YA KIJIJI CHA KIGALYE 1 2
8 ZAHANATI YA KIJIJI CHA ZASHE 1 2
9 ZAHANATI YA KIJIJI CHA BUBANGO 1 2
10 ZAHANATI YA KIJIJI CHA NYAMHOZA 1 2
11 ZAHANATI YA KIJIJI CHA KIZENGA 1 2
12 ZAHANATI YA KIJIJI CHA KIDAHWE 1 2
JUMLA (VITANDA NA MAGODORO) 14 28

Naomba kuwasilisha.

(Signed)
JOMMO WATAE
DPLO – KIGOMA DC.

13/05/2011

You might also like