Professional Documents
Culture Documents
……………………………………………………………..
HUDUMA ZA FAMILIA
A. TAKWIMU (STATISTICS)
Fomu hii ijazwe na mkuu wa Huduma za Familia kila mwisho wa robo na mchungaji ajaze moja
inayounganisha taarifa kwa makanisa yote mtaani.
NENO LETU KUU ‘’Ni wakati wa NB: Taarifa hii hujazwa na katibu wa uwakili na
kufikiri yaliyo juu’’ kutumwa kwa mchungaji Mda wa taarifa kila mwezi
SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION
FORM NO 2.
KANISA-……………………MTAA………………………….. ROBO-………TAREHE-………………………………………..
Mikutano Wanawake Wanawake Washiriki Semina Mikutano Mikutano ya Msaada wa Ubatizo Miradi
waadventista wasio waliorejeshwa zilizofanyika ya uinjilisti shughuli masomo
waliohudhuria waadventista kanisani iliyofanika nyingine scholaship
waliohudhuria
-
JUMLA
………………………………………
IDARA YA HUDUMA ZA UCHAPISHAJI NA ROHO YA UNABII
SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION (STU)
(FOMU YA TAARIFA YA IDARA TOKA MAKANISANI KWENDA CONFERENCE)
Mtaa wa .......................kanisa la ......................................kundi.............................
Taarifa ya maendeleo ya idara .......................................mwaka...........................
Jina la mkurugenzi..............................................................................................
FOMU MPYA
TAARIFA YA IDARA YA HUDUMA ZA UCHAPISHAJI
(KWA ROBO MWAKA)
(A) MAELEZO:
Kufuatana na maelekezo kutoka ngazi ya juu ya kanisa kila kanisa limepewa wajibu wa
kusambaza vitabu kwa majirani zao, nayo makanisa yananunua vitabu kwa bei ya kuuzia kwenye
maduka ya kanisa (ABC) kisha wanasambaza vitabu bure kwa ajili ya kuokoa roho.
Taarifa:
1.
_______________________
1.
Idadi ya vitabu vilivyonunuliwa _____________________________________
2.
Idadi ya washiriki waliosambaza vitabu ______________________________
3.
Idadi ya magazeti yaliyosambazwa __________________________________
4.
Idadi ya Rally za uinjilisti wa vitabu na semina makanisani ______________
5.
Idadi ya wainjilisti wa vitabu wapya waliojitoa ________________________
6.
Idadi ya watu waliobatizwa kupitia uinjilisti wa vitabu __________________
7.
Kamati ya idara imekaa mara ngapi _________________________________
8.thamani ya vitabu vilivyonunuliwa Tsh------------------------------------------
.
Mkurugenzi/mratibu wa uchapishaji atume taarifa konferensi kila robo
Mkurugenzi wa kanda wa uchapishaji ashirikiane na kanisa katika siku za Rally na
semina makanisani na kutoa maelekezo ya kazi ya idara na umuhimu wa kazi
ulimwenguni.
(B) MAELEZO:
Taarifa hii hapa chini inahusu kitabu maalumu kinachotolewa na Divisheni kila mwaka kwa
sababu ya umeshenari wa kanisa nacho kinanunuliwa na makanisa na washiriki wanakisambaza
kwa watu duniani na kwa majirani zetu ili watu wasome waokolewe (maelekezo ya kuuza au
tusiuze kitabu yanatoka Divisheni)
Taarifa:
Mwaka Jina la Idadi washiriki Idadi ya vitabu Bei ya vitabu Idadi ya vitabu Waliobatizwa
kitabu walionunua vilivyonunuliwa vilivyonunuliwa Tshs vilivyosambazwa
Note: Kama kitabu cha Divisheni kwa mwaka huo kikiwepo, Tafadhali jaza taarifa B kama kitabu
hakitakuwepo jaza taarifa No A tu.
: Mkurugenzi/mratibu wa uchapishaji tuma taarifa konferensi kila robo vilevile chukua taarifa kila
sabato kwa washiriki.
SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH
EASTERN TANZANIA CONFERENCE
FOMU MPYA
TAARIFA YA IDARA YA ROHO YA UNABII
(KWA ROBO MWAKA)
MAELEZO:
Makao makuu ya kanisa ulimwenguni imeagiza kila mshiriki anunue vitabu 10 vya Roho ya
unabii na kuvisoma kwa ajiri ya kujilisha kiroho navyo ni hivi vifuatavyo:
Taaifa:
Jina la kitabu Walionunua Waliosoma Wasionavyo Una maktaba ngapi Idadi ya vikao vya
idara vilivyofanyika
1 Wazee na manabii
2 Manabii na wafalme
5 Pambano kuu
6 Huduma ya kikristo
9 Huduma ya uponyaji
10 Njia salama
Note: Mkurugenzi wa Roho ya unabii atume taarifa kila robo vilevile kila sabato achukue taarifa hii kwa
washiriki.
: Kanisa litenge siku za kujifunza vitabu vya roho ya unabii (chagua kimoja msome mkimaliza
chagueni kingine)
SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION OF SEVENTH-DAY ADVENTIST CHURCH
FOMU YA KITENGO CHA MAHUSIANO YA WAADVENTISTA NA WAISLAMU
[ADVENTIST MUSLIM RELATIONS)
KANISA-……………………MTAA………………………….. ROBO-………TAREHE-………………………………………..
Mikutano Wanawake Wanawake Washiriki Semina Mikutano Mikutano ya Msaada wa Ubatizo Miradi
waadventista wasio waliorejeshwa zilizofanyika ya uinjilisti shughuli masomo
waliohudhuria waadventista kanisani iliyofanika nyingine scholaship
waliohudhuria
-
JUMLA
………………………………………
SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH
SOUTH EAST TANZANIA CONFERENCE
IDARA YA HUDUMA ZA WASHIRIKI
KONFERENSI YA MASHARIKI MWA TANZANIA
MTAA ______________________________ ROBO YA _________________________________
TAREHE __________________________________
SAHIHI __________________________________
JINA LA MCHUNGAJIWA MTAA ___________________________________