You are on page 1of 2

TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD BETHEL CHRISTIAN CENTER

TAARIFA YA KWAYA ROBO YA TATU YA MWAKA 2022


UTANGULIZI
UONGOZI
IDADI YA WANAKWAYA
MALENGO YA ROBO YA 3
MALENGO YA ROBO YA 4
CHANGAMOTO
TAARIFA FEDHA
HITIMISHO.

1. UTANGULIZI
TUNASHUKURU MUNGU WETU NA BABA YETU WA MBINGUNI KWA KUTULINDA
MPAKA KUFIKA SIKU YA LEO.

2. UONGOZI
Uongozi wa kwaya katika kanisa letu ni kama ifuatavyo;

-FRANCIS BARNABA MHIMBI--- MWENYEKITI


-MAMA KIONDO--- MWENYEKITI MSAIDIZI
-MRS; NDAKI------- MHAZINI/KATIBU
ANNA P. MWIGUNE ----- MLEZI WA KWAYA
3. IDADI YA WANAKWAYA
KWAYA INA JUMLA YA WAIMBAJI----------------- KATI YAO

WANAWAKE ------------- WANAUME----------- WATOTO-------

4. MALENGO YA ROBO YA 3
KUFANYA MAOBI KWA AJILI YA KULETA UHAI WA KWAYA

5. MALENGO YA ROBO YA 4
- KUENDELEA NA MAOBI
- KUFANYA MIKESHA
- KUENDELEA NA UTUNZI WA NYIMBO MPYA
6. CHANGAMOTO
- WAIMBAJI KUTOHUDHURIA MAZOEZI
- KUKOSA MWALIMU KWA AJILI YA UTUNZI WA NYIMBO

7. TAARIFA YA FEDHA
MFUKO UNA WA KWAYA YA KANISA UNA TSHS. 7000. ZILIZOTOKANA NA MCHANGO WA
KEKI.

8. HITIMISHO
-TUNAOMBA MUNGU ATUSAIDIE TUWEZE KUFIKIA MALENGO YETU TULIYOJIWEKEA
MWAKA HUU 2022.
-TUNAOMBA UCHAGUZI WA VIONGOZI KWAYA
-TUNAKARIBISHA WASHIRIKA KUJIUNGA NA KWAYA.
-

You might also like